×

Michezo

Simba Yapangua Benchi la Ufundi

Klabu ya soka ya Simba imetoa taarifa kwa umma kuwa kwa makubaliano ya pande zote mbili imeachana rasmi ba kocha...

READ MORE

Man United Chelsea Zatakata Uefa

KIVUMBI cha Uefa Champions League kimeendelea jana usiku na kushuhudia timu vigogo za Manchester United, Barcelona PSG na Chelsea zikiibuka...

READ MORE

Sababu Hii…Morrison nje Simba vs Yanga SC

NYOTA wa Simba, Bernard Morrison huenda ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaoihusu timu yake ya zamani ya Yanga unaotarajiwa...

READ MORE

GSM Yamtengea Mamilioni ya Usajili Kaze

BAADA ya usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Burundi, Said Ntibazonkiza uongozi wa Yanga umesema kuwa upo tayari kufanya usajili...

READ MORE

Simba Yapiga Chini Wanne

KLABU ya Simba imewafuta kazi Mwarami Mohamed (kocha wa magolikipa) na Patrick Rweyemamu (meneja wa timu] kutokana na matokeo mabaya...

READ MORE

Rais Barcelona Abwaga Manyanga

  KLABU  ya Barcelona imetangaza rasmi aliyekuwa Rais wao, Josep Maria Bartomeu, amejiuzulu nafasi hiyo pamoja na bodi yote ya...

READ MORE

Timu ya Banda Yauzwa, Atua Bongo

BEKI wa zamani wa Simba ambaye anakipiga ndani ya Highland Parks FC ya nchini Afrika Kusini, Abdi Banda amerejea nchini...

READ MORE

Julio: Tatizo la Simba ni Kocha Tu

ALIYEWAHI kuwa kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amemtaja kocha wa timu hiyo, Sven Vandenbroeck kuwa ndio chanzo cha matokeo...

READ MORE

Askari Wamnusuru Bocco na Kipigo

KATIKA hali ya kushangaza mshambuliaji wa Simba, John Bocco, juzi alinusurika kupigwa na mawe na mashabiki wa timu hiyo kufuatia...

READ MORE

Kaze Amtaja Staa Wake Yanga

KOCHA wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amefunguka kuwa anafurahishwa na mshambuliaji wa kati wa timu hiyo, Wazir Junior kutokana na...

READ MORE

Mpambano wa Magwiji wa Soka Duniani- Juventus vs Barcelona

Mchezo uliosubiriwa kwa hamu – Juventus vs Barcelona Msimu mpya wa Ligi ya Mabingwa ulishaanza! Wiki iliyopita, michezo ya mzunguko...

READ MORE

Kinda Man City Adaiwa Kujiua Baada ya Kuachwa

  KINDA wa Man City, Jeremy Wisten (17),  inadaiwa kuwa amejiua kutokana na msongo wa mawazo baada ya kuachwa na ...

READ MORE

Sarpong: Yanga Subirini Nitafunga Sana

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, amesema kuwa anaamini wakati wake wa kufunga mabao ndani ya timu hiyo umeshafika baada...

READ MORE

Simba Yatoa Tamko Baada ya Kuchezea Vichapo Viwili

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck,  ambaye ni raia wa Ubelgiji akisaidiana na...

READ MORE

Winga Hatari wa Msumbiji Anakuja Simba SC

NAELEZWA uongozi wa Simba upo katika mchakato wa kumshu-sha winga wa kimataifa wa Msumbiji, Pachoio Lau Há King ‘Lau King’...

READ MORE

Azam Wachezea Kichapo Mbele Ya Mtibwa

Azam Fc baada ya kuanza vizuri kwa kushinda mechi zote saba za ligi kuu bara, leo matajiri hao wa jiji...

READ MORE

Simba ‘Wapapaswa’ na Ruvu Shooting

Timu ya Simba imekubali kufungwa  kwa mara ya pili mfululizo kwenye Ligi Kuu ya Vodacom,  kwenye Uwanja wa Uhuru kwa...

READ MORE

Novatus Dismas: Nimetimiza Ndoto ya Kucheza na Samatta Ulaya

BAADA ya kufanikiwa kulamba dili la kusajiliwa na Klabu ya Macabi Tel Aviv inayoshiriki Ligi Kuu Israel kiungo kinda aliyekulia...

READ MORE

Simba Sasa ni Ushindi tu

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba, leo Jumatatu wana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting ambayo...

