×

Magazeti

Mourinho aanza vituko, azingua kwenye ndege

LONDON,  England KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho tayari ameanza vituko ikiwa ni siku chache tu tangu aanze kazi ya...

READ MORE

Wasomaji wa Magazeti Pedwa Wang’ara na Uwazi, Leo Jijini Dar

Timu ya masoko na usambazaji iliyoongozwa na Ofisa Masoko Jimmy Haroub, leo ilitembelea mitaa mbalimbali ya jijini Dar ikiwemo Makumbusho,...

READ MORE

Nuh Mziwanda: Baby hapendi niende studio usiku

Stori: Boniphace Ngumije MBONGO Fleva anayetamba kwa Wimbo wa Jike Shupa, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amefunguka kuwa, miongoni mwa vitu...

READ MORE

Pluijm: Amissi Tambwe yuko fiti, watatukoma

Wilbert Molandi, Dar es Salaam KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshusha presha ya mechi dhidi ya Medeama...

READ MORE

Julio: Maproo Bongo ni waganga njaa

Khadija Mngwai, Dar es Salaam KOCHA Mkuu wa Mwadui FC ya mkoani Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amefunguka kuwa wachezaji wa...

READ MORE

Mourinho: Tutacheza vizuri na kutwaa makombe

KOCHA wa Manchester United, Jose mourinhho amesema hana hofu yoyote na nia yake ni kuhakikisha anatwaa makombe yote msimu huu....

READ MORE

Fergie: Patricio alikuwa bora kila mechi

Rui Patrício LONDON,  England KOCHA wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson amesema walimchagua kipa wa Ureno, Rui Patrício, kwenye...

READ MORE

Thierry Henry aachia ngazi Arsenal

LONDON, England MSHAMBULIAJI wa zamani wa Arsenal Thierry Henry ameachana na klabu hiyo baada ya kocha mkuu Arsene Wenger kumwambia...

READ MORE

Nike yatangaza mpira mpya La Liga, Premier

  LONDON, England KAMPUNI ya Nike imetangaza kuwa mpira wa Ordem 4 ndiyo utakaotumika kwenye ligi tatu kubwa barani Ulaya...

READ MORE

Odama akata kilo kumi mwilini

Na Imelda Mtema STAA wa Bongo Muvi, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ameondoa ubonge nyanya kwa kupunguza kilo kumi mwilini mwake. Kabla...

READ MORE

Johari aanika wa kumpa penzi lake

IMELDA MTEMA, Amani Dar es Salaam: Mwigizaji wa kitambo kunako Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ ameweka wazi kuwa, ni bora...

READ MORE

Risasi Jumatano: Zari anasa ujauzito!

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA RISASI JUMATANO Zari anasa ujauzito Ni miezi 8 tu tangu amzae Tiffah Familia yamshangaa Wolper nusura...

READ MORE

Mke: Mume Wangu Amenimwagia Tindikali

Speciosa Silvevesta akionesha mwili wake wenye makovu kutokana na kumwagiwa tindikali na mumewe. Na Waandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Nuh amuumbua upya Shilole

Nuh Mziwanda akiwa na mrembo anayedaiwa kufanana na Shilole. Stori: BONIPHACE NGUMIJE, WIKIENDA Dar es Salaam: Msanii anayefanya poa kwenye...

READ MORE

Vigogo Wizara ya Kilimo Wadaiwa Kutafuna Mamilioni!

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba Issa Mnally na Richard Bukos, UWAZI DAR ES SALAAM: Kimbembe Wizara...

READ MORE

Mastaa Waanika Bei Zao za Kupiga Picha za X

Stori: Mayasa Mariwata, Ijumaa DAR ES SALAAM: Dunia imekwisha!  Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa wa kike Bongo ambao wamekuwa vinara...

READ MORE

Wolper: Lazima nimzalie Harmonize

Jacqueline Wolper na Harmonize. Stori:Imelda Mtema, RISASI JUMAMOSI MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa...

READ MORE

Agizo la Magufuli Lamtumbua Muonyesha Filamu

Rais John Magufuli Stori: Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Kimenuka! Agizo la Rais John Magufuli la kuwataka watu...

