×

Michezo

Simba Yaitungua Dodoma Jiji VPL

MABINGWA watetezi wa ligi  kuu Tanzania Bara Simba, leo Februari 4,wamefanikiwa kushinda mchezo wao ambao ulikuwa ni  kiporo, dhidi ya...

READ MORE

Simba Wajifungia Kumjadili Fiston wa Yanga

BENCHI la ufundi la Simba limeonekana kupata hofu kubwa juu ya uwezo wa mshambuliaji mpya wa Yanga, Fiston Abdoul Razak...

READ MORE

Beki Mpya Agoma Kukaa Benchi Yanga

KITASA mpya wa klabu ya Yanga, Dickson Job amefunguka kuwa amejiunga na klabu hiyo akijua wazi atakutana na ushindani mkubwa...

READ MORE

Simba na Dodoma Jiji Kukiwasha leo Dodoma

SIMBA SC, leo wakitarajiwa kuvaana na wenyeji wao Dodoma Jiji FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara, wameamua kwenda na...

READ MORE

Yanga Yaahidi Kumlipa Tambwe

MABINGWA wa kihistoria Tanzania, Yanga wamesema kuwa hawajapokea taarifa rasmi za kufungiwa kufanya usajili na Shirikisho la Soka la Kimataifa...

READ MORE

Msolla Ataja Kirusi Cha Mabadiliko Yanga

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa ugumu wa miundombinu ya kukutana na wanachama nchi nzima ni moja...

READ MORE

Kaze Amvimbia Gomes wa Simba

BAADA ya Yanga kufanikiwa kutwaa kombe la Mapinduzi katika michuano iliyomalizika Januari 13, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema...

READ MORE

Wapinzani wa Simba Waajiri Kocha Mpya

KUELEKEA mechi za hatua ya makundi kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, timu ya Al-Merreikh ya nchini Sudan imemtimua kocha...

READ MORE

Kambi ya Yanga Kama Ulaya, Avic Kigamboni Dar

NI sahihi kusema kuwa kambi ya Yanga ni kama Ulaya, baada ya waandishi wetu kwenda kuitembelea jana na kushuhudia mambo...

READ MORE

Yanga: Subirini Muone Moto wa Fiston, Saido

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa nyota wao waliosajiliwa ndani ya kikosi hicho wakiongozwa na Fiston Abdulazak ambaye ni mshambuliaji pamoja...

READ MORE

Gomes Ataja Majembe 7 Matata

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amepata majembe 7 ya kazi ndani ya kikosi hicho kupitia kwenye mechi mbili za...

READ MORE

Gomez Amuita Mkude Kikosini Fasta

KATIKA kuhakikisha kikosi chake kinaendelea kuwa imara na cha ushindani zaidi, Kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes amemuita kiungo...

READ MORE

Wachezaji Simba, Benchi la Ufundi Watua Bungeni

KIKOSI cha Klabu ya  Simba leo Februari 3, 2021, baada ya kutinga makao makuu ya nchi, Dodoma, kimepata fursa ya...

READ MORE

Yanga Yashusha Presha Mashabiki, Yafungukia Ishu Ya Kufungiwa Kusajili

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umewashusha presha mashabiki wake kuhusu suala la kupigwa pini na FIFA kufanya usajili kwa muda...

READ MORE

Didier Gomes Apata Mbinu za Kuwamaliza Dodoma, Azam

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, ametamba kwamba sasa wako tayari kwa ajili ya kutafuta matokeo mazuri kwenye mechi...

READ MORE

Rais Real MadridAkutwa na Corona

RAIS wa miamba ya soka,  Real Madrid, ya nchini Hispania, Fiorentino Perez,  jana mchana   Februari 2, 2021,  amekutwa na maambukizi...

READ MORE

Yanga Wafungiwa Na Fifa Kufanya Usajili Kisa Tambwe

IMEELEZWA kuwa Klabu ya Yanga imefungiwa na FIFA kufanya usajili kwa misimu mitatu kutokana na madai ya kutomlipa fedha za...

READ MORE

Man United Yaishushia Kipigo Southampton, Yaipiga 9-0

Klabu ya Manchester United wamendeleza rekodi yao ya ushindi mnono kwenye Ligi Kuu baada ya kuifunga klabu ya Southampton mabao...

READ MORE

Azam Yawakomalia TP Mazembe, Mechi Ya Kirafiki, Yatoka 1-1

MCHEZO wa kirafiki kati ya Azam FC dhidi ya TP Mazembe Februari 2,2021 umekamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1....

READ MORE

Unaambiwa Mkwanja Anaolipwa Kaze Yanga Balaa, Makazi Yake Utashangaa

WAKATI Yanga ikiwa inaongoza ligi, kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi, Cedric Kaze amekuwa akitumia kiasi cha shilingi milioni nane...

