×

Michezo

Chama Arejea Simba SC

Baada ya sintofahamu ya muda mrefu , hatimaye kiungo wa Kimataifa wa Zambia, Clatous Chota Chama amewasili Nchini kujiunga na...

READ MORE

Pablo Aichimba Mkwara Azam: Tunakwenda Kubadili Historia

Kocha Mkuu wa Wekundu wa Msimbazi, Pablo Franco, amesema kuwa wanakwenda kubadili historia ya kufanikiwa kutinga Fainali ya Michuano ya...

READ MORE

Kipa Azam Asajiliwa kwa Milioni 600 Moldova

Mlinda mlango wa zamani wa klabu ya Azam FC, Razak Abalora anakaribia kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya FC...

READ MORE

Yanga Yaipelekea Mziki Mnene Coastal Union

KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Kikosi cha...

READ MORE

Fainali Mapinduzi Cup: Mashabiki Wafurika Zenji

Mashabiki wa soka visiwani Zanzibar wamejitokeza kwa wingi mapema asubuhi kuwahi tiketi kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Kombe...

READ MORE

Alikiba Kukiwasha Leo Fainali Mapinduzi Cup

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba kesho Alhamisi anatarajiwa kutumbuiza kwenye fainali za Kombe la Mapinduzi zitakazoanza saa 2:15...

READ MORE

Simba Wataja Siku ya Kumpokea Chama

UONGOZI wa Simba SC, umepanga kumtambulisha Clatous Chama siku ya mwisho kabla ya usajili wa dirisha dogo haujafungwa Januari 15,...

READ MORE

Rekodi, Kisasi Mapinduzi Cup Simba dhidi ya Azam

USIKU wa leo Alhamisi saa 2:15 usiku, Uwanja wa Aman uliopo hapa Unguja, Zanzibar, utashuhudiwa mchezo mmoja wa fainali ya...

READ MORE

Video: Simba Wataja Siku Ya Kumtambulisha Chama – Krosi Dongo

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Chelsea Yaichapa Tottenham na Kutinga Fainali ya Carabao

Timu ya Chelsea imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya kombe la Carabao baada ya kuichapa Tottenham Hotspur bao 1-0 katika...

READ MORE

Inter Milan Waichapa Juventus na Kutwaa Ubingwa Supercopa

Mabingwa wa Seria A , Inter Milan wamefanikiwa kutwaa taji la Supercopa Italian baada ya kuizaba Juventus 2-1 usiku wa...

READ MORE

Real Madrid Yaitungua Barcelona na Kutinga Fainali

Real Madrid imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Supercopa baada ya kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya mahasimu wao...

READ MORE

Refa Azua Gumzo AFCON

Mwamuzi kutoka nchini Zambia Janny Sikazwe amezua gumzo kwenye michuano ya AFCON inayoendelea kutimua vumbi huko Cameroon wakati wa mchezo...

READ MORE

Mnigeria, Simba Imeisha Hiyo

HATIMAYE Simba imefikia makubaliano mazuri na kiungo mkabaji raia wa Nigeria, Udoh Etop David na kupewa mkataba wa miaka miwili...

READ MORE

Azam FC: Tunawafunga Simba Kesho Mapinduzi

BAADA ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa penalti 9-8 dhidi ya Yanga katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la...

READ MORE

Mashabiki Simba Wamvaa Mayele

MASHABIKI wanaodhaniwa kuwa ni wa Simba jana walijitokeza kwa wingi Bandari ya Dar es Salaam kuwapokea watani zao wa jadi,...

READ MORE

Ahmed: Azam Anakufa, Simba Hatufiki Penati – Video

GLOBAL TV imefanya mahojiano na Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, kuelekea fainali ya kombe la mapinduzi dhidi...

READ MORE

Yanga Yampa Ulaji Kocha Azam

MTENDAJI Mkuu waAzam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’, amesema kuwa kwa sasa hawana mpango wakuachana na kocha wao wa muda, Msomalia,Abdihamid...

READ MORE

Denis Nkane Yamemkuta Yanga, Nje Mwezi

KIUNGO Mshambuliaji waYanga, Denis Nkane atakuwa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja kutokanana kusumbuliwa na Kinena. Nkane alisajiliwa na Yanga...

READ MORE

Mtanzania Kutua Barcelona

NYOTA mwenye asili ya Tanzania, Akram Afif ametajwa kuwa kwenye orodha ya wachezaji ambao kocha wa Barcelona, Xavier Hernandez amepanga...

