×

Michezo

Mbelgiji Simba Ataka Mabao 120

WAKATI kikosi cha Simba kikiendelea kujifua vilivyo huko nchini Uturuki kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, kocha...

READ MORE

Man U Mazoezini Miami Baada ya Kupigwa na Liverpool

Wachezaji wa Manchester United wakiwa mazoezini Miami  jana. BAADA ya kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Liverpool, katika michezo ya...

READ MORE

Real Madrid Yapania Kuwanunua Willian, Courtois

  Willian. KLABU ya Hispania ya Real Madrid  imepania kuipa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Paundi mil. 100 (Sh. bil. 300)...

READ MORE

Giroud Kitakwimu Hatakiwi Kusemwa

OLIVIER Giroud ndiye mchezaji anayezungumziwa zaidi duniani kwa sasa, wengi hawamzungumzii kwa mazuri yake, bali mabaya. Ukikutana na watu watakuambia...

READ MORE

RONALDO ATUA TURIN KWA MAZOEZI NA JUVENTUS

Ronaldo alipotua Turin jana. MWANASOKA Cristiano Ronaldo  amewasili jijini Turin, Italia, kwa ajili ya mazoezi na timu yake mpya ya Juventus. Mchezaji...

READ MORE

Matola Ataja Ugumu Wa Ligi Msimu Ujao

KOCHA Mkuu wa Lipuli FC ya mkoani Iringa, Selemani Matola ameibuka na kusema kuwa na wakati mgumu kutokana na ratiba...

READ MORE

Kaseke Afunga, Yanga Yachapwa na Gor Mahia Mabao 3-2

YANGA wameendeleza mwendo ambao siyo mzuri katika michuano ya kimataifa baada ya kuruhusu kupata kichapo kutoka kwa Gor Mahia cha...

READ MORE

Alikiba Kukosa Mechi Muhimu Coastal

MSHAMBULIAJI mpya wa Coastal Union ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, AliKiba huenda akakosa mechi za awali za Ligi Kuu...

READ MORE

Niyonzima Aikacha Kambi Ya Uturuki

KIUNGO mchezeshaji wa Simba Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ni kama ameikacha kiaina kambi ya timu hiyo ni baada ya viongozi kulalamika...

READ MORE

Yanga Yaanika Kosi la Maangamizi Msimu Ujao

KLABU ya Yanga imeanika kikosi kamili katika msimu ujao wa 2018/2019. MAKIPA 1. Klaus kindoki 2. Benno Kakolanya 3. Kabwili...

READ MORE

Samatta Kumfuata Lionel Messi Hispania

MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania na KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta yupo kwenye mazungumzo na Klabu ya Levante inayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania ‘Laliga’ kukamilisha mpango wa...

READ MORE

Serikali Yampa Kibali Kocha Yanga SC

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, imempatia kibali cha kufanya kazi nchini Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ambaye...

READ MORE

Coastal Yafafanua Usajili Wa Alikiba

  BAADA ya Coastal Union kufanikiwa kumpa mkataba wa mwaka mmoja mwanamuziki maarufu nchini, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’, uongozi wa...

READ MORE

Makocha Simba Sh 320,000 Kwa Siku

ASIKWAMBIE mtu, Simba hivi sasa ipo vizuri kiuchumi. Katika kuthibitisha hilo uongozi wa klabu hiyo umewaandalia nyumba za kifahari makocha...

READ MORE

Yanga Yashusha Kipa Mcongo

ACHANA na yule kipa wa TP Mazembe, Vumi Ley Matampi aliyeta­jwa anakuja Yanga, timu hiyo ipo kwenye hatua za mwisho...

READ MORE

Azam FC Kusepa Uganda Na Jeshi Kamili

UONGOZI wa Klabu ya Azam, umeweka wazi kuwa msafara wa timu hiyo sambamba na benchi lake la ufundi utaondoka nchini...

READ MORE

Tambwe Afunguka Mazito Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ameibuka na kusema wanaumizwa na hali inayoendelea katika timu hiyo lakini haiwafanyi washindwe kupigana...

READ MORE

Radi, Mvua Kubwa Zavunja Mazoezi Ya Simba Uturuki

MVUA kubwa yenye ukungu uliopita kiasi, radi na ngurumo za kutisha, jana vilisitisha mazoezi ya mab­ingwa wa Tanzania, Simba.  ...

READ MORE

MOURINHO SASA ATAKA BEKI MATATA WA KATI

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho, anatakiwa kumuuza beki mmoja wa kati ili aweze kusajili majembe mengine kwenye timu hiyo....

READ MORE

Magwiji 10 Wanaowania Tuzo ya Kocha Bora wa Dunia

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza majina 10 ya wachezaji wa kiume wanaowania Tuzo ya Kocha Bora wa Kiume wa...

