×

Mahaba

Fanya Haya, Hisia Za Mapenzi Ziendelee!

TUNAISHI kwenye ulimwengu unaoenda kasi sana kiasi kwamba usipokuwa makini, unaweza kujikuta ukimpoteza mtu uliyempenda sana maishani kwa sababu tu...

READ MORE

Umeumizwa penzini? Chukua Siri ya Ushindi!

MAPENZI yanauma. Yanauma kwelikweli. Unapokuwa umewekeza nguvu, mwili na akili kwa mtu halafu ikatokea amekatisha safari ghafla huwa inauma.  ...

READ MORE

Hivi Ndivyo…Saluni Za Masaji Zinavyovunja Ndoa Dar Es Salaam!

MIONGONI mwa vilio vya wanandoa wengi jijini Dar, mbali na hali ngumu ya kimaisha inayosababishwa na vyuma kukaza, matatizo ya...

READ MORE

Unatamani Ndoa? Uko Tayari Kwa Mishare?

UNAPOONA bibi harusi yupo ndani ya shela, bwana harusi amepiga suti kali huwa inapendeza, unaweza kuona mambo ni rahisi tu....

READ MORE

Njia Bora Za Kuishi Bila Kugombana Na Mwenzi Wako!

SIKU hizi ugomvi kwenye mahusiano imekuwa kama ni jambo la kawaida. Watu wanagombana kwelikweli. Utakuta mtu haipiti mwezi mmoja bila...

READ MORE

Kweli Mpende Sana Lakini Weka Akiba!

MAPENZI raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo...

READ MORE

Yanayosababisha Kutokuwa Sawa Katika Tendo la Ndoa

WIKI hii mpenzi msomaji wangu tutaangalia jinsi tatizo hili la kutokuwa sawa katika tendo la ndoa linavyotokea. Tatizo hili tunaliweka...

READ MORE

Penzi Lenye Maumivu-3

Shuleni huko, Rahma hakutaka kurudi nyumbani kwani alikuwa na kazi nyingi, lakini kila siku alihakikisha anashinda shuleni hapo akimsubiri mtoto...

READ MORE

Penzi Bora Linajengwa Na Imani, Ishughulikie!

KWA mapenzi ya Mungu, tunakutana hapa kwa mara nyingine tena. Kwa ajili ya kupeana darasa la uhusiano. Kwa hakika, kupitia...

READ MORE

Ripoti Maalum Ni kweli kuna dawa za kuongeza nguvu za Kiume – 4

NI wiki ya nne tukiendelea kuwaletea mada hii ambayo wataalamu mbalimbali wa afya ya binadamu wanatuelimisha kuhusiana na matatizo ya...

READ MORE

Unatamani Ndoa? Utaikuta Na Utaichoka!

NAMSHUKURU Mungu kwa kunilinda na kunijalia afya njema na pumzi ambayo amenipa bure. Bila kukusahau wewe msomaji kwa kuendelea kuunga...

READ MORE

Ripoti Maalum: Usagaji Unavyowaathiri Wasichana Tanzania-2

WIKI iliyopita katika ripoti hii maalum tuliongelea maana nzima ya usagaji na sababu zinazopelekea mpaka wanawake wengi kujikuta wakitumbukia huko....

READ MORE

Ugonjwa Wa Kwashiorkor Na Mapafu Kwa Watoto

1. KWASHIORKOR Unyafuzi au Kwashakoo (Kwashiorkor) kama wengi walivyozoea kuuita, ni ugonjwa unaowakumba watoto wadogo, kutokana na ukosefu wa lishe...

READ MORE

Ndoa Isikufanye Uwe Na Papara

NDOA ni jambo la heri kwa kila mwanadamu hasa anapokuwa amefikia wakati wa kuolewa au kuoa, kwani kwa tamaduni za...

READ MORE

Matarajio Yanapoenda Tofauti, Migogoro Huibuka

HAKUNA siku ambayo huwa najisikia furaha kama inapofika Ijumaa, unajua kwa nini? Kwa sababu napata nafasi ya kujumuika na wewe...

READ MORE

Ushoga Unavyowaathiri Wasichana Tanzania -3

KATIKA matoleo yaliyopita Ijumaa limeweza kuzungumza na watu mbalimbali ambao kwa namna moja au nyingine wanashiriki au pamoja na wale...

READ MORE

Kufeli Kwa Figo (Kidney Failure)

KUFELI kwa figo, ni hali ambayo hutokea taratibu na ni vigumu kwa mtu wa kawaida kujua kwamba figo zake zinaelekea...

READ MORE

Shoga; Ukipendwa Hupendeki, Usipopendwa Je?

MFYUUUUU! Kwa hasira zangu nilizonazo nimeona ni heri nianze na kusonya kwanza ili angalau nipunguze jazba kidogo. Haiwezekani mwanamke umempata...

READ MORE

Ripoti Maalum: Ni Kweli Kuna Dawa Za Kuongeza Nguvu Kiume -3

MSOMAJI,bado naendelea kukufungua ufahamu kuhusu suala la tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Wiki iliyopita tuliona jinsi wataalamu walivyoelezea...

READ MORE

Umezalishwa, Kila Mtoto Na Baba Yake? Soma Hapa!

KILA kukicha unapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila hatua unayoipiga na kukutana nayo katika maisha yako ya kila siku. Shukrani...

READ MORE

Wadada wa Mjini…Eti bora Kuwa ‘Single Mother’ Halafu?

