×

Michezo

Kaze: Yanga Tulieni, Mambo Bado

BAADA ya kufanikiwa kumaliza mzunguko wa kwanza wakiwa kileleni, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amefunguka kuwa matokeo ya kumaliza...

READ MORE

Niyonzima: Mimi na Kaze? Mbona fresh tu

KIUNGOmchezeshaji fundi wa Yanga Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amesema kuwa hana tatizo lolote na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mrundi, Cedric...

READ MORE

Umafia! Simba Yamtorosha Beki wa Polisi Tanzania

YANGA ilikuwa katika hatua za mwisho kabisa kumalizana na beki kisiki wa Polisi Tanzania, Iddi Mobby lakini ghafla bin vuuu...

READ MORE

Mbelgiji Simba: Tulieni, Platinum Mwisho Wao Dar

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck amefunguka kuwa bado anaimani kubwa kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Sarpong: Kwa Faulo za Saido, Nitafunga Mabao Yanga

MSHAMBULIAJIwa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, amefichua kuwa atatumia umbo lake la urefu kwa kuhakikisha anafanikiwa kufunga mabao katika mipira ya...

READ MORE

Rage: Yanga Kwa Morrison Wanapoteza Muda Tu

MWENYEKITI wa zamani wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amefunguka kuwa Yanga kuendelea kung’ang’ania suala la Morrison kwenye Mahakama...

READ MORE

Ufafanuzi Kuhusu Uhamisho Wa Mpiana Monzinzi

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuhusu suala la mchezaji wao mpya Mpiana Monzinzi, kutoka FC Lupopo ya DRC ambapo...

READ MORE

Mo Ashusha Mtambo wa Mabao wa Mil 500

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameahidi kutumia zaidi ya Sh milioni 500 ili amshushe straika...

READ MORE

Injinia: Chuma Kinakuja Yanga, Saido Cha Mtoto

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, ameahidi...

READ MORE

Simba Warudi na Kiungo wa FC Platinum

JINA la kiungo mshambuliaji wa FC Platinum, Perfect Chikwende limeingia kwenye orodha ya wachezaji wanaowaniwa na timu hiyo katika usajili...

READ MORE

PSG Yamfukuza Kazi Kocha Wake

Klabu ya Paris Saint Germain (PSG) ya nchini Ufaransa leo Desemba 24, 2020 imemfuta kazi Kocha, Thomas Tuchel kwasababu ya...

READ MORE

Video: Uchambuzi wa Morrison Kupigwa Stop Na CAS | Spoti Hausi

 KATIKA Kipindi cha ‘SPOTI HAUSI’ leo mchambuzi wa soka, Philip Nkini, amechambua mechi ya ligi ya mabingwa Afrika kati...

READ MORE

Balama Mambo Safi Sauz

MAMBO yanaelekea kuwa poa kwa kiungo wa Yanga, Balama Mapinduzi ‘Kipenseli’ kufuatia kufanyiwa upasuaji wa goti lililokuwa likimsumbua kwa muda....

READ MORE

Tuyisenge Afunguka Kutua Yanga SC

  HATIMAYE mshambuliaji wa APR ya nchini Rwanda, Jacques Tuyisenge, amefungukia dili lake la kujiunga na Yanga ambayo amekuwa akihusishwa...

READ MORE

CAS Yampiga Stop Morrison, Yanga Wachekelea

KIMENUKA! Ndivyo utakavyoweza kusema baada ya Mahakama ya Usuluhishi ya Masuala ya Soka ya Kimataifa (CAS) kumtumia barua ya kumsimamisha...

READ MORE

Simba Yaahidi Kupindua Uwanja wa Mkapa

LICHA ya Simba jana kufungwa bao 1-0 dhidi ya FC Platinum, lakini benchi la ufundi na nyota wa kikosi hicho...

READ MORE

Mukoko Aleta Jembe la Maana Yanga

KAMA mambo yakienda sawa, basi usishangae kuona Yanga wakimshusha beki Ousmane Adama Ouattara raia wa Ivory Coast ambaye anakipiga kwenye...

READ MORE

Singida Utd Yashushwa Madaraja Mawili, Yanga Yapeta FA

KAMATI  ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Desemba 22,...

READ MORE

Jembe Jipya Simba Laanza na FC Platinum

  KWA mara ya kwanza Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck anatarajiwa kumtumia kiungo mkabaji Thaddeo Lwanga kwenye mchezo...