READ MORE

Vinara 10 Wanaowania Mchezaji Bora wa Dunia 2018

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza majina 10 ya wachezaji wa kiume wanaowania tuzo ya FIFA ya mchezaji bora wa...

READ MORE

Baada ya Sanga Kung’atuka, Tarimba Arejeshwa Kuiongoza Yanga

Baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga, Bodi ya wadhamini ya timu hiyo imemrejesha Mwenyekiti wa...

READ MORE

Lionel Messi Kumfata Cristiano Ronaldo

VITA kali ya mafanikio kati ya mahasimu wa soka  duniani, Cristiano Ronaldo wa Juventus na Lionel Messi wa barcelona haijafika kikomo...

READ MORE

Ronaldo, Awazidi Neymar, Messi Katika Mkwanja wa Instagram 2018

MWANASOKA wa klabu ya Juventus Ronaldo, amewazidi mastaa wa soka wenzake Neymar na Mess katika mkwanja anaoweza kupata katika mtandao...

READ MORE

NOMA SANA… SIMBA YAENDELEA KUJIFUA UTURUKI

Kikosi cha Timu ya Simba kimeendelea na mazoezi yake katika kambi maalum waliyoweka nchini Uturuki. Chini ya Kocha Mbelgiji, Patrick...

READ MORE

BREAKING: SANGA ATANGAZA RASMI KUACHIA NGAZI YANGA

Kaimu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga, ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake katika klabu hiyo. Sanga amejiuzulu wadhifa huo kutokana na...

READ MORE

SINGIDA YANYOOSHA MIKONO KWA FEI TOTO

Uongozi wa klabu ya Singida United, umekubali kumuacha kiungo Fei Toto kujiunga na Yanga. Uamuzi wa Singida United unatokana na...

READ MORE

KISA DHARAU NA UBAGUZI, OZIL AFANYA MAAMUZI HAYA

Mesut Ozil amejiondoa kuichezea timu ya taifa ya Ujerumani akisema amestaafu kwa sababu ya UBAGUZI WA RANGI na DHARAU kutoka...

READ MORE

Kessy Ashtukia Mtego Yanga

kessBEKI wa pembeni wa Yanga, Hassan Kessy ameshtukia mtego unaofanywa na viongozi wa timu hiyo na kutamka kuwa kamwe hawatampata...

READ MORE

Ngoma Aenda Kuombewa kwa TB Joshua

IMEELEZWA kuwa, mshambuliaji mpya wa Azam FC, Donald Ngoma raia wa Zimbabwe, wikiendi iliyopita alienda kufanyiwa maombi maalum na mchungaji...

READ MORE

SIMBA WALIVYOELEKEA UTURUKI ALFAJIRI YA LEO

KIKOSI  cha Simba chenye jeuri ya noti za mwekezaji Mohammed Dewji ‘MO’ leo  kimeondoka  kuelekea kwenye ardhi ya Antalya ambayo...

READ MORE

Yanga Yashusha Kiungo Msauzi

AKILI za viongozi wa Yanga zinaonekana hazipo tena kwenye Kombe la Shirikisho inayoendelea, kwani jana wachezaji waligoma lakini kuna kiungo...

READ MORE

Yondani Mambo Safi Yanga SC

BEKI wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani ambaye kila siku ya Mungu anavuka maji ya Bahari ya Hindi kuelekea kwake...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aleta Beki, Kiungo

KOCHA pande la mtu aliyemwaga wino Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems amewaambia viongozi anataka wachezaji wengine wawili wa maana. Timu hiyo...

READ MORE

Okwi wa Zambia Asaini Simba

SIMBA kweli imedhamiria kufanya makubwa katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya jana...

READ MORE

 Simba Kufikia Kambi ya Kishua Uturuki

JUMLA ya wachezaji 26 wa kikosi cha Simba, wanatarajiwa kuondoka kesho Alfajiri kuelekea Uturuki kuweka kambi ya takribani wiki mbili...

READ MORE

Wachezaji Yanga Wagomea Mazoezi

  WACHEZAJI wote wa Yanga unaowajua wewe ambao usajili wao upo CAF jana Ijumaa waligoma kufanya mazoezi huku Kocha Mwinyi...

READ MORE

Kibali Chamchelewesha Chilunda Hispania

SAFARI ya kinda wa Azam FC, Shaban Chilunda bado haijakamilika kutokana na viongozi wa Klabu ya CD Tenerife ya Hispania...

READ MORE

Rasmi, Zola Aanza Kazi Chelsea

NGULI wa Chelsea, Gianfranco Zola hatimaye amerejea kwenye kazi ya ukocha ambapo sasa atakuwa msaidizi wa Maurizio Sarri katika kikosi...

READ MORE

Ngoma Bado Sana Azam

DONALD Ngoma hatokuwepo kwenye kikosi cha Azam ambacho leo Jumamosi kinakwenda nchini Uganda kuweka kambi ya wiki mbili kwa ajili...

READ MORE