×

Michezo

Waandaaji Kili Marathon Waonya Kuhusu Uchelewaji Kuchukua Namba

WAANDAAJI wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon wamewakumbusha washiriki kuzingatia muda uliotolewa wa kutoa namba za kukimbia huku zoezi...

READ MORE

Mayele Azawadidwa Ng’ombe Morogoro

MMOJA wa mashabiki wa Yanga, mwenye asili ya Kimasai anaefahamika kwa jina la Mauya mkazi wa Dakawa, amemzawadia ng’ombe mzima...

READ MORE

Feisal Akiri Kufunga Bao la Mkono

KIUNGO mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amekiri kuwa bao alilofunga leo Jumatano, Februari 23, 2022 dhidi...

READ MORE

Kisa Waarabu, Matajiri Waongezea Mkwanja Simba

AWALI uongozi wa Simba uliwatangazia wachezaji kuwapa bonasi ya dola 100,000 (Sh mil 231) katika kila mechi watakayoshinda, lakini kutokana...

READ MORE

Yanga Yatafuna Miwa ya Mtibwa Manungu

VINARA wa ligi kuu ya NBC Yanga leo imemaliza mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo kwa ushindi wa mabao 2-0...

READ MORE

Chama: Simba Fanyeni Hivi Kuiua Berkane

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amewaibia siri nyota wenzake wa klabu hiyo wakati wakijiandaa kucheza na RS Berkane akiwataka kuwa...

READ MORE

Dodoma Jiji Yavunja Mkataba na Kocha Wao Makata

TAARIFA rasmi kutoka kwenye klabu ya Dodoma Jiji, imethibitisha kumfungashia virago, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbwana Makata kutokana na...

READ MORE

Waziri Ndumbaro Kuinadi Tanzania Katika Maonesho Makubwa Ya Expo 2020 Dubai

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Damas Ndumbaro amesema Serikali imejipanga kutumia Maonesho ya Dubai EXPO 2020 kuinadi Tanzania Kwa...

READ MORE

Nabi Awabadilishia Mbinu Mtibwa Manungu

MECHI ya kisasi! Ndivyo utakavyosema katika kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaozikutanisha Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga utakaopigwa leo...

READ MORE

Jinsi Nilivyoshinda KIKUBWA Kwa Mara Ya Pili Betpawa

Naitwa Martin, mjasiriamali, mkulima na mshindi MKUBWA wa betPawa mara 2. Nilibashiria TSh.500 kwenye mechi 8 sare na nikashinda TSh....

READ MORE

Kocha Berkane Apata Mchecheto Kucheza na Simba

BAADA ya kuzitazama rekodi zake anapocheza naSimba, Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge, amekirikukutana na upinzani mkali dhidi ya...

READ MORE

Yanga SC: Manungu Sio Tatizo Kwetu

HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari waYanga,amesema kuwa Uwanjawa Manungu ambaounatarajiwa kutumika leo kwamchezo wao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar kwao...

READ MORE

Adebayor Akubali Kusaini Simba

WAKATI Simba SC  ikiambulia pointi moja mbele ya US Gendarmerie juzi Jumapili, ilifanya umafia kwa kuzungumza na wakala wa kiungo...

READ MORE

Pablo: Wachezaji walikuwa wanashindwa kupumua

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco Martin raia wa Hispania, amefunguka kuwa wachezaji wake walikutana na hali ngumu wakiwa Niger...

READ MORE

Fei Toto apewa kazi maalum Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amepanga kumtumia kiungo wake, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kama njia rahisi ya kupata ushindi...

READ MORE

Mkwasa: Bado hatupo sawa kisaikolojia

L ICHA ya kikosi chake kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Prisons, Kocha Mkuu Ruvu Shooting, Charles...

READ MORE

Simba Haizuiliki CAF

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah Muhene ‘Try Again’ amesema kwa mikakati ya usiri kambini, umoja na...

READ MORE

Mke Bilionea Msuya Alivyokiri Kumuua Wifi

Mke wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, Miriam Mrita ameeleza sababu na namna alivyohusika na...

READ MORE

Mayele: Hao Mtibwa Sugar Waje

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, ameapa kuipambania Yanga katika mchezo unaofuata wa ligi kuudhidi ya Mtibwa Sugar kwa kuhakikisha timu...

READ MORE

Chama Awapa Simba Mbinu za CAF

UNAAMBIWA Simba hawajataka kumuacha nchini kiungo wao mshambuliaji, Clatous Chama, wakiwa na sababu zao ambazo zimesababisha wasafiri naye licha ya...

