×

Michezo

Luis Agomea Mamilioni ya Waarabu

MEBAINIKA kuwa winga machachari wa Simba, Luis Miquissone ameuambia uongozi wa timu hiyo kuwa ana furaha na hana mpango wa...

READ MORE

Lwandamina Awamwagia Sifa Wachezaji Azam FC

BAADA ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Namungo, juzi Jumatatu, Kocha Mkuu wa Azam FC, George Lwandamina amewasifi...

READ MORE

Mchakamchaka wa Disemba EPL Kumenoga!!

Liverpool kuwakaribisha Tottenham Hotspurs pale Anfield. Patashika – nguo kuchanika katika muendelezo wa EPL leo usiku. Bingwa mtetezi – Liverpool...

READ MORE

Chelsea Yapigwa na Wolves

LICHA ya nyota wa Chelsea, Oliver Giroud kupachika bao la kuongoza dakika ya 49 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England...

READ MORE

Guardiola Alia na Washambuliaji Wake

KOCHA Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, amesema tatizo kubwa lililopo kwenye timu yake kwa sasa ni ubutu wa washambuliaji...

READ MORE

Tuisila Ashusha Presha Yanga, Kuwavaa Dodoma Jiji

HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga ni kuwa kiungo wao kipenzi Mkongomani Tuisila Kisinda yupo fiti baada ya kupatiwa matibabu...

READ MORE

Kaze Ataja Mikakati ya Usajili Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze amefichua kuwa hafikirii kufanya usajili wa kukurupuka katika kipindi cha dirisha dogo wala...

READ MORE

Ntibanzokiza Aanza Na Singida, Atupia Mabao Mawili

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga kwenye dirsha dogo ambalo limefunguliwa leo Desemba 15, Saido Ntibanzokiza ameanza mchezo wake...

READ MORE

Kaseke Aahidi Mabao 15 Yanga

BAADA ya kufanikiwa kufikisha mabao matatu kwenye Ligi Kuu Bara, kiungo wa Yanga, Deus Kaseke amesema kuwa ataweka jitihada zaidi...

READ MORE

Yanga Wafuata Kiungo Sauzi

INAELEZWA uongozi wa Yanga upo katika mchakato wa kunasa saini kiungo mshambuliaji wa Kaizer Chiefs ya Afrika katika usajili wa...

READ MORE

Mashabiki wa Simba Wawapa Presha FC Platinum

UONGOZI wa timu ya FC Platinum ya nchini, Zimbabwe umeweka wazi kuwa watakuwa na kazi kubwa katika mchezo wa marudiano...

READ MORE

Billion 1.5 Kumng’oa Luis Simba, Pyramid Yatua Bongo

IMEELEZWA kuwa matajiri wa timu ya Pyramid kutoka nchini Misri wapo tayari kuipa Simba Bilioni 1.5, kwa ajili ya kuvunja...

READ MORE

Namungo Yafafanua Kichuya Kuendelea Kucheza

  KLABU ya Namungo FC ya mkoani Lindi  imetoa ufafanuzi baada ya wadau wengi kuonekana wakihoji kuhusu klabu hiyo kumtumia...

READ MORE

Yacouba Awapoteza Chama na Luis Miquissone

YACOUBA Songne nyota wa Klabu ya Yanga ameweka rekodi yake ndani ya msimu wa 2020/21, kwa kuwapoteza nyota wawili tegemeo...

READ MORE

Tanzia: Kocha wa Zamani wa Liverpool Afariki Dunia

GERARD Houllier, aliyekuwa kocha wa zamani wa Klabu ya Liverpool ametangulia mbele za haki akiwa na umri wa miaka 73...

READ MORE

Anthony Joshua vs Tyson Fury “Bado Kidoooogo Kinawaka”

Promota wa bondia Anthony Joshua, Eddie Hearn amesema kuna mambo machache ya kukamilisha kabla ya kusaini mkataba wa pambano la...

READ MORE

Okwi Akutwa na Corona

EMMANUEL Okwi mshambuliaji wa kikosi cha Al-Ittihad ya Misri amekutwa na Virusi vya Corona hivyo atakosa mechi kadhaa ndani ya...

READ MORE

Licha ya Ushindi, Simba Yalia na Waamuzi!

LICHA ya Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0 jana Desemba 13 na kusepa na pointi tatu mazima mbele ya...

READ MORE

Robinho Jela Miaka 9 kwa Kubaka

ALIYEKUWA mshambuliaji nyota wa vilabu vya AC Milan, Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Robinho, amehukumiwa kufungwa miaka...

READ MORE

Yanga Yawapa Tano Mashabiki Shinyanga

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetoa shukrani kwa mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi kuipa sapoti kwenye mchezo wao wa juzi...

READ MORE

Saido Akabidhiwa Jukumu Zito Yanga

KOCHA wa Yanga, Cedric Kaze, amesema amemuagiza kiungo mpya wa timu hiyo, Said Ntibazonkiza ‘Saido’ kuangalia kwa umakini namna viwanja...

