×

Michezo

Simba Yampa Mugalu Dakika 180 za Mauaji

NYOTA wa Simba mwenye zali la kutupia kwenye kila mechi ndani ya Ligi Kuu Bara, Chris Mugalu ametengewa dakika 180...

READ MORE

Cedric Kaze Azua Utata Yanga SC

KOCHA mkuu mpya wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze ambaye alitarajiwa kutua usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita, sasa atatua Jangwani Jumatano...

READ MORE

Cioaba: Azam Hatuna Presha na Simba, Yanga

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Mromania, Aristica Cioaba amesema kuwa hawezi kuwa na presha yoyote kutoka kwa wapinzani wake wakiwemo...

READ MORE

Kaze Aanza Kazi Yanga

IMEELEZWA kuwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze raia wa Burundi, tayari ameanza kazi ya kukinoa kikosi hicho kwa kutuma...

READ MORE

Tanzania Vs Burundi – Mashabiki Wawapa Samatta, Msuva Mzigo -Video

 LEO Jumapili pale Uwanja wa Mkapa jijini Dar, Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kukipiga dhidi...

READ MORE

Taifa Stars Tutoeni Kimasomaso Leo Uwanja wa Mkapa

LEO Jumapili pale Uwanja wa Mkapa jijini Dar, Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kukipiga dhidi ya...

READ MORE

Dube: Nataka Kuwa Bora Zaidi

BAADA ya kufanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Septemba ndani ya Ligi Kuu Bara, straika wa Azam FC, Prince...

READ MORE

Msuva: Tunaanza na Burundi, Tunisia Wajiandae

NYOTA wa Kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa kwenye Klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco, Simon Msuva, amewajaza...

READ MORE

Fraga, Bocco Chini ya Uangalizi Simba

MASTAA wa Simba, jana wameanza mazoezi ya gym huku kiungo wa timu hiyo Gerson Fraga na mshambuliaji John Bocco wakiwekwa...

READ MORE

Roy Keane: Wachezaji Watamfukuzisha Kazi Ole Man U

ROY Keane amewajua juu wachezaji wa Manchester United kwa kusema kuwa kucheza kwao hovyo na kufungwa mabao 6-1 na Tottenham...

READ MORE

Pogba: Ni Ndoto Yangu Kucheza Madrid

PAUL Pogba ametoa kauli ambayo inamaanisha au inaonyesha kuwa anaweza kuondoka ndani ya Manchester United, hiyo ni baada ya kusema...

READ MORE

Warizi Mkuu Mgeni Rasmi Mechi ya Taifa Stars na Burundi

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ndiye atakuwa mgeni rasmi wa mechi ya kirafiki ya kimataifa, ambapo Taifa Stars kesho...

READ MORE

Tambwe Afichua Siri za Kocha Yanga

MSHAMBUALIAJIwa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amefunguka kuwa Yanga imepata bonge la Kocha Cedric Kaze ambaye anapenda soka la...

READ MORE

Cioaba na Dube Wapeta Mwezi Septemba

ARISTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC ameteuliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu Bara mwezi Septemba pamoja na mshambuliaji...

READ MORE

Stars: Tunawapiga Burundi, Tunaandika Rekodi

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, amesema kuwa wataandika rekodi mpya Uwanja wa Mkapa...

READ MORE

Saleh Jembe Atamba Kuwanyoosha Azam Media

MHARIRIMtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Saleh Ally ‘Saleh Jembe’ ametamba kuwa vijana wake wataibuka na ushindi mnono dhidi ya...

READ MORE

Antonio Nugaz Apongezwa Kwa Uchapaji Kazi Yanga

Mchambuzi wa soka wa kituo cha runinga cha Azam TV ambaye pia ni mwandishi, Gift Macha Oktoba 9, 2020 ametoa...

READ MORE

Gor Mahia Yavunja Mkataba na Kocha Wake

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Kenya Gor Mahia wameachana na kocha Steven Polack.   Polack aliiandikia barua klabu  hiyo akielezea...

READ MORE

Ufaransa vs Ureno, Hapatoshi Jumapili Hii

Moja ya mtanange mkubwa kwenye UEFA Nations League wiki hii ni kati ya mabingwa wawili. Ufaransa ambaye ni bingwa kombe...

READ MORE

Yanga Kutesti Silaha Zake leo Chamazi

IKIJIANDAA na mchezo wake dhidi ya Simba pamoja na mingine ijayo, Yanga, leo Ijumaa inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi...

READ MORE

TFF Yamchelewesha Kaze Yanga SC

KUFUATIA Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza kusogeza mbele mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga ‘Kariakoo Dabi’ kumesababisha...

