×

Kitaifa

Tahadhari Kuhusu Kuingilia au Kufuatilia Mawasiliano ya Watu

TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI KUHUSU KUINGILIA AU KUFUATILIA MAWASILIANO YA WATU *** Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za...

READ MORE

Breaking News: Watuhumiwa wa Makontena 349 Wapandishwa Kizimbani, Kisutu

WATUHUMIWA nane wa upotevu wa makontena 349 yaliyovushwa Bandarini ya Dar es Salaam bila kulipiwa kodi, miongoni mwao akiwemo Kamishna...

READ MORE

Msikilize January Makamba akitoa ufafanuzi wa picha

Mbunge wa Bumbuli, January Makamba. January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo...

READ MORE

Wakazi wa Kijitonyama Dar waanza usafi maeneo yao

Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kijitonyama Mpakani ‘B’ wakifanya usafi kwenye maeneo yao. Zoezi la kukusanya uchafu likiendelea. “Hapa...

READ MORE

Gari la Mwananchi lapata ajali mbaya Kitonga

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Gari iliyokuwa imebeba Magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti kwenda mkoani Mbeya imepata...

READ MORE

Wanafunzi wa Enaboishu kuanzisha umoja

Kutoka kushoto ni Afisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari (Maelezo), Zawadi Msalla, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Renald Shirima na...

READ MORE

Marekani kutoa Mil.17 kunufaisha wavuvi wa Ukanda wa Bahari

Fatma Sobo (katikati) akisoma taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani). Baadhi ya wafanyakazi wa wizara hiyo wakiwa kwenye mkutano huo....

READ MORE

Afisa Ardhi Morogoro Kapewa Siku 14 Za Kujieleza Kwa Nini Asifukuzwe Kazi

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Jumanne Sagini Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Jumanne Sagini ametoa siku...

READ MORE

Breaking News: Waziri Mkuu abaini upotevu wa makontena mengine 2,431

Waziri Mkuu, Kassim M. Majaliwa. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim M. Majaliwa leo amefanya tena ziara...

READ MORE

Rais Magufuli atoa siku 7 kwa wafanyabiashara wakwepa kodi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiongea na wadau wa sekta binafsi leo, Ikulu jijini Dar. Mwenyekiti...

READ MORE

‘African Women And Beyond’  Kuwawezesha Wanawake Wa Tanzania

Baadhi ya akina mama waliojiunga na taasisi hiyo pamoja na waanzilishi wa taasisi husika wakishiriki katika uzinduzi huo.Mapaparazi wakichukua matukio katika...

READ MORE

Lipumba na wafuasi wake 30 waachiwa huru

Profesa Ibrahim Lipumba akiongea jambo mahakama ya Kisutu. Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi 30 wa CUF leo wameachiwa huru na...

READ MORE

Kortini kwa kutaka kumuua Lubuva

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva. WATU wawili wakiwemo Mwanasheria na Mwalimu, wamepandishwa kizimbani...

READ MORE

Kasongo Mpinda ‘Clayton’ afariki dunia

King Kiki (kulia) akiimba sambamba na Aboubakar Kasongo Mpinda ‘Clayton’ enzi za uhai wake. Aboubakar Kasongo Mpinda ‘Clayton’ akiwa na...

READ MORE

Kasi ya Magufuli ya kupunguza matumizi yawakuna wengi Afrika

Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Kutokana na kasi ya Rais...

READ MORE

Bodi ya Filamu Nchini Yazungumzia Ukuaji Wake

Kutoka kushoto ni Ofisa Habari wa Idara ya Habari (Maelezo), Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Joyce Fisso akifuatiwa na...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa Dar atembelea Maonyesho ya Wajasiriamali  Mnazimmoja

Mkuu wa Mkoa, Sadick Mecky Said (kushoto) akiwasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar kutembelea maadhimisho ya wajasiriamali.…Akisaini kwenye kitabu...

READ MORE

Taarifa kuhusu majina sahihi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa (Pichani) anatumia majina matatu kama ifuatavyo: Kassim...

READ MORE

Afrika Kusini yaongoza kwa ufisadi Afrika

Waafrika wengi wanasema kuwa ufisadi umeongezeka katika kipindi cha miezi 12 na serikali nyingi za bara hilo zikionekana kushindwa kukomesha...

READ MORE

Etihad Lazindua Safari za Ndege kati ya Dar na Abu Dhabi

Makamu wa Rais- Mauzo ya Kimataifa wa shirika la ndege la Etihad Bw. Daniel Barranger akisalimiana na Balozi wa Umoja...

READ MORE

Basi lagongana na lori na kuua watu Singida

WATU 12 wamekufa papo hapo na wengine 18 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Taqbir kugongana na lori la...

READ MORE

Mgomo wa mabasi Mwanza abiria wateseka saa 10 stendi

Baadhi ya abiria wakisubiri usafiri bila mafanikio. Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Mwanza, Juma Kasendako akiongea na madereva wa...

READ MORE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi ashtukiza Shirika la Reli

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka akitazama majengo ya kiwanda cha kutengeneza breki za treni. Dk. Mwinjaka...

READ MORE

Mshindi wa Airtel Trace apata ujuzi mpya toka kwa Akon

Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Malya akiongea na mshindi wa Airtel Trace Music Stars Nalimi Mayunga wakati...

READ MORE

Mizengo Pinda akabidhi rasmi Ofisi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akipokea taarifa ya makabidhiano ya Ofisi ya Waziri Mkuu kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo...

READ MORE

Hapa kazi tu!

Katapila likitindua mchanga katika harakati za upanuzi huo. … likimwaga kifusi katika lori la mchanga. …likiendelea kupiga mzigo. Kufuatia agizo...

READ MORE

Breaking News: Makontena tisa yakamatwa Dar

Mfano wa makontena ytaliyokamatwa. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

TRA yakomaa na mabasi ya UDA kwa kukwepa kulipa kodi

Agizo  la Rais Dk. John Magufuli kuwabana wafanyabiashara wanaokwepa kodi nchini, limeanza kuwa mwiba baada ya mabasi ya Kampuni ya...

READ MORE

Posho za Kamati za Bunge zafutwa

Rais Dk. John Pombe Magufuli. MPANGO wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais Dk. John Magufuli, kupunguza matumizi yasiyo...

READ MORE

Hatimaye mwili wa Mawazo wazikwa Geita

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwa majonzi makubwa akiweka udongo kwanye kaburi la kamanda wake Alphonce Mawazo. Katikati ni waziri mkuu...

READ MORE

Zitto Kabwe aibua Kashfa Nzito ya Ufisadi wa trioni 1.2 Serikali ya JK

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo. SERIKALI ya Uingereza kupitia shirika lake la kuchunguza makosa ya jinai (AFO), imeibua kashfa...

READ MORE

Rungu la Magufuli, sasa kupunguza wafanyakazi mizigo Mashirika ya Umma

Msajili wa  Hazina,  Laurence Mafuru. MAMIA ya wafanyakazi katika mashirika na taasisi mbalimbali za umma zinazoendeshwa kwa hasara likiwemo Shirika...

READ MORE

Magufuli: Bilioni 4 za uhuru zijenge barabara ya Mwenge – Morocco

Barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli,...

READ MORE