YANGA jeuri banaa! Imepanga kuzindua jezi zao za msimu mpya kwenye Hoteli ya Serena ya jijini Dar es Salaam. Wiki...
READ MORESIKU chache baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harison Mwakyembe kuzitaka klabu kuwa na wawekezaji zaidi...
READ MOREKESHO Jumapili nyasi za Uwanja wa Jamhuri, Morogoro zitawaka moto kutokana na tamasha kubwa la Faith Baptist Church kufanyika uwanjani...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Yanga, raia wa Dr Congo Mwinyi Zahera, leo Jumamosi atakuwa sehemu ya benchi la ufundi la Yanga...
READ MOREKIPA mpya wa Yanga raia wa Kenya, Farouk Shikalo, amejikuta akiwapagawisha mashabiki wa timu hiyo ambao wamekuwa wakijazana katika Uwanja...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, baada ya kucheza mechi mbili za kirafiki, amefunguka kuwa anataka kuona wachezaji wanakuwa imara...
READ MOREWACHEZAJI nyota wa Klabu ya Simba wakiongozwa na John Bocco, Ibrahim Ajibu na Jonas Mkude ambao walikuwa nchini Afrika Kusini...
READ MOREBEKI wa kimataifa wa Simba, Pascal Wawa, amefunguka kuwa hana hofu na nafasi yake ndani ya kikosi hicho, kazi ni...
READ MOREKOCHA wa viungo wa klabu ya Simba, Adel Zrane amefurahishwa na uwezo mkubwa alionao beki mpya wa Simba raia wa...
READ MOREKIUNGO mshambuliaji wa Yanga, aliyetupia tatu dhidi ya Moro Academy juzi, Patrick Sibomana, amewaambia mashabiki kwamba ndiyo zake wala hakubahatisha...
READ MOREALIYEKUWA Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa klabu ya Simba, Hamisi Kilomoni, leo Alhamisi Julai 25, 2019, ameachiwa na polisi...
READ MOREMLINDA mlango mkongwe nchini, Juma Kaseja ametamba kuwazuia washambuliaji wa timu ya taifa ya Kenya kwenye mechi ya kufuzu michuano...
READ MORETIMU ya Yanga itacheza dhidi ya Kariobangi Sharks ya Kenya katika kilele cha Wiki ya Mwananchi Agosti 4, kwenye Uwanja...
READ MOREBONDIA raia wa Urusi, Maxim Dadashev, amefariki dunia baada ya pambano lake dhidi ya mpinzani wake, Subriel Matias, kumsababishia majeraha...
READ MORESTRAIKA mpya wa Simba, Wilker Henrique da Silva, raia wa Brazil, ameanza kuonyesha cheche baada ya jana kutupia bao moja...
READ MOREHERVE RENARD anajiuzulu kama kocha mkuu wa Morocco baada ya timu hiyo kutolewa mapema katika mashindano ya kombe la mataifa...
READ MOREUPO uwezekano wa mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi kurejea Simba baada ya dili lake na Klabu ya Fujairah ya Falme za...
READ MOREPATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba, ameamua kuwapa dakika 360 wachezaji wake wapya wakiongozwa na Wabazil watatu ili kuona uwezo...
READ MORENYOTA wanne wa kikosi cha Yanga, mapema jana Jumapili, waliondoka kambini mkoani Morogoro na kurudi jijini Dar kuanza kambi ya...
READ MORESIMBA ndiyo klabu pekee kwenye Ligi Kuu Bara na Afrika Mashariki na Kati ambayo msimu ujao itakuwa na wachezaji watatu...
READ MOREMshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale anakaribia kuondoka katika klabu hiyo kulingana na mkufunzi wa klabu hiyo Zinedine Zidane. Mchezaji...
READ MOREKUELEKEA kwenye kilele cha siku ya Wananchi, uongozi wa Yanga umesema kuwa utawapiga mabao mengi AS Vita kwenye mchezo wa...
READ MOREALICHOTAMKA Mnamibia wa Yanga, Sadney Urikhob lazima kiwashtue Simba. Amewaonya kwamba wasitarajie mteremko kutoka kwao kwani amejipanga kufanya maajabu msimu...
READ MORERATIBA ya awali ya Ligi ya Mabingwa imetoka ambapo wawakilishi wa Tazania Simba na Yanga wamezijua timu watakazoanza nazo. Simba...
READ MOREMASHABIKI ambao hawakauki kwenye mazoezi ya Yanga mjini hapa, wamedai hata mabeki wao wa kati, Kelvin Yondani, Andrew Vicent ‘Dante’...
READ MOREMashindano ya Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, Pauline Gekul yaliyopewa jina la Gekul Cup yameendelea kushika kasi huku Hatua...
READ MORESTAA wa Simba, Ibrahim Ajibu Migomba, amefunguka kuwa haitakuwa ajabu kwake kurudi Yanga kwa kuwa bado anaipenda klabu hiyo. ...
READ MOREYANGA imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi zake za kirafiki, baada ya jana asubuhi kuibuka na ushindi wa mabao 2-0...
READ MOREIBRAHIM Ajibu amekiangalia kikosi cha Simba kilichopo nchini Afrika Kusini na kisha akatikisa kichwa na kusema ‘kwa chama hili tunakosaje...
READ MOREALGERIA usiku wa kuamkia leo wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa Afrika baada ya kuwachapa Senegal bao 1-0 kwenye...
READ MOREKAMPUNI ya simu maarufu ya kimataifa, TECNO, imeongeza mkataba wake na klabu bingwa ya England yenye makazi yake jijini Manchester,...
READ MOREMECHI za kufuzu kwa ajiliya fainali za AFCON 2021 zitakazofanyika nchini Cameroon zimeanza, ambapo shirikisho la soka Afrika (CAF) limechezesha...
READ MOREKIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga Mnyarwanda, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amesema kuwa katika kuthibitisha ubora wa ufungaji anaanza na AS Vita...
READ MORESIMBA ambayo ipo kambini nchini afrika Kusini ambapo inatajwa kambi hiyo ni ghrama kubwa, imetangaza kuwa itacheza michezo mitatu ya...
READ MOREUONGOZI wa yanga umefunguka kuwa tayari umekamilisha suala la vibali vya kazi na makazi kwa wachezaji wao wote wapya ambao...
READ MOREMabingwa watetezi wa Kombe la Kagame, Azam FC leo Jumanne Julai 16, 2019 imetinga nusu fainali baada ya kuitoa TP...
READ MOREMshambuliaji wa kimataifa wa Namibia Sadney Urikhob amewasili tayari Tanzania kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Yanga. Urikhob ametua...
READ MOREWINGA mpya matata wa Yanga Mnyarwanda, Patrick ‘Papy’ Sibomana amefurahia mapokezi aliyoyapata Jangwani na kuahidi kuifanyia makubwa timu hiyo ikiwemo...
READ MORE OFISA Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba SC, Crescentius Magori, leo Julai 16, 2019, amefunguka kwamba wameletewa barua ambayo...
READ MORENYOTA mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu. ...
READ MORE