×

Michezo

HAPATOSHI Samakiba LEO: Huku Morrison Kule Chama

HAPATOSHI leo katika Uwanja wa Mkapa uliopo jijini Dar wakati vikosi vya Timu Samatta na Timu Alikiba vitakapomenyana katika mchezo...

READ MORE

Chama Mchezaji Bora VPL, Simba Yang’ara Tuzo za VPL

CLATOUS Chama, kiungo bora wa msimu wa 2019/20 anayekipiga ndani ya Klabu ya Simba leo kwenye kilele cha Tuzo za...

READ MORE

Baba Abariki Sure Boy Kutua Yanga

BABA mzazi wa kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Abubakar Salum amesema ni muda muafaka kwa mwanaye kukipiga...

READ MORE

Usajili Mwingine Mkubwa Yanga Unakuja Wa Kimataifa

MKURUGENZIUwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said ni kama amewatisha wapinzani wao Simba baada ya kutoa kauli kuwa baada ya kufanikisha...

READ MORE

Azam Rasmi Yamruhusu Sure Boy Kutua Yanga

RASMI uongozi wa Azam FC umekubali kumruhusu kiungo wao mkongwe fundi, Salum Abubakary ‘Sure Boy’ kujiunga na Yanga kwenye msimu...

READ MORE

Ujio Wa Kocha Mpya Yanga, Ripoti Kamili Hii Hapa

BAADA ya kutambulisha vifaa vyao vipya ambavyo watavitumia kwa msimu ujao akiwemo beki Bakari Mwamnyeto, mabosi wa Yanga, wiki ijayo...

READ MORE

Ligi ya Mabingwa Yarejea, Robo Fainali Kupigwa leo na Kesho

Michuano mikubwa ya soka Ulaya, inarejea wikiendi hii baada ya mapumziko ya miezi mitano na Meridianbet kama mtayarishaji amefanya la...

READ MORE

GSM Yataja Siku Ya Kutua Tonombe, Tuisila Yanga

RASMI Kampuni ya GSM chini ya Mkurugenzi wa Uwekezaji, Injinia Hersi Said imesema kuwa wachezaji wao wa kimataifa wataanza kutua...

READ MORE

Robo Fainali Europa: Wolves vs Sevilla, Man U vs Copenhagen

LIGI ya Europa imeendelea jana katika hatua ya mtoano ya 16 bora ambapo timu za Sevilla, Basel, Bayer Leverkusen na...

READ MORE

Morrison Aiteka Shoo Mazoezi ya Team Kiba – Video

MAZOEZI ya kikosi cha Team Kiba ambayo yamefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wachezaji wakijiandaa kuivaa Team...

READ MORE

🔴#LIVE: JPM Achukua Fomu NEC, Lissu na Wadhamini Waitwa Kortini

KATIKA Kipindi cha 255 Front Page, leo Agosti 08, wachambuzi wamechambua kuhusiana na Rais Magufuli kuchukua fomu ya Urais NEC...

READ MORE

Simba Yamteka Beki Mpya Wa Yanga SC

NI umafia juu ya umafia! Baada ya Yanga kuwazidi kete Simba kwa kumsajili Bakari Mwamnyeto, Wekundu hao wa Msimbazi wamejibu...

READ MORE

Shiboub Apewa Ofa Nono Yanga, Akubali Kusaini

WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM, imempa ofa kiungo mchezeshaji fundi wa Simba raia wa Sudan, Sharraf Eldin Shiboub kwa...

READ MORE

Tshishimbi Akubali Yaishe Yanga, Aomba Kusaini

KIUNGO mkabaji raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, amekubali yaishe na kukubali kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Yanga.Hiyo ikiwa ni...

READ MORE

Wazir Junior Apewa Tuzo Ya Mchezaji Bora Mwezi Julai

MSHAMBULIAJI wa Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Julai wa Ligi Kuu ya Vodacom...

READ MORE

Breaking: Ninja Asaini Miaka Miwili Yanga

BEKI wa kati Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’ leo Agosti 6 amesaini dili la miaka miwili kuitumikia Klabu ya Yanga. Ninja...

READ MORE

Young Africans Wamnasa David Richard

UONGOZI wa Klabu ya Young Africans (Yanga)  umekamilisha taratibu za kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa pembeni wa Alliance FC ya jijini...

READ MORE

Yanga Kuingia Kambini Agosti 10

Klabu ya Yanga leo Agosti 12, 2020 imetangaza kuingia kambini rasmi Jumatatu Agosti 10, 2020 kujiandaa na msimu mpya. Taarifa...

READ MORE

Simba Yatangaza Usajili Kabambe

IMEBAINIKA kuwa baada ya Simba kumalizana na usajili wa wachezaji wawili David Kameta na Charles Ilanfya, timu hiyo haina mpango...

READ MORE

Sinema ya Morrison vs Yanga Kumalizwa Agosti 10

SHIRIKISHO la kabumbu nchini Tanzania (TFF) limesema hukumu ya madai ya kughushi saini ya mchezaji Bernard Morrison itatolewa Agosti 10,...

