×

Michezo

Jaramba la Mwisho la AFC Leopards Kabla ya Kuwavaa Singida United

Kikosi cha AFC Leopards ya Kenya kimejifua mapema leo asubuhi kabla ya kukabiliana na Singida United katika mchezo wa SportPesa...

READ MORE

Banda: Kucheza Bongo? Labda Ipite Miaka 10

BEKI kiraka wa Baroka FC ya Afrika Kusini, Mtanzania, Abdi Banda, ame­funguka kuwa kwa sasa hana mawazo ya kurudi kucheza...

READ MORE

AZAM INAZIDI KUWANASA TU, ANAFUATA JUMA ABDUL LEO

WAKATI kiungo mshambuliaji wa Singida United Mzimbabwe, Tafazwa Kutinyu akitambulishwa Azam FC, timu hiyo imepanga kumtambulisha leo beki wa Yanga,...

READ MORE

Dida Agoma Kurudi Yanga

KIPA wa zamani wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’, ameweka wazi kuwa hana mpango wa kurejea kucheza tena nchini katika timu...

READ MORE

Salum Mkemi Atangaza Kujiuzulu Uongozi Yanga

  MJUMBE wa Kamati wa Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi amejiuzulu nafasi uongozi ndani ya klabu hiyo kuanzia leo. Maneno...

READ MORE

YANGA YAPIGWA 3-1 NA KAKAMEGA BOYS, YATUPWA NJE SPORTPESA CUP

Timu ya Yanga imeaga kwenye michuano ya Sportpesa Super Cup inayoendelea nchini Kenya baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Kakamega...

READ MORE

Kutinyu Atambulishwa Rasmi Azam FC

Kiungo mpya wa Azam, Tafadzwa Kutinyu,  aliyekuwa klabu ya Singida United, akisaini mkataba wa kuitumikia timu hiyo mbele ya Meneja...

READ MORE

SPORTPESA CUP… ITAKUWA NA MAJIBU YA KISASI

MABINGWA watetezi wa Tanzania Bara Simba, pamoja na Yanga, Singida United pamoja na JKU ndiyo wawakilishi wa Tanzania katika michuano...

READ MORE

DEAL DONE, KICHUYA, SIMBA WAMALIZANA

  Mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu ya hiyo. Kichuya alitakiwa kwenda kucheza...

READ MORE

Mzee Akilimali Ampa Tuzo Okwi

Emmanuel Okwi. KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali ‘Mzee Akilimali’ amesema kwake anaona mchezaji bora wa kigeni...

READ MORE

MTIBWA YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA FA KWA KUIFUNGA SINGIDA 3-2

Mtibwa Sugar wametangazwa rasmi kuwa mabingwa wa Kombe la Shirikisho baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya...

READ MORE

SPORTPESA WAKABIDHI RASMI JEZI ZA MICHUANO KWA YANGA NA JKU NA GOR MAHIA

Mwakirishi wa SportPesa (kusho) akimkabidhi jezi nahodha wa Yanga, Thabani Kamusoko katika hafla ya iliyofanyika nchini Kenya. Thabani Kamusoko (kushoto)...

READ MORE

YANGA YAMNASA MBADALA WA DONALD NGOMA KUTOKA BENIN

  YANGA ni kama imejibu mashambulizi baada ya juzi usiku kumshusha msham­buliaji wa timu ya Taifa ya Benin na Klabu...

READ MORE

Beki Porto Akaribia Kufanya Vipimo Man U

DIOGO Dalot anatarajiwa kufanya vipimo katika kikosi cha Manchester United wiki ijayo, baada ya klabu hiyo kukamilisha malipo yake kwa...

READ MORE

GAME 1: Golden Warriors Waichapa Cleveland Cavaliers 124-114

SHUGHULI ya fainali ya Ligi ya Mpira wa Kika­pu ya Marekani (NBA) imeanza baada ya Golden State Warriors kuiliza Cleveland...

READ MORE

MTIBWA DHIDI YA SINGIDA KUKINUKISHA FAINALI YA KOMBE LA FA ARUSHA LEO

FAINALI ya Kombe la FA ambayo itabariki nafasi ya Singida kushiriki michuano ya Shirikisho mwakani itachezwa kwenye Uwanja wa Sheikh...

READ MORE

NI VURUGU MECHI USAJILI SIMBA, YANGA, AZAM NA SINGIDA

SIKU 14 zijazo diri­sha rasmi la usajili wa Ligi Kuu Bara litafunguliwa, lakini vurugu kubwa zimeanza mitaani baada ya Simba,...

READ MORE

MZEE AKILIMALI: NAGOMBEA URAIS YANGA, NIKISHINDA HAKUNA KULIA NJAA

  HAKUNA asiyemfaha­mu Mzee Akilimali kuto­kana na umaarufu wake ndani ya Klabu ya Yanga ambako amekuwa akivutana na baadhi ya...

READ MORE

EXCLUSIVE: Akilimali Afunguka Atakavyotoa Mishahara kwa Wachezaji – Video

HAKUNA Asiyemfahamu Mzee Akilimali kutokana na umaarufu wake ndani ya Klabu ya Yanga ambako amekuwa akivutana na baadhi ya wanachama...

READ MORE

Breaking News: Kocha Zinedine Zidane Kuajiriwa Qatar

  IKIWA ni siku moja tu baada ya kujiuzulu kuwanoa Mabingwa wa Ulaya mara tatu mfulurizo, Real Madrid ya Hispania,...

