×

Kitaifa

Lala salama Shinda Nyumba; Wasomaji wachangamkia kuponi

Ofisa Masoko wa Global Publishers, Yohana Mkanda akimwelekeza Mkazi wa Bunju, Dar aitwaye Jelioni Mbogela. Haji Rajab Mkazi wa Bunju...

READ MORE

Shinda Nyumba, Makonda Mgeni Rasmi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda Makala: OJUKU ABRAHAM MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...

READ MORE

Chadema Pwani, Wapiga Marufuku Mameya Wao Mikutano ya Kitaifa ya Serikali

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani kimesema kinatafakari hatua gani ya kuchukua baada ya Rais John Magufuli...

READ MORE

Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha tano 2016

OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016.  Wanafunzi waliochaguliwa...

READ MORE

Sheikh Jalala: Dunia Tuikumbuke Palestina

Sheikh Hemed Jalala akizungumza na wanahabari wakati wa maadhimisho ya Siku ya QUDS ndani ya Msikiti wa Kigogo Post jijini...

READ MORE

Uzinduzi Mafunzo wahitimu kidato cha sita yafana Dar!

Mgeni rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili kulia)...

READ MORE

Serikali Yasitisha Tamko la Utoaji wa Chakula Hospitali ya Muhimbili

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Ummy Mwalimu. Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya...

READ MORE

Watoto wenye ulemavu wawamwagia wabunge, mawaziri changamoto zao

Baadhi ya watoto wenye ulemavu wakiwa kwenye picha ya pamoja na waheshimiwa wabunge na mawaziri nje ya Ukumbi wa Pius...

READ MORE

Prof. Mbarawa Amteua Mhandisi Kakoko kuwa Mkurugenzi Mkuu – TPA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA) Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi...

READ MORE

Rais Magufuli Azindua Rasmi Mwelekeo Mpya wa Jeshi la Polisi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli ameliagiza jeshi la Polisi kutumia mbinu za kisasa katika kukabiliana...

READ MORE

Kupata Msaada wa Haraka wa Jeshi la Polisi Piga No. 111 au 112 bure!

Kutoka kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania, John Magufuli, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe....

READ MORE

JPM: CCTV zifungwe mitaani, Waliotumbuliwa na Makonda Wawajibishwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John...

READ MORE

Ijumaa Toleo Jipya lang’ara Kiluvya na ‘Shinda Nyumba’

Mika Samson (kulia) mkazi wa Kibamba nje kidogo ya jiji la Dar  akielekezwa na Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda,...

READ MORE

Diamond, Wema Vita Upya!

READ MORE

Kaza buti, lala salama!

KATIKA soka, mashabiki wanasema muda wa lala salama, yaani wakati wa mchezo kikanuni unakaribia kwisha, hivyo mwamuzi anaweza kupuliza filimbi...

READ MORE

Mama Rwakatare kufanya ibada maalum Jumapili

Stori: Mwandishi wetu, Risasi Jumamosi Dar es Salaam: Kanisa la Milima ya Moto ‘Mikocheni B Assemblies of God’ linaloongozwa na...

READ MORE

Etihad Tawi la Dar Lafuturisha baadhi ya wateja, Mawakala na Wadau

Mratibu wa Masoko na Msamizi wa Mauzo wa Shirika la Ndege la Etihad nchini Tanzania, Grace Festo Kijo akiwakaribisha wageni...

READ MORE

Kaya 100 Bagamoyo Zanufaika na Kapu la Vodacom

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, wakibeba vyakula wakati  wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula  katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo...

READ MORE

Alichokisema Askari Anayetuhumiwa Kumuua Mwangosi

 Mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Chanel Ten mkoani hapa, Daudi Mwangosi, Pacificus Simoni ametoa ushahidi wake...

READ MORE

Haya Ndiyo Majibu ya Zitto Kabwe kwa JPM

Kauli ya Rais ya Kuzuia Vyama vya Siasa Kufanya Shughuli za Siasa kwa Miaka Mitano ni Tangazo la Vita dhidi...

READ MORE

JPM Afanya Uteuzi Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Mamlaka ya Uvuvi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko kuwa Mwenyekiti wa...

READ MORE

Ubia wa TTCL na Bharti Airtel Wafikia Kikomo

Msajili wa Hazina, Laurence Mafuru (wa kwanza kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Profesa Tolly Mbwete (katikati) hati ya...

READ MORE

Shinda Nyumba: Zimebaki siku chache tu, changamkia mjengo huu!

Kushinda nyumba hii mpya yenye fanicha ndani ni rahisi sana! Nunua Gazeti la Championi, Ijumaa, Uwazi, Amani, Ijumaa Wikienda au...

READ MORE

Ijumaa Jipya Mtaani Kesho

READ MORE

Amani lafika Tandale, wasomaji wachangamkia ‘Shinda Nyumba’

Athumani Hemed (kushoto) mkazi wa Tandale sokoni  akijaza kuponi  kushiriki bahati nasibu ya Shinda Nyumba. Anayemshuhudia ni Ofisa Masoko wa...

READ MORE

Mashindano ya Kuhifadhi Quraan Tukufu Kufanyika Diamond Jubilee Jumapili

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quraan Tukufu, Sheikh Othman Ally Kaporo (katikati), akizungumza kwenye...

READ MORE

NACTE yatoa wito kwa wadau wa elimu kutoa maoni ya utendaji wake

Kaimu Katibu Mkuu wa  Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dk .Adolf Rutayuga, (Kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi...

READ MORE

Rais Kagame Kufungua Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa, Dar

Ofisa Mawasiliano Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Theresa Chilambo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar...

READ MORE

JPM awaonya wanaoendekeza siasa badala ya kazi

Rais Dkt. John Magufuli Ikulu, Dar es Salaam; MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, amekabidhi...

READ MORE

Kova aagwa, aomba kazi ya masoko polisi

Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Suleiman Kova, ameliomba jeshi hilo kumpa kitengo cha masoko ili aweze kulitangaza na kuliunganisha...

READ MORE

Barua za babake Obama zafichuliwa

Marekani Akiwa bado kijana nchini Kenya mwaka 1958, babake rais wa Marekani Barack Obama, Barack Hussein Obama, alituma barua kwa...

READ MORE