×

Michezo

Aucho, Diarra Warudishwa Fasta Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amecharuka kwa kuwataka wachezaji waliokuwepo katika majukumu ya timu zao za timu za...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS  https://apple.co/38HjiCx...

READ MORE

Ndemla Umelikung’uta Vumbi la Mabenchi

HATIMAYE yale niliyoyapigia kelele kwa muda mwingi sana nimeyaona yakitimia na sasa unaweza ukawa ni wakati wa utekelezaji na mafunzo...

READ MORE

Taifa Stars Yaitungua Madagascar 3-2

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imefanikiwa kuondoka na pointi tatu mbele ya Timu ya Taifa ya Madagascar katika...

READ MORE

Yanga Yafungukia Pengo la Litombo na Aucho

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, ameweka wazi kuwa kukosekana kwa baadhi ya nyota wa kikosi hicho ambao wapo kwenye...

READ MORE

Nabi Aanzisha Vita ya Makambo, Mayele Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi ni kama amechochea vita ya namba kwa washambuliaji wake Wakongomani, Fiston Mayele na...

READ MORE

Simba SC Yawaficha Mastaa Wawili Wapya

  IMEFICHUKA! Kuwa uongozi wa Simba umewaficha mastaa wawili wazawa waliowasajili ambao ni, Kibu Denis na Jeremiah Kisubi ambapo tayari...

READ MORE

Manara Awaomba Radhi Yanga ‘Niliteleza’ – Video

MSEMAJI wa Yanga, Haji Manara leo Jumanne, tarehe 7 Septemba 2021 amewaomba radhi wanachama na mashabiki wa timu hiyo kwani...

READ MORE

Majina 31 Wachezaji wa Simba Yaliyotumwa CAF

KLABU ya Simba SC imewasilisha majina ya wachezaji 31 waliosajiliwa kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu wa 2021/2022...

READ MORE

Majina Wachezaji wa Yanga Yaliyotumwa CAF

KLABU ya Yanga SC imewasilisha majina ya wachezaji 28 waliosajiliwa kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu wa 2021/2022...

READ MORE

Simba Day: Simba Kukipiga na TP Mazembe kwa Mkapa

  KATIKA kuadhimisha kilele cha Tamasha la Simba Day mwaka huu Klabu ya Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa Kimataifa wa...

READ MORE

Siku 10 Za Michezo Ya Kimataifa Kutamatika Wiki Hii

Safari ya siku 10 za michezo ya kimataifa zinamalizika wiki hii. Walioweza kukusanya pointi wamefanya hivyo, waliopoteza nafasi wamepoteza lakini...

READ MORE

Taifa Stars Mguu Sawa Kuivaa Madagascar

BAADA ya kumalizana na DR Congo kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia uliochezwa Uwanja wa TP Mazembe, Septemba 2...

READ MORE

Panga Lingine Linapita Yanga

UPO uwezekano mkubwa wa panga lingine likapita kwa viongozi wa Yanga mara baada ya mchakato wa mabadiliko ya klabu kukamilika...

READ MORE

Simba SC Yavuna Bilioni 1.5 Kwenye Jezi

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mauzo ya jezi zao za msimu ujao wa 2021/22, yameandika historia mpya katika biashara...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS  https://apple.co/38HjiCx Android  http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE

Majaliwa Awapa Shavu Wachezaji Saba

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa amechagua vijana saba kutoka kwenye mashindano ya...

READ MORE

Jeshi la kuwaua Wanigeria hili hapa

YANGA ipo katika maandalizi ya mwisho ya mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers...

READ MORE

Fountain Gate Princess Wamuunga Mkono Rais Samia

  KLABU ya Fountain Gate Princess imefanikiwa kutimiza lengo la kucheza mchezo wa kirafiki na Gairo Veterans, ikiwa ni katika...

READ MORE

AzamFC Warejea Nchini

KIKOSI cha Azam FC kilichokwenda nchini Zambia kwa ajili ya maandalizi ya ligi msimu ujao kimerejea leo nchini. Azam iliweka...

READ MORE

Gomes Awapa Mtihani Mastaa Wake

SIRI imefichuka kuwa kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes ndiye ameutaka uongozi wa timu hiyo kumtafutia timu kubwa hapa Afrika...

READ MORE

Aucho Aupiga Mwingi Uganda, Yanga Wapagawa

PAMOJA viongozi wengi wa Yanga, kutojua zaidi uwezo wa kiungo wao mpya raia wa Uganda, Khalid Aucho, mmoja wa Wajumbe...

