×

Michezo

Coastal Yataja Siku Ya Kumtambulisha Ali Kiba

UONGOZI wa Coastal Union ndani ya siku hizi mbili unatarajia kufanya utambulisho wa nguvu kwa nyota wake wapya wa kikosi...

READ MORE

Sanga Ni Wakati Wa Kuiacha Yanga Kwa Wengine

  NI dhahiri kuwa mzigo wa kuiendesha Yanga umekuwa mzito kwa Clement Sanga, hivyo ni wakati wa kuiacha klabu hiyo...

READ MORE

Kagere: Tukitoka Uturuki Mtatukoma

BAADA ya ratiba ya ligi kuu ku­wekwa wazi kuwa itaanza kuunguruma Agosti 22, mwaka huu, mshambuliaji wa Sim­ba, Meddie Kagere...

READ MORE

Real Madrid Wao Ni Mbappe Tu

JINA la Kylian Mbappe linaen­delea kutajwa kuwa mmoja wa wachezaji wanaow aniwa kwa uka­ribu na wababe wa Ulaya, Real Madrid...

READ MORE

Ronaldo Agawa 53m Ya Zawadi

MUDA mfupi baada ya kuanza maisha ya kuwa mchezaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo ameonyesha kuwa yeye ni mtu wa watu....

READ MORE

BREAKING: SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA

  UONGOZI  wa klabu ya Simba umemtangaza rasmi kocha wao mpya raia wa Ubelgiji,  Patrick Aussems, ukisema yuko tayari kuanza...

READ MORE

Mbappe: ‘Jiwe Walilolikataa Cameroon’ Limekuwa Jiwe Kuu la Ufaransa

Kylian Mbappe na baba yake, Wilfried Mbappe. NYOTA wa Kombe la Dunia ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya...

READ MORE

Yanga wajuaji wengi, TFF wenye ‘akili’ wachache

WIKI jana nilielezea kuhu­su mazingira ya Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) kuhusu utendaji kazi wao, nitazun­gumzia na leo tena...

READ MORE

Yondani: Nyie Yanga, Tutakutana Ligi Kuu- Video

BEKI wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani, ame­vunja ukimya kwa kuwa­taka viongozi wa Yanga waache maneno ya kula­lamika na kumtengenezea...

READ MORE

Fei Toto Aanza Na Mkwara Wa Kwanza Yanga Sc

BAADA ya kusaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea Yanga, kiungo mpya wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameibuka...

READ MORE

Kocha Mcongo naye atimka Yanga SC

IMEFAHAMIKA kuwa kocha msaidizi Mkongomani, Guy Bukasa, aliyetua nchini kwa ajili ya kuifundisha Yanga ametimka kimyakimya kwenye klabu hiyo na...

READ MORE

Simba Kushusha Majembe Mawili Ya Kenya, Zambia

IMEBAINIKA kuwa Simba ina mpango wa kusajili washambuliaji wawili wa kimataifa ili kuongeza nguvu katika kikosi hicho ambapo wachezaji hao...

READ MORE

Wajelajela Kwenda Kujichimbia Zanzibar

BAADA ya kumaliza zoezi la majaribio kwa wachezaji watakaoitumikia timu hiyo kwenye ligi kuu msimu ujao,kikosi cha Tanzania Prisons, kinakwenda...

READ MORE

RATIBA YA LIGI KUU BARA IMETOKA, SIMBA VS YANGA KUKUTANA HAPA

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi (TPLB) limetangaza ratiba mpya ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa...

READ MORE

Cavaliers Yasajili Jembe Nafasi Ya LeBron James

CLEVELAND Cavaliers imeendelea kuimarisha kikosi chake baada ya kumnasa mkongwe Channing Frye. Timu hiyo inafanya usajili wa nguvu ili kuhakikisha...

READ MORE

Kagera Sugar Wanaingia Jumatatu

KAGERA Sugar inaingia kambini Julai 23 mwaka huu, tayari kujiandaa na msimu ujao wa ligi Tanzania Bara.   Timu hiyo...

READ MORE

Simba, Yanga Kujua Wabaya Wao Le

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), leo Jumatano linatarajiwa kutoa ratiba ya msimu wa 2018/19 wa Ligi Kuu Bara ambapo ligi...

READ MORE

Lebron Apagawisha Mashabiki Wa Lakers

MASHABIKI wa timu ya mpira wa kikapu ya Los Angeles Lakers juzi walipagawa kwa shangwe wakati wakimpokea staa mpya wa...

READ MORE

Mbappe Agawa Mabilioni Yote Aliyopewa Kombe la Dunia

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe (19) ameonyesha moyo wa kipekee baada ya kutoa msaada fedha zote alizopata...