READ MORE

Yanga Yamuacha Chirwa Dar

KIKOSI cha Yanga, jana kilielekea Kenya kwa ajili ya kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup huku kocha msaidizi, Shadrack Nsajigwa,...

READ MORE

Wachezaji Singida Wapewa Mifuko 50 Ya Saruji Kila Mmoja

  KLABU ya Singida United, kesho Jumamosi inatarajiwa kumtangaza rasmi kocha wake mkuu atakayechukua mikoba ya Mholanzi, Hans van Der...

READ MORE

Usajili Ufanyike Kwa Ufundi, Siyo Kukomoana

 TAYARI hekaheka za usajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara zimeshaanza, huku baadhi ya timu zikiwa...

READ MORE

CHIRWA ATAJA ANAPOTAKIWA KWENDA

LICHA ya kuendelea kutajwa kuwa anaweza kutua katika kikosi cha Simba au Azam FC, mshambuliaji mahiri wa Yanga, Obrey Chirwa,...

READ MORE

SALAH KUKOSA DAKIKA 90 TU URUSI

  STAA wa Misri, Mohamed Salah, atakosa mchezo mmoja tu wa Kombe la Dunia baada ya hapo atakuwa fiti. Salah...

READ MORE

BANDA: NINA OFA 15 MKONONI

BEKI Mtanzania anayekipiga katika Klabu ya Baroka ya Afrika Kusini, Abdi Banda, ameweka bayana kwamba hadi sasa ana ofa za...

READ MORE

Mashabiki United Wazoa Jezi Orijino Spoti Xtra

KATIKA jezi tatu orijino zilizotolewa jana kwenye droo ya shindano la Spoti Xtra, mbili zimekwenda kwa mashabiki wa Manchester United...

READ MORE

Breaking News: Zidane Atangaza Kujiuzulu Real Madrid

  HISPANIA: Kocha wa Real Madrid, Mfaransa Zinedine Zidane leo Mei 31, 2018 ametangaza kujiuzulu kufundisha klabu hiyo kwa msimu...

READ MORE

‘NDUGU WA NEYMAR’ ATUA SINGIDA UNITED

KLABU ya Singida United, imemtangaza mshambuliaji wake mpya Felipe Olveira Dos Santos ambaye ni raia wa Brazil ambako anatokea Straiker...

READ MORE

‘NDUGU WA DROGBA’ ATAMBULISHWA SINGIDA UNITED

MBALI na kumtambulisha mchezaji wao mpya raia wa Brazil, Felipe Olveira Dos Santos, Klabu ya Singida United, hiyo imewatambulisha wachezaji wengine...

READ MORE

USTADHI: MO SALAH ALIUMIA KWA KUPUUZA MFUNGO WA RAMADHAN

MHUBIRI Mubarak al-Bathali wa nchini Kuwait amesema kwamba kuumia kwa mcheza soka wa klabu ya Liverpool Uingereza, Mo Salah, ni...

READ MORE

SIMBA YAPAA KWENDA KENYA MICHUANO YA SPORTPESA

Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba walitarajiwa kuondoka leo na kikosi cha watu 25 kwenda nchini Kenya ambao itafanyika michuano...

READ MORE

KIKOSI CHA YANGA KILICHOKWEA PIPA KUELEKEA KENYA, TISA WASALIA DAR

Kikosi cha Yanga kimeondoka asubuhi ya leo jijini Dar es Salaam kuelekea Kenya kwa ajili ya mashindano ya SportPesa Super...

READ MORE

SIMBA, AZAM ZAIPUKUTISHA YANGA …CHIRWA, YONDANI, KESSY KUSEPA

    LICHA ya ku­maliza msimu kwenye nafasi ya tatu ambayo ni mbaya zaidi kuwahi ku­watokea katika miaka ya hivi...

READ MORE

Mshahara wa Salamba Simba Acha Kabisa

  IMEFAHAMIKA kuwa mshambuliaji tegemeo wa Lipuli FC, Adam Salamba, atapokea mshahara wa shilin­gi milioni mbili kwa kipindi cha miaka...

READ MORE

Mbwana Samatta Afanya Ziara Makka

Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta,  anayekipiga katika timu ya Genk ya nchini Ubelgiji baada...

READ MORE

Lewandowski Aomba Kusepa Bayern Munich

MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Poland, Robert Lewandowski ameomba kuondoka katika Klabu yake ya FC Bayern Munich ya nchini...

READ MORE

Fainali ya NBA ni Walewale …Warriors na Cavaliers

  HATIMAYE timu zinazotinga fainali ya NBA zimesha­fahamika baada ya juzi Warriors na Cavaliers kushin­da michezo yao ya kanda. Hii...

READ MORE

Singida Yamuuza Rasmi Kutinyu mil. 45 Azam FC

SINGIDA United rasmi imemuuza kiungo wake mshambuliaji raia wa Zimba­bwe, Tafadzwa Kutinyu dola 20, 0000 (sawa na shilingi milioni 45)...

READ MORE

Simba SC: Lechantre Ondoka Zako

BAADA ya kumaliza mkataba ndani ya kikosi cha Simba, uon­gozi wa timu hiyo umeweka wazi kwamba kama kocha wao mkuu...

READ MORE