×

Makala

TAHADHARI YA KUCHUKUA KWA HOMA YA INI!

UGONJWA wa homa ya ini huambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini, hushambulia ini na usipodhibitiwa mapema hugeuka kuwa...

READ MORE

MSIMAMO; SILAHA KUBWA YA MAFANIKIO PENZINI

JUMATATU nyingine nzuri imewadia. Mungu ametupa upendeleo mimi na wewe kuiona siku hii. Ni vyema tumshukuru yeye kwa zawadi hii...

READ MORE

KUNA VIUMBE WA AJABU WANAOISHI ANGANI -3

NILIPOISHIA IJUMAA ILIYOPITA… Nakumbusha kuwa katika uumbaji Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Wiki kadhaa niliona ni vyema tukajifunza vitu...

READ MORE

AKILI ZA KICHAGA NDANI YA KICHWA CHA UWOYA

MACHO yake yanaweza kukubabaisha kwa jinsi yalivyo mazuri, ukamchukulia poa. Mwonekano wake wa kipekee, umbo la kike la kuvutia vinaweza...

READ MORE

DAWA KWA ANAYEUMIA KUKATALIWA !

MAPENZI ni hisia. Hisia kali za mapenzi zinaanzia moyoni. Macho yanaona, yanatamani, yanashawishika. Moyo unapokea matamanio na ushawishi wa macho....

READ MORE

USISIKILIZE WATU PEMBENI LAKINI KUWA MAKINI, LISEMWALO LIPO

UNAPOKUWA kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtu unayempenda kwa dhati, unakuwa ni kama umepigwa na upofu fulani hivi, huwezi kusikia...

READ MORE

MSIBA HAUNA VIGELEGELE

YAANI shoga yangu leo nimekaa zaidi ya nusu saa natafa­kari meseji moja tu! Hata kama wa­nawake tumeum­biwa mateso si kwa...

READ MORE

FAHAMU AINA ZA FANGASI WA KWENYE NGOZI

FANGASI wapo kila mahali, kwenye miti, mimea, mchanga, ndani majumbani mwetu na hata kwenye ngozi ya binadamu.     Kuna aina...

READ MORE

MAPENZI KUNOGA KIPINDI CHA BARIDI NI TATIZO, SH’TUKA!

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku...

READ MORE

Si kila uliyenaye mtaoana

JUMATATU nyingine tunakutana katika eneo letu la kupeana darasa la masuala ya mahusiano. Mungu ni mwema ametujalia pumzi, hakika tumshukuru....

READ MORE

KUNA VIUMBE WA AJABU WANAOISHI ANGANI -2

ILIPOISHIA IJUMAA ILIYOPITA… Kama tulivyoona Ijumaa iliyopita, wataalam wa anga wanadai kuna viumbe wa ajabu waishio angani ambao hujulikana kwa...

READ MORE

JINSI YA KUZUIA U.T.I KWA WATOTO

UGONJWA wa mfumo wa mkojo kitaalamu Urinary Tract Infection (U.T.I) umekuwa ukisumbua watu wengi. Leo tutazungumzia ugonjwa huu kwa watoto...

READ MORE

MBINU ZA WAPENDANAO KUISHI KWA FURAHA

MIGOGORO ya wapendanao kwa sasa imekuwa mingi. Ripoti mbalimbali zinaonesha kwamba kuna anguko kubwa la watu kupeana talaka, watu wanashindwa...

READ MORE

KIFO CHA MLINZI CHAIBUA UTATA!

BUKOBA: Utata! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya aliyekuwa mlinzi kwenye makampuni mbalimbali, Edward Rweyemamu Ngamera Mkazi wa Nyakanyasi, Manispaa ya...

READ MORE

CHUNGA SANA, MITANDAO INAWEZA KUKUINGIZA CHAKA -2

HAPA kwenye Boyfriend and Girlfriend ndiyo sehemu pekee ambapo vijana ambao bado hawajaingia kwenye ndoa, hupata darasa zuri la mahusiano...

READ MORE

MACHOZI! KILICHOMPATA MTOTO HUYU LAZIMA ULIE !

MACHOZI! Unajiona una matatizo? Taarifa ikufikie kuwa, humu duniani kuna watu wanateseka zaidi yako na kama ukisikia mikasa yao, lazima...

READ MORE

USIYOYAJUA KUHUSU UGONJWA WA MAFUA

UGONJWA wa mafua unaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda kazini, shuleni au kwenye shughuli mbalimbali.  Ugonjwa...

READ MORE

MCHAWI WA DEREVA BREKI

SHOGAAAAA eeehh wanak-wambia hata kizibo ni mfuniko japokuwa huwezi kufunikia sufuria, heee heeeeiyaaaa! Tangu lini kijiko cha jikoni kikaogopa moto? Unajifanya...

READ MORE

VIFO VYA WANAHABARI CHANZO CHATAJWA

MSIBA mbichi ni wa mwanahabari nguli nchini, Ephraim Samson Kibonde (47) ambaye alifariki dunia ghafla Machi 7, mwaka huu na...

READ MORE

UKIFANYA HIVI, WENYE PESA WATAKUMEGEA PENZI LAKO!

LEO nataka kuzungumzia hili suala la baadhi ya watu kuwa wabinafsi, wabahiri na wasiowajali wapenzi wao kiasi cha kusababisha mapenzi...

READ MORE

AINA TANO ZA VYAKULA HATARI!

