×

Michezo

AFCON 2019: Misri Waichapa Zimbabwe 1-0, Mechi Ya Uzinduzi

WENYEJI  wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika,  Misri,  waeanza kampeni yao ya kuwania taji hilio kwa kuilaza Zimbabwe...

READ MORE

Beki Matata Anukia Man U

MAN United inasemekana ipo kwenye hatua za mwisho za kumsajili beki wa Crystal Palace, Aaron Wan-bissaka, ambaye wamekuwa wanamfukuzia wa...

READ MORE

Sababu za Chirwa Kusaini Azam Hizi Hapa

OBREY Chirwa alitikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mkataba mpya na Azam FC sasa mabosi hao juzi waliweka kwenye listi jina...

READ MORE

Makonda: Nilibezwa Niliposema Nawapa Yanga Kiwanja – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema alibezwa na baadhi ya watu alipotangaza kuipa Yanga eneo.  ...

READ MORE

Obrey Chirwa Asaini Azam, Walitangaza ‘Kumtema’

Mshambuliaji Obrey Chirwa, ataendelea kuitumikia Azam FC na tayari leo mchana amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja. Chirwa raia wa...

READ MORE

Simba Wamsajili Wilker Henrique da Silva wa Brazil

Mshambuliaji Wilker Henrique da Silva mwenye umri wa miaka 23, amesaini mkataba wa miaka miwili kukipiga na mabingwa wa Tanzania...

READ MORE

VIDEO: ROSTAM AZIZ Afunguka Kumiliki YANGA “Kutoa Pesa”

 YANGA sasa ni mwendo mdundo! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini, Rostam Aziz kuweka wazi...

READ MORE

Haji Manara awaonea wivu Yanga

IMEBAINIKA kuwa Simba walikuwa wanawaonea wivu Yanga baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumamosi iliyopita...

READ MORE

BREAKING: Simba Wamsajili Sharaf Eldin Shaiboub wa Al Hilal ya Sudan

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Simba SC, wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya...

READ MORE

Mama Samia Aongoza Harambee Kuichangia Stars Dar – Video

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu  leo Juni 20, 2019 ameendesha harambee maalum ya...

READ MORE

Zahera abadilisha upepo Yanga

BOSI wa benchi la ufundi la Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amewasisitiza viongozi wa timu hiyo kuwapa mikataba...

READ MORE

STARS KUCHANGIWA LEO JIJINI DAR

ZOEZI la kuichangia Taifa Stars ili ifanye vizuri kwenye Afcon inayoanza kesho, linafikia tamati leo Alhamisi katika Hoteli ya Serena...

READ MORE

MNAHESABU LAKINI…YANGA YAMALIZANA NA ALLY ALLY

YANGA Buana! Jana mchana Simba walitupia picha ya beki wao mpya Mbrazil,Gerson Vieira wakawaambia mashabiki wao wakae mkao. Gerson akaibua...

READ MORE

Mo Dewji amshusha wa kumzuia Balinya

MABOSI wa Simba wameamua kuwalipa wenzao wa Yanga ambao walikuwa wanatamba na straika mpya, mganda, Juma balinya baada ya kumshusha...

READ MORE

Balinya: Hata nipangwe na nani Yanga, nitafunga

  NYOTA mpya wa klabu ya Yanga, mshambuliaji Juma Balinya amefunguka kwamba kwake hawazi sana nani ambaye ataanza naye kwenye...

READ MORE

Straika hatari Orlando Pirates kutua Simba, aaga rasmi

Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga....

READ MORE

Kigogo afungukia usajili wa Niyonzima Yanga

UONGOZI wa Yanga umekanusha tetesi za kiungo wao wa zamani Mnyarwanda, Haruna Niyonzima kuwa anaweza kujiunga tena na timu hiyo....

READ MORE

Azam FC Watangaza Kuachana na Chirwa na Wengine Saba

Uongozi wa klabu ya Azam FC umetangaza rasmi kuachana na mshambuliaji wake Obrey Chirwa baada ya kushindwa kufikia makubaliano ya...

READ MORE

Mido wa Singida Kubeba mil 20 Yanga

IMEFAHAMIKA kwamba mido mpya wa Yanga, Kenny Ally ambaye anaichezea Singida United atalamba milioni 20 ikiwa ni sehemu yake ya...

READ MORE

BREAKING: BEKI ‘MWILI-JUMBA’ ATUA SIMBA KWA MIAKA MIWILI

MCHEZAJI wa Singida United, Kennedy Juma,  leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili. Juma anakuwa...

