KWA kawaida mwanzo wa uhusiano, huba na kila aina ya manjonjo kwenye mapenzi hutawala. Huwa na vitu vingi sana vya...
READ MOREHUU ni uwanja wa boyfriend and girlfriend ambao hutoa mwanga kwa wasichana na wavulana walio kwenye uhusiano na ambao wanatarajia...
READ MORESHOGAA eeeeh kwanza una kifua? Nisije sema neno hapa ukadondoka kwa kukosa pumzi bureee! Heee heeeiyaa wanakwambia kigodoro hakina muziki...
READ MOREKWA wale walio katika mapenzi matamu na ya kweli watakubaliana na mimi kuwa mapenzi yenye amani na masikilizano ni kama...
READ MOREJUMATATU nyingine tunamshukuru Mungu kwa kuiona siku mpya ya leo! Kama ilivyo ada, tunakutana hapa kupaena darasa la mahusiano. Ndugu...
READ MOREU HALI gani mpenzi msomaji wangu wa safu hii. Karibu tena kwenye eneo lako hili la kujidai ambalo linayaweka sawa...
READ MOREKUWA na mume au mke bora ni matokeo ya kuwa katika uchumba ulio bora na sahihi. Hakuna kitu kinachokuja kwa...
READ MOREMAPAFU ndio kiungo kinacho-tegemewa sana katika mwili kama utafanya mazingatio maana ubongo ukikosa oksijeni ndani ya dakika 5 kwenda juu...
READ MOREHALOOOO eeehhh…vijana wa leo wanakwambia ukitaka kuona raha ya pombe povu lake na mjini hakuna mtoto mdogo ati ukikaa baa,...
READ MOREUGONJWA wa mawe kwenye figo siyo mgeni miongoni mwa watu hivi sasa. Hata hivyo, katika siku za hivi karibuni, ukubwa...
READ MOREKAULI mbili za viongozi wa Serikali, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila na Waziri wa Mambo ya Ndani ya...
READ MOREPRESHA ya kupanda ndio maarufu duniani lakini ipo presha ya kushuka ambayo nayo ni hatari. Hypotension ndio jina linalotumika kuelezea...
READ MOREWATAALAM wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa, unapokuwa katika uhusiano na mtu uliyetokea kumpenda sana, usimkabidhi moyo wako wote kwanza. ...
READ MOREWANAWAKE inawabidi kujichunguza kila siku ya maisha yao maeneo yao ya uzazi na matiti, vile vile kuichunguza nguo ya ndani...
READ MOREKUBORESHA MAPENZI! NI Jumamosi nyingine tunakutana kupeana elimu ya mahusiano. Dunia ya sasa usipokubali kujifunza utapitwa na mengi. Ni...
READ MOREWAPENDWA wasomaji wangu, leo tunaendelea na mada yetu ambapo tunaingia katika sehemu ya mwisho. Wakati fulani unaweza kukuta watu mtaani...
READ MOREJE! Mungu mwenye upendo anawezaje kuruhusu mateso ya namna hii kuendelea katika ulimwengu aliouumba? Ndivyo unavyoweza kujiuliza baada ya kusoma...
READ MOREILIPOISHIA IJUMAA ILIYOPITA… Wiki iliyopita nilizungumzia eneo hatari linaloaminika kuwa ni makao ya Aliens au makao makuu ya shetani hapa...
READ MORETATIZO la mabadiliko yasiyo ya kawaida katika mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na wale...
READ MOREKUPATA mwenzi bora wa maisha siyo mchezo, lazima ubongo wako ufanye kazi sawasawa ili uweze kugundua kwamba mpenzi uliyenaye anafaa...
READ MORESHOGA shangaa-shangaa mjini hapa, kama ni msimu embe subiri mwisho wa mwaka ndiyo hizooo zaja, uongo? Ukitaka kujifunza mbio wanasema...
READ MOREIDADI kubwa ya watu inasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri bila kujali jinsia na umri. Watu wengi wanaamini...
READ MOREJAMBO la kufurahisha ni kwamba, ukifungua ukurasa huu, unakuwa na uhakika wa kuongeza kitu kipya katika maisha yako ya kimapenzi....
READ MOREHALOOOOO eeeh shoga yangu mwenzako namshukuru Jalali kwa kunijalia uzima ulioniwezesha kuonana nawe katika uga wetu huu tunaozungumzia ishu za...
READ MOREUNAPOKUWA umeingia kwenye ndoa na mwanamke, utambue ana wanaume wengi wanaomtaka lakini huenda anawakatalia kwa kuwa yuko na wewe. ...
READ MORENI Jumatatu nyingine njema, Mungu ametupa tuweze kujidaidai hapa duniani. Ni vyema kumshukuru na kuendelea kumsifu yeye siku zote za...
READ MORENI Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye ukurasa huu mzuri. Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea na majukumu yako vizuri. Siku...
READ MOREWEWE msomaji wa Boyfriend and Girlfriend ni kiungo muhimu sana katika maisha yangu. Hebu fikiria, vipi kama nitaandika tu halafu...
READ MOREHAYA jamani nimekuja miye mwenye maneno ya shombo, eti sina tofauti na harufu ya nguru, sina siri kama kitanda cha...
READ MORELEO tutaangalia mambo ambayo wewe unaweza kuyaona ni madogo madogo lakini hakika yanaweza kuivunja ndoa yako kama siyo kuiweka matatani....
READ MORENILIPOISHIA IJUMAA ILIYOPITA… Wiki iliyopita tuliona jinsi ambavyo wapo wataalam wa anga wanadai Aliens wako mbali kimaendeleo ukilinganisha na binadamu...
READ MOREUKIAMBIWA mambo aliyoyafanya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Urban Mwegelo tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo, miezi minane...
READ MOREWANAOUCHEZEA muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara. ...
READ MOREUKIINGIA katika Mtandao wa Google na kuandika jina la Flora Lauwo, utapata maelezo mengi, lakini zaidi utamuona kwenye kusaidia jamii...
READ MOREALIJULIKANA kama Jokate Mwegelo aliyeibuliwa na Miss Tanzania mwaka 2006 ambapo alichukua namba 2 akitokea Kanda ya Temeke. Baada ya...
READ MOREJUMAMOSI nyingine Mungu amenijalia afya njema. Tunakutana tena kwenye uwanja wa mahaba, kupeana mambo mbalimbali yanayoweza kutusaidia katika mahusiano. Kizazi...
READ MOREKATIKA safari ya mapenzi ya watu wawili wanaopendana, lazima kuna milima na mabonde. Wakati mwingine, changamoto zinazoibuka, zinakuwa ni ndogo...
READ MORETUPO kwenye sehemu ya mwisho ya mada yetu, tukiangalia vitu ambavyo huwavutia zaidi wasichana. Lengo la mada hii ni kuwasaidia...
READ MOREPAMBEEE shoga wanakwambia ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze na siku hizi mwanaume hasifiwi kuvaa bali pochi, upo nyonyo?...
READ MOREHAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia...
READ MORE