×

Michezo

CHIRWA, MHILU WAONGEZEWA MBINU KUWAUA WAETHIOPIA

YANGA ni kama tayari imeshafuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya bechi la ufundi la timu...

READ MORE

BOCCO ASHANGAZWA NA MABAO YAKE 13 SIMBA

MSHAMBULIAJI na nahodha wa Simba, John Bocco, amefunguka kuwa anashangazwa na kasi yake ya kutupia mabao ambayo anayo kwa sasa...

READ MORE

KICHUYA AZIPIGIA HESABU PRISONS, YANGA

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya, amesema matokeo ya mechi yao dhidi ya Tanzania Prisons leo Jumatatu, ndiyo yataamua ubingwa...

READ MORE

KOCHA MPYA YANGA AANZA KIVINGINE

MUDA mfupi baada ya kukabidhiwa kijiti cha kuiongoza Yanga baada ya kuondoka kwa George Lwandamina, kocha mkuu mpya wa timu...

READ MORE

JULIO: SIMBA IKIMFUNGA YANGA BINGWA

KOCHA Mkuu wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema kama Simba itafanikiwa kushinda mechi zake mbili zijazo ikiwemo ya Yanga...

READ MORE

HATIMAYE MANCHESTER UNITED YAIPA MAN CITY UBINGWA WA LIGI

  Manchester United imefungwa 1-0 na West Brom, hatua ambayo inaipa rasmi Manchester City ubingwa wa Premier League. City ina...

READ MORE

Arsenal Yapigwa EPL na Newcastle United Bao 2-1

Matumaini ya Arsenal kutinga ‘Top Four’ msimu huu wa 2017/18 kwenye Ligi Kuu nchini England (EPL) yanazidi kupotea ambapo leo...

READ MORE

Niyonzima Apata Ajali Ya Gari

KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima amenusurika katika ajali aliyoipata eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam. Niyonzima amepata ajali hiyo...

READ MORE

Ninja: Nawasubiri Okwi, Bocco Niwaonyeshe

BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amesema anawasubiri kwa hamu washambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi na John Bocco...

READ MORE

George Lwandamina Ni Msaliti Wa Yanga, Bila Kupepesa

WAKATI kumejaa sintofahamu kuhu­su Kocha wa Yanga Mzambia, George Lwandamina ambaye ametimkia kwao ku­jiunga na timu ya Zesco ya huko,...

READ MORE

Kipimo Cha Busara Za Uongozi Na Mashabiki Wa Yanga Ni Sasa

KOCHA George Lwandamina ameamua kuondoka na kurejea kwao Zambia akiwa ameandika barua ya kuachia ngazi kuinoa Yanga. Lwandamina kaandika barua...

READ MORE

Vita ya Wanaume Nusu Fainali Uefa, Madrid Wapewa Bayern

DROO ya kupanga Mechi za Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imechezeshwa leo na timu hizo zimepangwa tayari ambapo...

READ MORE

YANGA YAAHIRISHA MKUTANO WAKE NA WAANDISHI WA HABARI LEO

Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopaswa kufanyika leo saa 7 mchana. Yanga...

READ MORE

Arsenal Yatinga Nusu Fainali Europa (Video)

Klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Europa League baada ya kutoka...

READ MORE

Mkude: Lwandamina Hayupo! 5 Zinawahusu Yanga SC

WAKATI homa ya mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga ukianza kupamba moto, kiungo wa...

READ MORE

Mfaransa Simba Amtaja Kamusoko

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre, juzi alimuulizia kiungo mkabaji wa Yanga Mzimbabwe, Thabani...

READ MORE

Mabosi Yanga Wakutana Usiku Kumjadili Lwandamina

KAMATI ya Utendaji ya Yanga, juzi usiku ilikutana haraka kujadili suala kuondoka kwa kocha wao Mzambia, George Lwandamina aliyejiunga na...

READ MORE

WAJUE MABEKI WENYE MABAO MENGI ZAIDI UEFA

GERARD Piqué sasa ni beki anayekamata nam­ba tatu (pacha) kwa ku­funga mabao mengi zaidi katika historia ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

KUTOKA UWANJA WA TAIFA: SIMBA 3-1 MBEYA CITY – FT

SUB Dk 79 Simba wanamtoa Bocco na nafasi yake inachukuliwa na Laudit Mavugo Dk 75, mpira wa kichwa, Bocco anaunganisha...

READ MORE

Kocha Hans Van Der Pluijm Kutua Azam Fc Kuchukua Nafasi Ya Mromania

Taarifa za chini ya kapeti zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya Azam FC unaweza ukaachana na Kocha wake Mromania, Aristica...

READ MORE

Kichuya: Hakuna Wa Kuzuia Ubingwa Simba

BAADA ya kufanikiwa kuwafunga Mtibwa Sugar, kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya ameweka wazi kuwa kwa sasa hakuna timu itakayowazuia...

