×

Michezo

Breaking: Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Tanzania Waongezwa

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amethibitisha kuwa vilabu vya Tanzania vitaruhusiwa kusajili wachezaji 12 kutoka nje...

READ MORE

Nandy Afunguka “Sijaachana na Billnass” -Video

 Sexy lady kunako Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amefunguka ishu ya kuachana na mpenzi wake msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Ligi Kuu England Moto Kuwaka Leo na Kesho

PAMOJA na Ligi Kuu England kutarajiwa kuendelea leo kwa michezo kadhaa, mashabiki wanasubiri kwa hamu mchezo mkali wa kesho. Kesho...

READ MORE

Rio: Chelsea Wataisumbua Man City

NAHODHA wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, amesema kuwa Chelsea watawasumbua Man City kwenye ubingwa msimu huu. Chelsea walifanikiwa...

READ MORE

Arsenal Waanza kwa Kichapo

Akiwa ugenini, Arsenal anachezea kichapo cha goli 2-0 dhidi ya Brentford. Washika Bunduki wa jiji la London wanaanza msibu kwa...

READ MORE

Yanga Yapangwa na Rivers United ya Nigeria

DROO ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2021/2022 ambayo imetoka leo inaziweka Simba na Yanga katika nafasi nzuri ya...

READ MORE

Yanga Yatambulisha Majembe Mawili, Yupo Mrithi Wa Kisinda

UONGOZI wa Yanga leo Agosti 13 umewatambulisha nyota wao wawili ambao watakuwa ndani ya kikoisi hicho kwa msimu wa 2021/22....

READ MORE

Endesha Toyota RAV4 Katika Msimu Muu Mpya na betPawa

betPawa inatoa nafasi kwa wateja wote kuanza msimu mpya wa Ligi kuu ya  Uingereza wakiwa na gari mpya Mtanzania mmoja...

READ MORE

Mwanafyale, Mchapeni Nusura Wazichape Kavukavu Msamvu

MABONDIA Danny Mwanafyale na Joseph Mchapeni nusura jana wazichape kavukavu kabla ya kupanda ulingoni leo Jumamosi kwenye pambano Face Off...

READ MORE

Manara Afunguka Baada Ya Chama Kuondoka Simba

BAADA ya Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga kuthibitisha timu hiyo kumuuza mchezaji wake, Cloutus Chama kwa miamba ya soka...

READ MORE

Metacha: Ilikuwa Lazima Niondoke Yanga

ALIYEKUWA mlinda Mlango wa Yanga, Metacha Mnata amefunguka kuwa ilikuwa ni lazima kuachana na kikosi hicho, kwa kuwa huo ndio...

READ MORE

Manara Avuruga Mashabiki Unguja

BAADHI ya mashabiki wa mpira wa miguu Unguja wamesema msimu wa 2021-2022 wa Ligi Kuu Bara hautakuwa na msisimko mkubwa...

READ MORE

Mukoko Tonombe Kuendelea Kubaki Yanga

UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mkabaji wa Yanga, Mukoko Tonombe kuendelea kuichezea timu hiyo katika msimu ujao. Hiyo ikiwa ni...

READ MORE

Ramos: Messi Anaweza Kuishi Kwangu

BEKI wa Paris Saint-Germain, Sergio Ramos amemwambia mchezaji mpya wa klabu hiyo, Lionel Messi anaweza kwenda kuishi nyumbani kwake yeye...

READ MORE

Gomes Ashusha Mbadala wa Chama Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes ameagiza haraka aletewe kiungo mchezeshaji wa kati mwenye uwezo wa kutengeneza nafasi ‘asisti’...

READ MORE

Biashara United Yamaliza Biashara na Majembe ya Kazi

BIASHARA United wanaopenda kujiita Wanajeshi wa Mpakani wameanza kazi ya kutambulisha majembe mapya kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22....

READ MORE

Ibenge Afunguka Dili la Kisinda Kutua Morocco

HATIMAYE Kocha wa RS Berkane ya nchini Morocco, Frolent Ibenge amefunguka juu ya dili la winga wa Yanga, Tuisila Kisinda...

READ MORE

Azam FC Mzigoni Leo

KIKOSI cha AZAM FC leo Jumatano, Agosti 11, 2021, itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Big Bullets ya...

READ MORE

PSG Bado Wanamuwinda Pogba

PARIS Saint-Germain bado wanamtazama kwa ukaribu nyota wa Manchester United, Paul Pogba kwa ajili ya kukamilisha usajili wake. Kwa mujibu...

READ MORE

Bwalya Afungukia Ofa ya Waarabu

KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Rally Bwalya amefunguka kuwa bado hajapewa taarifa yoyote ya kuhitajika na wababe wa soka...

