×

Maisha

HATA KAMA HUMWAMINI, MPE UHURU WAKE

NI Ijumaa nyingine tunapokutana, ni wajibu wetu kumshukuru Mungu kwa kutufanya tuione siku ya leo. Leo ningependa kuzungumza na wewe...

READ MORE

CHUNGA SANA, MITANDAO INAWEZA KUKUINGIZA CHAKA!

NI kona ya Boyfriend and Girlfriend kwa ajili ya vijana ambao bado wapowapo sana wakiha-ngaika huku na kule kutafuta mwenzi...

READ MORE

SHUKA LA KUAZIMA HALISTIRI BARIDI

PAMBEEEE heeeee unashangaa kumuona kuku kwa mganga umesahau kama rangi yake ndiyo imemroga! Wareeee reeee unachezea bomba wakati umevaa kijora! ...

READ MORE

JE, UMJANJA NA UNATIMIZA WAJIBU WAKO KWA MUMEO?

MPENZI msomaji wangu, naomba leo niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya wiki hii ambayo kwa kiasi kikubwa inawagusa...

READ MORE

MADHARA YA KUCHUKULIA POA TENDO LA NDOA!

MUWE wachumba, muwe ndani ya ndoa, tendo la ndoa lina umuhimu wake. Kwa namna moja au nyingine linakamilisha maana nzima...

READ MORE

NDOA SIYO NGUO, USEME UTAJARIBISHA UIACHE!

NINA kila sababu ya kumshukutu Mwenyezi Mungu kwa wema wake, kwa kunipa na kukupa nafasi wewe msomaji wangu kujumuiika nami...

READ MORE

FAHAMU MAMBO MUHIMU KUJADILIANA KABLA YA KUOANA-2

MAMBO vipi marafiki? Naamini mpo wazima kabisa. Basi tuendelee na mada yetu tuliyoanza nayo wiki iliyopita, ambapo tunaangalia mambo ya...

READ MORE

TAA YA GARI HAIFUNGWI CHUMBANI

PAMBEEEEEE shoga wanakwambia mkaa mkaa tu hata uwekwe ndani ya maji utabaki kuwa mweusi, upo? Utabaki kushangaa wenzako tunapiga hatua...

READ MORE

HEBU JITATHIMINI, UNAPENDWA AU UMEINGIA CHOO CHA KIKE

NI matumaini yangu muwazima na mko na hamu kubwa ya kujua kile ambacho nimewaandalia kwa siku ya leo. Kama kawaida...

READ MORE

HAKUNA MKAMILIFU, UNAMSAIDIAJE MWENZA WAKO KUBADILIKA ?

 DUNIA ya sasa kumpata mtu mwenye mapenzi ya dhati, mwenye moyo wenye huruma, anayejali na ambaye ana hofu ya Mungu...

READ MORE

USILALAMIKE KWA NINI HUOLEWI,HUENDA UNAJICHELEWESHA

NI Ijumaa nyingine ninapokukaribisha mpendwa msomaji wangu kwenye uku­rasa huu murua. Siku chache zilizopita, nilipata bahati ya ku­zungumza na msomaji...

READ MORE

FAHAMU MAMBO MUHIMU KUJADILIANA KABLA YA KUOANA

BOYFRIEND and Girlfriend ndiyo jina la kolamu, tukijadiliana mambo muhimu ambayo vijana walio kwenye urafiki, kabla ya kufikiria kuhusu uchumba...

READ MORE

MAJI YA BAHARI HAYAPIKIWI CHAI

HALOOOO eeeehhh! Unajifanya barafu umesahau kama unayeyuka! Wee ringia sura siye tunaringia ngozi! Shoga nashanga unalamika oooh mambo yako hayaendi...

READ MORE

MWANAUME MBAHILI KWA MPENZI WAKE ANAMAANISHA HIVI!

KATIKA ulimwengu wa sasa, wapenzi wapo wa aina tofauti. Kuna wale ambao mwanamke anafanya kazi mwanaume hana kazi, mwanaume ana...

READ MORE

JINSI YA KUMTAMBUA MWANAUME AMBAYE SI MUOAJI

ULIMWENGU wa sasa umejaa sanaa. Watu wameingiza sanaa kwenye kila eneo. Sanaa ipo hadi kwenye masuala ya uhusiano. Mtu anamfuata...

READ MORE

UNAPATA TABU SANA KWENYE MAPENZI? SOMA HAPA!

WAKATI MUNGU ni mwema, Jumapili nyingine tunakutana kwenye eneo letu la kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Nafurahi kuona mkiendelea...

READ MORE

HUSTAHILI KUTESEKA KWA AJILI YA MAPENZI , CHUKUA HATUA -2

NI WIKI nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu, wiki iliyopita tulianza kuielezea mada ya hapo juu kama inavyojieleza. Nilikusimulia kwa kifupi kuhusu...

READ MORE

MSAADA HAUNA RISITI

Shoga wakati mwingine huwa naongea sana hadi koo lanikauka, naomba kwa leo niishie hapa! Kwa wewe ambaye upo kwenye uhusiano...

READ MORE

HUSTAHILI KUTESEKA KWA AJILI YA MAPENZI, CHUKUA HATUA

NI WAKATI mwingine mzuri ninapokukaribisha mpendwa msomaji wangu na mada tutakayoijadili leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Nimekuwa nikipokea ujumbe...

READ MORE

YAJUE MAZOEA MABAYA KWENYE UHUSIANO-2

MARAFIKI leo tunamalizia mada yetu iliyoanza wiki iliyopita, msingi wa ninachokizungumza katika mada hii ni aina ya uhusiano usiofaa. Kuna...

