×

Kitaifa

Video: Makaburi Yanafukuliwa, Nyumba Zinajengwa, Wananchi Walia

Ni kutoka Kimani mtaa wa Kinyamwezi kata ya Pugu ambapo kuna mgogoro kati ya wananchi pamoja na wananchi ambao wanadai...

READ MORE

Museveni – ”Nchi Kubwa Zinaweza Kutaka Kutushinikiza, Tusirudie Makosa”

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, leo Februari 07, 2026 amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku moja, ikiwa ni...

READ MORE

Video: Basi la Maning Nice Lagonga Lori Lindi, Laua Wawili

Watu wawili wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya basi la Kampuni ya Maning Nice lililokuwa likitokea Dar...

READ MORE

”Tuone Utu, Tukimung’unya Maneno CCM Itaondoka” – Nape – Video

Mbunge wa Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amechangia mjadala katika Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa...

READ MORE

Taska Mbogo Aibua Hoja Nzito za Kilimo na Utalii Bungeni – Video

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taska Restituta Mbogo, amechangia mjadala katika Bunge la...

READ MORE

Mtoto Darasa la 4 Afariki kwa Kuzama Mtoni Iringa – Video

Hali ya huzuni na simanzi imetanda miongoni mwa wakazi wa Mtaa wa Kitwiru, Manispaa ya Iringa, kufuatia kifo cha mtoto...

READ MORE

Wanawake 3 Waliokutwa na Bangi Wahukumiwa Miaka 30 Jela – Video

Mahakama ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mhe. Kimaro, imewahukumu kifungo cha miaka 30 jela...

READ MORE

Mzee Tifutifu Anayedai Kuwatupia Majini Simba Afunguka – Video

Mzee Athuman Mshomari almaarufu Mzee Tifutifu, ambaye anadai kuwa ni mganga wa kienyeji, amedai kuwa yeye ndiye chanzo cha matokeo...

READ MORE

Taarifa ya Polisi Kuhusu Kundi la Uasi Mwanza – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetoa wito kwa wananchi kuzipuuza taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii zenye kichwa cha...

READ MORE

Rais Samia Akizungumza Jambo na Makamu Rais wa UAE

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Fursa za Uwekezaji Tanzania Mbele ya Viongozi wa Dunia

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa hakikisho la miundombinu bora ya uwekezaji nchini kwa wawekezaji duniani, akisema Tanzania imewekeza vema...

READ MORE

”Prof Mkumbo na Mimi Tulifukuzwa CHADEMA” – Baba Levo – Video

Msikilize Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando almaarufu Baba Levo alivyowavunja mbavu wabunge wakati akisimulia jinsi yeye na Waziri Kitila...

READ MORE

Watanzania Watakiwa Kushiriki Kudhibiti Silaha – Video

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amewataka watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa...

READ MORE

Rais Samia Aanza Ziara ya Kikazi Dubai, Afanya Mazungumzo na Viongozi

Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jumanne, Februari 3 ameanza ziara ya kikazi Nchini Dubai,...

READ MORE

Rais Samia Awasili Dubai, Azungumza na Waziri wa Sheria – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al...

READ MORE

Bima ya Afya Kwa Wote Imelenga Makundi Maalum ya Kimkakati

Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amesema mpango wa Bima ya Afya kwa Wote umejikita kuyafikia makundi maalum ya kimkakati ikiwemo...

READ MORE

Mwanzilishi wa CHADEMA na GAVANA wa Kwanza BOT Afariki Dunia

Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edwin Mtei...

READ MORE

Global Publishers Tunawatakia Watanzania Krismasi Njema

Mkurugenzi Mtendaji, Uongozi na Wafanyakazi wa Global Publishers Ltd wanawatakia Watanzania kwa ujumla Krismasi Njema yenye upendo na Amani.

READ MORE

Wanafunzi 937,581 Wafaulu Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2025, Matokeo Yapo HAPA – Video

Dar es Salaam, Novemba 5, 2025 — Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Prof. Said A. Mohamed,...

READ MORE

Dar Es Salaam: Mkuu Wa Mkoa Chalamila Ahaidi Kuondoa Shida Ya Mwendokasi Kimara

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Oktoba 1, 2025 amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha...

READ MORE

Folz Awaahidi Mashabiki Raha Kesho, Kapombe Atoa Onyo

Kesho macho yote yataelekezwa kwenye Uwanja wa Taifa, ambapo watani wa jadi Simba SC na Young Africans SC watakutana katika...

