×

Kitaifa

Letshego Yatoa Msaada wa Jezi za Michezo Shule ya Sekondari Juhudi

  Katika kuunga juhudi za serikali hususani katika sekta ya michezo  Benki ya Letshego, imekabidhi vifaa vya michezo (jezi) kwa...

READ MORE

TPB Yapata Faida ya Bilioni 21

    BENKI ya TPB imepata faida ya Shilingi bilioni 21 kabla ya kodi kwa mwaka 2020. Kiasi hicho ambacho...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International ya Singapore Kuok Khoon Hong, Ikulu...

READ MORE

NMB Yakabidhi Serikali Hundi Ya Zaidi ya Bil 21.7

Benki ya NMB imetoa gawio la Sh21.8 bilioni ikiwa ni ongezeko la asilimia 43 ya gawio la mwaka jana ambalo...

READ MORE

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Ashiriki Mkutano wa Wadau, Atoa Tamko

WADAU wa sekta binafsi pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara leo wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili mapitio ya Sera...

READ MORE

Exim Yakamilisha Ukarabati Vyoo Vya Shule Zanzibar

Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Sadifa Juma akikagua moja ya chumba cha vyoo vya Shule...

READ MORE

Herbinder Seth Atakiwa Kutokutoka Nchini Kwa Kipindi Cha Mwaka Mmoja

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kufua Umeme (IPTL), Herbinder Seth, aameachiwa huru baada ya kutakiwa kulipa fedha TSh.Bil 26.9 kama...

READ MORE

Balozi wa Marekani Amtembelea Waziri Prof. Mkenda

Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda amemwambia Balozi wa Marekani nchini Dkt. Donald Wright kuwa Wakulima wa Tanzania wanahitaji uhakika...

READ MORE

RC Morogoro Afungua Mafunzo ya Tathmini Kwa Madaktari

MKUU wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Martine Shigela amewaasa madaktari wanaohudhuria mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kufanya tathmini za ulemavu...

READ MORE

Waajiri Sekta Binafsi Sasa Kulipa Asilimia 0.6 Ya Michango ya Wafanyakazi

WAAJIRI kutoka Sekta Binafsi sasa watalipa asilimia 0.6 ya michango ya wafanyakazi wao kwenda Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi (WCF)...

READ MORE

Dkt. Ndugulile Ajionea Huduma Ya Elimu Kwa Njia Ya Mtandao

  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amejionea huduma ya elimu kwa njia ya mtandao inayotolewa...

READ MORE

Prof. Mkenda Akutana na Vigogo Wa Uwekezaji Arusha

  Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imepitisha mbinu ya kukuza uwekezaji unaolengwa kuelekea mnyororo wa maalum wa thamani hususani katika...

READ MORE

DCI Mpya Wambura Atoa Onyo Kali Kwa Wahalifu

  Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI) Camilius Wambura amesema Jeshi la Polisi halitamvumilia mtu yeyote atakayeendelea ...

READ MORE

Mahakama Yaridhia Herbinder Seth Kuletwa Kisutu Jumatatu

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia ombi la upande wa Jamhuri la kumpeleka Mkurugenzi wa Kampuni ya Kufua Umeme...

READ MORE

Waliochaguliwa JKT Watakiwa Kuripoti Makambini

  Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Brigedia Jenerali  Rajabu Mabele amewataka  vijana wote waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya...

READ MORE

Waziri Mhagama Ashiriki Mkutano wa 109 Wa Nchi Wanachama ILO

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista...

READ MORE

Somo la Elimu kwa Michezo Kufundishwa kwa Wanafunzi Wote Nchini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameelekeza somo la Elimu kwa Michezo lifundishwe kwa wanafunzi...

READ MORE

Rais Samia Amteua Mtendaji Mkuu wa NMB Kuchakata Haki za Wanawake Kiuchumi

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth...

READ MORE

RC Makalla Atoa Masaa Mwanaume Aliyemtapeli Mpenzi Wake -Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Amos Makalla umempa masaa mwanamme mmoja anayedaiwa kumdhurumu mpenzi wake kiwanja na...

READ MORE

Prof.Ndalichako Akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia

Waziri Wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, leo Juni 7, 2021 Jijini Dodoma amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa...