READ MORE

Mfaransa Simba Awapigia Magoti Waamuzi

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre amefunguka kuwa amekuwa akipata wakati mgumu katika mechi za Ligi Kuu Bara zilizosalia...

READ MORE

KUTOKA UWANJA WA TAIFA: YANGA 1-1 SINGIDA UTD – FT

FULL TIME DAKIKA 3 ZA NYONGEZA Dk 90 Kiggi anakwenda kuchonga hiyo kona, Kambale anaruka peke yake na kupuga kichwa,...

READ MORE

Lwandamina Akosekana Leo, Kikosi Kamili Cha Yanga SC Vs Singida Hiki Hapa

Klabu ya Yanga imetangaza kikosi chake kitakachocheza dhidi Singida United Uwanja wa Taifa leo  bila kumtaja Kocha wao Mkuu, George...

READ MORE

Pluijm: Yanga Tunawajua, Hawatusumbui

KOCHA wa timu ya Singida United, Mholanzi Hans van Der Pluijm kuele­kea kwenye mechi yao ya leo Jumatano dhidi ya...

READ MORE

MAN CITY YAPIGWA TENA, BARCA NJE UEFA (Pichaz + Video)

  MANCHESTER City jana waliishindwa tena Liv­erpool baada ya kuambulia kichapo cha mabao 2-1 na kuondolewa kwenye michua­no ya Ligi...

READ MORE

Lwandamina Atimka Yanga, Atua Zesco

HATIMAYE kocha wa Yanga, George Lwandamina, jana aliwashangaza wengi baada ya kutimka kwenye timu hiyo kimyakimya na kujiunga na timu...

READ MORE

WALIOFIKISHA MABAO 50 KATIKA MICHUANO YA KLABU UEFA:

CRIST IANO Ronaldo ame­kuwa mche­zaji wa kwanza kufunga mabao 120 katika mi­chuano ya klabu Ulaya: siyo mbaya, hasa kwa kuwa...

READ MORE

RANALDO: ANATAJWA BORA ZAIDI UEFA KIHISTORIA

MADRID, Hispania: MIEZI kadhaa iliyopita, kuna wengi waliombe­za Cristiano Ronaldo wakati akipitia kipindi kigumu cha ukame. Ni Ronaldo huyo­huyo ambaye...

READ MORE

ROBERTO CARLOS; BEKI MSHAMBULIZI MWENYE JINA KUBWA UEFA

ROBERTO Carlos ni mmoja wa wache­zaji wenye historia kubwa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kwanza, ame­beba taji hilo...

READ MORE

YANGA: HATUACHI KITU

BAADA ya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wolaita Dicha ya Ethiopia, wachezaji wa timu hiyo wamesema...

READ MORE

Bao la Okwi Lililoipatia Simba Ushindi Dhidi ya Mtibwa Sugar – Video

Simba SC imeendelea kujikusanyia alama katika Ligi Kuu Bara baada ya kuilaza Mtibwa Sugar FC kwa bao 1-0 jioni hii...

READ MORE

LIVE KUTOKA JAMHURI STADIUM MORO: MTIBWA SUGAR 0-1 SIMBA

FULL TIME Dakika ya 90+ 3: Mwamuzi anamaliza mchezo. Dakika ya 90: Mwamuzi wa akiba anaonyesha dakika 3 za nyongeza....

READ MORE

REKODI ZAONYESHA UGUMU WA MECHI MTIBWA VS SIMBA

KIKOSI cha Simba leo kinashuka uwanjani kupambana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Jamhuri,...

READ MORE

TFF YATANGAZA KUIBEBA YANGA ETHIOPIA

UONGOZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa unaji­panga kuhakikisha unaisaidia na Yanga katika mchezo wake wa marudiano wa...

READ MORE

Arsenal Yaitwanga Southampton 3-2

KLABU ya Washika Bunduki wa Jiji la London, Arsenal ‘The Gunners’ wameipa dozi ya bao 3-2 klabu ya Southampton katika...

READ MORE

Eden Hazard Kujiunga na Real Madrid

WINGA wa Chelsea, Eden Hazard yupo kwenye kizungumkuti cha kubakia katika klabu yake au kujiunga na Real Madrid. Hazard mara...

READ MORE

Camp Nou, Mashine Ya Fedha Ulaya

   x GAZETI la Championi ndiyo pekee kutoka Tanzania lililofanya matembezi kwenye klabu ya FC Barcelona kwa mwaliko maalum wa klabu...

READ MORE

Mfaransa Ashusha Straika Mbadala Wa Bocco, Okwi

WAKATI Ligi Kuu Bara ikielekea ukingoni Kocha Mkuu wa Simba Mfaransa, Pierre Lechantre amegusia usajili kwa kuwaambia mabosi wake kuwa...

READ MORE

FT: KUTOKA UWANJA WA TAIFA: YANGA 2-0 DICHA

MPIRA UMEKWISHAAAAAAAAA -Kuna mchezaji wa Yanga yuko chini baada ya kuumia -Mahadhi anaingia na kuachia shuti kali kabisa -Dawit anaachia...

READ MORE