×

Michezo

TFF YATOA ONYO KALI KUHUSU MILIONI 50 ZA MAGUFULI

Uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa watanzania waache kumsemea Rais John Magufuli kuhusu milioni 50 alizotoa kwa...

READ MORE

EXCLUSIVE: KOCHA GOR MAHIA AMFUATA BANDA SAUZI

ALIYEKUA kuwa Kocha wa Gor Mahia FC ya Kenya, Dylan Kerr (51), ametangazwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya...

READ MORE

Baada ya Kipigo Lesotho, Taifa Stars Warejea Nchini

Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imewasili jioni ya leo Jumatatu, Novemba 19, 2018 ikitokea nchini Lesotho kwenye mchezo wa...

READ MORE

Mastaa 5 Waliotwaa Taji la Ligi ya UEFA Wakiwa na Timu 2 au Zaidi

KILELE cha sifa katika soka la klabu barani Ulaya ni kushiriki na kutwaa taji la  Ligi ya Ubingwa ya UEFA...

READ MORE

Kapombe kubakia Sauz

BEKI wa kulia wa Simba, Shomari Kapombe, atalazimika kubakia Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu kufuatia majeraha ya kuvunjika mguu...

READ MORE

Man U Yatayarisha Bn. 77 Kumchukua Pellegrine wa Roma

Manchester United ya Uingereza wanatayarisha kitita cha Pauni Bil. 26 kumchukua kiungo wa timu ya Roma ya Italia, Lorenzo Pellegrini,...

READ MORE

Stars yatumia Sh milioni 31 Lesotho

WAKATI kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana kikiwa nchini Lesotho kusaka nafasi ya kufuzu michuano ya...

READ MORE

Simba kumuuza Salamba Ubelgiji

MSHAMBULIAJI wa Simba, Adam Salamba, yupo mbioni kutimkia kwenye Klabu ya Royal Sporting Club Anderlecht inayoshiriki Ligi Kuu ya Ubelgiji....

READ MORE

DIRISHA DOGO SIMBA MZIKI MNENE!

WAKATI usajili Umefunguliwa Novemba 15, mwaka huu, tayari Simba wameshajiweka mguu sawa kuhakikisha wanasajili majembe yanayoweza kuwasaidia kufanya vizuri kwenye michuano...

READ MORE

FULL TIME: TAIFA STARS 0-1 LESOTHO

Mchezo umemalizika, Taifa Stars imepokea kipigo cha Bao 1-0 kutoka kwa Lesetho.

READ MORE

YANGA YASHUSHA MASHINE TATU MPYA

YANGA imempa ruhusa Kocha Mwinyi Zahera, kumalizana na mastaa watatu wa kigeni aliokuwa anawataka na wiki ijayo akisharudi Dar es...

READ MORE

KILA LA KHERI TAIFA STARS, WATANZANIA TUKO NYUMA YENU

TANZANIA leo Jumapili jioni itashuka uwanjani nchini Lesotho kutaka kuandika historia ambayo vijana wengi wa kizazi kipya hawakuwahi kuiona. Inacheza...

READ MORE

Wateule Tuzo ya BBC kwa Mchezaji Bora Afrika 2018 Watangazwa

Wachezaji wa soka barani Afrika walioorodheshwa kuwania tuzo ya Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kwa mwanasoka bora zaidi mwaka...

READ MORE

Beki Rayon: Yanga kwanza, Simba baadaye

WAKATI Simba ikiendelea kumfukuzia beki wa kati wa Klabu ya Rayon ya Rwanda, Abdul Rwatubyaye, mlinzi huyo mwenye tatuu kibao...

READ MORE

Aliyekataliwa Simba awa kipa bora Ethiopia

ALIYEWAHI kuwa golikipa wa Simba SC, Daniel Agyei amechaguliwa kuwa kipa bora wa ligi kuu nchini Ethiopia. Agyei aliyeachwa na...

READ MORE

Bodi ya Mo, Matola kimeeleweka Simba

BODI ya Udhamini ya Simba Sports Club Limited iliyo chini ya mfadhili wao bilionea, Mohammed Dewji ‘MO’ ipo kwenye hatua...

READ MORE

Kapombe apatwa na balaa Sauzi

HOFU imetanda baada ya beki wa kulia wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Shomari Kapombe kuumia katika mazoezi...

READ MORE

Kocha wa Manny Pacquiao Kumsimamia Tyson Fury

KUELEKEA pambano lake dhidi ya Deontay Wilder, bondia Tyson Fury anatarajiwa kumtumia Freddie Roach kuwepo katika kona yake wakati wa...

READ MORE

Samatta atua Sauz kuongeza nguvu Stars

KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars kinatarajiwa kuingia nchini Lesotho tayari kwa mchezo wake wa Jumapili dhidi ya wenyeji...

