×

Kitaifa

Zitto Atoa Neno Ugomvi wa RC Arusha na Godbless Lema

Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameamua kutoa ya moyoni kufuatia hali iliyojitokeza jana mkoani Arusha wakati wa uzinduzi...

READ MORE

Panya Road Azindukia Mochwari Dar

Pichani: Vijana wanaotuhumiwa kuwa Panya Road wakiwa chini ya ulinzi. MTOTO aliyetambuliwa kwa jina la Isack Ernest (16) anayetuhumiwa kuwa...

READ MORE

Paulina Kulwa wa Mwanza Aibuka na Kitita cha Shilingi Mil.100 Kupitia Jiongeze na M Pawa

Meneja masoko huduma za kifedha wa Vodacom Tanzania, Noel Mazoya (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) baada...

READ MORE

Covenant Bank Yakipiga Jeki Kijiji cha Kituri, Mwanga

Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Mathabetha Mwambenja (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya milioni tano na laki mbili mwakilishi kutoka...

READ MORE

Khadija Kopa Kuwasha Moto Krismas Morogoro (Picha&Video)

Mwenyekiti na mratibu wa tamasha hilo, Hamis Abdallah,  akizungumza jambo na wanahari (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni mkuu wa matukio...

READ MORE

Yatima Ashinda Sh. 500,000 za Gazeti la Amani

Sikitu Kyalo (kushoto) akifurahia kabla ya kukabidhiwa kitita cha shilingi 500,000/=. Kulia ni mwakilishi wa wakala wa Global Publishers wa Kanda...

READ MORE

Rais JPM Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, Tanga

Rais Dk. John Pombe Magufuli. Rais Dk. John Pombe Magufuli leo ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya...

READ MORE

Sophia Mjema Ataka Soko la Feri Kuwa la Kimataifa

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, akikabidhi ripoti ya uongozi wa soko kwa mwenyekiti mpya wa bodi ya soko...

READ MORE

Mahakama ya Ardhi Yatupilia Mbali Kesi ya Mbowe Hotels Ltd Dhidi ya NHC

  Wakili wa NHC, Aliko Mwamnenge akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutoka katika hukumu ya kesi hiyo. Wakili...

READ MORE

Baadhi ya Makosa Aliyoyafanya Mwl. Nyerere

  Na Walusanga Ndaki TATIZO la Watanzania wengi  — wazee kwa vijana — ni kwamba ukianza kuwaorodheshea makosa aliyoyafanya aliyekuwa...

READ MORE

Uzinduzi: Shigongo Achangisha Mamilioni Harambee Kanisa la Aic Chang’ombe

   Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akitoa semina fupi iliyoambatana na historia ya maisha yake. Shigongo...

READ MORE

Rais JPM Aongoza Waombolezaji, Viongozi Kumuaga Masaburi Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na mkewe wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 17, 2016

MAGAZETI ya leo Oktoba 17, 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzaniakwenye kurasa za mbele na nyuma ili ujue...

READ MORE

Yanga, Azam Hakuna Mbabe Watoka Suluhu

Kikosi cha timu ya Yanga kilichoanza dhidi ya Azam leo Uwanja wa Uhuru. Kikosi cha timu ya Azam kilichoanza leo...

READ MORE

Njemba Ala Kichapo ‘Hevi’ Standi Ya Daladala Mchana Kweupe

Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiendelea kupewa kichapo hevi mchana kweupe baada ya kudaiwa kuiba Headphone za...

READ MORE

Video: Mrembo Atinga Global Afichua Siri Za ‘Scorpion’

  Mrembo aitwaye Talta Msofe (21) akiwa katika pozi baada ya kutinga katika ofisi za Global Publishers kufichua siri za mtuhumiwa...

READ MORE

Global Ilipowatembelea Wafungwa Gereza la Ukonga Dar es Salaam

       Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (aliyesimama), akiwasalimia wafungwa (hawapo pichani) wa gereza la Ukonga katika Tamasha la Kuadhimisha...

READ MORE

Maalim Seif Afunguka Kuhusu Profesa Lipumba

 Katibu mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad. Zanzibar/Mtwara. Katibu mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ambaye amekuwa kimya kuzungumzia...