SINGLE mother ni kamsemo ambapo kadiri siku zinavyozidi kwenda kanazidi kushika hatamu. Si msemo wa asili yetu bali tumeuchukua kutoka...

READ MORE

Mbinu Za Kukabiliana Na Wivu Wa Kupitiliza Kwenye Mapenzi

WAHENGA wanao msemo wao kwamba wivu katika mapenzi ni sawa na chumvi katika mboga, bila shaka hata wewe umewahi kusikia...

READ MORE

Unategemea Akufurahishe, Unaishia Kulia? Soma Hapa-2

NI wiki nyingine ninapokukaribisha jamvini msomaji wangu, mada ya leo ni ile tuliyoanza nayo wiki iliyopita, ambapo nilikueleza kwamba kama...

READ MORE

Mafanikio Ni Kwa Kijana Na Mzee, Kwa Nini Ukate Tamaa?

AWALI ya yote niwasisitize tu kwamba, kama una jambo lolote linakusumbua kuhusu maisha, wasiliana na mimi ili niweze kukushauri. Kukumbuka...

READ MORE

Jinsi Ya Kukabiliana Na Tatizo La Kukosa Hisia Za Tendo La Ndoa -2

WIKI iliyopita nilianza kuzungumzia mada yenye kichwa cha habari kilichopo hapo juu, leo nitaendelea pale nilipoishia. Iko hivi, mtu yeyote...

READ MORE

Jinsi Ya Kujinasua Kwenye Uchumba Sugu!

  WENGI wetu tunapoingia kwenye uhusiano tunategemea kupitia hatua kadhaa kabla ya kuingia kwenye ndoa. Kuna ambao wanaamini ili uweze...

READ MORE

Ni Kweli Kuna Dawa Za Kuongeza Nguvu Za Kiume?-2

WIKI iliyopita tulieleza mambo mengi kuhusiana na tatizo la nguvu la kiume, tunaona jinsi madaktari na wataalamu wa lishe walivyojadili,...

READ MORE

Jinsi ya Kukabiliana na Tatizo la Kukosa Hisia za Tendo la Ndoa

TATIZO hili huwatokea wanaume na wanawake. Ni tatizo linaloathiri hali ya kisaikolojia na kimwili. Hamu na hisia za tendo la...

READ MORE

Wanawake Warembo Ni Tatizo? Hawafai Kuolewa?

KUNA dhana ipo hususan kwa wanaume wengi kwamba, wanawake wengi wazuri hawafai kuolewa. Wanaishibisha hoja yao kwa kutoa mifano, kwamba...

READ MORE

Ripoti Maalum Ni Kweli Kuna Dawa Za Kuongeza Nguvu Za Kiume?

UPUNGUFU wa nguvu za kiume umekua ni tatizo kubwa sana nchini, kwa wanaume walio katika ndoa na hata wale ambao...

READ MORE

Siyo Chips Mayai, Piga Msosi Huu Uwe Fiti Uwanjani -2

NI Jumamosi nyingine msomaji wangu nakukaribisha katika safu hii ya afya. Wiki iliyopita tuliona vyakula vinavyofaa kuliwa na mwanasoka wakati...

READ MORE

Mwanaume Uwe Bosi Kwa Mwanamke Unaachaje Kuwa?

KUTOKANA na ubize wa maisha, wanaume wengi sana wamekuwa wakishindwa kutimiza majukumu yao. Mwanaume anashindwa kufanya mambo yanayompasa kufanya kwa...

READ MORE

DHANA YA UCHAWI KATIKA MAPENZI-2

NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa kabisa, nakukaribisha kwa moyo mkunjufu katika ukurasa huu. Wiki iliyopita tulianza kuzungumzia...

READ MORE

Vyakula Vinavyosaidia Kuongeza Nguvu Za Kiume-2

Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo, utakubaliana na mimi kwamba, wanaume wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume...

READ MORE

Usilie Kwa Nini Huolewi, Jiulize Wanaoolewa Wakoje?

LICHA ya kwamba makubaliano ya ndoa hufikiwa na watu wawili, mwanaume na mwanamke lakini ni ukweli usiopingika kuwa mwanaume ana...

READ MORE

Asikudanganye Mtu, Hakuna Mwanamke/ Mwanaume Mbaya

KILA wiki ninakutana na wewe hapa msomaji wangu. Ni kweli unakutana na mambo mengi. Yapo mazuri na mabaya pia. Lakini...

READ MORE

Wapendanao Fanyeni Haya Muinjoi Faragha

TENDO la ndoa linaleta maana kama wanaolitenda wote watalifurahia. Baada ya tendo, kila mmoja awe amekata kiu yake. Kinyume chake,...

READ MORE

Magonjwa Ya Tetenasi Na Kisonono Kwa Watoto

KISONONO KWA WATOTO Inafahamika kwamba kisonono (gonorrhea) huwapata watu waliofanya ngono zembe lakini umewahi kusikia kwamba ugonjwa huu pia unaweza...

READ MORE

Ujue Umri wa Mwisho Kushiriki Tendo la Ndoa

WENGI huwa wanajiuliza mwanamke au mwanaume, umri wa mwisho kushiriki tendo la ndoa ni upi? Ukiwa mzee unaweza kushiriki tendo...

READ MORE

Kopa Atoa Mbinu za Mwanamke Kujikwamua

  MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii Ulipo Mwanamke Tupo (UMT). Wiki iliyopita tulikuwa naye msanii mkongwe wa filamu...

READ MORE