×

Kitaifa

Waziri Mkuu Atoa Maagizo Bandari, TRA, TASAC na EGA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania, Mamlaka ya Bandari Tanzania na Mamlaka ya Serikali Mtandao kufanya kazi...

READ MORE

Jaji Imani Apendekezwa Kugombea Urais Mahakama ya Afrika

Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kutoka Tanzania Mhe. Jaji Imani Aboud amependekezwa kugombea Urais...

READ MORE

Bunge Lajadili Malori Kukwama Bandarini Dar

Bunge la Tanzania limeahirisha mjadala wa Wizara ya Afya kwa takribani nusu saa ili kujadili sakata la malori kutoshusha wala...

READ MORE

NBC Benki Yazindua Biashara Club Kigoma

BENKI ya NBC imezindua klabu ya wafanyabiashara wa benki hiyo mkoani Kigoma ikiwa ni sehemu ya mipango ya benki hiyo...

READ MORE

Polisi Dar: Usalama wa Kutosha Sikukuu ya Idd

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema limeimarisha ulinzi kuelekea Sikukuu ya Eid El Fitr sambamba na...

READ MORE

Museveni Aapishwa Kuwa Rais wa Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameapishwa kuongoza nchi hiyo kwa kipindi cha sita, miaka 35 baada ya kuchukua hatamu kama...

READ MORE

Waziri Mkuu: Wasaidieni Wabunifu Wachanga

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi na mamlaka ambazo zinashiriki kuendeleza wabunifu wachanga zihakikishe zinawawezesha kubiasharisha ubunifu na uvumbuzi wao....

READ MORE

Kamishna wa Ardhi Apiga ‘Stop’ Umilikishwaji Viwanja Kigamboni

Kamishina wa Aridhi Kanda ya  Dar es Salaam Bw. Idrisa Kayera amesimamisha zoezi la  umilikishwaji wa viwanja vya makazi vilivyopo...

READ MORE

Exim Bank Yatoa Zawadi ya Eid Kwa Watoto Yatima Dar, Mbeya, Shinyanga, Karatu

Dar es Salaam: Mei 11,2021; Benki ya Eximimetoa msaada wa vyakula na vinywaji kwenye vituo vinne  vya kulelea watoto yatima na...

READ MORE

Waziri Gwajima Kupambana na Ngo’s Korofi

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amesema Serikali haitavumilia kuona Mashirika Yasiyo ya...

READ MORE

Gwajima: Ni Ujinga Kuruhusu Taifa Kuwa Majaribio Chanjo ya Corona

Mbunge wa Kawe (CCM), Askofu Josephat Gwajima ameshauri Serikali kuwa makini na madhara yanayoweza kujitokeza kwa wananchi iwapo Taifa litaruhusu...

READ MORE

Metacha Mnata Kupewa Mkataba Mpya

KIPA namba moja wa Yanga, Metacha Mnata inaelezwa kuwa anaandaliwa mkataba mpya ili aweze kusaini dili jipya.   Nyota huyo...

READ MORE

Tanzia: RC Mstaafu wa Dar Mama Mary Chips Afariki Dunia

Familia ya Chipungahelo na Zayumba inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Mary Alice Chipungahelo (Mama Chipps) kilichotokea tarehe 09/05/2021...

READ MORE

IGP Sirro Awahakikishia Usalama Watanzania

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya usalama nchini na nchi jirani ya...

READ MORE

CCM Yamlilia Teddy Mapunda – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM ) kimemtaja marehemu, Teddy Mapunda kuwa amekuwa mdau muhimu na mshirika kinara aliyeshirikiana vyema na vyombo...

READ MORE

Simanzi! Mazishi ya Thedy Mapunda – Video

Waombolezaji mbalimbali wamejitokeza katika ibada ya mazishi na kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa Bi. Magdalena Theresia “Teddy” Hollo...

READ MORE

Watafiti ARU Wabaini Fursa Kwenye Majitaka na Kinyesi

WATAFITI wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wamebaini fursa mbalimbali zilizoko kwenye majitaka ya vyooni na kinyesi cha bindamu. Fursa hizo...

READ MORE

Waziri wa Uingereza Kutua Nchini

Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddrige anatarajiwa kuwasili nchini Mei 11, 2021 kwa ziara ya siku...

READ MORE

Semina Kubwa ya Ujasiriamali Yazinduliwa Buchosa – Video

Kampeni ya elimu kwa mjasiriamali Jimbo la Buchosa imezimduliwa rasmi leo Mei 10, 2021, katika Kata ya Nyehunge ikiwa ni...

READ MORE

Waliopata Msamaha wa Rais Wauawa

WATU wawili waliotoka gerezani hivi karibuni kwa msamaha wa Rais wameuawa baada ya kukamatwa wakidaiwa kuiba vitu mbalimbali huko Kwa...