READ MORE

Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy Washinda Tuzo Za Afrimma 2016

Staa wa Bongo Fleva  Harmonize (kulia)  na  Dj D Ommy (kushoto)  wa Clouds wakiwa katika picha ya pamoja baada ya...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 16, 2016

MAGAZETI ya leo Oktoba 16, 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzaniakwenye kurasa za mbele na nyuma ili ujue...

READ MORE

PICHA: Tunda Man Afunga Ndoa

Tunda Man akimshika kichwani mkewe, Bi Sandra kama ishara ya salamu wakati wa ndoa hiyo.…Dogo Janja akiwa na shemeji yake.Madee...

READ MORE

Atembea Siku 21 Kwenda Dodoma Kumfuata Waziri Mkuu

Angela Basso, akiwa na watoto wake wawili Happy(7) na Janeth Peter(9). MKAZI wa Kilindi mkoani Tanga, Angela Basso, akiwa na...

READ MORE

Duma: Mapenzi Ya Mastaa Hayana Malengo

Daudi Michael ‘Duma’ akiwa kajilaza chumbani kwake.…Akiwa sebuleni. LEO hii kwenye kolamu yetu ya Mpaka Home tunaye msanii wa filamu...

READ MORE

Barabara Ya Sinza Maalum Kero Kwa Wananchi

Taswira ya miundombinu hiyo.…maji ya mvua yakionekana kutuwana katika miundombinu hiyo. …hali halisi. BAADHI ya wananchi wa maeneo ya Mapambano...

READ MORE

Makamuzi Ya Twanga Ndani Ya Toroka Uje

Mwanamuziki mkongwe wa bendi hiyo, Luiza Nyoni akiendelea kufanya mavituz jukwaani kama alivyonaswa. Wanenguaji Otilia Boniface (kulia) na Maria Soloma...

READ MORE

Singeli Michano: Sholo Mwamba Aingia Kifalme Dar Live

Shollo Mwamba.Baadhi ya mashabiki wakiserebuka.  Shollo Mwamba baada ya kupandisha jukwaani akiwa amebebwa kifalme.Escide akiwa jukwaani na madensa wake.Dogo Nigga...

READ MORE

Jokate Adaiwa Kufichwa…

Jokate Mwegelo. DAR ES SALAAM: Mwanamitindo, Jokate Mwegelo ametimkia nchini Uturuki ambapo inadaiwa kuwa amepelekwa na mwanaume mmoja wa Kiarabu...

READ MORE

Jokate adaiwa kufichwa…

    Hamida hassan, Risasi Jumamosi   DAR ES SALAAM: Mwanamitindo, Jokate Mwegelo ametimkia nchini Uturuki ambapo inadaiwa kuwa amepelekwa...

READ MORE

Jaffo – Rushwa Ya Ngono Ni Hatari

Naibu Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jaffo. Naibu Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jaffo amesema rushwa ya ngono ni hatari kuliko rushwa...

READ MORE

Tazama Majina Ya Wanachuo Waliopata Mkopo Kujiunga Na Elimu Ya Juu 2016/2017

first_year_first_year_allocation_lot1 allocation_lot1 waliopata-mkopo-2016_17-1T

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Oktoba 15, 2016

MAGAZETI ya leo Oktoba 15, 2016  stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzaniakwenye kurasa za mbele na nyuma ili ujue...

READ MORE

Shigongo Awataka Wafungwa Ukonga Kutokata Tamaa

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo. Na Sweetbert Lukonge MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric...

READ MORE

Wakali 40, Jukwaa Moja Singeli ‘Kuwaka Moto’ Nyerere Day Dar Live Leo

Mwandishi Wetu, Dar es SalaamHAIJAWAHI kutokea! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine pale wakali wa muziki ulioshika kasi kama kiberenge ‘Singeli’...

READ MORE

Makamu wa Rais Ahani Msiba wa Masaburi Leo

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo  katika msiba...

READ MORE

Mwinyi: Nchi Haina Uadilifu Alioacha Mwalimu Nyerere

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi. WAKATI Tanzania leo ikiadhimisha kumbukumbu ya miaka 17 tangu kufariki kwa...

READ MORE

Makontena 100 Yaibwa Bandarini Dar

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage. WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametoa siku nne kwa...

READ MORE

Ali Chocky Na Madai Ya Kuihama Twanga

    Msanii wa Muziki wa Dansi Bongo ambaye kwa sasa anapiga mzigo na Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta...

READ MORE