SIKU hizi afya za wananchi zipo hatarini, kutokana na ulaji wa vyakula mbalimbali ambavyo ni hatari kiafya.     Leo tunaainisha...

READ MORE

UKITAKA KUANZISHA HUDUMA ZA ‘LAUNDRY’, FUATA HATUA HIZI RAHISI

  Udobi ni kazi ambayo imezoeleka kwamba inafanyika kikawaida kabisa. Wasichokijua wengi ni kwamba, unaweza kujikwamua kiuchumi na kupata mafanikio...

READ MORE

JINSI YA KUJINASUA KWENYE MATESO YA MAPENZI

NI Jumatatu nyingine mpenzi msomaji wangu. Mungu ametujalia uzima, kama upo na tatizo lolote basi usikate tamaa Mungu atakufanyia wepesi...

READ MORE

KUNA VIUMBE WA AJABU WANAOISHI ANGANI!

Ungana nami katika simulizi hii ya kweli inayohusu viumbe wa ajabu waishio angani. Kama ni msomaji wa vitabu vitakatifu, Mungu...

READ MORE

MAMBO YANAYOJITOKEZA MIEZI 7 MPAKA 9 YA UJAUZITO

MIEZI saba hadi tisa ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote na wakati huo...

READ MORE

KUNA FAIDA WAPENDANAO KUKWARUZANA

MUNGU ni mwema tena Jumamosi ya leo ametupa pumzi. Kwa wale wenye changamoto mbalimbali, msikate tamaa, Mungu atawatia nguvu mtarejea...

READ MORE

HATA KAMA HUMWAMINI, MPE UHURU WAKE

NI Ijumaa nyingine tunapokutana, ni wajibu wetu kumshukuru Mungu kwa kutufanya tuione siku ya leo. Leo ningependa kuzungumza na wewe...

READ MORE

CHUNGA SANA, MITANDAO INAWEZA KUKUINGIZA CHAKA!

NI kona ya Boyfriend and Girlfriend kwa ajili ya vijana ambao bado wapowapo sana wakiha-ngaika huku na kule kutafuta mwenzi...

READ MORE

WANAWAKE WATUMIKA WIZI WA BAJAJ KIMAFIA

MOROGORO: Ni hatari tupu! Hicho ndicho kinachotokea kwa sasa mjini hapa kufuatia staili mpya ya wanawake kutumika katika wizi wa...

READ MORE

MWANARIADHA ATOWEKA SIKU 240

DAR ES SALAAM: Mwanariadha maarufu ambaye alishiriki mbio za marathon mwaka 2017/18 Mtwara na kushinda, Denis Mathias (pichani) mkazi wa...

READ MORE

SHUKA LA KUAZIMA HALISTIRI BARIDI

PAMBEEEE heeeee unashangaa kumuona kuku kwa mganga umesahau kama rangi yake ndiyo imemroga! Wareeee reeee unachezea bomba wakati umevaa kijora! ...

READ MORE

JE, UMJANJA NA UNATIMIZA WAJIBU WAKO KWA MUMEO?

MPENZI msomaji wangu, naomba leo niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya wiki hii ambayo kwa kiasi kikubwa inawagusa...

READ MORE

TATIZO LA WATOTO KUKOJOA KITANDANI LINATIBIKA

TATIZO la kukojoa kitandani kwa jina la kisayansi linaitwa enuresis ambapo mtoto aliye katika umri ambao uwezo wa kuzuia mkojo...

READ MORE

MADHARA YA KUCHUKULIA POA TENDO LA NDOA!

MUWE wachumba, muwe ndani ya ndoa, tendo la ndoa lina umuhimu wake. Kwa namna moja au nyingine linakamilisha maana nzima...

READ MORE

KUTOKWA NA MAJIMAJI, MUWASHO UKENI (VAGINAL DISCHARGE)

NI tatizo linalowapata zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa ingawa katika hali isiyo ya kawaida inaweza kuwatokea watoto ambao...

READ MORE

NDOA SIYO NGUO, USEME UTAJARIBISHA UIACHE!

NINA kila sababu ya kumshukutu Mwenyezi Mungu kwa wema wake, kwa kunipa na kukupa nafasi wewe msomaji wangu kujumuiika nami...

READ MORE

HEAVY DUTY RANGES: JIKO LINALOTUMIA UMEME NA GESI KWA PAMOJA – VIDEO

UKIWAULIZA watu wengi, kama wamewahi kuona jiko la gesi, bila shaka jibu litakuwa ni ndiyo. Ukiwauliza pia watu wengi kama...

READ MORE

FAHAMU MAMBO MUHIMU KUJADILIANA KABLA YA KUOANA-2

MAMBO vipi marafiki? Naamini mpo wazima kabisa. Basi tuendelee na mada yetu tuliyoanza nayo wiki iliyopita, ambapo tunaangalia mambo ya...

READ MORE

TAA YA GARI HAIFUNGWI CHUMBANI

PAMBEEEEEE shoga wanakwambia mkaa mkaa tu hata uwekwe ndani ya maji utabaki kuwa mweusi, upo? Utabaki kushangaa wenzako tunapiga hatua...

READ MORE

HEBU JITATHIMINI, UNAPENDWA AU UMEINGIA CHOO CHA KIKE

NI matumaini yangu muwazima na mko na hamu kubwa ya kujua kile ambacho nimewaandalia kwa siku ya leo. Kama kawaida...

READ MORE