READ MORE

Pluijm Afunguka Kuwapeleka Yanga FIFA

ALIYEKUWA Kocha wa Yanga, Mholanzi Hans Van Der Pluijm amethibitisha kuwa kuna uwezekano mkubwa akaifungulia mashitaka klabu ya Yanga kwa...

READ MORE

KMKM Wafungashiwa Virago Kagame Cup

WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Kagame Cup 2021, KMKM safari imewakuta kwa kushindwa kutinga hatua ya fainali. Katika mchezo...

READ MORE

Kesi ya Sabaya: Shahidi Asema Alimpokea Diwani Akivuja Damu

Dkt. Ngiana Mtui (28), shahidi wa 10 wa Jamhuri katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa mkuu wa...

READ MORE

Mshahara wa Banda Simba Kufuru

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba raia wa Malawi, Peter Banda, ameingia kwenye rekodi ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa kikosini hapo...

READ MORE

Aucho Achota Mil 115 Yanga, Mchongo Mzima Upo Hapa

IMEFAHAMIKA kuwa, Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji wa zamani wa El Makkasa ya nchini Misri, Mganda, Khalid Aucho kwa...

READ MORE

Simba Wasepa Kwenda Morocco Bila Luis Miquissone – (Picha +Video)

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo kimekwea pipa kuelekea nchini Morocco.   Mabingwa hao wa Ligi...

READ MORE

Simba Wakwea Pipa Morocco Pre-Season

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Jumanne, Agosti 10, 2021 kimekwea pipa kuelekea nchini Morocco kwa...

READ MORE

Messi Akwea Pipa Kumalizana na PSG

USAJILI: Jorge, baba wa mshambuliaji nyota Argentina na Barcelona, leo Jumanne, Agosti 10, 2021, ameviambia vyombo vya habari nchini Hispania...

READ MORE

Huyu Ndo Mbadala wa Tusila Yanga

TAARIFA kutoka nchini Burkina Faso zinasema kuwa, Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, @yangasc wametua katika Klabu...

READ MORE

Messi Atua Ufaransa, Kusaini Miaka Miwili PSG

ALIYEKUWA staa wa Barcelona, Lionel Messi amekubali kusaini mkataba wa miaka 2️⃣ na PSG ya Ufaransa 🇫🇷 kikiwa na kipengele...

READ MORE

Djuma Ataja Siku ya Kutua Yanga

WACHEZAJI wapya wa Yanga, Fiston Mayele na Shabani Djuma, wanatarajiwa kutua mapema wiki hii tayari kwa ajili ya kujiunga na...

READ MORE

Fraga, Aucho Wawavuruga Mabosi Simba

KIUNGO wa zamani wa Simba Mbrazili, Gerson Fraga Vieira amewagawa mabosi wa timu hiyo waliokuwa kwenye mipango ya kumrudisha kiungo...

READ MORE

Litombo Aaga FAR Rabbat

IMEFAHAMIKA kuwa Simba imekamilisha usajili wa beki wa beki wa FAR Rabbat ya nchini Morocco, Bangala Litombo atakayekuja kuchukua nafasi...

READ MORE

Mhilu: Nitawashangaza Wengi

YUSUF Mhilu, ingizo jipya ndani ya Simba akitokea Klabu ya Kagera Sugar amesema kuwa atawashangaza wengi ambao hawampi nafasi ya...

READ MORE

Jina la Messi Latajwa PSG

MSHAMBULIAJI bora wa muda wote ndani ya Barcelona, Lionel Messi amesema kuwa hakuhitaji kuondoka ndani ya Barcelona huku akibainisha kwamba...

READ MORE

Mugalu Aingia Anga za RS Berkane ya Morocco

IMEELEZWA kuwa mshambuliaji wa Simba, Chris Mugalu yupo kwenye rada za Klabu ya RS Berkane ya Morocco ambayo inafundishwa na...

READ MORE

Metacha, Shikhalo Watemwa Yanga

Klabu ya Soka ya Yanga SC. imethibitisha kuachana na magolikipa wake wawili Metacha Mnata na Farouk Shikhalo baada ya kupokea...

READ MORE

Rasmi: Aucho Mali ya Yanga

UONGOZI wa Yanga leo Agosti 9 umemtangaza nyota mpya Khalid Aucho, winga kutoka nchini Uganda. Nyota huyo alishuka Tanzania usiku...

READ MORE

Mbeya City Yaingia Chimbo Kumsaka Mbadala wa Kibu

WAKATI ikielezwa kuwa tayari Kibu Dennis amemalizana na Simba kwa ajili ya msimu ujao uongozi wa timu hiyo umeweka wazi...

READ MORE

Ambundo Atulizapresha Yanga SC

LICHA ya kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Kagame, kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Dickson Ambundo amewashusha presha Wanayanga kwa...

READ MORE