READ MORE

Simba SC Wapania Kuimaliza FC Platinum

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, ameapa kula sahani moja na wapinzani wao FC Platinum watakaopambana nao leo katika mchezo wa...

READ MORE

Yanga Tunamaliza Mzunguko na Rekodi Leo

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utaendelea kupambana kulinda rekodi zake ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kucheza mchezo wao...

READ MORE

Yondani Atua Polisi Tanzania

Aliyekuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani baada ya kukaa nje nusu msimu aamejiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa miezi...

READ MORE

Simba Yapiga Chini Bonge la Kiungo

BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, imesitisha mipango ya kumsajili kiungo mkabaji wa Plateau United ya nchini Nigeria, Isah...

READ MORE

Dalali: Wanachama Wamenipa Milioni Nigombee Simba

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali, amesema kuwa, wanachama zaidi ya 50 wamemfuata kumtaka kuwania nafasi ya uenyekiti ndani...

READ MORE

Yanga Yaifukuzia Rekodi Simba

BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 walioupata Yanga katika mchezo uliopita wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji, unaambiwa timu hiyo...

READ MORE

Bosi Azam Akiri Mambo Magumu

HATIMAYEuongozi wa Azam FC, umekiri kuwa katika wakati mgumu kutokana na timu hiyo kukosa matokeo mazuri katika michezo sita iliyopita...

READ MORE

Aliyewaleta Mukoko, Tuisila Awapa Yanga Jembe Jipya

HABARI ni kwamba, Kocha wa AS Vita ya DR Congo, Florent Ibenge ambaye alihusika kwenye dili za wachezaji Tuisila Kisinda...

READ MORE

Barcelona Yamvuruga Tena Messi

MSHAMBULIAJI wa Barcelona na ttmu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi, amesema jaribio lake la kutaka kuondoka klabuni hapo ambalo...

READ MORE

Simba: Tutawapiga FC Platinun

SHOMARI Kapombe, beki wa kulia wa Klabu ya Simba amesema kuwa wanaamini watashinda kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Tanzania Yapigwa na Uganda Fainali CECAFA U 17

TIMU ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 17 leo Desemba 22 imepoteza mchezo wa hatua ya fainali ya Cecafa...

READ MORE

Kaze: Pointi 3 tu, Tunaanza Hesabu za Ubingwa

BAADA ya ushindi wa kibabe wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji Jumamosi iliyopita, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze,...

READ MORE

Daktari wa Yanga FC Ajibu Tuhuma Kumchezesha Lamine Akiwa Majeruhi

DAKTARI wa Yanga, Shecky Mngazija, amejibu tuhuma za baadhi ya mashabiki na wadau wa timu hiyo za kumchezesha beki wa...

READ MORE

Dkt. Abbasi Awaunganisha Nature (TMK) na GK (East Coast)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali leo amewasisitiza wasanii...

READ MORE

Yanga Yamwaga Milioni 500 Kusajili Mashine Mpya

KAMA ulichukulia masihara kauli ya mabosi wa Yanga kuwa msimu huu wanalitaka kombe la ligi, basi utakuwa umejidanganya kutokana na...

READ MORE

Fifa Kumburuza Mahakamani Sepp Blatter

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), limesema kuwa litamfungulia mashtaka ya jinai rais wake wa zamani Sepp Blatter, kwa...

READ MORE

Wachezaji Simba Waapa Zimbabwe

WACHEZAJI wa Simba wameapa kuondoka na ushindi katika mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Nkamia Ajitosa Uchaguzi Simba

MAMBO ni moto kuelekea uchaguzi mdogo wa Klabu ya Simba kufuatia wanachama kujitokeza kuwania nafasi ya mwenyekiti ndani ya klabu...

READ MORE

Bosi Yanga Alichambua Bao la Ntibazonkiza

BAADA ya mshambuliaji mpya wa Yanga, Said Ntibazonkiza ‘Saido’ kufunga bao lake la kwanza katika mchezo wake wa kwanza wa...

READ MORE

Kisa Simba, Wachezaji FC Platinum Wapokwa Simu

KOCHA wa FC Platinum ya Zimbabwe, Norman Mapeza ni kama ameingia mchecheto kuelekea katika mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Robo Fainali Ya EFL Cup: Arsenal vs Man City, Everton vs Man United, Hapatoshi!!!

Mwezi Disemba ni mwezi wenye burudani kwa mashabiki wa soka. Kunako Ligi Soka ya Uingereza, robo fainali ya EFL Cup...

READ MORE