READ MORE

Bocco Aondolewa Kambi ya Stars

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Ettiene Ndayiragije amemuondoa mshambuliaji wa timu hiyo, John Bocco kwenye kambi ya timu hiyo.  ...

READ MORE

Mbio za Rock City Marathon 2020 Zazinduliwa Rasmi

Dar es Salaam, Octoba 9, 2020: Msimu wa 11 wa mbio za Rock City Marathon zinazofanyika kila mwaka jijini Mwanza...

READ MORE

Arsenal Yawakera Atletico Kisa Thomas Partey

KLABU ya Atletico Madrid imeripotiwa kuwa kwa siku za karibuni, haina mpango wa kufanya biashara tena na Arsenal kutokana na...

READ MORE

Robin van Persie Aukubali Usajili wa Cavani Man U

STRAIKAwa zamani wa Manchester United, Robin van Persie, amesema angalau safari hii klabu hiyo imeweza kusikiliza mawazo yao kwa kusajili...

READ MORE

Mourinho Awataja Walioimaliza Man United

KOCHA wa Tottenham, Jose Mourinho amesema kuwa aliwatuma mabeki wake, Serge Aurier na Sergio Reguilon kuhakikisha wanadili na Marcus Rashford...

READ MORE

Lamine Rasmi Nahodha Mpya Yanga

YANGA Oktoba 8, 2020 uongozi umetangaza rasmi beki Lamine Moro kuwa nahodha wao mpya akichukua nafasi iliyoachwa wazi na kiungo...

READ MORE

Mapya Yaibuka Kikosini Cha Yanga

WAKATI mashabiki wa Yanga wakimsubiria kwa hamu kubwa kocha mpya wa timu hiyo, Cedric Kaze raia wa Burundi, imebainika kuwa...

READ MORE

Wanasoka Walipwao Mkwanja Mrefu Zaidi Duniani 2020

LINAPOKUJA suala la kupima wachezaji wazuri katika mchezo unaoshabikiwa sana, macho yote huangazia wachezaji wawili walio na upinzani mkali na...

READ MORE

Yanga Kigelegele: Mashabiki Punguzeni Mihemko Viwanjani

SHABIKI maarufu wa Yanga, Anuary Wambura ‘Yanga Kigelegele’, amewataka mashabiki wa Simba na Yanga kupunguza mihemko wanapokuwa viwanjani ili kuepuka...

READ MORE

Kagere Mwacheni Nyie! Aweka Rekodi

MSHAMBULIAJI wa Simba raia wa Rwanda, Medie Kagere, ameweka rekodi ya kucheza michezo mitatu ya Ligi Kuu Bara huku akipachika...

READ MORE

GSM Wampa Kaze Majukumu Mawili Yanga SC

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa haujamleta Kocha Mrundi, Cedric Kaze kwa ajili ya kuifunga Simba pekee, bali ni kuipa mataji...

READ MORE

Yanga Yachekelea, Simba Yashikwa na Kigugumizi

KUFUATIA Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuupeleka mbele mchezo wa Dabi ya Kariakoo unaozikutanisha Simba na Yanga, viongozi wa...

READ MORE

KMC Mambo Yao Magumu, Yapoteza Kasi

KIKOSI cha KMC ‘Wana Kino Boys’ kimezidi kuwa na majanga ndani ya dakika 180 baada ya kushindwa kufunga bao kwenye...

READ MORE

Dube Aikataa Tuzo ya Kagere Bara

KINARA wa chati ya ufungaji Bongo, Mzimbabwe Prince Dube ameibuka na kubainisha kwamba akili yake ni kuendelea kufunga mabao ambayo...

READ MORE

Burundi Yawasili TZ Kuikabili Taifa Stars

Timu ya Taifa ya Burundi tayari imewasili nchini kamili kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa ulio kwenye kalenda...

READ MORE

Morrison, Mugalu Wateketeza Mamilioni

MASTAA 22, wanaounda kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara klabu ya Simba wakiwemo, Benard Morrison na Chris Mugalu...

READ MORE

Kocha Mpya Yanga Apiga Simu Kambini

HUKU Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Injinia Hersi Said, akisema kuwa watamtangaza...

READ MORE

Samatta: Tutaifunga Burundi Jumapili

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, amefunguka kuwa anaamini kikosi cha Stars kitapata matokeo mazuri...

READ MORE

Wachezaji wa Simba Walioitwa Timu za Taifa

KLABU ya Simba imewataja wachezaji wake wa kimataifa ambao wameitwa kwenye timu zao za Taifa ambazo wikiendi ijayo zitacheza michezo...

READ MORE