READ MORE

Mabadiliko Ratiba Ligi Kuu ya NBC 2021/22

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko machache kwenye ratiba ya Ligi Na ya NBC yakiathiri tarehe za michezo...

READ MORE

Live: Sakho Mfalme Mpya Simba Awapoteza Bwalya, Morrison, Yanga Yafanya Umafia Kwa Mnigeria…….

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Yanga Warejea Dar Wakitokea Zanzibar (Picha +Video)

BAADA ya kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi jana Januari, 10,2022 leo wamewasili Dar wakitokea Zanzibar.   Yanga iliyokuwa inatetea...

READ MORE

Bosi Yanga: Phiri ni Suala la Muda tu

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela amefunguka kuwa suala la mshambuliaji wa Zanaco, Moses Phiri kujiunga na timu hiyo kwa...

READ MORE

Pablo Ampigia Saluti Mnigeria

IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, muda wowote atawaambia mabosi wa timu hiyo wampe mkataba kiungo mkabaji...

READ MORE

Kocha Simba Awakomalia Mastaa Simba

KOCHA Pablo Franco amegundua kuna tatizo kubwa kwa wachezaji wake ndani ya kikosi cha Simba kushindwa kutumia vema mipira ya...

READ MORE

Nkane Awekwa Chini ya Uangalizi Maalum Yanga

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Denis Nkane ni kama ameanza vibaya ndani ya timu hiyo baadaya mapema tu kupata uvimbe...

READ MORE

Fainali ya Kisasi Mapinduzi ni Azam vs Simba

HII ni fainali ya kisasi ikiwa kutanisha Simba dhidi ya Azam, katika mchezo utakaopigwa kesho kutwa Alhamisi kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Kibwana: Bado Sijafikia Kiwango Ninachokitaka

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Kibwana Shomari amesema kuwa bado hajafikia kiwango ambacho anakitaka kwa sasa jambo...

READ MORE

Video: Sakho Atuma Salamu, Kisa Simba Manara Ashindwa Kujizuia | Krosi Dongo

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Big Matches Kurindima Viwanjani!Bashiri Na Nyumba Ya Mabingwa, Meridianbet

Burudani ya soka la Afrika inaendelea. AFCON 2022, Nusu fainali ya EFL Cup sambamba na Super Cup nchini Hispania kutoa...

READ MORE

Azam Yatinga Fainali Mapinduzi Cup, Yanga Yalala Yoo!

Matajiri wa Jiji Azam FC, wamefanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya michuano ya Mapinduzi Cup 2022 wakimuondosha bingwa mtetezi Yanga....

READ MORE

Bwalya: Tunazidi Kuingia Kwenye Mfumo wa Kocha

RALLY Bwalya, kiungo wa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco amesema kuwa bado wanaendelea kuingia kwenye mfumo...

READ MORE

Pablo Apangua Kikosi Simba SC

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Crispin Ngushi amesema ataitumia timu hiyo kama daraja la kwenda kucheza soka la kulipwa nje. Ngushi...

READ MORE

Nusu Fainali Mapinduzi, ni Vita ya Kisasi

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi sasa imeingia hatua ya nusu fainali, ambapo timu nne zote kutoka Tanzania Bara zimefanikiwa kufuzu...

READ MORE

Kaze awafungia full mziki Azam FC

KOCHA Msaidizi wa Yanga Mrundi, Cedric Kaze amepanga kukitumia kikosi chake chote cha kwanza katika mchezo wao dhidi ya Azam...

READ MORE

Kocha Simba: Nilijua Nitawafunga Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba Queens, Sebastian Nkoma, amefunguka kuwa kwa upande wake alikuwa anatambua ni lazima atawafunga wapinzani wake, Yanga...

READ MORE

Kapombe: Tunaitaka Fainali Mapinduzi

BEKI wa kulia wa Simba, Shomari Kapombe, amefunguka kuwa wanataka kushinda mchezo wao wa nusu fainali wa Kombe la Mapinduzi...

READ MORE

Live: Dabi Ya Kariakoo Yanukia Zanzibar, Pablo Atamba Kubeba Ubingwa | Krosi Dongo

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Chama Alivyowapa Presha Mashabiki Wa Simba, Ahmed Ally Atoa Majibu-Video

GLOBAL TV imefanya mahojiano na afisa habari mpya wa Simba, Ahmed Ally, kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu klabu yao ikiwemo...

READ MORE