×

Michezo

Lwandamina Aipigia Hesabu Kali Simba

KUELEKEAmchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, kocha mkuu wa kikosi cha Azam, George Lwandamina amefunguka kuwa wanataka...

READ MORE

Rasmi: Sergio Ramos Ajiunga PSG

Sergio Ramos (35) amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya PSG ya Paris akitokea Real Madrid ya Uhispania ambako...

READ MORE

Okwi Atoweka

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Klabu ya Simba ambaye kwa sasa ni mali ya Klabu ya Al Ittohad FC ya nchini...

READ MORE

Mbeya City Wagoma Kushuka Daraja Ligi Kuu Bara

MENEJA wa Timu ya Mbeya City, Mwegane Yeya, amesema kikosi hicho kinapambana kuhakikisha kinaibuka na ushindi kwenye mechi mbili zilizobaki...

READ MORE

Kibwana Amfungukia Shaban Djuma

BAADA ya Yanga kukamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa kulia wa AS Vita, Shaban Djuma, beki wa kulia wa Yanga,...

READ MORE

Ihefu Yaendelea Kuiwinda Yanga

IKIWA Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuendelea Julai 14, mwaka huu baada ya mechi za viporo kumalizika, Ihefu FC inaendelea kujifua...

READ MORE

Yanga Yaingia Mkataba Mpya na Azam Media -Video

Klabu ya Yanga leo Julai 8, 2021 imeingia mkataba wa mashirikiano ya maudhui na AzaMedia wenye thamani ya Shilingi bilioni...

READ MORE

Kisa Derby, Yanga Yapigwa Faini ya Milioni 3

Klabu ya Yanga leo Julai 8, 2021 imetozwa faini ya Shilingi Milioni 3 kwa kufanya makosa kwenye mechi dhidi ya...

READ MORE

Simba Yaweka Rekodi ya Ubingwa Kibabe

TUPENI Kombe letu! Ndiyo kauli ambayo Wanasimba wanatamba nayo sasa ikiwa ni baada ya timu yao kufanikiwa kuibuka na ushindi...

READ MORE

Video: Mzee Mpili Akutana Na Manara, Apewa Milioni Yake

 HATIMAYE afisa Habari wa Simba, Haji Manara, ametimiza ahadi yake ya kumpa Milioni Moja, Mzee Mpili, baada ya Yanga...

READ MORE

England Yatinga Fainali ya Euro 2020, Kuvaana na Italia

BAADA ya Miaka 55, hatimaye Timu ya Taifa ya England imefanikiwa kuingia hatua ya Fainali ya michuano ya Euro 2020,...

READ MORE

Video: Morrison Aomba Radhi Kwa Mashabiki Kisa Yanga

NYOTA wa Simba, Bernard Morrison amesema kuwa anaomba msamaha kwa mashabiki wa Simba kutokana na kushindwa kupata matokeo mbele ya...

READ MORE

Guardiola Anamtaka Harry Kane

KOCHA Pep Guardiola amefunguka kuwa mpango wake ni kumsajili staa wa Tottenham, Harry Kane ila wanahitaji kuona dau lake linapunguzwa....

READ MORE

Simba Yaitungua KMC 2-0, Yanusa Ubingwa

MABINGWA watetezi wa ligi kuu Bara Simba , imefanikiwa kuondoka na alama tatu dhidi ya KMC baada ya kuicharaza kwa...

READ MORE

Mzee Mpili Atoa Tamko Zito

BAADA ya Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba, Jumamosi iliyopita, mwanachama maarufu wa Yanga, Mzee Mpili...

READ MORE

Mrithi wa Metacha Yanga Huyu Hapa

Klabu ya Yanga imefanya mazungumzo na golikipa wa Klabu ya FC San Pedro ya nchini Ivory Coast, Tape Eliezer Ira,...

READ MORE

Bao la Mauya Lamtesa Gomes

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, amesema anasikitika muda mwingi aliopoteza kutazama video za michezo iliyopita ya watani wao...

READ MORE

Yanga Yawashukuru Mashabiki Kipigo cha Simba

Uongozi wa Yanga, umewashukuru mashabiki wao kwa ushirikiano waliouto wakati wa mkutano mkuu na mchezo wao dhidi ya watani zao...

READ MORE

Italy Yaitungua Spain na Kutinga Fainali ya Euro 2020

Timu ya Taifa ya Italia imefanikiwa kutinga Fainali ya michuano ya Euro 2020 baada ya kuiondosha Hispania kwa mikwaju ya...

READ MORE

Mzee Mpili: Hapa Dar Nimemaliza, Natangulia Kigoma Simba Mtanikuta

SIMBA wanalia wakiwaambia wababe wao Yanga kwamba mumshukuru Mzee wenu Mpili vinginevyo mngekula nyingi lakini mwenyewe amejibu mapigo akiwaambia ‘Hapo...