READ MORE

HESLB Kufungua Dirisha la Maombi ya Mikopo Ya Wanafunzi Elimu ya Juu Julai Mosi

  BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuwa dirisha la maombi ya mikopo kwa wanafunzi...

READ MORE

NMB, NHIF Kuwawezesha Wakulima Nchini Kujiunga na Bima ya Afya

Benki ya NMB na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wameingia makubaliano rasmi ya kuwawezesha wakulima walioko ndani...

READ MORE

Wanahisa wa NMB Waidhinisha Gawio la Bil 68.5 Kwa Mwaka 2020

  Katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 21 uliofanyika Juni 4, 2021, wanahisa wa benki ya NMB, waliidhinisha gawio la...

READ MORE

Serikali Yaibukia ‘Sabuni za Sumu Bongo’

JAMANI kumekucha! Ile skendo ya mjasiriamali, Andrew Mpambazi kuwa anatengeneza na kusambaza sababu za sumu imezidi kuwa nzito.   Taarifa...

READ MORE

Getere: Mabucha ya Nyama ya Ngedere Yafunguliwe

Mbunge wa Bunda Vijini Mwita Getere, ameiomba Wizara ya Maliasili na Utalii itoe kibali na ifungue mabucha ya nyama ya...

READ MORE

Miradi Yote Aliyoiacha Magufuli Inatekelezwa – Video

  SERIKALI imesema miradi yote ya kimkakati iliyoachwa na hayati Dkt. John Magufuli inaendelea kutekelezwa katika chini Rais Samia Suluhu....

READ MORE

Mwanafunzi Aliyevaa Mabango Akigomea Kuchaguliwa ECA, Ataka PCM

Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye Manispaa ya Shinyanga alizua taharuki baada...

READ MORE

Serikali Haijatoa Maamuzi Kuhusu Chanjo ya Corona – Video

SERIKALI imesema maamuzi kuhusu chanjo ya virusi vya corona hapa nchini hayajafikiwa kama baadhi ya watu wanavyodai kutokana na kauli...

READ MORE

Mafuriko Jangwani Mwisho 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Ummy Mwalimu amemuagiza Msimami wa Mradi...

READ MORE

Benki ya Exim Yaibika Kinara Uhifadhi Mazingira

Benki ya Exim imeibuka kinara wa kutunza na kuhifadhi mazingira miongoni mwa taasisi za kifedha jijini Dar es Salaam na...

READ MORE

Barabara ya Chato Kujengwa Upya

TAASISI ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita imemrejesha kujenga upya barabara ya Makurugusi kwenda Musasa wilayani Chato yenye...

READ MORE

Panya Magawa Mtegua Mabomu Astaafu

PANYA dume kutoka Tanzania, maarufu kwa jina la Magawa ambaye mwaka jana alitunukiwa nishani ya kimataifa ya dhahabu kutokana na...

READ MORE

Video: Dkt Mpango Aongoza Maadhimisho ya Siku ya Mazingira

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka wafanyabiashara hasa wa gesi ya kupikia majumbani kubuni mbinu za kuwasaidia wananchi wenye...

READ MORE

Mbunge Ataka Bunge Kujadili Mauaji ya Wivu wa Mapenzi

MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe ameomba mwongozo wa Spika wa Bunge akitaka chombo hicho cha kutunga sheria kujadili...

READ MORE

Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato Imeingiza Kiasi Gani? – Video

  MBUNGE wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka gambo ameitaka Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya ukaguzi wa Hifadhi...

READ MORE

IGP Sirro Apangua Tena Makamanda, Magiligimba Apelekwa Ilala

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro leo Juni 4,2021 amefanya mabadiliko ya Makamanda watatu wa Polisi wa...

READ MORE

Chanjo ya Covid-19 Yaruhusiwa Kuingizwa Nchini

Rais Samia Suluhu Hassan amesema leo Juni 4, 2021, balozi na taasisi za kimataifa zimeruhusiwa kuleta chanjo za #COVID19 nchini...

READ MORE

Mali Zote za Sabaya Kufaishwa? – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ambaye alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, amesomewa...

READ MORE

Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ambaye alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, amesomewa...

READ MORE

Breaking: Ole Sabaya Afikishwa Mahakamani – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa na...

READ MORE