×

Michezo

Maxime Aitangazia Kiama Simba

KOCHA mkuu wa timu ya Kagera Sugar, Mecky Maxime, ametamba kuibuka na ushindi kwenye mchezo dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa...

READ MORE

Maradona Afanyiwa Upasuaji wa Ubongo

  ALIYEKUWA mchawi wa soka wa Argentina, Diego Maradona, amefanyiwa upasuaji wa ubongo huko La Plata Buenos Aires ambapo kwa...

READ MORE

Liverpool Yaisambaratisha Atalanta Uefa Champions

MECHI za hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa msimu huu 2020/21 zinaendelea kuchezwa kwenye viwanja mbalimbali. Usiku...

READ MORE

Yanga Yazidi Kunoga, Mapinduzi Arejea

HATIMAYE baada ya kuwa nje ya uwanja kwa takriban miezi minne kufuatia jeraha la kifundo cha mguu, kiungo mshambuliaji wa...

READ MORE

Ajibu, Ndemla Wamkosha Mbelgiji Simba

MBELGIJI Sven Vandenbroeck, amefunguka kuwa amekoshwa na viungo wake wawili Ibrahim Ajibu na Said Ndemla ambao walifunga mabao kwenye mechi...

READ MORE

Yanga Yabanwa Mwanza, Sare Yawapeleka Kileleni

Timu ya Yanga leo Novemba 3 imelazimishwa sare bila kufungana dhidi ya Gwambina katika mfululizo wa mechi za ligi kuu...

READ MORE

Sven Amkabidhi Bocco Mikoba ya Kuiua Yanga

BAADA ya kubaini kuwa huenda Simba ikawakosa washambuliaji wake wawili tishio Chris Mugalu na Meddie Kagere kutokana na majeraha, kocha...

READ MORE

Kocha Mwadui FC Apata Kigugumizi, Kisa Vichapo

KOCHA wa Klabu ya Mwadui, Khalid Adam amefunguka kuwa mpaka sasa bado hajajua tatizo ni nini ndani ya kikosi chake,...

READ MORE

Fraga Majanga, Nje Msimu Mzima

  MATUMAINI ya kiungo mkabaji wa Simba, Gerson Fraga raia wa Brazil kurejea uwanjani kwa msimu huu yamefutika baada ya...

READ MORE

Sure Boy: Azam Tunataka Ubingwa

  KIUNGO wa Azam FC, Aboubakar Salum ‘Sure Boy’, amebainisha wazi kuwa licha ya kupoteza pointi tano kati ya sita...

READ MORE

Yanga Kukiwasha na Gwambina FC Mwanza leo

TIMU ya Yanga inashuka uwanjani leo Novemba 3, 2020  kuivaa Gwambina  katika mchezo wa kusaka kujiamini zaidi kwa mchezo ujao...

READ MORE

Mwakinyo Namba 1 Tanzania, Apanda Nafasi Ubora Duniani

MWAKINYO aliyewahi kuwa namba moja Afrika na wa 14 duniani baada ya kumchapa kwa TKO, Samm Eggington wa Uingereza aliyekuwa...

READ MORE

Fei aanza kuota ubingwa mapemaaa

  KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amesema kuwa malengo yao kama wachezaji msimu huu ni kuhakikisha wanaipatia ubingwa...

READ MORE

Cedric Kaze Aitangazia kiama Gwambina

BIG bosi wa benchi la ufundi la Yanga, Mrundi Cedric Kaze, amefunguka kuwa licha ya mwenendo usio mzuri walionao wapinzani...

READ MORE

Mkitoka Mkatambike! Matajiri 6 Waunganisha Nguvu Yanga

IMEFICHUKA kuwa viongozi wa Yanga wameunda kamati mpya ya Mipango na Ushindi inayoongozwa na mabilionea, Rais wa Makampuni ya GSM,...

READ MORE

Sven: Yanga SC Lazima Wafe Jumamosi

BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mwadui, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ametamba kuwa kwa...

READ MORE

Simba, Namungo Muda wa Kimataifa Huu

MWEZI Novemba umeingia na taratibu umeanza kwenda mbele kuelekea siku zake za kumalizika na kuja mwezi mwingine. Katika soka kwa...

READ MORE

Kagere, Mugalu Hatihati Kuikosa Yanga

IMEELEZWA kuwa huenda washambuliaji hatari wa Simba, Meddie Kagere na Chris Mugalu, wakaikosa mechi dhidi ya Yanga kutokana na majeraha...

READ MORE

Cedric Kaze: Mtamuelewa tu Sarpong

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amesema ana imani na mshambuliaji wake, Mghana, Michael Sarpong na hivi karibuni wananchi...

