×

Kitaifa

Vijana Acheni Kulalamikia Ajira Wakati Uwezo wa Kujiajiri Mnao- Mhe. Mavunde

Picha/Habari na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana, Kazi na Ajira, Antony Mavunde Jumamosi...

READ MORE

Rais Magufuli na Hatma ya CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Na Leonard Msigwa “MIMI nang’atuka, lakini ninaendelea kuamini kuwa...

READ MORE

EPZA Wakutana na Balozi wa China Nchini Tanzania

Mkurugenzi Mkuu wa EPZA Canal  Joseph Simbakalia wa tatu (kushoto)  akiwa na wageni wake wakitoka nje ya ofisi hizo mara...

READ MORE

Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi asimamishwa kazi kwa kufanya malipo hewa

KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira amemsimamisha kazi Mhasibu Mkuu wa Jeshi...

READ MORE

Whitedent yaja na Bahati Nasibu ya Suzuki Alto K10

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru akizungumza jambo katika hafla hiyo. Dkt. Adelhelm Meru akiweka...

READ MORE

Kikwete apigiwa debe kuiongoza AU

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Na Leonard Msigwa/Mtandao/GPL. Kuanzia kesho jumapili jiji la Kigali, Rwanda...

READ MORE

Muuaji wa askari watano Marekani ni Micah Xavier Johnson

Micah Johnson anayedaiwa kutekeleza mauaji wa askari watano. Enzi akiwa kazini na vazi la jeshi la Marekani Picha mbili tofauti...

READ MORE

Baba Akesha Akiwalinda Watoto Wake Albino

 Mwanje na mke wake Florence wakiwa na watoto wao Albino. Na Leonard Msigwa Ni mwendo wa saa nne toka jiji...

READ MORE

NEMC Yakifungia kiwanda cha 21st Century

Mratibu wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira Kanda ya Mashariki (NEMC), Jaffar Chimgege, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani),...

READ MORE

Washindi wa droo kubwa ya Shinda Nyumba wakabidhiwa zawadi zao

Dadi Tematema akimpokelea dinner set Herman Haule wa Dodoma. Dadi Tematema akitoa ushuhuda wa ndugu yake aliyekuja kumpokelea zawadi aitwae...

READ MORE

Michael Yogayoga: Mcheza sarakasi aliyekataa uraia wa Ujerumani

Kijana Mtanzania, Michael Elias Mondosha maarufu kama Michael Yogayoga mzaliwa wa Mpanda mkoani Katavi akifanya yake juu ya meza ndani ya...

READ MORE

Watoto 4 wa familia moja wateketea kwa moto wakiwa usingizini

HUZUNI imetanda katika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, baada ya ajali ya moto wa kibatari kuteketeza watoto wanne wa mama...

READ MORE

Waziri Mkuu wa India kuwasili hapa nchini leo

WAZIRI Mkuu wa India, Narendra Modi anawasili leo hapa nchini kwa ajili ya ziara ya kitaifa ya siku mbili kwa...

READ MORE

Watu 11 mbaroni kwa madawa ya kulevya

Stori: STEPHANO MANGO, RISASI JUMAMOSI RUVUMA: Watu tisa wanakishikiliwa na jeshi la polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kukutwa wakifanya...

READ MORE

Dereva wa Basi la City Boy Akabiliwa na makosa 30 ya Kuua

MMOJA wa madereva waliosababisha ajali ya mabasi ya City Boy Jumatatu iliyopita katika kijiji cha Maweni wilayani Manyoni, Jeremiah Semfungwe...

READ MORE

Rais Magufuli ateua mkurugenzi mpya wa TACAIDS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Leonard Lutegama Maboko kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa...

READ MORE

Wasomaji Dar Walichangamkia Ijumaa Muonekano Mpya!

Msomaji wa Gazeti la Ijumaa (kushoto) akinunua kwa muuzaji wa magazeti ya Global, Hadija Rashid. Msomaji wa Ijumaa akinunua gazeti...

READ MORE

Tecno Camon C9 Yaingia Sokoni Kwa Kishindo

Simu kali ya TecnoCamon C9 yenyeuwezowahaliyajuukatikakupigapichaikiwana Camera mbili (Mbelenanyuma) za Megapixel 13, uwezowa 4G LTE nateknolojiambalimbalizakisasaimeingiarasmisokoni. Simuhiinimiongonikwasimuzakisasakuingizwanchini, nainapatikanakwabeiyakawaidaya Tsh.400,000 Watejawamefurikakwawingidukaniilikujipatiasimuhiimpyaambayoinasifakedekedeiwenikwa...

READ MORE

Nyumba ya Wazanaki kivutio Viwanja vya Sabasaba jijini Dar

NA DENIS MTIMA/GPL NYUMBA ya Kabila la Wazanaki imeonekana kuwa kivutio kikubwa katika maonesho ya Viwanja vya Sabasaba vya Mwalimu...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kongwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amemteua Bw. Deogratius John...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo July 07 2016 amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa...

READ MORE

Vodacom Yadhamini Ziara ya Wahariri 30 Nairobi

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla fupi ya kukabidhi hundi yenye thamani...

READ MORE

Majambazi wateka kijiji kwa saa 3, wajeruhi na kupora fedha!

KUNDI la watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na sialaha wameteka eneo la mpaka wa Tanzania na Rwanda katika Kijiji...

READ MORE

Mfanyabiashara atoa misaada kwa jamii

Mfanyabiashara maarufu katika visiwa vya Pemba na Unguja,  Said  Nasser Nassor ‘Bopar’ hivi karibuni alikuwa akitoa misaada ya tende kwa...

READ MORE

Nelly; Nimesoma magazeti ya Global kwa miaka 18

Nelly Mwangosi na mumewe. NA FRANCIS GODWIN, IRINGA NELLY Mwangosi, mwanamama mwenye umri wa miaka 45, mkazi wa Kibwabwa Kata...

READ MORE

Wagonjwa watekwa, muuguzi anusurika kubakwa

Na Joseph Ngilisho, AMANI ARUSHA: Muuguzi wa Kituo cha Afya cha Mbuguni wilayani Arumeru jijini hapa, Paulina Mafembo na wagonjwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awakomesha mastaa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa STORI: MWANDISHI WETU, AMANI DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu wa...

READ MORE

Watoto waendelea na shangwe za Eid Dar Live

PICHA NA DENIS MTIM/GPL

READ MORE

Swala ya Ed-El-Fitr Ilivyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga, Dar

Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed- El- Fitr iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi. Waumini...

READ MORE

Wateja wa Vodacom Kujichagulia Vifurushi Wavitakavyo

Katika dhamira yake ya kufanya ubunifu wa teknolojia kwa ajili ya kuwapeleka watanzania katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia kwa...

READ MORE

Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA ahojiwa na Jeshi la Polisi Dar

Patric Ole Sosopi (kushoto mwenye gwanda). Dar es Salaam, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema Taifa(BAVICHA), Patric Ole...

READ MORE

Mabadiliko Ratiba ya Mazishi ya Mhe. Beatrice Shelukindo

Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo ShelukindoMbunge wa zamani wa...

READ MORE

Waziri Mkuu aongoza Swala ya Eid El Fitr jijini Dar

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akitoa mawaidha  mbele ya waumini wa kiislamu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar...

READ MORE

Banda la Mfuko wa LAPF Maonesho ya Sabasaba Dar… Pamenoga!

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo...

READ MORE