READ MORE

Simba Yatua Kwa Straika Wa Mabao DR Congo

IMEELEZWA kuwa, uongozi wa Simba upo katika mchakato wa kumsajili mshambuliaji wa kati kutoka DC Motema Pembe inayoshiriki Ligi Kuu...

READ MORE

Pogba awajibu wanaotaka aachwe Manchester United

Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba ametuma ujumbe ambao umeonekana kuwa ni kijembe kwa Legendi wa Manchester United, Gary Neville...

READ MORE

Simba Yaichapa Mbeya City, Yasogea Mpaka Nafasi ya Pili

TIMU ya Simba imefanikiwa kuzoa pointi tatu muhimu ugenini, dhidi ya Mbeya City baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa...

READ MORE

Familia Wagombania Mali za Maradona

ATAENDELEA kukumbukwa kuwa ni shujaa wa soka, ikiwemo mafanikio yake katika Kombe la Dunia 1986 alipofunga bao la ‘Mkono wa...

READ MORE

Ndemla Amgaragaza Mukoko wa Yanga

SAID Ndemla, kiungo wa Simba akiwa amecheza mechi tano kati ya 12 za timu hiyo msimu huu, amehusika kwenye jumla...

READ MORE

Antony Joshua Amtwanga Pulev kwa KO

BONDIA Anthony Joshua wa Uingereza amefanikiwa kutetea mataji yake ya ndondi, kwa kufanikiwa kumchapa kwa knock-out bondia Kubrat Pulev katika...

READ MORE

Man Utd Yamchoka Pogba, Kuuzwa Bei Chee

KLABU ya Manchester United ni wazi kuwa imechoshwa na mwenendo wa matukio yanayomuhusu kiungo wao, Paul Pogba na sasa wapo...

READ MORE

Rage Amtadharisha Mapema Mbelgiji Simba

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amemtaka kocha mkuu wa timu hiyo, Sven Vandenbroeck kwenda na...

READ MORE

Beki Wa Mamelodi Na Timu Ya Taifa Sauzi Madisha Afariki

BEKI wa Mamelodi Sundowns na Timu ya Taifa South Africa, Motjeka Madisha (25) amefariki, taarifa hizi zinakuja wiki chache baada...

READ MORE

Azam FC Yaingilia Dili La Kiungo Yanga

IMEBAINIKA kuwa klabu ya Azam FC nayo imeingilia dili la kiungo Issa Ndala wa Plateau United mwenye uraia wa Nigeria...

READ MORE

Mkenya Ampisha Kiungo Matata Yanga SC

UPO uwezekano mkubwa wa Klabu ya Yanga kuachana na kipa wake, Faroukh Shikhalo raia wa Kenya kwenye usajili wa dirisha...

READ MORE

Mbelgiji Apagawa Nakiungo Mpya Simba SC

BAADA ya kufanya mazoezi kwa muda mfupi na kuonyesha uwezo mkubwa akiwa na Simba, kiungo mpya wa timu hiyo raia...

READ MORE

Bondia Mrembo Mbaroni Kwa Kumuua Mumewe

BONDIA mwanamama wa ngumi za kulipwa nchini Brazil ambaye alipigania mara tatu ubingwa wa dunia, Vviane Obenauf anashikiliwa na Jeshi...

READ MORE

Wachezaji Nba Kutopimwa Matumizi Ya Bangi

LIGI ya Kikapu nchini Marekani (NBA) imetangaza kusitisha mchakato wa kuwapima wachezaji matumizi ya bangi kabla ya msimu wa 2020-21...

READ MORE

Simba Queens Yagawana Pointi na Yanga Princess (Picha +Video)

SIMBA Queens leo Desemba 12, 2020 wamegawana pointi mojamoja na Yanga Princess kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake uliokuwa na...

READ MORE

Simba, Yanga Washindana Zawadi ya Spoti Xtra

BAADA ya wiki iliyopita kushuhudia shabiki wa Simba, Peter Tarimo na wa Yanga, Fatuma Juma, wakifanikiwa kuibuka na zawadi kupitia...

READ MORE

Manchester Derby Kutikisa Old Trafford Leo

UWEPO wa Sergio Aguero hata kama atakuwa katika benchi katika mechi ya Manchester Derby utakuwa na faida kubwa kwa timu...

READ MORE

Live: Dodoma v Gwambina 1-0 – Uwanja Wa Uhuru Dodoma

 NI mtanange wa ligi kuu bara, kati ya DODOMA JIJI FC vs GWAMBINA FC , mechi hiyo inachezwa leo...

READ MORE

Yanga Haitaki Masihara Shinyanga Leo.. Kikosi Kinachoanza Kipo Hapa

KIKOSI chake kikitarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga leo kuvaana na Mwadui FC, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric...

READ MORE