READ MORE

Simbu Aandika Dhahabu ya Kwanza: Tanzania Yaingia Kwenye Historia ya Dunia

Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikikumbukwa kupitia mashujaa wake wa riadha kama Filbert Bayi, aliyewahi kuvunja rekodi ya dunia na...

READ MORE

Magu Yadhihirisha Kuelewa Ilani ya CCM 2025/2030

WANANCHI wa Magu wamemuonesha wazi Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi kuwa wanaifahamu vyema Ilani ya...

READ MORE

Boti Iliyobeba Shehena Ya Mirungi Yakamatwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kukamata boti aina ya fibre, rangi nyeupe, iliyokuwa ikisafirisha dawa za kulevya aina...

READ MORE

Rais Mwinyi: Mazingira Ya Biashara Na Uwekezaji Kuendelea Kuimarishwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa dhamira ya Serikali ya...

READ MORE

Jica Yaahidi Kuendelea Kuishika Mkono Serikali Ya Tanzania – Majaliwa

▪️JICA, Benki ya Dunia na AFDB watoa Dola za Marekani mil 516 miradi ya kilimo ▪️Washauri elekezi wawili Mjapan na...

READ MORE

Beki Wa Kazi Yanga Deni Lake Limekia Hapa

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Ibrahim Bacca deni lake la mabao...

READ MORE

BoT: Utalii Waanza  Mwaka 2025 Ukiongoza Kuleta Fedha Za Kigeni

Ripoti mpya ya Benki Kuu ya Tanzania imethibitisha kuwa sekta ya utalii (travel and tourism), pamoja na kumaliza mwaka wa...

READ MORE

TFF Yavifungia Viwanja Vitatu Vya Ligi Kuu Kwa Kutokidhi Vigezo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevifungia viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza), na Liti (Singida) kutumika kwa...

READ MORE

Yanga Na TANESCO Waligharamia Mazishi Ya Shabiki Aliyefariki Kwa Shoti Ya Umeme Uwanjani Mkapa

Shabiki wa Yanga kutoka jijini Mbeya, Herman Sungura, aliyefariki dunia Machi 8, 2025, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar...

READ MORE

Watanzania Wamheshimisha Dk. Biteko Kili Marathon Leo

Kilimanjaro, 23 Februari 2025: Wanariadha wa Kitanzania wameng’ara katika mbio za Kimataifa za Kilimanjaro mwaka huu, ambapo Hamis Misai alishinda...

READ MORE

Serikali Yaanika Mikakati ya Kukabiliana na Changamoto za Wanyamapoli Wakali

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeainisha mikakati mbalimbali ya kukabiliana na changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu katika...

READ MORE

NMB Yadhamini Mkutano Mkuu ALAT Taifa; Rais Samia Kufungua

BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. Mil. 120 kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya...

READ MORE

Hifadhi ya Taifa Saadani Yatakiwa Kuwa na Mpango Mahususi wa Maeneo ya Uwekezaji

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeielekeza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Saadani kuandaa mpango mahususi...

READ MORE

Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii Yaridhishwa na Mradi wa UVIKO-19 Pugu Kizimzumbwi

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na matumizi ya fedha za mradi wa UVIKO-19 za...

READ MORE

Halotel Yasherehekea Siku ya Wanawake Duniani Kwa Kutembelea Kituo Cha Watoto Yatima Malaika

Halotel kuonesha dhamira yao katika kujali jamii iliweza kutembelea kituo cha watoto yatima cha Malaika kilichopo Mwananyama – Mango Garden...

READ MORE

CUBA na Tanzania Kuendelea Kuimarisha Ushirikiano Katika Maeneo ya Kimkakati

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba,...

READ MORE

Absa Tanzania Yazindua Akaunti ya Kipekee ya ‘Absa She Business Account’ Kukomboa Wanawake Wajasiriamali

  Wito umetolewa kwa benki na taasisi za fedha nchini kufanya kazi kwa weledi wa hali ya juu, kuzingatia sheria,...

READ MORE

Mollel, Nkya Watikisa Michuano ya Gofu Kumuenzi Lina 

NURU Mollel wa klabu ya Arusha Gymkhana na Fadhil Nkya kutoka klabu ya Gymkhana Dar es Salaam wameibuka mabingwa katika...

READ MORE