READ MORE

Mbongo Afunika Mbaya Bundesliga

MDENMARK Yussuf Poulsen, ambaye mama yake ni mtanzania alifunika kwenye Bundesliga baada ya kupiga mabao mawili na kutoa asisti moja...

READ MORE

Thierry Achemka Monaco

KOCHA wa Monaco, Thierry Henry anakabiliwa na presha kubwa kutokana na timu yake kuboronga kwenye Ligue 1. Monaco ilicharazwa mabao 4-0...

READ MORE

Tshishimbi arejea mzigoni Yanga

shimbNYOTA Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi hatimaye amerejea rasmi ndani ya kikosi hicho juzi Jumanne na kuanza mazoezi baada...

READ MORE

Kwa jero tu unashinda uzi orijino wa Simba na Yanga

WASOMAJI kibao wa Gazeti la Spoti Xtra kila Alhamisi na Jumapili watakuwa wakijishindia jezi orijino za Simba na Yanga zenye...

READ MORE

Mipango ya Mo, Okwi tishio CAF

LICHA ya mbwembwe zake na uzoefu wake, Kocha wa Mbabane Swallows ya Swaziland, Thabo ‘Koki’ Vilakati akisikia jina la Mohammed...

READ MORE

MABOSI SIMBA SC WAPEWA MAJINA MAWILI

HATIMAYE mabosi wapya wa Simba wamekabidhiwa majina mawili ya wachezaji wanaotakiwa na Mbelgiji Patrick Aussems kwenye dirisha hili la usajili....

READ MORE

Pluijm: Nitazipoteza Simba na Yanga SC

KOCHA mkuu wa Azam FC, Hans van Pluijm ameibuka na kusema kwamba anachokifanya yeye ni kuzimaliza timu za Simba na...

READ MORE

Mzungu Simba Aanza Vita na Mbabane

KOCHA mkuu wa Simba, Patrick Aussems ameutaka uongozi wa timu hiyo kutuma watu ambao wataenda kuwasoma wapinzani wao, Mbabane Swallows...

READ MORE

Humud azungumzia mustakabali wake

KUELEKEA usajili wa dirisha, kiungo aliyeachana na KMC hivi karibuni, Abdulhalim Humud, ameizungumzia hatma yake baada ya kuachana na timu...

READ MORE

TFF YASHUSHA RUNGU YANGA, YAWAFUNGIA VIGOGO WAWILI – VIDEO

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia kwa Mwenyekiti wake Hamid Mbwezeleni imewafungia wanachama wawili ambao ni...

READ MORE

Mwakyembe Kuhusu Yanga: Manji Asithubutu Kuichezea Serikali

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amemweleza wazi Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji, kuwa...

READ MORE

ALIYEANZISHA KOMBE LA DUNIA HUYU HAPA

UNAPOZUNGUMZIA michuano ya soka, basi ile ya Kombe la Dunia ndiyo inashika namba moja kwa ukubwa na inapendwa sana duniani...

READ MORE

Gaucho Aliwahi Kufunga Mabao 23 Peke Yake Kwenye Mechi Moja

RONALDINHO Gaucho ambaye ni nyota wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, alikuwa akisifika kwa uhodari wake wa...

READ MORE

Sanchez anazungumza na wachezaji watatu tu United

IMERIPOTIWA kuwa Alexis Sanchez hana uhusiano mzuri na wachezaji wenzake, na hiyo imetajwa kuwa ni moja ya sababu zinazomfanya atake...

READ MORE

Pluijm: Kwa Ngoma na Chirwa mbona Ubingwa mapema

BAADA ya uongozi wa Azam hivi karibuni kumtangaza mshambuliaji wao mpya Mzambia, Obrey Chirwa, kocha mkuu wa timu hiyo, Mholanzi,...

READ MORE

Niyonzima alipwa mil 25 kwa mechi moja Simba SC

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Haruna Niyonzima, mambo yake ni magumu ndani ya klabu hiyo na taarifa zinaeleza anataka kusepa baada...

READ MORE

Straika mpya ampa jeuri Zahera

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongoman, Mwinyi Zahera, amesema kuwa wale wanaoponda ushindi kiduchu wa mabao inaoupata timu yake, watanyamazishwa na...

READ MORE

Kazi Imeanza! Manji Athibitisha Kurejea Rasmi Yanga

Baada ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuitaka Yanga kuitisha uchaguzi wake kwa ajili...

READ MORE

 Mzungu amfungukia Kichuya

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems, amefunguka kuwa kitendo cha Shiza Kichuya kutoanza kwenye michezo iliyopita si tatizo, bali...

READ MORE

Kakolanya auwasha moto Yanga SC

KIPA namba moja wa Yanga msimu huu, Beno Kakolanya amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu na kutoumizwa...

READ MORE