READ MORE

Kiungo Mahiri Yanga Yamkuta Mazito

KIUNGO mshambuliaji kipenzi cha Kocha Mkuu, Nasrredine Nabi, Mkongomani Jesus Moloko, ametakiwa kukaa nje ya uwanja kwa siku 45, baada...

READ MORE

Marioo rasmi ni Mwananchi, Aachia ‘Yanga Tamu’ -Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo ametangaza rasmi kuwa shabiki wa Yanga. Utakumbuka Marioo alikuwa Simba na mara kadhaa...

READ MORE

Arteta Ampa Tano Pepe

BOSI wa Arsenal, Mikel Arteta, amefunguka kuwa, nyota wake Nicolas Pepe amebadilika na anaamini atakuwa mchezaji muhimu kikosini katika kusaka...

READ MORE

Klopp Amsifu Mo Salah Kwa Mabao 150

JURGEN Klopp amekiri kuwa hakuna aliyetarajia kuwa Mo Salah atakuwa gwiji wa kufunga mabao Liverpool haraka namna hiyo kufuatia Mmisri...

READ MORE

Brook Amchapa Amir Khan Kwa TKO

BONDIA Kell Brook ameshinda pambano lake dhidi ya Amir Khan baada ya mwamuzi kuingilia kati katika raundi ya sita kufuatia...

READ MORE

Yanga Yashusha bei za Jezi, Yatamba Kuibamiza Mtibwa

KLABU ya Yanga imepunguza bei ya jezi zake ili kuwapa nafasi mashabiki wake kununua jezi za timu yao kwa bei...

READ MORE

ASFC: Simba Kuivaa Pamba, Yanga Dhidi ya Geita

DROO ya mechi za kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) hatua ya robo fainali imefanyika leo Februari 21, ambapo...

READ MORE

Mtibwa Yaahidi Kuitibulia Yanga

UONGOZI wa Mtibwa Sugar, umebainisha kuwa, kikosi chao kipo tayari kuvunja rekodi ya Yanga ya kutopoteza mchezo hata mmoja kwenye...

READ MORE

Mourinho Aiponda PSG vs Madrid

JOSE Mourinho, Kocha wa AS Roma, amesema hakufurahishwa na mchezao kati ya PSG dhidi ya Real Madrid, huku akidai kwamba...

READ MORE

Yanga Ina Presha ya Ubingwa

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuna presha kubwa katika kusaka ushindi uwanjani ambao utawapa ubingwa kutokana na kila...

READ MORE

Sakho, Banda Wampa Jeuri Pablo Simba

 KUREJEA kwa Pape Ousmane Sakho ambaye aliumia katika mchezo dhidi ya ASEC Mimosas na kuimarika kwa kiwango cha winga Peter...

READ MORE

Kumbe Azam Fc Bado Sana

AZAM inakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara lakini kocha wake, Abdi Hamid Moalin, amesema bado hajaipata...

READ MORE

John Bocco Awatuliza Wanasimba

JOHN Bocco, Nahodha wa Simba, amesema hawatawaangusha Watanzania kwenye mashindano ya kimataifakwa kuwa wapo vizuri na watapambana bila kuchoka. Simba...

READ MORE

Mayele Apewa Mbinu Mpya Yanga

KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi raia...

READ MORE

Vigogo Simba Wapandia Dau Pointi Sita CAF

SIMBA SC wakiwa wanashuka uwanjani usiku wa leo kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Gendarmerie ya...

READ MORE

Utoaji wa Namba Kilimanjaro Marathon Waanza kwa Kishindo

MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam walijitokeza katika viwanja vya Mlimani City mwishoni mwa wiki kuchukua namba...

READ MORE

Chico, Moloko Wamvurugia Nabi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amesema kuwa kukosekana kwa wachezaji wake zaidi ya saba katika kikosi chake, kunamvurugia mipango...

READ MORE

Conte: Nyota Tuliowasajili Januari Hamna Kitu

KOCHA Antonio Conte amedai kuwa sera ya usajili ya Tottenham inadhoofisha kikosi, huku akiweka wazi kuwa wachezaji waliowasajili wakati wa...

READ MORE

Deo Kanda Ruksa Kuivaa Yanga

MTIBWA Sugar imethibitisha kuwa muda wowote kuanzia sasa, itaanza kumtumia winga wao raia wa DR Congo, Deo Kanda baada ya...

READ MORE

Taylor, Mahrez Watarajia Kumpata Mtoto

MWANAMITINDO Taylor Ward amefichua kuwa anatarajia mtoto na kiungo nyota wa Manchester City, Riyad Mahrez hivi karibuni alitupia picha wakiwa...

READ MORE