×

Michezo

Pablo: Tumefuata Ubingwa Mapinduzi

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco raia wa Hispania amefichua kuwa hawajaenda kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi kama washiriki...

READ MORE

Aucho na Mayele Kuwakosa Taifa Jang’ombe Leo

MASTAA wa Yanga, Khalidi Aucho na Fiston Mayele, hawatakuwa sehemu ya mchezo wa leo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya...

READ MORE

Yanga Wazindua Kadi Wanachama za Kidigitali – Video

Rasmi Klabu ya Yanga leo Januari 5, 2022 wamesaini mkataba wa makubaliano na Kampuni za KILINET na N-Cards kwa ajili...

READ MORE

Carabao Cup, Bundesliga na Serie A Kuendelea Wiki Hii

Ni utamaduni, mwezi Januari huwa na michezo mingi. 2022 ni muendelezo wa burudani kwenye ulimwengu wa soka. Nusu fainali ya...

READ MORE

Nigeria Yafanya Mabadiliko AFCON 2021

SIKU tano kabla ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika yanayotarajiwa kufanyika Cameroon kuanzia Januari 9 Nigeria imelazimika kufanya...

READ MORE

Pablo Awaweka Kitimoto Bwalya, Morrison Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco ameweka wazi kuwa haridhishwi na namna ambavyo mastaa wa kikosi hicho wamekuwa wakishindwa kutumia...

READ MORE

Familia Yamuondoa Mayele Yanga

  MSHAMBULIAJI tegemeo katika kikosi cha Yanga Mkongomani, Fiston Mayele jana asubuhi alirejea nyumbani kwao, DR Congo kwa ajili ya...

READ MORE

Simba: Tunawavua Yanga Ubingwa Mapinduzi

KUELEKEA mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi rasmi kesho Jumanne, uongozi wa Simba umetamba kuwa kikosi chao...

READ MORE

Yanga Yamalizana na Ngushi wa Mbeya Kwanza

CRISPIN Ngushi, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza sasa rasmi ni mali ya Yanga. Nyota huyo ndani ya Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Tembo Warriors Waitwa Uturuki

MCHEZAJI wa timu ya taifa ya soka la wenye ulemavu, Tembo Warriors, Frank Ngailo ‘Mbappe’ anatarajiwa kwenda Uturuki kufanya majaribio...

READ MORE

Kashfa ya Ngono Yamuibua Samuel Eto’o

Samuel Eto’o amewasimamisha kazi Ofisa wa Benchi la Ufundi la timu ya Taifa ya Cameroon ‘Indomitable Lions’, Ferdinand Makota kwa...

READ MORE

Kocha Pitso Ashtakiwa

Makamu wa Rais wa Al Merreikh, Adel Abugreisha amesema kuwa kitendo cha kocha wa Al Ahly inayoshiriki mashindano ya klabu...

READ MORE

Rangnick: Nilimuomba Cavani Asiondoke, Nitamtumia

c Kocha wa mpito wa Manchester United Ralf Rangnick amemuomba mshambuliaji Edinson Cavani kusalia ndani ya viunga vya Old Trafford...

READ MORE

Mchezaji Al Ahly Afariki Dunia kwa Sumu

MSHAMBULIAJI wa zamani wa vilabu vya Africa Sports, Esperance na Al Ahly, Oussou Konan amefariki Dunia akiwa na umri wa...

READ MORE

Ahmed Ally Awashukuru Mashabiki Simba

OFISA Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amewashukuru mashabiki wa klabu hiyo kwa mapokezi mazuri waliomuonyesha mara baada ya kutangazwa...

READ MORE

Yanga SC Kuwafuata Taifa Jang’ombe Leo

KLABU ya Yanga inatarajia kusafiri leo Jumanne kuelekea Zanzibar kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi huku mchezo wao wa kwanza...

READ MORE

Mkataba wa Mshery Kufuru Tupu Yanga

KATI ya wachezaji wapya wa Yanga waliosajiliwa katika dirisha dogo, basi mkataba wa kipa wa zamani wa Mtibwa Sugar, Abdoultwalib...

READ MORE

Shiboub Aanza Kazi Simba

KIUNGO raia wa Sudan, Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman ametambulishwa rasmi ndani ya Kikosi cha Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu...

READ MORE

Man United Yachezea Kichapo Nyumbani

Manchester United imekubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya Wolves katika mchezo wa Ligi Kuu England mtanange uliopigwa dimba la...

READ MORE

Simba Yazindua Jezi Mpya Tena

KLABU ya Simba wamezindua jezi zao mpya leo Jumatatu, Januari 3, 2022, kuelekea mchezo wao katika Michuano ya Mapinduzi Cup....

