×

Michezo

Pacha wa Manara azua taharuki uwanjani

DUNIANI wawili, hilo lilionekana dhahiri kwa shabiki wa Yanga ambaye alikuwa anafanana kila kitu na msemaji wa Simba Haji Manara....

READ MORE

Shabiki Simba Avuliwa Nguo Zote

ALMANUSRA atolewe roho jamaa mmoja aliyetambulika kwa jina la Juma aliyedaiwa kuwa ni shabiki wa Simba baada ya kutokea uwanjani...

READ MORE

Shabiki Atoa Laki Mbili Atafutiwe Mzee Mpili

KAMA masihara vile lakini huo ndio ukweli, baada ya shabiki mmoja mkazi wa Kigoma aliyejitambulisha kwa jina la Ma Beatrice...

READ MORE

Simba Yatwaa Ubingwa wa Shirikisho, Ikiipiga Yanga 1-0

KIGOMA is Red! Baada ya Simba kuwabamiza Watani zao wa Jadi Yanga kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa Azam Sports...

READ MORE

Video: Simba Yaifunga Yanga Fainali Kigoma Bao 1-0

SIMBA bingwa Azam Sports FederationCup msimu wa 2020/21. Ni baada ya kuichapa Yanga 1-0 kwenye mchezo wa fainali uliomalizika hivi...

READ MORE

Kigoma: Mzee Aliyetoka Arusha Hadi Kigoma Kwa Baiskeli Atabiri -Video

 Katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Simba dhidi ya Yanga inayotarajiwa kupigwa...

READ MORE

Majembe Mapya Yanga Yafungukia Fainali ASFC

MAJEMBE mapya ya Yanga, mshambuliaji Fiston Mayele na beki wa kulia, Shabani Djuma, wamefunguka kuwa wataushuhudia mchezo wa fainali ya...

READ MORE

Huku Makambo, Kule Kazadi Kitawaka Ligi Kuu

KWA namna kikosi cha Yanga kinavyosuka kuelekea msimu ujao wa 2021/22, ni wazi wapinzani hawatoki salama kila wakiingiza mguu uwanjani...

READ MORE

Tanzania U-23 Yafuzu Nusu Fainali Cecafa

Timu ya Taifa ya Tanzania kwa vijana wenye umri chini ya miaka 23 (U-23) imefuzu kwa hatua ya nusu fainali...

READ MORE

Video: Kocha, Tshabalala Wazungumza – “Hatuna Presha”

 KUELEKEA Mtanange wa Simba vs Yanga, wa fainali ya Kombe la FA, kocha wa Simba, Didier Gomes Dar Rosa,...

READ MORE

Yanga Yatua Kwa Kiungo wa Misri

IMETHIBITISHWA kuwa uongozi wa Yanga upo kwenye mazungumzo na kiungo wa kimataifa wa Ghana anayecheza soka la kulipwa kwenye Klabu...

READ MORE

Mwamuzi Simba vs Yanga ni Faida Kwa Simba

MWAMUZI wa mtanange wa Yanga dhidi ya Simba kwenye mchezo wa fainali ya michuano ya Shirikisho la Azam (ASFC), Ahmed...

READ MORE

Simba Watoa Tamko Ugomvi wa Manara, Barbara

BAADA ya Ofisa wa Habari wa Simba, Haji Sunday Manara, kuweka hadharani chuki anazodaiwa kufanyiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO)...

READ MORE

Yanga SC: Tunaenda Kigoma Kuchukua Kombe

KATIKA kuelekea fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), uongozi wa Yanga kupitia kwa Ofisa Habari wake, Hassan...

READ MORE

Nahodha wa Ghana Andre Ayew kujiunga na Al Sadd SC ya Qatar

Nahodha wa timu ya soka ya Ghana Andre Andreyeye yuko tayari kusaini makubaliano na klabu ya Qatar Al Sadd SC....

READ MORE

Kumbe! Manara Anatembea Na Mkataba Wa Milioni 4 -Video

HANS Poppe Zakaria, Mwanachama wa Klabu ya Simba amesema kuwa hajapendezwa na tabia ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara...

READ MORE

Michezo Ya Olympics Kuendelea Wikiendi Hii

Mashindano ya Olympics 2020 yanaendelea kuchanja mbuga kunako soka la wanawake na wanaume kwa vijana U23, hatua ya makundi inaendelea...

READ MORE

Paul Pogba na PSG Mambo Yamenoga

WAKALA wa staa wa Manchester United, Paul Pogba, Mino Raiola yupo kwenye majadiliano na Paris Saint-Germain kwa ajili ya usajili...

READ MORE

Chilala Ampoteza Zombi Ifakara

  BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Charles Chilala wa Ifakara amefanikiwa kumkalisha vibaya kwa pointi mpinzani wake Innocent Kanuti...

