×

Michezo

Stars Yapoteza Dhidi ya Tunisia

TIMU ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) ikiwa ugenini usiku wa kuamkia leo ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 kwenye mchezo...

READ MORE

Mo Salah Akutwa na Corona

Shirikisho la soka la Misri (EFA) limetangaza kuwa mshambuliaji wao Mo Salah amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Hii...

READ MORE

 Mwakinyo kupanda ulingoni dhidi ya Muargentina leo

BONDIA Hassan Mwakinyo anapanda jukwaani usiku wa leo Ijumaa kutetea ubingwa wake wa Mabara wa WBF wa uzito wa Super...

READ MORE

Stars Kuvaa Tunisia Kibabe Leo

TIMU ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo Ijumaa inatarajia kucheza mchezo wake wa tatu wa kuwania kufuzu fainali za...

READ MORE

Mukoko, Kaze Watwaa Tuzo VPL

  KIUNGO wa Young Africans SC ya Dar es Salaam, Mukoko Tonombe, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba msimu...

READ MORE

United Waanza Kuhofia Tabia ya Greenwood

TIMU ya Manchester United imepata hofu kuhusiana na tabia ya kinda wao Mason Greenwood. Klabu hiyo imesema kuwa kuna hofu...

READ MORE

Aubameyang Sasa Anatia Huruma

MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Pierre- Emerick Aubameyang ameendelea kuwashtua wengi kutokana na kiwango ambacho amekuwa akikionyesha msimu huu.   Staa huyo...

READ MORE

Aisha Masaka; Mtambo wa Mabao wa Tanzanite Queens Unaowesumbua Cosafa

JINA la Aisha Khamisi Masaka limekuwa likijijengea umaarufu kadiri siku zinavyozidi kusogea kunako ramani ya soka la wanawake Tanzania na...

READ MORE

Simba: Tutawashangaza Wengi Kimataifa Lunyamadzo Mlyuka,

UONGOZI wa Simba umeweka bayana kwamba utawashangaza wengi kwenye kazi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwa wanaiwakilisha nchi kwenye...

READ MORE

Yanga Yatoa Tamko Kukamatwa kwa Senzo

Uongozi wa mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara Yanga SC, umeeleza kushtushwa na kusikitishwa na tukio la kukamatwa kwa ofisa...

READ MORE

Kaze Ampa Tuisila Mapumziko Maalum Yanga

WAKATI nyota nane wakijiunga na timu za taifa kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021, Kocha...

READ MORE

Mshambuliaji Mpya Yanga SC Kutua Wiki Ijayo

UONGOZI wa timu ya Yanga umesema kuwa unatarajiwa kumpokea mshambuliaji wao mpya Sadio Ntibazonkiza mara baada ya kumalizika kwa mapumziko...

READ MORE

Simba Yampa Tuzo Mbili Tonombe

AKICHEZA Dar es Salaam dabi yake ya kwanza dhidi ya Simba, kiungo mkabaji wa Yanga Mkongomani Mukoko Tonombe amefanikiwa kubeba...

READ MORE

Sababu 5 Simba inawachapa Wanaijeria

KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck pamoja na mabosi wa timu hiyo kwa sasa wanaweza kuanza kufurahia kupangiwa Plateau United FC...

READ MORE

Kaze Aanza Kazi ya Pointi Tisa

BAADA ya kumaliza kibarua chake cha kusaka pointi 12 kwenye mechi zake nne za mwanzo, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric...

READ MORE

Viongozi Simba, Yanga Watambiana Usajili wa Chama

  KUPITIA mitandao mbalimbali ya kijamii viongozi wa Yanga na Simba wameendelea kutambiana juu ya usajili wa kiungo fundi wa...

READ MORE

Senzo Atoa Kauli Nzito Bifu Lake na Simba

BAADA ya jana Novemba 11, 2020, mshauri wa klabu ya Yanga SC, Senzo Mazingisa, kuhojiwa na maofisa wa polisi katika...

READ MORE

Liverpool Yapata Pigo Tena

BEKI wa kati wa klabu ya Liverpool, Joe Gomez, ameripotiwa kupata majeraha makubwa na anatazamiwa kukaa nje kwa muda mrefu....

READ MORE

SBL Yadhamini Mashindano ya Waitara Golf Kupitia Kinywaji cha Johnnie Walker

TAKRIBANI wachezaji 150 wa golf kutoka sehemu mbali mbali hapa nchini wanatarajia kuchuana vikali kwenye mashindano ya kila mwaka maarufu kama  Waitara...

