×

Michezo

ENGLAND YATINGA ROBO FAINALI KIBISHI

ENGLAND wamefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kushinda kwa penalti 4-3 MOSCOW, Urusi baada...

READ MORE

Wachezaji Timu ya Taifa Walala Mtaani – Pichaz

WACHEZAJI wa timu ya taifa ya rugby ya Zimbabwe wamelazimika kulala mitaani nchini  Tunisia wakisubiri mechi yao mwishoni mwa wiki...

READ MORE

Ubelgiji Yaiangamiza Japan Dakika za Nyongeza – Video + Pichaz

TIMU ya Taifa ya Ubelgiji imeipa kichapo Japan na kuiondosha katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi baada ya...

READ MORE

Brazil Habari ni Nyingine, Yaitungua Mexico 2-0 (Video + Picha)

TIMU ya taifa ya Brazil imeendelea kuchakaza kwenye michuano ya Kombe la Dunia baada ya kuiangamiza Mexico na kuiondoa katika...

READ MORE

Mo Salah Asaini Miaka 5 Liverpool, Mshahara Wake Wavunja Historia

KLABU ya Liverpool imemsainisha mkataba wa miaka mitano, mshambuliaji Mohamed Salah kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2023 huku akiongezewa...

READ MORE

Croatia Yaiua Denmark, Yatinga Robo Fainali

Croatia wanakwenda ROBO FAINALI baada ya ushindi wa mikwaju ya penalti 3-2 dhidi ya Denmark… Penalti ya mwisho imepigwa na...

READ MORE

Urusi Yaiua Hispania, Yatinga Robo Fainali

HISPANIA wameshindwa kutinga kwenye hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuchapwa na Urusi kwa penalti 4-3...

READ MORE

MO AWAPA MASHARTI OKWI NA KAGERE

KAMA Emmanuel Okwi anayelipwa Mil. 15 kwa mwezi au Meddie Kagere atakayedaka Mil. 12 anataka kuvunja mkataba na Simba ya...

READ MORE

World Cup: Argentine Out, Mpappe Aipeleka Ufaransa Robo Fainali

TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutingahatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia nchini Urusi jioni hii baada ya...

READ MORE

Simba Hatari! Yawatungua Wasomali 4G

TIMU ya Msimbazi, Simba SC wameanza vema safari ya kupigania ubingwa wa michuano ya Kagame baada ya kuitandika bao 4-0...

READ MORE

KASEKE APEWA MWAKA YANGA

  UNAAMBIWA hivi ile ishu ya Deus Kaseke kwamba anakwenda Sauzi ni geresha tu, kama mambo yatakwenda sawa basi leo...

READ MORE

RATIBA YA MECHI ZA 16 BORA KOMBE LA DUNIA 2018

HAPA nimekuwekea ratiba ya mechi zote za hatua ya 16 bora michuanpo ya Fainali za Kombe la Dunia 2018 zizakazopigwa...

READ MORE

VITA YA 16 BORA URUSI LEO: ARGENTINA VS UFARANSA HUKU URUGUAY VS URENO

  Kimbembe cha michuano ya Kombe la Dunia hatua ya 16 bora kinaendelea leo kwa mechi mbili kushika kasi huko...

READ MORE

Simba Yafuata Kiungo Colombia na Uruguay

UONGOZI wa Klabu ya Simba, chini ya Kaimu Rais, Salim Abdallah ‘Try Again’, unaendelea na mchakato wa kuimarisha kikosi chao...

READ MORE

AC Milan Yafungiwa Kushiriki Ulaya

WAKON G­WE wasokanchini Italia, AC Milan wamefungiwa ku­shiriki michuano ya Ulaya kwa mwaka mmoja kuto­kana na kukiuka kanuni za soka....

READ MORE

Fellaini Asaini Kandarasi Kubaki Manchester United, Hadi 2020

KIUNGO wa Manchester United na Timu ya Taifa ya Ubelgiji, Marouane Fellaini amesaini mkataba wa kuitumikia klabu yake hiyo hadi...

READ MORE

MAISHA Halisi ya Kichuya Bibi, Mama Wafunguka – Video

Kiungo Mshambuliaji wa Simba Shiza Ramdhani Kichuya amefunguka kuhusu Maisha yake halisi tangu amekua mpaka kufikia hapo alipofikia ikiwa Mlezi...

READ MORE

Barcelona Yazifunika Mandrid, Man U

BARCELONA im­etajwa kuwa klabu ya soka inayoongoza kwa kuingiza fedha nyingi kuto­kana na malipo ya udhamini, ikiwa inaingiza pauni 187m...

READ MORE

Luke Shaw Anakula ‘Bata La Kufa Mtu’

BEKI wa kushoto wa Manchester United, Luke Shaw ameweka shida chini na kuamua ku­rusha mikono juu kisha ‘ku­banjuka tu’.  ...

READ MORE

Salamba: Nimejipanga Kufanya Kweli Simba

MSHAMBULIAJI mwenye rasta ambaye mbali na kipaji chake cha mpira anapenda kutupia mavazi yanayokwenda na wakati, Adam Salamba, amesema kuwa...

