×

Michezo

Yanga: Hatuihofii Dabi Hata Iwe Mara Tatu

OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli, ametamba kuwa wao hawana hofu na mchezo wa dabi dhidi ya Simba hata wakicheza...

READ MORE

Sababu ya Waamuzi Simba Vs Yanga Kurudiwa Hii Hapa

KAMATI ya Waamuzi wa Ligi Kuu Bara, imeweka wazi sababu za kurudia majina ya waamuzi waliopangwa kuchezesha mchezo wa Kariakoo...

READ MORE

Yassin Mustapha Arejeshwa Kumzuia Morisson

KATIKA kuhakikisha wanaizuia safu ya ushambuliaji ya Simba, iliyo na wachezaji hatari kama Bernard Morrison, kocha wa viungo wa timu...

READ MORE

Mo Awapa Luis, Chama Sh 350Mil Waifunge Yanga

KATIKA kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi, Bodi ya Wakurugenzi ya Simba imeahidi kuwapa wachezaji akina Luis Miquissone na Clatous Chama...

READ MORE

Kwa Muziki Huu… Watakuja Kweli!

AISEE ni leo Julai 3, 2021 buana! Hatimaye imewadia. Ile siku ya watani wa jadi kukutana pale kwa Mkapa. Ni...

READ MORE

Nabi Akesha Akiwasoma Simba SC

BENCHI la Ufundi la Yanga lililo chini ya Kocha Mkuu raia wa Tunisia Nasreddine Nabi wametumia siku mbili sawa na...

READ MORE

Yanga na Simba Kukiwasha Kesho Uwanja wa Mkapa

AISEE ni kesho buana! Hatimaye imewadia. Ile siku ya watani wa jadi kukutana pale kwa Mkapa. Ni Simba na Yanga...

READ MORE

Kocha Yanga:Timu Yetu Ni Bora,Tutapata Pointi Za Simba -Video

RAZACK Siwa, Kocha wa Makipa amesema kuwa timu ya Yanga ni bora na inawachezaji wazuri watakaoipa matokeo chanya. Kesho Julai...

READ MORE

Robo Fainali Za Euro 2020 Kuchezwa Wikiendi Hii

Baada ya matukio ya kushangaza katika raundi ya 16 bora, sasa Euro 2020 imefika kwenye Robo fainali na Meridianbet imekuwekea...

READ MORE

Mahakama Yatupilia Mbali Maombi ya Kusimamisha Mchakato wa Uchaguzi wa TFF

Maombi ya kuzuia mchakato wa Uchaguzi wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuendelea ikiwemo maandalizi na...

READ MORE

Sarpong Mambo Safi Yanga, Metacha Ajadiliwa

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umeweka wazi kuwa tayari umemalizana na mchezaji Michael Sarpong, kuhusiana na matatizo ya kinidhamu, na...

READ MORE

Luis, Saido Watu wa Kuchungwa Kariakoo Dabi

KUELEKEA mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya Simba dhidi ya Yanga, guu la kulia la nyota wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza...

READ MORE

Kisinda, Yacouba Waongezewa Makali Yanga

KATIKA kuelekea Kariakoo Dabi, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amewaongezea program ya mazoezi wachezaji wake akiwemo...

READ MORE

Mwamuzi Simba vs Yanga Kesho Huyu Hapa

ULE mchezo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na wapenda soka hapa nchini, umewadia ambapo keshokutwa Jumamosi kwenye uwanja wa Mkapa, Dar,...

READ MORE

Yanga Yawekewa Nusu Bilioni Mnyama Afe Kesho

BAADA ya GSM kukubali kufanya kazi na aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, sasa mabosi hao wameelekeza nguvu kubwa katika...

READ MORE

Mugalu Arejea Kuivaa Yanga

MSHAMBULIAJI wa Simba, raia wa DR Congo Chriss Mugalu, amerejea kuwavaa Yanga hii ni baada ya kukosa mechi mbili zilizopita...

READ MORE

Joakim Low Aachia Ngazi Ujerumani

BAADA ya Ujerumani kutupwa nje kwenye Michuano ya Euro 2020 kufuatia kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Uingereza katika hatua...

READ MORE

Rasmi: Ibenge Asepa As Vita

Taarifa za kuthibitika zinaeleza kuwa kocha Frolentine Ibenge ameachana na klabu ya AS Vita huku Rais wa klabu Bestine Kazadi...

READ MORE

Morrison Mchezaji Bora Simba

Kiungo mshambuliaji Bernard Morrison, amechaguliwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month)....

READ MORE

Yanga Kuivua Ubingwa Simba … Kisa Kipo Hapa!

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa, bado unafuatilia kesi ya winga Bernard Morrison ambaye amehamia Simba, huku wakiweka wazi kuwa wanaamini...