READ MORE

Mwamnyeto Ampoteza Mazima Onyango

BEKI wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ambaye ni mzawa, amempoteza mazima beki kisiki wa Simba, Joash Onyango raia wa...

READ MORE

Mtibwa, Azam FC Watoleana Vitisho

KESHO Jumatatu kuanzia saa 10:00 jioni, Mtibwa Sugar watapambana na vinara wa Ligi Kuu Bara, Azam kwenye Uwanja wa Jamhuri,...

READ MORE

Yanga ya Kaze Kama Wafalme, Kukipiga na KMC Kirumba leo

MAPOKEZI waliyopewa Yanga ya Kocha Cedric Kaze walipotua jijini Mwanza hapo jana tayari kwa kuwavaa KMC leo Jumapili, ni kama...

READ MORE

Mishahara ya Makocha Bongo Gumzo

VITA kubwa ni kwenye kusaka pointi tatu ndani ya uwanja na zile tatu bora ni balaa kwa sasa ambapo Azam...

READ MORE

Msikiti wa Samatta Waanza Kutumika – Video

WAKAZI wa Vikindu Kidubwa Mkoa wa Pwani, wameanza kuutumia msikiti unaojengwa na mshambuliaji wa Fenerbahce, Mtanzania, Mbwana Samatta, licha ya...

READ MORE

Kaze: Mbona Bado, Mtafurahi Sana Yanga

BAADA ya kupata ushindi katika mchezo wake wa kwanza, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze, amesema kuwa amefurahishwa na...

READ MORE

Hofu Yatanda Majeruhi Simba SC

MAMBO ni magumu kwa Klabu ya Simba kutokana na kuandamwa na wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza kusumbuliwa na majeraha...

READ MORE

Azam FC Yazishika Koo Simba, Yanga

AZAM FC imejitamba kuendeleza dozi kwa timu kongwe za Simba na Yanga kwa kusema kila mechi wanayocheza kwao ni fainali...

READ MORE

Chelsea Kuendeleza Uteja Kwa Mashetani Wekundu?

UHONDO  wa Ligi kuu ya Uingereza (EPL) unaeendelea ikiwa mechi kubwa inayosubiriwa ni kati ya Manchester United ambao watakuwa kwenye...

READ MORE

Baada ya Ushindi, Yanga Yatahadharishwa

Kocha mkuu wa KMC Habibu Kondo, amewatahadharisha Yanga kutokwenda na matokeo kichwani katika mechi dhidi yao itakayochezwa Jumapili ya tarehe...

READ MORE

Al Ahly Watinga Fainali Mabingwa Afrika

KIGOGO wa soka kutoka Morocco, Wydad Casablanca, amekubali kapigika nje-ndani kwenye mtanange wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika...

READ MORE

EL Clasico – Mechi ya Kipekee, Barcelona Kuwakaribisha Real Madrid

Ni mara chache sana kuona mechi inateka hisia za mashabiki ulimwenguni kama ilivyo El Clasico! Hilo sio jambo la kushangaza...

READ MORE

Mdose: Kitakachoikuta E- Media Watasimulia

BEKI wa kati wa kutegemewa ndani ya kikosi cha Global FC, Omary Mdose, ameeleza kuwa wameshanoa makali yao tayari kwa...

READ MORE

Uwanja wa Mkapa Wafungwa

BODI  ya Ligi kuu Tanzania (TBLP) imetoa taarifa kuwa mechi zote za Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2020/21 zilizopangwa...

READ MORE

Kaze Asaka First Eleven ya Kuiangamiza Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, anataka kukibadilisha kikosi chake hicho kabla ya kuwavaa wapinzani wao Simba, Novemba 7.  ...

READ MORE

Rekodi za Dube Zamfunika Kagere

MASHABIKI wamelinganisha kasi aliyoanza nayo mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Meddie Kagere na hii aliyoanza nayo straika...

READ MORE

Mugalu Out Simba, Ajitonesha Nyonga

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Mkongomani, Chris Mugalu, jana ameukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara baada ya kujitonesha maumivu ya nyonga...

READ MORE

Yanga Yaipiga Polisi Tanzania Bao 1-0 Uwanja wa Uhuru

 Timu ya Yanga imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania...

READ MORE

Cedric Kaze Aliamsha Yanga SC

KATIKA kuhakikisha wachezaji wake wanaongeza fi tinesi ya uwanjani, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amepiga marufuku ulaji wa...

READ MORE

Kaze Awaondoa Wanne Yanga

KATIKA kuelekea mchezo wa leo Alhamisi katika Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze amewaondoa wachezaji wanne...

READ MORE