READ MORE

Lulu awapa makavu mastaa wapenda kiki

Elizabeth Michael ‘Lulu’. Stori:Imelda Mtema, RISASI JUMAMOSI STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi wanapenda...

READ MORE

Baba Haji akomalia sinema za kidini

Mkongwe wa Bongo, Haji Adam ‘Baba Haji’ Stori:Mwandishi Wetu, RISASI JUMAMOSI MUIGIZAJI mkongwe Bongo, Haji Adam ‘Baba Haji’, amesema baada...

READ MORE

Jumuia ya Afrika Mashariki yavunjika baada ya miaka 10

JUMUIA ya Afrika ya Mashariki ya sasa ni marudio ya Jumuia ya Afrika Mashariki iliyoanzishwa kwa furaha mwaka 1967 na...

READ MORE

Mshindi pikipiki; tuchezeni Bahati Nasibu ushindi njenje!

        Evans William aliyeshinda pikipiki. Shinda Nyumba Droo Ndogo… Mshindi pikipiki; tuchezeni Bahati Nasibu ushindi njenje! MSHINDI wa zawadi ya...

READ MORE

Wema, Petit ndani ya bifu

Wema Sepetu. DAR ES SALAAM: Imevuja! Urafiki wa muda mrefu wa muigizaji nyota, Wema Sepetu na mshika kamera wake, Petit...

READ MORE

Kigogo amjengea mjengo Vai wa Ukweli!

Muigizaji Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ NA MWANDISHI WETU, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Licha ya madai kuwa soko la...

READ MORE

Ishu ya Udhalilishaji…Makosa 3 ya Gardner kwa Jide!

Mtangazaji Gardner G. Habash. NA OJUKU ABRAHAM GARDNER G. Habash na Judith Wambura Mbibo bado ni stori kubwa mjini, licha...

READ MORE

Magazeti ya leo kutoka Global Publishers

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP ********* JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU: KWA HABARI...

READ MORE

Afisa tarafa matatani kwa ubakaji

Binti anayedaiwa kubakwa. Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYKO PWANI: Afisa Tarafa mmoja mkoani hapa, ameingia matatani akituhumiwa kumbaka mwanafunzi wa darasa...

READ MORE

Aunt Ezekiel adaiwa kumchepuka Iyobo

Na MUSA MATEJA, Risasi MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekwaa skendo ya kudaiwa kumsaliti mpenzi...

READ MORE

Walokole Wazichapa Laivu, Kisa Penzi

Timbwili likazua balaa. Stori: Francis Godwin, UWAZI IRINGA: ‘Jaribu la mtu si kwamba kaomba, bali ni kikombe tu lazima akinywe’,...

READ MORE

Mch Afunguka Kuhubiri Juu ya Migongo ya Waumini

Mchungaji Berthania Simon akihubiri huku akiwa amepanda juu ya migongo ya waumini. Stori:  Gabriel Ng’osha, UWAZI DAR ES SALAAM: Yule...

READ MORE

Mbongo Anaswa na Unga wa Bil. 10

Herry Mussa Yangealiyenaswa na ‘unga’. Stori:  Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Hii ni funga kazi sasa! Kuna habari kwamba,...

READ MORE

Maajabu Mazishi ya Liyumba

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Joachim Liyumba enzi za uhai wake. Stori:...

READ MORE

Zari Afanyiwa Mchezo Mchafu

Mpenzi wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’. Stori: Waandishi Wetu, Wikienda DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Liyumba Azikwa na Siri ya Balali

Baadhi ya waombolezaji wakipita pembeni ya jeneza kutoa heshma za mwisho. Stori: Waandishi wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM, MOROGORO: Aliyekuwa...

READ MORE

Makonda amtumbua Asha Baraka

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda Stori: Richard Bukos, Risasi Jumamosi Dar es Salaam: Ile amri ya Mkuu...

READ MORE

Kisa Penzi la Kiba… Jokate, Diva Watifuana!

Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na mpenzi wake, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. Stori: Waandishi wetu, Risasi Jumamosi...

READ MORE

Sheikh Mkuu Akerwa Tabia za Akina Wema

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salim. Stori: Gladness Mallya, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM:  Shehe Mkuu...

READ MORE