READ MORE

Kauli ya Ahmed Ally Baada ya Kupata Shavu Simba

Ahmed Ally, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Simba SC amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kupata...

READ MORE

Simba Waizidi Ujanja Yanga, Kumalizana na Bonge la Beki

SIMBA muda wowote watakamilisha usajili wa beki wa kati wa Biashara United, Abdoulmajid Mangalo katika usajili huu wa dirisha dogo...

READ MORE

Try Again: Simba Itaitikisa Afrika

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try again’, amesema mipango ya Simba kwa sasa ni kutawala soka...

READ MORE

Mane, Mendi Warejea Kwenye AFCON

Nyota wa kikosi cha Liverpool Sadio Mane na mlinda lango namba moja wa Chelsea Eduardo Mendy wamesafiri pamoja kurejea nyumbani...

READ MORE

Nkane Kumng’oa Kaseke Yanga

Kiungo Mkongwe Deusi Kaseke huenda akaguswa na maamuzi ya Benchi la Ufundi la Young Africans ya kumtoa kwa mkopo mmoja...

READ MORE

Simba Yashusha Mashine Mbili

SIMBA sasa ni wazi imeamua kujibu mapigo ya watani zao Klabu ya Yanga kwenye suala la usajili mara baada ya...

READ MORE

Ahmed Ally Afisa Habari Mpya wa Simba

  KLABU ya Simba imemtangaza Ahmed Ally kuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, kabla ya kutangazwa kuwa Afisa...

READ MORE

Newcastle Wamtaka Aubameyang

Klabu ya Newcastle United wametuma maombi kwenda Arsenal ili kuipata saini ya Mshambuliaji wa klabu hiyo, Pierre-Emerick Aubameyang, 32, katika...

READ MORE

Roman Reigns Akutwa na Corona

Bingwa wa Mkanda wa World Wrestling Entertainment (WWE)Universal Championship, Roman Reigns amekutwa na maambukizi ya UVIKO-19 hivyo kuondolewa kwenye game...

READ MORE

Simba Yaachana na Nyoni, Yashusha Jembe Jipya

UNAAMBIWA Simba wamekuja na staili ya kata mti panda mti, hii ni baada ya kuchukua maamuzi ya kuachana na kiungo...

READ MORE

Wachezaji Maarufu wa Soka Bongo, Nani Aliyewaroga?

TUMEKUWA tukiona wasanii wa Tanzania wakisaini dili kubwa na kampuni mbalimbali ya kuwa mabalozi wa kampuni husika na kujiingizia kipato...

READ MORE

Mbeya City Wamfuata Kabwili

UKISEMA wa nini wenzako wanajiuliza watampata lini. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Mbeya City ambapo inaelezwa kuwa imepeleka ofa ya kumsajili...

READ MORE

Yacouba Aanza Tizi Yanga Kurejea Uwanjani

NI habari njema kwa mashabiki wa Yanga baada ya kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Yacouba Songne raia wa Burkina Faso...

READ MORE

Saido Njiani Kusepa Yanga

IMEFAHAMIKA kuwa nyota Mrundi wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, yupo njiani kuondoka ndani ya kikosi hichobaada ya kupata ofa kadhaa...

READ MORE

Yanga Yatozwa Faini ya Mil. 1

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania Bara TBLP katika kikao chake cha Desemba  30, 2021 ilipitia mwenendo...

READ MORE

Pablo Ataja Sababu za Ajibu Kuondoka Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco ameweka wazi kuwa sababu kubwa ya timu hiyo kuachana na baadhi yamastaa akiwemo kiungo,...

READ MORE

Simba SC v Azam FC Mwendo wa Heshima, Ajibu Out

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anawaheshimu wapinzani wake Azam FC ambao atakutana nao Uwanja wa Mkapa leo...

READ MORE

Mukoko: Napitia Magumu Yanga

KIUNGO nyota wa Yanga kwa msimu uliopita, Mukoko Tonombe ameweka wazi kuwa anapitia magumu ndani yatimu hiyo kwa sasa baada...

READ MORE

Chama, Simba Mambo Safi

AMINI usiamini, sasa ni wazi kuwa zile kelele juu ya usajili wa kiungo mshambuliaji wa RS Berkane, Clatous Chama, zimeisha...

READ MORE

Kisa Manula, Shabiki Apigwa Faini ya Elfu 20 Simba

KATIKA hali isiyotarajiwa, kwenye mazoezi ya Simba, kocha mpya wa makipa wa timu hiyo raia wa Afrika Kusini, Tyron Damos,...

READ MORE