READ MORE

Simba SC yaondoka na mastaa Yanga SC

UPO uwezekano mkubwa wa Kocha Mkuu mpya wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze kupitisha panga zito katika kuelekea usajili wa dirisha...

READ MORE

 Bao la Onyango Lawanyima Mastaa Yanga Sh mil 500

BAO la kusawazisha la beki wa kati, raia wa Kenya, Joash Onyango, limezuia Sh milioni 500 walizoahidiwa wachezaji wa Yanga...

READ MORE

Kaze: Chama, Luis ndiyo hatari Simba

KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze, ametamba kuwa tayari ameshawajua wachezaji hatari wa Simba wa kuwazuia mara watakapokutana...

READ MORE

 Kisa penalti, shabiki Simba afariki dunia

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, shabiki wa Simba ambaye pia ni mwanachama wa timu hiyo kutoka wilayani Misungwi jijini Mwanza,...

READ MORE

Msuva Ajiunga na Wydad Casablanca ya Morocco

WINGA wa Tanzania, Simon Msuva, ameripotiwa kujiunga na klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco kwa mkataba wa miaka minne akitokea...

READ MORE

Samatta Afunguka Kuukosa Mchezo wa Tunisia

NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta, atakosekana katika mchezo wa kwanza wa kufuzu fainali za...

READ MORE

Meneja Yanga Ajibu Tuhuma za Kocha!

MENEJA wa kikosi cha Yanga, Hafidhi Saleh, amesema kuwa Yanga haihusiki kwa namna yoyote na makosa ya mwamuzi wa mchezo...

READ MORE

Senzo Mikononi mwa Polisi

ALIYEKUWA  Mtendaji Mkuu (CEO) wa Simba, Senzo Mbatha,  anashikiliwa na  polisi kwenye kituo cha Oyster Bay ambapo imeelezwa sababu ni...

READ MORE

Deschamps Asema Pogba Hana Furaha Man United

  KOCHA wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps, amesema kiungo wa Manchester United, Paul Pogba, hana furaha na...

READ MORE

Mashabiki 30,000 Waruhusiwa Kuiona Stars na Tunisia

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF),limeruhusu watazamaji kwenye mchezo wa kufuzu AFCON kati ya Tanzania na Tunisia utakaochezwa Novemba...

READ MORE

Mwl. Kashasha: Chama ataisaidia Yanga – Video

MTANGAZAJI na mchambuzi maarufu wa masuala ya michezo nchini, Alex Kashasha ‘Mwalimu Kashasha’, amekiri kuwa kama Yanga itafanikiwa kumsajili kiungo...

READ MORE

Global Yamshangaza Kashasha, Asema ‘Sikujua Kabisa’! – Video

MCHAMBUZI nguli wa masuala ya soka nchini, kwenye kituo cha radio cha TBC Taifa, Mwalimu Alex Kashasha, amefunguka kuwa, hakuwahi...

READ MORE

Chama Awekewa Mil 300 Yanga SC

IMEFAHAMIKA kuwa kiungo mchezeshaji raia wa Zambia, Clatous Chama, amekataa mkataba wa miaka miwili Simba wenye dau la Sh milioni...

READ MORE

Mwamnyeto Aweka Rekodi, Awapoteza Mabeki Wote Bongo

BAKARI Mwamnyeto, nahodha msaidizi wa Yanga, ameweka rekodi ya dakika 810 ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kuwapoteza mabeki wote...

READ MORE

Sven Alia na Penalti

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa timu yao ilistahili kupata penalti katika mchezo dhidi ya Yanga uliochezwa...

READ MORE

Kisa Penalti ya Yanga… Hans Poppe ataka VAR Bongo

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Poppe ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya timu...

READ MORE

Kapombe: Tunachukua Ubingwa Bara

SHOMARI Kapombe, beki wa kulia mzawa ndani ya kikosi cha Simba ambaye pia jina lake limetajwa kwenye majina ya wachezaji...

READ MORE

Mwamuzi FIFA Afunguka…. Ile Penalti Ya Yanga Mh!

UTATA wa penalti waliyoipata Yanga juzi kwenye mchezo dhidi ya Simba, umezidi kuwa mkubwa kiasi cha Mwenyekiti wa Kamati ya...

READ MORE

Sven Afungia Unahodha wa Zimbwe Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa ndani ya kikosi hicho kuna nyota wengi wanaoweza kuvaa kitambaa cha unahodha...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IjumaaWikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Shangwe la Harmonize Akiwasili Taifa Simba na Yanga – Video

WANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali maarufu Harmonize na Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzi walikuwa sehemu ya watazamaji waliofika...

READ MORE