READ MORE

MBUZI HAPEWI NYAMA

HAYA tena shoga kama nakuona vile unavyojiuliza inakuwaje gari lina sofa lakini si za mbao! Haloooo eeeeeh! Weee zubaa tu...

READ MORE

UNAVYOWEZA KUSALITIWA KWA KUTOMSIFIA MKE WAKO!

KUNA dada mmoja ameolewa na anafanya kazi benki. Dada huyu kila akitoka hujitahidi kuvaa vizuri lakini mume wake hajawahi kumwambia...

READ MORE

MAMBO 5 YA JOKATE; FUNDISHO KWA MASTAA BONGO!

MJASIRIAMALI mashuhuri nchini Marekani, Warren Buffett amewahi kusema; tofauti kati ya watu wenye mafanikio na watu wenye mafanikio zaidi ni...

READ MORE

TUMIA MAJI YA WARIDI KUMFANYA ASIISHIWE HAMU FARAGHA

WANAUME wengi, hasa waliopo kwenye ndoa, wamekuwa wakilalamikia tatizo la wake zao, kukosa hamu ya kuwa nao faragha.   Ni...

READ MORE

SADAKA HAIKOPESHWI

KAMA nakuona vile, unaringia gauni la dukani unasahau kama umevaa viatu vya mtumba, heeee heeeeiyaaa! Unalo mwaka huu shoga! Wanakwambia...

READ MORE

WEWE UKO DAR, YEYE ARUSHA, PENZI LA KWELI LITOKE WAPI?

MAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua ya kuwadatisha baadhi ya watu. Wengi wasiojua...

READ MORE

JINSI YA KUWAEPUKA MATAPELI WA MAPENZI

JUMATATU nyingine mpenzi msomaji wangu tunakutana kwenye eneo letu zuri la kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Natumai umzima wa...

READ MORE

UNATAKA KUANZISHA UHUSIANO MPYA? SOMA HAPA

 ULIMWENGU wa vijana wa sasa kumpata mwenza sahihi wa kufanya naye maisha ni nadra sana. Wengi wamegeuza suala la uhusiano...

READ MORE

ANAKUTESA KWA KUKOSA UAMINIFU? FANYA HAYA KUMDHIBITI

NIMEWAHI kueleza hapa kwamba hakuna kinachoumiza moyo kama kuishi na mpenzi asiye mwaminifu na leo nasisitiza, kama kweli unampenda hebu...

READ MORE

KWA NINI WACHUMBA WANAKUPIGA KIBUTI KILA MARA ?-2

KILA mmoja anapenda kuwa na mwenzi wa maisha yake yote. Apendwe. Ampende. Hadi kifo kitakapowatenganisha. Ni hisia stahiki kabisa kwa...

READ MORE

MGOMBA HAUZAI EMBE

PAMBEEEE shoga wanakwambia ukimuona ngedere mjini basi ujue ana mwenyewe ati! Wareee reeeeee! Maskini hana mpambe na mjini hulali njaa...

READ MORE

IJUE SIRI NA MADHARA YA WAPENZI KUPIGA PICHA ZA UTUPU !

MAPENZI ya sasa yamejaa sarakasi nyingi sana, kwa yule aliyebahatika kuingia kwenye uhusiano anatakiwa kuwa makini kuhakikisha mapenzi hayamtibulii maisha...

READ MORE

MAKOSA 3 HATARI WANAYOFANYA WANAWAKE KWA WANAUME

 JUMAMOSI nyingine tunakutana kwenye kilinge chetu kujadili yale yanayohusu uhusiano. Tunajifunza kila siku hivyo ni vyema kujifunza, kung’amua mambo kwa...

READ MORE

MKE ANAWEZA KUCHANGIA MUME AKACHEPUKA

NI Ijumaa nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, kujuzana na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi....

READ MORE

CHIPS HAZINA UKOKO

UNANISHA-NGAA wakati umes-hindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga, upo nyonyo?  ...

READ MORE

UKIMPENDA SANA MTU USIYE MUAMINI, JIANDAE KUJIUA/ KUWA KICHAA !

NI mwaka mpya na mambo mapya lakini kiukweli kwenye suala la mapenzi hakuwezi kuwa na mambo mapya. Mambo ni yaleyale...

READ MORE

MAKOSA 3 HATARI WANAYOKOSEA WANAUME KWA MWANAMKE

MUNGU ni mwema sana, ni Jumatatu nyingine tunaku­tana kwenye eneo hili maridhawa la kupeana darasa kuhusiana na masuala ya uhusiano....

READ MORE

MAMBO YA KUMFANYIA MWANAUME WAKO AWE NA FURAHA

KWA hakika Mungu ni mwema. Tunakutana tena Jumamosi nyingine kwenye kilinge chetu cha kupeana elimu ya masuala ya uhusiano. Kama...

READ MORE

MAMBO YA KUFANYA UNAPOGUNDUA MNAELEKEA MWISHO WA PENZI

HAKUNA kitu kinachoumiza moyo kama unapogundua kwamba uhusiano uliopo ndani yake, unaelekea ukingoni. Mmeishi pamoja kwa muda mrefu, mmeoneshana mapenzi...

READ MORE

JINSI YA KUJIEPUSHA NA MIGOGORO

KWENYE ndoa hizi ambazo wengi hutamani kuziingia kuna changamoto nyingi. Hii inatokana na jinsi ambavyo wanandoa wenyewe wanashindwa kubaini matatizo...

READ MORE