READ MORE

Beki wa Kenya Azua Gumzo AFCON

MLINZI wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars), Joash Abong’o Onyango,  amezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya...

READ MORE

Balinya: Okwi kanileta Yanga SC

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Juma Balinya raia wa Uganda amefunguka kwamba moja ya watu ambao wamechangia yeye kutua Yanga ni...

READ MORE

Siri Yafichuka Mganda wa Simba Alivyotua Yanga

BAADA ya Yanga juzi Jumamosi kutikisha katika usajili kwa kumsajili mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uganda, Juma Balinya ambaye...

READ MORE

Mashabiki Kagera Sugar Wakamatwa, Benchi la Ufundi Lavunjwa

MASHABIKI wa timu ya Kagera Sugar wakamatwa na jeshi la polisi wakiandamana kumpinga kocha wa timu hiyo,  Meck Maxime. Timu...

READ MORE

MAKONDA Atinga Vazi Maalum la Kuishangilia STARS – Video

MKUU  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka Watanzania kwa kushirikiana na wadau wa michezo na serikali ya...

READ MORE

KMC Yaizima Yanga

UONGOZI wa KMC umezima ndoto za Yanga baada ya kuwaongezea mikataba nyota wake wawili Charles Hassan Kabunda pamoja na Charles...

READ MORE

TAIFA STARS Inahitaji Michango, Mwakyembe Afunguka – Video

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe,  amewaomba Watanzania kuichangia Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo ipo...

READ MORE

Kagere Aongeza Miaka Miwili Simba SC

Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Meddie Kagere ataendelea kuwa na Simba Sc baada ya kuongeza mkataba wa miaka...

READ MORE

Pasipoti Yamzuia Aiyee kwenda Sweden

STRAIKA wa Mwadui Salim Aiyee ameshindwa kwenda nchini Sweden baada ya Pasipoti yake kutokukamilika kwa wakati.   Aiyee alitakiwa kusafiri...

READ MORE

Kigwangalla: Fedha za Mlima Kilimanjaro Kutokomeza UKIMWI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dk. Khamis Kigwangala amesema anatarajia kuandaa utaratibu wa makundi ya watu mbalimbali wakiwamo viongozi mashuhuri...

READ MORE

Global FC Yailambisha Mchanga Sinza Veterani

Nahodha wa timu maarufu ya soka Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Sinza Boys Veterani, Ali Ngoti amesema licha...

READ MORE

Simba SC kumtambulisha Ibrahim Ajibu Ijumaa

TIMU ya Simba inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki Juni 21, mwaka huu dhidi ya timu ya Gwambina FC, ambapo Mchezo...

READ MORE

Simba Yaagiza Straika wa Kimataifa

MAMBO ni moto Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuingia msituni kutafuta bonge la Straika...

READ MORE

YANGA YAISIMAMISHA NCHI

YANGA jana ilisimamisha nchi jana kutokea ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kwenye hafla yao maalum ya kubwa...

READ MORE

Tambwe aipa Yanga straika wa Sweden

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe ameitaka klabu hiyo kumsajili straika wa Mwadui FC, Salum Aiyee kwani anaweza kusaidia lakini imevuja...

READ MORE

Kakolanya: Moto Utawaka Msimbazi

  GUMZO la mashabiki ni kwamba Beno Kakolanya anaweza kumuweka benchi Aishi Manula?Amesaini mkataba wa miaka miwili Msimbazi. Lakini ametamka...

READ MORE

Breaking: Sarri Rasmi Atua Juventus, Aondoka Chelsea

Hatimaye leo  Juni 16, 2019 Juventus, wamemtangaza Sarri kuwa kocha wao mpya, akisaini mkataba wa miaka mitatu wa kuinoa timu...

READ MORE

PASHAPASHA YA AFCON 2019: Taifa Stars vs Zimbabwe leo saa 2:00 Usiku

Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ipo nchini Misri ikijiandaa na michuano ya Mataifa ya Afrika AFCON inayotarajia kutimua...

READ MORE

Yanga Wamchunia Boban, Meneja Wake Afunguka

  WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa kimya kwa baadhi ya nyota wake imebainika kuwa hata kiungo mkongwe wa timu hiyo,...

READ MORE

KIBABAGE WA MTIBWA SUGAR AMFUATA MSUVA DIFAA HASSANI EL JADIDA

UONGOZI wa timu ya Mtibwa Sugar umesema kuwa mchezaji wao Nickson Clement Kibabage anataraji kujiunga na Difaa Hassani El Jadida...

READ MORE