READ MORE

Simba Yaanika Silaha Tatu Mpyaaa

  KLABU ya Simba, jana Alhamisi ilitambulisha silaha zake tatu mpya ambazo zimejiunga na timu hiyo hivi karibuni ikiwa ni...

READ MORE

Singida Waichimba Mkwara Simba

  KOCHA Mkuu wa Singida United, Hemed Morocco, ametoa kauli ya kishujaa kwa kusema kuwa, licha ya Simba kuendelea kufanya...

READ MORE

Rooney Atimka Everton, Akimbilia Marekani

Breaking News: Aliyekuwa mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney (32) amesaini kandarasi ya miaka mitatu na nusu kuitumikia Klabu ya DC...

READ MORE

Simba Msimu Ujao Itakuwa Hatari

HATIMAYE Simba ya msimu ujao itakuwa hatari, hiyo ni baada ya kuonekana kuwa imekamilika kila sehemu na uhakika ni kwamba...

READ MORE

Kombe la Dunia 2018: Serbia 0-2 Brazil, Uswizi 2-2 Costa Rica

Mabingwa mara tano wa Kombe la Dunia Brazil watakuwa wenyeji wa Mexico Samara Arena, Samara Jumatatu tarehe 2/7/2018. Hii ni...

READ MORE

Ujerumani Watupwa Nje Kombe la Dunia

Baada ya kuwaliza mbele ya mashabiki wa nyumbani wakiwa wenyeji wa Kombe la Dunia 2002, Ujerumani nayo imepata kuhisi uchungu...

READ MORE

Kagere Asaini Simba, Achota Milioni 113

SIMBA wameende­lea kufanya kufuru nyingine ya fedha kwa kumsaini mshambuliaji wa Gor Mahia ya Kenya, Meddie Kagere raia wa Rwanda...

READ MORE

MESSI, ROJO WAIANGAMIZA NIGERIA KOMBE LA DUNIA – VIDEO

TIMU ya taifa ya Argentina 🇦🇷 wanafuzu kuelekea raundi ya 16 ya michuano ya fainali za Kombe la Dunia 2018...

READ MORE

EXCLUSIVE: KAGERE ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA

Mchezaji aliyekuwa akiichezea Gor Mahia FC ya Kenya, Meddie Kagere, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Simba.  ...

READ MORE

RATIBA YA KOMBE LA DUNIA LEO JUMANNE

Tues June 26: Denmark v France (Group C) – Moscow (Luzhniki), 3pm Tues June 26: Australia v Peru (Group C)...

READ MORE

KOMBE LA DUNIA: NI URENO VS URUGUAY HUKU SPAIN WAKIKIPIGA NA URUSI

  Baada ya kwenda sare ya bao 1-1 na Iran usiku wa jana, timu ya taifa ya Ureno sasa itakutana...

READ MORE

Hans apewa masharti Azam Fc

  UONGOZI wa Azam FC, umempa masharti kocha wake mpya, Hans van Der Pluijm kuwatumia wachezaji vijana katika kikosi chake...

READ MORE

Pikipiki ya Kwanza Global Kuondoka Leo

LEO ndiyo leo kwani msomaji mmoja wa Magazeti ya Global Publishers anatarajiwa kujishindia zawadi ya pikipiki ikiwa ni moja kati...

READ MORE

KAZI IMEANZA…. YANGA YAMTEKA KIUNGO SINGIDA

Feisal Salum ‘Fei Toto’ (kushoto).   KAMATI ya Usajili ya Yanga ambayo inasimamiwa na mwenyekiti wake wa muda, Abass Tarimba,...

READ MORE

WAWA Baada ya Kutua Simba Mazoezi ya Kufa Mtu – Video

Klabu ya Simba imefanikiwa kumleta nchini beki wa zamani wa Azam FC Paschal Wawa kwa ajili ya kumsainisha mkataba wa...

READ MORE

POLAND YAFUNGASHA VILAGO KOMBE LA DUNIA

TIMU ya Taifa ya Poland imeyaaga mashindano ya Kombe la Dunia Urusi kwa kukubali kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa...

READ MORE

Manara awatolea povu TFF

AFISA HABARI mwenye mbwembwe nyingi kuliko wasemaji wengine wa timu za hapa nchini, Haji Manara wa Simba, ameibuka na kuweka...

READ MORE

Senegal Yapata Pointi Muhimu Kombe la Dunia

SENEGAL wamepambana na kupata pointi moja muhimu katika mchezo dhidi ya Japan kwenye Kombe la Dunia leo nchini Urusi, baada...

READ MORE

ENGLAND YATOA KICHAPO KIKALI KOMBE LA DUNIA

Timu ya Taifa ya England leo Jumapili imefanikiwa kutinga hatua ya mtoano ya michuano ya Kombe la Dunia baada ya...

READ MORE

Orodha Washindi Tuzo za VPL 2017/18 (Video + Picha)

Hellen Mduma (katikati) akipokea Tuzo ya Mwamuzi Msaidizi Bora Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe (kushoto) akimkabidhi John...

READ MORE