READ MORE

Mechi ya Simba & Yanga, Serikali Yatoa Maagizo kwa Bashungwa

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa juu ya sakata...

READ MORE

Usiyoyajua Kuhusu Ndoa ya Mtanzania na Mtoto wa Nabii Joshua

JIJI la Arusha juzi lilikuwa na hekaheka kubwa ya kushuhudia ndoa ya mtoto wa Nabii wa Nigeria, Temitope Balogun Joshua...

READ MORE

Mbongo Afunga Ndoa Tatu na Mtoto wa TB Joshua

Kumbukumbu zinasema hii ndio ndoa ya kwanza ya aina yake kufungwa katika jiji la Arusha, ambayo ni ndoa ya mseto...

READ MORE

Maiti Yazikwa, Yafukuliwa na Kurudishwa Mochwari Kimyakimya

Linaweza kuwa tukio la ajabu, lakini ndio limetokea huku usiri mkubwa ukitawala. Ndugu wa familia ya marehemu Danielson Lema (72),...

READ MORE

‘Mother’s Day’ Boomplay Yafanya Jambo Hospitali Ya Mwananyamala

App ya Boomplay inayoongoza barani Afrika kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki imeadhimisha Siku ya Akina Mama (Mother’s Day)...

READ MORE

Mwanamke Azua Gumzo, Aweka Nyoka Kwenye Jeneza la Mumewe

MWANAMKE mmoja kutoka Ghana amezua hisia mseto kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana kwenye video akiweka nyoka ndani ya...

READ MORE

Kiwanda cha Kusafisha Madini cha GGR Chaanzishwa Geita

Imeelezwa kuwa kuanzishwa kwa kiwanda cha Kusafisha Madini cha Mkoani Geita kitaongeza na kuchangamsha uchumi wa mkoa na Taifa kwa...

READ MORE

NMB Yadhamini Mashindano ya Kitaifa ya sayansi, Teknolojia na Ubunifu

BENKI ya NMB imekabidhi kitita cha shilingi milioni 15 kwa ajili ya udhamini ya Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi,Teknolojia na...

READ MORE

Vodacom Yazindua Tovuti ya E-Fahamu Kwa Lengo La Kukuza Elimu Nchini

  KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imezindua Tovuti ya E-Fahamu, ambayo ina lengo la kuwasaidia watoto na walimu kupata vitabu vya...

READ MORE

Rais Samia Amzawadia Gari Mzee Mwinyi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu amemkabidhi zawadi ya gari ya kutumia katika safari zake Rais...

READ MORE

Yanayojiri Uzinduzi wa Kitabu cha Mwinyi – Video

Uzinduzi wa kitabu cha maisha binafsi ya Rais mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi umewakutanisha viongozi wastaafu na waliopo madarakani....

READ MORE

Polisi Yaanza Kutekeleza Agizo la Rais Samia

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro, ametoa muda wa mwezi mmoja kwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya...

READ MORE

Mjamzito Feki Aumbuka

  KUNA methali moja ya Kiswahili isemayo; “Hakuna anayemshinda mwanaume kama mwanamke!” Hii imedhihirika katika Soko la Memorial mjini Moshi...

READ MORE

Madiwani Mbeya Walia Uhaba wa Condom – Video

Baraza la madiwani halmashauri ya Jiji la Mbeya limehoji kukosekana kwa kondomu kwa takribani miezi minne katika kumbi za starehe,...

READ MORE

Mwalimu Adaiwa Kuua Mtoto wa Jirani

MAMA mmoja mkazi wa jijini Mwanza ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Islamic Nyasaka, Fatuma Rashadu amepata msala...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Kumuozesha Binti Yake kwa Mahari ya Ng’ombe Sita

Mkazi wa Kijiji cha Manyanda Masele Kuyela (52) anashikiliwa na jeshi polisi mkaoni shinyanga kwa tuhuma za kumwozesha binti yake...

READ MORE

Samia Awaonya Majambazi, Ampa Maagizo IGP Sirro – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amewatumia salamu wahalifu hasa wa ujambazi ambao amesema wameanza kufanya matukio hayo, amewaonya wasijaribu kupima kina...

READ MORE

Rais Samia Awaomba Radhi Wazee wa Dar kwa Kuvaa Barakoa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaomba radhi wazee wa Dar es Salaam kutokana na utaratibu...

READ MORE

Serikali Yakanusha Kuachia Wafungwa wa Kisiasa – Video

Serikali ya Tanzania imetaka kupuuzwa kwa taarifa zinazosambazwa mitandaoni na katika chombo cha habari kutoka nchi jirani ya Kenya zinazosema...

READ MORE

‘Mtumishi’ Atupwa Jela Miaka 30 Kwa Kulawiti Mtoto Kanisani

Mahakama ya Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es salaam imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Elisha Mushi (22), mkazi wa...

READ MORE