READ MORE

Kisa corona, Kambi ya Arsenal Marekani Yayeyuka

ARSENAL imelazimika kujitoa katika michuano ya Florida Cup ambayo itafanyika nchini Marekani, baada ya baadhi ya watu ambao walitakiwa kwenye...

READ MORE

Magazeti ya Leo Jumatano, Julai 23, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 23, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Fiston Mayele: Pale Yanga SC Kuna Mtu ana Namba Yangu

MSHAMBULIAJI wa DR Congo, Fiston Mayele, amesema kuwa ana uhakika wa kupata nafasi ya kuanza katika kikosi cha Yanga katika...

READ MORE

Mo Dewji Akutana na Mastaa Simba

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, mapema jana aliwaandalia chakula cha mchana wachezaji na viongozi wa...

READ MORE

Shangazi Ateuliwa Simba Sc

Mbunge wa Jimbo la Mlalo, Rashid Abdallah Shangazi ambaye ni Mwenyekiti wa Tawi la Simba Bungeni maarufu ‘Wekundu wa Mjengoni’...

READ MORE

Yanga Waomba Mwamuzi Abadilishwe

Uongozi wa Klabu ya Yanga Sports Club, umesema umeshtushwa na na chaguo la Mwamuzi Ahmed Arajiga kuchezesha mchezo wa Fainali...

READ MORE

Azam FC Wasajili Kiungo Kutoka Zambia

Azam FC  leo Julai 22, 2021 wameingia mkataba wa miaka miwili na kiungo mkabaji wa kimataifa wa Zambia, Paul Katema,...

READ MORE

Saido Afungukia Hatma Yake Yanga

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ amewaondoa hofu Wanayanga kwa kuwaambia kuwa aendi popote na ataendelea na timu...

READ MORE

Manara Achafua Hali Ya Hewa Kwenye Mitandao – Video

MSEMAJI wa Simba, Haji Manara Julai 21, 2021 amechafua hali ya hewa baada ya kuvuja sauti yake akimfokea bosi wake,...

READ MORE

Yanga Yapokelewa Kifalme Kigoma – (Picha +Video)

Kikosi cha Yanga kimetua salama Kigoma leo Julai 22, 2021 tayari kwa maandalizi ya mchezo wao wa fainali ya  Kombe...

READ MORE

Yanga Yatua Kwa Straika wa Morocco

ACHANA na Heritier Makambo, Fiston Mayele Yanga ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Wydad Casablanca...

READ MORE

Mabosi Simba Wawawahi Yanga Kigoma

SIMBA wamepanga kulipa kisasi, ni baada ya juzi Jumatatu baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo kuwasili...

READ MORE

Bocco: Tunawafunga Yanga Fainali Shirikisho

MSHAMBULIAJI na nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco ameweka wazi kuwa, kikosi chao kimejiandaa vizuri kuhakikisha wanaibuka na ushindi...

READ MORE

Gumzo Manara Kuondoka Simba “Asanteni, Imetosha”

SINTOFAHAMU imetanda baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kudaiwa kujiuzulu. Hayo yamejili baada...

READ MORE

Makambo, Mayele Waaga Ishu Ya Kutua Yanga

RASMI sasa hivi mshambuliaji wa AS Vita, Fiston Mayele na Heritier Makambo anayekipiga Horoya AC wanatua Yanga ni baada ya...

READ MORE

Chama Afunika Yanga Kwa Asisti Ligi Kuu

MSIMU wa Ligi Kuu Bara 2020/21 ndiyo hivyo umeshatupungia mkono wa kwaheri ambapo hapo jana ilipigwa michezo ya mzunguko wa...

READ MORE

Kagere Afunga Mabao 58 Bongo

MSHAMBULIAJI namba tatu ndani ya Simba kwa msimu wa 2020/21, Meddie Kagere ametupia jumla ya mabao 58 ndani ya ardhi...

READ MORE

Gomes: Tunakwenda Kigoma Kulipa Kisasi

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amewataadharisha wapinzani wao wa jadi, Yanga kujipanga vizuri, kwani wanakwenda Kigoma kulipa kisasi cha...

READ MORE

Sarpong Aigomea Yanga

LICHA ya kusamehewa na kutakiwa kurejea kambini, lakini mshambuliaji wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong ameonesha hali ya kugoma.   Hivi...

READ MORE

Kwa Mabosi Hawa Yanga, Kuna Mtu Anapigwa

SURA mpya za viongozi wa Baraza la Wadhamini wa Klabu ya Yanga ni ishara tosha wamedhamiria kufanya vema katika msimu...

READ MORE

Makambo Aachana na Horoya

MSHAMBULIAJI Heritier Makambo ameachana na klabu yake ya Horoya inayoshiriki Ligi Kuu nchini Guinea baada ya makubaliano ya pande zote...

READ MORE