READ MORE

Barbara Awachimba Mkwara Mzito Yanga

WAKATI wakiwa wanatarajia kukutana kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Simba, Barbara Gonzalez ni kama...

READ MORE

GSM, Manji Waongeza Mzuka Yanga

WADHAMINI wa Yanga Kampuni ya GSM rasmi imekubali kufanya kazi pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji katika...

READ MORE

Biashara Yawaita Yanga Wafanye Biashara ya Kipa

UONGOZI wa Biashara United, umeweka wazi ikiwa mabosi wa Yanga wanahitaji saini ya kipa wao namba moja, Daniel Mgore ni...

READ MORE

Yanga: Ubingwa ni Wetu

OFISA Habari wa Yanga, Hassani Bumbuli, amefunguka kuwa, anaona matumani ya kuchukua ubingwa yapo karibu kwa upande wao kutokana na...

READ MORE

Haji Manara: TFF Watuletee Kombe Jumamosi Kwa Mkapa -Video

MSEMAJI wa timu ya Simba SC, Haji Manara leo Juni 30, 2021 amezungumza na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya...

READ MORE

Yanga Yatenga Sh 8.1 Bil za CAF

KLABU ya Yanga, imetenga kitita cha Sh bilioni 8.1 ili kuhakikisha msimu ujao timu yao inafanya vizuri kwenye michuano watakayoshiriki...

READ MORE

Manji, Mo Uso Kwa Uso … Mchongo Mzima Upo Hivi

UPO uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na mabilionea hapa nchini, Yusuph Manji na Mohammed Dewji ‘Mo’ kukutana kwenye Dar es Salaam...

READ MORE

Wallace Karia Mgombea Urais Pekee TFF

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo Juni 29, 2029 imempitisha Wallace Karia kuwa mgombea...

READ MORE

TFF Yatoa Tamko Mechi ya Simba na Yanga, Jumamosi Hii

  KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba SC na Yanga utakaochezwa Julai 3, 2021 kwenye uwanja wa...

READ MORE

Fahamu Njia Sahihi Ya Kubeti Sare

Kubeti sare kuna weza kuonekana rahisi kwa mchezaji japo sio kwa kiwango hicho kama walio wengi wanavyo amini, ni kweli...

READ MORE

Euro 2020 Haina Mwenyewe, Mambo Mazito!

Hatua ya 16 bora kunako muendelezo wa Euro 2020, imetoa matokeo ya kusisimua na kushangaza kwa baadhi ya timu. Meridianbet,...

READ MORE

Meneja Wa Metacha Afunguka Kusajiliwa Simba – Video

 METACHA Mnata, anaweza kwenda Azam FC ama Simba ikiwa mabosi wake wa sasa Yanga watakaa kimya juu ya mkataba...

READ MORE

Mdogo wa Mbappé Asaini PSG

MDOGO wa nyota wa kabumbu wa Klabu ya Paris Saint-Germain, Kylian Mbappé aitwaye Ethan Mbappe mwenye umri wa miaka 15,...

READ MORE

Nabi Amvuta Yanga Mrithi wa Metacha

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amemjumuisha kikosini kipa wa timu ya vijana, Geofrey Magaigwa ili kuchukua nafasi ya Metacha...

READ MORE

Kane Hajaongea na Spurs Kwenda Man City

TAYARI Klabu ya Manchester City imeweka dau nono la Euro milioni 100 ili kuinasa saini mshambuliaji hatari wa Tottenham Hotspur,...

READ MORE

Simba Yatua Rasmi Kwa Makusu

LILE dili la Simba na mshambuliaji Jean Marc Makusu Mundele, limeibuka upya na sasa klabu hiyo imerudi tena kwa nguvu...

READ MORE

Mwigulu, Tarimba Wadhamini Wapya Yanga – Video

Klabu ya Yanga leo Juni 27, 2021 wamewapitishwa Baraza jipya la Wadhamini la timu hiyo katika Mkutano Mkuu wa kwenye...

READ MORE

Breaking: Wanachama wa Yanga Wapitisha Mabadiliko ya Katiba

Rasmi Wanachama wa Yanga leo Juni 27, 2021 wamepitisha Mabadiliko ya Katiba yatakayowawezesha kufanya marekebisho ya Mfumo wa uendeshaji  ...

READ MORE

Simba Yaicharaza Azam Fc, Yaifuata Yanga Fainali

RASMI sasa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup) itawakutanisha Yanga na mabingwa watetezi Simba  leo...

READ MORE

Kocha Simba Aichimba Mkwara Azam

KOCHA wa Simba, Didier Gomes ameichimba mkwara Azam FC kuelekea kwenye mchezo wao wa nusu fainali ya pili ya Kombe...

READ MORE