READ MORE

Pogba Akiri Kufanya Ujinga Man U

KIUNGO wa kati wa Manchester United, Paul Pogba, amekubali kupokea lawama baada ya kucheza rafu dhidi ya mchezaji wa Arsenal,...

READ MORE

Man United Yachezea Kichapo Dhidi ya Arsenal

KOCHA wa Arsenal, Mikael Arteta,  amevunja mwiko baada kushinda  dhidi ya Manchester United kwenye mechi ya ligi  ya Uingereza kwenye...

READ MORE

Lusajo Aahidi Mabao 15 Ligi Kuu

MSHAMBULIAJI wa KMC, Relliants Lusajo, ameweka wazi kuwa mikakati yake msimu huu ni kuifungia timu hiyo mabao yasiyopungua 15 katika...

READ MORE

Tukutane kwa Mkapa

  SIMBA imeamka! Wenyewe wanasema kwa mziki huu, tukutane kwa Mkapa Jumamosi ijayo tuoneshane makali jeuri ya Simba imekuja baada...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IjumaaWikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Red Devils Kuwakaribisha Arsenal Leo Old Trafford

Leo Jumapili ni siku nzuri ikipambwa na soka lenye viwango thabiti katika Ligi ya Uingereza – EPL! Kuna kitu kizuri...

READ MORE

Prince Dube Akwama Kwa Dakika 270 Bongo

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube raia wa Zimbabwe, ameshindwa kufunga bao kwenye mechi tatu mfululizo ndani ya Ligi Kuu...

READ MORE

Solskjaer Amuhofia Arteta

BOSI wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema anatarajia kuwa na mchezo mgumu mbele ya Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta...

READ MORE

Laptop Yafichua Hujuma Simba SC

HATIMAYE siri imefi chuka kuwa kompyuta mpakato ‘laptop’ aliyokuwa akiitumia mtendaji mmoja wa Simba ndiyo imeonyesha kuwa timu hiyo inahujumiwa...

READ MORE

Mabosi Simba Wakutana Kuijadili Yanga

BODI ya Wakurugenzi ya Simba imekuwa na vikao vya mara kwa mara kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya klabu...

READ MORE

Simba Sc Yaipa Kipigo Hevi Mwadui

BAADA ya kuchezea vichapo viwili mfululizo timu ya Simba leo, Jumamosi, Oktoba 31, 2020, imeshinda kwa kishindo baada ya kuichapa...

READ MORE

Wananchi Dozi Tu

TIMU ya Yanga ambao wanajiita ‘Wananchi’ imeendeleza wimbi la ushindi baada ya leo kuvunja mwiko wa kuifunga Biashara United ya...

READ MORE

Kaze Atafuta Rekodi Mpya Leo Yanga

LEO Jumamosi, Kocha Mkuu wa Yanga anatarajiwa kuandika historia mpya wakati timu hiyo ikijiandaa kuwavaa Biashara United ya mkoani Mara...

READ MORE

Fainali Ligi ya Mabingwa Yapigwa Kalenda

SHIRIKISHO  la Soka Barani Afrika (CAF) limelazimika kuahirisha fainali ya Ligi ya Mabingwa iliyokuwa ichezwe Novemba 6, 2020, kutokana na...

READ MORE

Twaha Kiduku Ambomoa Mthailand kwa TKO, Amtaka Mwakinyo – Video

Bondia Mtanzania, Twaha Kiduku amemtwanga bondia Sorimongkhon kutoka Thailand kwa TKO raundi ya saba.            

READ MORE

Luis Amvuta Simba Lau Há King wa UD Songo

MEFAHAMIKA kuwa, kiungo mshambuliaji wa Simba raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, ndiye aliyetoa mapendekezo ya usajili wa kiungo mshambuliaji, Pachoio...

READ MORE

Malaria Yamuendesha Carlos Carlinhos

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kuteswa na Ugonjwa wa Malaria uliosababisha asiwemo katika...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Huyu Hapa Raia wa Kenya

TAARIFA zinasema kuwa, Klabu ya Simba, ipo kwenye mazungumzo na Kocha Abdul Idd Salim raia wa Kenya kwa ajili ya...

READ MORE

Mwamuzi Shomari Lawi Afungiwa Miezi 12

MWAMUZI Shomari Lawi leo Oktoba 29, 2020 amefungiwa miezi 12 kwa kushindwa kuumudu mchezo namba 50 wa Tanzania Prisons FC...

READ MORE

Morrison Afungiwa Mechi Tatu Ligi Kuu, Apigwa Faini

Mchezaji wa Simba SC, Bernard Morrison amepigwa faini ya Tsh. 500,000 na kufungiwa mechi 3 kwa kosa la kumpiga ngumi...

READ MORE