READ MORE

Shikalo, Sheva Waipa KMC Jeuri ya Ubingwa

  BAADA ya kukamilisha usajili na kuwatangaza nyota Miraji Athumani ‘Sheva’ na Faroukh Shikalo, Uongozi wa KMC umeweka wazi kuwa...

READ MORE

Iddi Pialali Apigwa TKO Uturuki

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Idd Pialali amepoteza pambano la ubingwa wa UBO dhidi ya Arvi Avci kwa TKO...

READ MORE

Ratiba Ligi Kuu Bara leo

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imeweka wazi kuwa tayari imekamilisha uandaaji wa ratiba ya michezo ya Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Lukaku Amvulia Kofia Ronaldo

MSHAMBULIAJI  hatari wa Chelsea, anayewika kwenye timu yake ya Taifa ya Ubelgiji, Romelu Lukaku mwenye umri wa miaka 28, amemvulia...

READ MORE

Hatimaye Okwi Atangaza Kurejea Simba SC

MSHAMBULIAJI na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Uganda (Cranes), Emmanuel Okwi, amesema anaamini ipo siku atarejea kwa mara nyingine...

READ MORE

Nabi Atoa Agizo Zito kwa Diarra, Aucho

WAKATI Klabu ya Yanga jana ikicheza mechi nyingine ya ndani ya mazoezi dhidi ya Pan African SC jana, kujiwinda na...

READ MORE

Bondia Mwakinyo Apanda Ubora Duniani

BONDIA Mtanzania Hythani Hamza Halfan ama maarufu kama Hassan Mwakinyo wa uzito wa Super Welter amepanda kutoka nafasi ya 24...

READ MORE

Mwanyiko Awashukuru Mashabiki, Atuma Ujumbe

  BONDIA HASSAN Mwakinyo, ametoa shukuran kwa watu mbalimbali kwa ushirikiano ambao wamemuonesha katika maandalizi ya pambano lake na Julius...

READ MORE

GSM Yaweka Mzigo wa Maana Yanga

KATIKA kuhakikisha Yanga wanafanya vyema katika michuano ya kimataifa, uongozi wa timu hiyo kwa kushirikiana na wadhamini wao Kampuni ya...

READ MORE

Senzo Aichimba Mkwara Mzito Simba

BAADA ya kutangazwa kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mazingiza amechimba mkwara mzito kuwa ni lazima kikosi hicho kifanye...

READ MORE

Azam Iko Fiti Kuelekea Ligi Kuu, Kimataifa

KOCHA mkuu wa Azam, George Lwandamina ameweka wazi kuwa maandalizi yao ya kabla ya msimu ‘Pre-season’ nchini Zambia, yamekuwa na...

READ MORE

Nabi Aiweka Kiporo Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amefunguka kuwa kwa sasa haufikirii kabisa mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya...

READ MORE

Khalid Aucho Kimeeleweka CAF

BAADA ya sintofahamu kuhusu usajili wa kiungo Khalid Aucho, uongozi wa Yanga umesema kuwa ushakamilisha kila kitu juu ya kiungo...

READ MORE

Nabi Amkabidhi Jukumu Zito Fei Toto

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nassredine Nabi, amempa majukumu mazito kiungo mshambuliaji wake Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa kumtaka kuongeza...

READ MORE

Baba: Samatta Umri Umekuwa Tatizo

BABA mzazi wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, mzee Ally Samatta amefichua kuwa moja ya sababu inayopelekea kijana...

READ MORE

Sakata la Kagere Kusepa Simba Lipo Hivi

IMEKWISHA hiyo! Ndivyo utakavyoweza kusema sasa rasmi mshambuliaji wa Simba Mnyarwanda, Meddie Kagere ataendelea kusalia katika klabu hiyo kwa msimu...

READ MORE

Kwa Yanga hii, Mtapigwa Nyingi Sana!

YANGA juzi ilitangaza kamati mpya ya mashindano ambayo inaongozwa na matajiri, watoto wa mjini waliowahi kuipa makombe saba Yanga kabla...

READ MORE

Ruvu Shooting: Hatutafanya Makosa

UONGOZI wa Ruvu Shooting umebainisha kwamba utasajili watu wa kazi kwa ajili ya msimu wa 2021/22 ili kuepuka makosa ambayo...

READ MORE