READ MORE

Senzo Ataja Sababu za Mwananchi Media Day Kigamboni -Video

MSHAURI wa uongozi wa Yanga, Senzo Mazingisa leo Feburuari 2, 2021 ametaja sababu tatu za klabu yao kuandaa siku maalum...

READ MORE

EPL Kumenoga! Wolves vs Arsenal Kukiwasha leo

Ungwe ya pili kunako msimu wa soka 2020/21 inaendelea kuchanja mbuga. EPL Kumenoga! Msimamo wa ligi unabadilika kila baada ya...

READ MORE

Azam FC Kuvaana na TP Mazembe Kesho

  KLABU ya Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina kesho itakuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo...

READ MORE

Mkataba wa Messi Wavuja, Barca Wageuka Mbogo

KLABU ya soka ya Barcelona ya Hispania, imesemaitachukua “hatua za kisheria” dhidi ya gazeti la Hispania la El Mundo baada...

READ MORE

DSTV Chupuchupu Wale Kichapo Kwa Global FC

UNAWEZA ukasema watasimulia waendako, mara baada ya kikosi bora na ghali cha Kampuni ya Global Group, Global FC  kuupiga mwingi...

READ MORE

Fiston Afanya Balaa Mazoezini

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Fiston Abdoul Razak raia wa Burundi, amefanya balaa la hatari mazoezini katika kujiandaa na mechi za...

READ MORE

Yacouba, Saido Washusha Presha Yanga

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa maendeleo ya nyota wao watatu ambao ni majeruhi ndani ya kikosi hicho ambao...

READ MORE

Dili la Gikanji Simba Layeyuka

DILI la Doxa Gikanji wa DC Motema Pembe ya nchini DR Congo kujiunga na Simba, limeyeyuka rasmi kutokana kiungo huyo...

READ MORE

Usingizi wa Kaze Yanga ni Milioni Nane

WAKATI Yanga ikiwa inaongoza ligi, kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi, Cedric Kaze amekuwa akitumia kiasi cha shilingi milioni nane...

READ MORE

Morrison Aahidi Makubwa Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mghana, Bernard Morrison amefichua kuwa kiwango alichokionyesha katika mchezo dhidi ya Al Hilal ya Sudan ni...

READ MORE

Wachezaji Simba Wamzuia Mkude Kuingia Kambini

PAMOJA na kamati ya nidhamu ya Simba kutoa tamko la kumtaka Jonas Mkude kuingia kambini mara baada ya kusikiliza na...

READ MORE

Rweyemamu Aipeleka Simba SC mahakamani

ALIYEWAHI kuwa Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu, anaripotiwa kuishitaki timu hiyo mahakamani.Inadaiwa kuwa, Rweyemanu ambaye aliondolewa Simba mwaka jana baada...

READ MORE

Barbara: Kesi ya Yanga na Morrison Bado Ipo

OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amethibitisha kuwepo kwa kesi kati ya Klabu ya Yanga na mchezaji...

READ MORE

Kivazi cha Shilole Chaibua Shangwe Fainali ya BSS -(Picha + Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed, almaarufu kama Shilole, amepiga shoo kwenye fainali ya BSS kwa msimu huu wa 11...

READ MORE

Shabiki wa TP Mazembe Aitambia Simba: “Wasije na Paka” – Video

Mashabiki ambao walijitokeza Uwanja wa Mkapa walikuwa wachache kiasi chake na walishuhudia ushindani mkubwa ndani ya uwanja.   Kipindi cha...

READ MORE

Tambo Zatawala Global FC VS DSTV

JOTO limezidi kutanda kuelekea mechi ya kirafiki kati ya Global FC dhidi ya timu ya DSTV mchezo unaotarajiwa kupigwa kesho...

READ MORE

Mtambo Wa Mabao Watua Yanga, Fiston Abdulazack

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Yanga, Fiston Abdulazack ambaye ni mtambo wa mabao leo Januari 29 amewasili rasmi ndani ya ardhi...

READ MORE

Manchester United v Arsenal Kukiwasha Kesho – Premier

Mambo yanazidi kunoga kwenye Ligi Soka Mbalimbali barani Ulaya. Mbio za Ubingwa na mchakamchaka wa kutoshuka daraja msimu ujao, ni...

READ MORE

Bingwa wa Simba Super Cup Kulamba Mil. 15

KLABU ya Simba imeweka wazi zawadi atakazopata bingwa wa michuano ya Simba Super Cup iliyoanza Januari 27, 2021 ambazo ni...

READ MORE

TFF Yasaini Mkataba wa Kukuza Miundombinu ya Soka

SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) limesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa maendeleo ya kukuza miundombinu ya soka na...

READ MORE