READ MORE

Mzee Mpili: Mechi ya Kigoma Imekwisha

SHABIKI na mwanachama maarufu wa Klabu ya Yanga mzee Haji Mpili ameweka wazi kuwa ushindiwa bao 1-0, walioupata dhidi ya...

READ MORE

Rasmi: Djuma Mali ya Wananchi

RASMI beki wa kulia wa AS Vita ya Congo DR, Djuma Shaban (28) amesaini Mkataba wa kujiunga na Wanajangwani Yanga....

READ MORE

Nabi Aandaliwa Mkataba Mpya Yanga

TAARIFA za kuaminika kutoka ndani ya Yanga, zinadai kuwa viongozi wa timu hiyo wamepanga kumuongezea mkataba kocha wa timu hiyo,...

READ MORE

Mwakalebela: Tutaifunga Tena Simba Kigoma

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, amesema baada ya ushindi dhidi ya Simba kwenye mchezo uliopigwa Julai 3, mwaka huu...

READ MORE

KMC Yagoma Kuipa Ubingwa Simba

UONGOZI wa Klabu ya KMC, umefunguka kuwa, timu yao ipo kwenye maandalizi mazuri kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo wa...

READ MORE

Nusu Fainali Ya Euro 2020 Kuchezwa Wiki Hii

Hakika Mashindano ya Euro 2020 yamekuwa na matokeo ya kila namna, waliotegemewa wameondoka na wasiotegemewa wamesogea mbele. Italia, Uhispania, Denmark...

READ MORE

Rasmi: Ramos Kutua PSG Leo

Aliyekuwa beki na nahodha wa Real Madrid ya Hispania Sergio Ramos huenda akafanyiwa vipimo vya afya baadae hii leo jijini...

READ MORE

Zulu; Mashine Mpya Azam Aahidi Mazito

NYOTA mpya wa Azam FC, Mzambia Charles Zulu, amesema atapambana kumaliza kiu ya timu yake hiyo kwa kufunga na kutengeneza...

READ MORE

Wachezaji Yanga Waogelea Mamilioni

Mfadhili wa Klabu ya Yanga, Ghalib Salim Mohamed ‘GSM’ ameripotiwa kutoa Shilingi milioni 500 kwa wachezaji wa klabu hiyo, baada...

READ MORE

Manara: Naacha Kazi

MSEMAJi wa Klabu ya Simba, Haji Manara kuelekea mechi ya fainali kombe la Azam Shirikisho, Julai 25 mkoani Kigoma dhidi...

READ MORE

Gomes: Nipo Tayari Kuwajibika Kama Kocha

Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Simba SC, Didier Gomes da Rosa, bado anaweweseka na kichapo cha bao...

READ MORE

TFF Yalaani Kauli ya Waziri Bashe

Shirikisho la Soka nchini TFF limesikitishwa na kauli ya Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, alioitoa baada ya mchezo wa...

READ MORE

Mzee Mpili: Kwani Wao Wanasemaje?

MZEE MPILI ni miongoni mwa wanachama wakongwe wa kablu ya #yangasc. Siku za hivi karibuni Mzee Mpili amejizoelea umaarufu mkubwa...

READ MORE

Madrid Kumuuza Varane Manchester United

KLABU ya Real Madrid, imesema haitamuongezea mkataba beki wake, Raphael Varane, huku ikiwa na mpango wa kumuuza nyota huyo kwa...

READ MORE

Morrison Ajirudisha Yanga

BERNARD Morrison maarufu mzee wa kukera, jana hakuwakera Yanga, alikuwa muungwana sana na kufanya kitendo kama cha kujirudisha ndani ya...

READ MORE

Mashabiki Yanga Watamba Hamtuwezi – Video

HAMTUWEZI! Hiyo ndiyo kauli waliyotoka nayo Wanayanga jana Uwanja wa Mkapa, Dar baada ya timu yao kuibuka na ushindi wa...

READ MORE

Simba Yanyukwa na Yanga Mbele ya Rais Samia 1-0

  TIMU ya Wananchi Yanga imefanikiwa kuiduwaza Simba mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania...

READ MORE

Championi Gazeti Lagawa Jezi za Simba/Yanga Kwa Wasomaji Wake

  Mapema leo Timu ya Maofisa Masoko wametembelea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa...

READ MORE

Live: Hali Ilivyo Nje Ya Uwanja, Mashabiki Wafurika, Kwa Mkapa

 LEO ndio Leo ambapo mechi iliyosubiriwa kwa hamu kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga inapigwa kwenye dimba...

READ MORE

Gomes Atumia Utatu wa CMM Kuvunja Ukuta Yanga

KITAUMANA! Ndivyo unavyoweza kuielezea vita kubwa kati ya safu ngumu ya ulinzi ya Yanga, dhidi ya utatu hatari wa safu...

READ MORE