READ MORE

Samatta: Alikiba Usinifokee

NAHODHA wa timu ya taifa ya soka nchini (Taifa Stars) na mchezaji wa Klabu ya Aston Villa ya Ligi Kuu...

READ MORE

Tangalo Rasmi Miaka Miwili Namungo FC

  FREDDY TANGALO, kiungo wa Lipuli, jana Jumatano, Agosti 5, 2020, amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Klabu ya...

READ MORE

Yanga Yaachana na Juma Abdul

JUMA ABDUL, ameachana na timu yake ya Yanga, jana Agosti 5, 2020, baada ya kushindwa kufikia makubaliano kwenye suala la...

READ MORE

Straika Mpya Yanga Aitisha Simba

MSHAMBULIAJI mpya wa kikosi cha Yanga, Waziri Junior ametamba kuwa ametua ndani ya klabu hiyo ili kumaliza utawala wa muda...

READ MORE

Yanga Yajifungia Hotelini, Kumsajili Hassan Kessy wa Nkana

KAMPUNI ya GSM iliyochukua jukumu la usajili Yanga kwenye msimu ujao, imemuwekea kitita cha Sh 50Mil, beki wa pembeni wa...

READ MORE

Kiba: Magufuli Anaweza Kufanya Sapraizi SamaKiba

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba leo an Samatta wamezindua rasmi mchezo wao na Samatta ikiwa ni muendelezo wa...

READ MORE

Eymael Aigomea Adhabu ya TFF, Asema Aipo Kisheria

ALIYEKUWA kocha mkuu wa klabu ya soka ya Yanga, Luc Eymael amesema kuwa hakubaliani na adhabu iliyotolewa na Shirikisho la...

READ MORE

Simba Queens Kutangaza Ubingwa Leo

SIMBA Queens huenda ikatangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu endapo itaibuka na ushindi mbele ya...

READ MORE

Alikiba: Zamu Yetu Kuwapiga Team Samatta

MFALME wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka kuwa Team Kiba hawatakubali tena kufungwa na Team Samatta katika mtanange wa hisani wa...

READ MORE

Europa League Yafika Patamu! Man United Kucheza Leo

Siku tuliyokuwa tunaingoja hatimaye imewadia sasa Ligi ya Europa imerudi! Mashabiki wa soka ulimwenguni watashuhudia mashindano ya hadhi ya kidunia...

READ MORE

Zimbabwe: Rais Mnangagwa Aapa Kupambana na Wapinzani

Rais Emmerson Mnangagwa ameapa kupambana vikali na wapinzani na wanaharakati baada ya kuongezeka kwa maandamano. Pia, amevishutumu vyama na nchi...

READ MORE

Man U Yafunga Kazi kwa Sancho

Jadon Sancho ameripotiwa kuwa tayari ameingia makubaliano na Manchester United na hivyo yupo tayri kudondosha saini kwa kandarasi ya miaka...

READ MORE

Man United Yamalizana na Sanchez

Manchester United hatimaye imemalizana na Alexis Sanchez baada ya klabu ya Inter Milan kukubali kumsajili nyota huyo raia wa Chilea...

READ MORE

Yanga Yatema Nyota 14 – Tshishimbi, Banka, Ngassa, Molinga…

YANGA Agosti 3, 2020 wametangaza nyota wake 14 waliowaacha huku mchezaji wao wa kigeni, Bernard Morrison, akiachwa kikosini kwa msimu...

READ MORE

Yanga Yasajili Mashine Nne kwa Mpigo

JEURI ya fedha! Ndivyo utakavyoweza kusema hivi sasa baada ya Kampuni ya GSM kutumia Sh milioni 210 kufanikisha usajili wa...

READ MORE

Nyota Mpya Simba Atamba Kufanya Maajabu

CHARLES Ilanfya, straika mpya ndani ya Klabu ya Simba ambaye inaelezwa kuwa amesaini dili la kuitumikia klabu hiyo kwa msimu...

READ MORE

Mauya: Nilishuhudia Mwenzangu Akichomwa Kisu Alipofunga Bao

MBIO za usajili wa wachezaji wapya kwa ajili ya msimu wa Ligi Kuu Bara 2020/21 zimeanza kwa kasi ndani ya...

READ MORE

Maximo Rasmi Atuma CV Zake Yanga

JINA la Mbrazili, Marcio Maximo ni kati ya makocha 60 waliotuma maombi ya kuifundisha Yanga katika msimu ujao.   Yanga...

READ MORE

Sh mil 60 Zamzuia Beki KMC Kusaini Yanga

IMEFAHAMIKA kuwa Sh 60Mil za kuuvunja mkataba kwenye klabu yake ya KMC, ndizo zimechelewesha mipango ya Yanga kufanikisha usajili wa...

READ MORE

Simba Queens Kutangaza Ubingwa na Mechi Mkononi

KLABU ya Simba Queens huenda ikatangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu endapo itaibuka na ushindi mbele ya Baobab Queens,...

READ MORE