READ MORE

FULL TAKWIMU ZA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018 RUSSIA

HAPA nimekuwekea rekodi zote muhimu za fainali ya Kombe la Dunia zilizomalikiza juzi Jumapili pale Rusia na Ufaransa kufanikiwa kuibuka...

READ MORE

GLOBAL WALIVYOTOA SHUKRANI KWA MAVENDA, WASOMAJI WAKE

JUMAPILI ya juzi, Julai 15 ilikuwa ni siku ya burudani mwanzo mwisho kwa wakazi wa Jiji la Dar wa Salaam...

READ MORE

Hatimaye Ronaldo Afanya Vipimo Juventus

HUKU  shamra za fainali ya Kombe la Dunia baina ya Ufaransa na Croatia zikiwa zinaendelea kusikika duniani, masikio na macho...

READ MORE

Azam FC Yatimkia Uganda

KLABU ya Azam, imepanga kwenda nchini Uganda kuweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara....

READ MORE

Fei Toto, azuia usajili wa Kihimbwa Yanga SC

KUTUA kwa viungo wapya wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Mohamed Issa ‘Banka’ kumemzuia kiungo wa Mtibwa Sugar, Salum...

READ MORE

TFF: Mtibwa Leteni Ushahidi

SHRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF), limeibana klabu ya Mtibwa Sugar juu ya malipo ya deni lao la faini katika...

READ MORE

Wawa Awashangaa Wanaobeza Kiwango Chake

BEKI wa kati wa Simba, Pascal Wawa amewashangaa wanaodai uwezo wake umefikia mwisho na wala hana hofu kama Simba itaamua...

READ MORE

Gari la Salamba Lapata Ajali

  MSHAMBULIAJI wa Simba, Adam Salamba aliyejiunga na timu hiyo hivi karibuni akitokea Lipuli FC ya mkoani Iringa amekumbana na...

READ MORE

MODRIC MCHEZAJI BORA, MBAPPE, KANE, LUKAKU, HAZARD WANYAKUA TUZO

KIUNGO na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Croatia, Luka Modric ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashindano...

READ MORE

Ufaransa Mabingwa wa Kombe la Dunia – Video

TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kunyakua Ubingwa wa Dunia mwaka 2018 baada ya kuifunga Croatia kwa bao 4-2.  ...

READ MORE

Makocha Waipa Ufaransa Ubingwa

MAKOCHA wa zamani wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic na Selemani Matola wametabiri kwamba Ufaransa inabeba Kombe la Dunia leo Jumapili...

READ MORE

Kocha Djuma Awajibu Mashabiki Simba – Video

BAADA ya klabu ya soka ya Simba kufungwa mabao 2-1 na Azam FC kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la...

READ MORE

BREAKING NEWS: DILUNGA WA MTIBWA ASAINI SIMBA

Kiungo aliyekuwa akiichezea Mtibwa Sugar ya Morogoro, Hassan Dilunga, amejiunga na mabingwa wapya wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2017/18...

READ MORE

MDABALA WA CONTE ASAINI MIAKA MITATU CHELSEA

Klabu ya Chelsea imemtangaza Maurizio Sarri (59) kutoka Napoli ya Italia kuwa Kocha wake mpya. Hatua hiyo imekuja mara baada...

READ MORE

Okwi, Bocco Kuanza Kazi Simba Wiki Ijayo

ACHANA na maujuzi ya Meddie Kagere ‘Medi Magoli’, Marcel Kaheza, Adam Salamba au Mohamed Rashid. Yale makali yao waliyoonyesha kwenye...

READ MORE

Mashine Nyingine Mbili Kutua Yanga

BAADA ya kuchafua hewa juzi walipomsainisha kiungo fundi wa JKU ya Zanzibar, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’, Mwenyekiti wa Kamati...

READ MORE

Filamu Ya Usajili Wa Fei Toto Ulivyokuwa Yanga, Singida

YANGA, jana iliwatambulisha nyota wawili wapya, Feisal Salum Ab­dallah ‘Fei Toto’ kutoka JKU ya Zanzibar iliyo­mpa mkataba wa miaka mitatu...

READ MORE

Azam Yafanikiwa Kutetea Ubingwa Kombe la Kagame

AZAM FC  imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Kombe la Kagame baada ya jana Ijumaa kuifunga Simba mabao 2-1 katika mchezo...

READ MORE

Azam Mabingwa wa Kagame, Waigonga Simba 2-1

AZAM FC wanafanikiwa kutetea ubingwa wao baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Simba SC. Mabao ya...

READ MORE

CHIRWA ASAJILIWA DARAJA LA PILI MISRI

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa rasmi amesaini mkataba na Klabu ya Nogoom El Mostakbal Football...

READ MORE

Kagere Amtupia Kombora Yondani

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Mnyar­wanda, Med­die Kagere ametamba kasi hiyo ya kufumania nyavu aliyoianza kwenye michuano ya Kombe la Kagame,...

READ MORE