Kudumu kwa wapendanao katika ndoa yenye amani na furaha kwa miaka mingi si jambo rahisi. Maisha ya uhusiano huwa na...
READ MOREKARIBU jamvini mdau. Ni Jumatatu nyingine tumekutana kupeana maujanja ya mapenzi na maisha kwa jumla. Unachopaswa kujua ni kwamba kila...
READ MOREMPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo ambao...
READ MOREUSHAWAHI kukutana na mwanamke anaongea sana? Yaani yeye ni bandika bandua. Likiisha hili anaingiza hili, anajua kila kitu. Ana ujasiri...
READ MOREKUNA mambo mengi ambayo husababisha wenye uhusiano kuumia roho zao. Leo tuyayaeleza mambo hayo kama ifuatavyo: KUFICHA MAMBO Kuna...
READ MORESAFARI ya mapenzi kati ya watu wawili wanaopendana, huanza kwa mmoja kati yao, hasa mwanaume kumtamkia nia yake yule anayempenda...
READ MORENI vema kujua haya tutakayoyaainisha hapa leo. Inakadiriwa kuwa, mwanamke hupata hedhi wastani wa mara 400 katika maisha yake. Pia,...
READ MORELAITI kama kwenye dunia hii kila mmoja angejitambua, akafuata misingi sahihi ya uhusiano, basi kusingekuwa na ugomvi. Watu wangekuwa wanapishana...
READ MOREUSALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja, japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale...
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima buheri wa afya na unaendelea vyema na...
READ MOREHAKUNA muda ambao hisia za mapenzi na msisimko huwa mkubwa kama kipindi ambacho ndiyo kwanza mnaanzana. Ukiwauliza watu wengi leo...
READ MORESIKU hizi ugomvi kwenye mahusiano imekuwa kama ni jambo la kawaida. Watu wanagombana kwelikweli. Utakuta mtu haipiti mwezi mmoja bila...
READ MOREWAHENGA huwa wana misemo yao ile kwamba sijui kuolewa ni bahati, kuolewa ni tabia na mingine mingi tu. Leo nataka...
READ MOREMAPENZI yananoga wivu unapokuwa ndani yake. Ukitathimini kwa harakaharaka, unaweza kusema kama hakuna wivu, hakuna mapenzi. Inapotokea mpenzi wako, hata ufanye...
READ MORENI Jumanne nyingine tunakutana kwenye eneo letu la kupeana elimu ya uhusiano. Ulimwengu huu ni mzuri kama utampata mtu sahihi....
READ MOREMUNGU ni mwema sana. Tunakutana katika eneo letu la kuweza kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Tunajifunza, tunatafakari kwa pamoja...
READ MORENI Jumanne nyingine Mungu ametujaalia pumzi ya kuendelea kuishi. Tunakutana kwenye eneo letu la kujidai, eneo la kupeana darasa la...
READ MOREKWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila...
READ MORESIKITIKO la mahaba lashinda msiba! Umewahi kusikia maneno hayo ya wahenga? Bora usimuliwe lakini usipitie kipindi cha sikitiko la mahaba....
READ MOREHAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia...
READ MOREMwaka huu ulipanga kufanya nini na mwenzi wako? Nini ambacho hakijakamilika? Kwa sababu gani hamjakamilisha? Mkishajua wapi mmekwama, basi ni...
READ MORETUNAPOKUTANA kama hivi, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani wapo ambao muda huu wako kitandani wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali...
READ MOREUKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa kidogo ili...
READ MOREKUPITIA safu hii nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa wanawake. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo...
READ MOREJUMATANO nyingine tunakutana kwenye kilinge chetu cha kupeana mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano. Ili uishi vizuri na mwenzi wako...
READ MOREMAUMIVU katika mapenzi huwa hayazoeleki. Hata kama unajifanya wewe ni shujaa kiasi gani, inapotokea yule unayempendaye akakuumiza, akauvunja moyo wako,...
READ MOREUNAPOANZISHA uhusiano mpya, bila shaka unakuwa na matarajio makubwa ndani ya moyo wako kuhusu yale unayotarajia mwenzi wako atakufanyia au...
READ MOREHOFU kubwa anayoweza kuwa nayo mwanamke aliye katika ndoa au katika uhusiano wa kudumu, ni mumewe au mpenzi wake kumsaliti...
READ MOREKILA mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki...
READ MORERAFIKI yangu, unahitaji kuwafanya wateja wako wawe na furaha. Unahitaji kuwafanya wawe wateja wanaokuja kwako kila mara na waweze kuleta...
READ MOREKILA kukicha napata ujumbe kutoka kwa wanandoa ambao hulalamika kuwa hawawaelewi wenza wao kwani wamebadilika lakini malalamiko mengi yanaelekezwa kwenye...
READ MORENI mwaka wa 2018, tunakutana tena kupitia ukurasa huu ambao nazungumzia mambo mbalimbali yanayogusa maisha yetu ya kila siku. Ni...
READ MOREJUMATANO nyingine Mungu ametukutanisha. Kama ilivyo kawaida, hapa huwa tunajadili mambo mbalimbali yahusuyo masuala ya mahusiano. Ili uweze kuishi vizuri,...
READ MOREUSALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo...
READ MOREKATIKA mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe mapenzi kwako. Katika safu hii leo nitazungumzia...
READ MOREHAKUNA kitu kizuri kwenye uhusiano kama kujua mwenzako anapenda nini. Unapomjua mwenzako anachokipenda, itakusaidia katika suala zima la kudumisha uhusiano....
READ MOREDUNIA ya sasa mambo yamekuwa rahisi. Teknolojia imefanya vitu vingi ambavyo vilikuwa vinachukua mlolongo mrefu kutendeka kwa muda mfupi tu....
READ MOREMTU mwenye mawazo, ni yule ambaye muda wote anayatazama mambo kwa ubaya, analalamika, analaumu wengine, anapenda kuwashambulia wengine kwa kauli...
READ MOREUHUSIANO wa kimapenzi kwa vijana wengi hukumbwa na changamoto nyingi. Zipo sababu kadhaa zinazosababisha hilo, lakini kubwa zaidi ni ugeni...
READ MORERAHA ya uhusiano wa mapenzi ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka. Unapopishana na muda, unachelewesha maendeleo yako maana...
READ MORE