×

Michezo

Mwanariadha Simbu Atua Dar na Dhahabu Yake Mkononi

Ibrahim Mussa na Denis Mtima KATIKA hali ya kushangaza, mwanariadha Alphonce Felix Simbu, leo amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Watu na tuzo zao England, Acha Kabisa!

London, England TUZO ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Ligi Kuu England imekuwa maarufu sana kwa siku za hivi karibuni....

READ MORE

Simba Yatoka Sare na Mtibwa, Uwanja wa Jamhuri Morogoro

Dakika 90: Mpira Umekwisha, Simba wanatoka 0-0 na Mtibwa Sugar. Dk 90+ 2: Simba wanapata faulo kwenye lango la Simba,...

READ MORE

Simba SC Yamtangaza Mchezaji Wake Bora wa Mwezi Disemba

Beki Method MWanjale amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa kikosi cha Simba kwa mwezi Desemba, 2016. Mwanjale raia wa Zimbabwe ameonyesha...

READ MORE

Mzee Akilimali Aamua Kujitwisha Mgongano wa Pluijm na Lwandamina

Kocha Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina (kushoto) na Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Baada...

READ MORE

Yanga Yaifunga Majimaji bao 1-0

Kikosi cha timu ya Yanga Kilichoanza dhidi ya timu ya Majimaji leo katika Uwanja wa Majimaji, Songea.    Mwamuzi anapuliza...

READ MORE

Costa: Nachukia Soka la Uingereza

LONDON, England MSHAMBULIAJI wa Chel­sea, Diego Costa, ame­onyesha kuwa anaweza kuondoka kwenye timu hiyo wakati wowote, aliposema kuwa analichukia soka...

READ MORE

Wenger: Sina Shida na Sanchez

LONDON, England KOCHA wa Arse­nal, Arsene Wenger amesema hakuna tatizo lolote kati yake na mshambuliaji wa timu hiyo, Alexis Sanchez....

READ MORE

Mkurugenzi Barca atimuliwa kisa kumkosoa Messi

Barcelona, Hispania KLABU ya Barcelona imeonyesha kuwa hakuna mtu muhimu kwenye timu hiyo zaidi ya mshambuliaji wake Lionel Messi baada...

READ MORE

Pogba: Liver Game Ngumu Kuliko Man City

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba, amesema kuivaa Liverpool ni mchezo mkubwa zaidi kwa klabu yake kuliko hata ule dhidi...

READ MORE

Simbu Ailetea Heshima Tanzania, Ashinda Marathon India

MWANARIADHA Alphonce Simba ameipa Tanzania heshima kubwa baada ya kushinda mbio ndefu kwa wanaume (marathon) za msimu wa 14 huko...

READ MORE

Wachina Wamchizisha Costa

Makala: Gazeti la Championi, Toleo la Jumatatu, Januari 16, 2017 LONDON, England DIEGO Costa kazingua tena. Kibaya zaidi katibua wakati...

READ MORE

EPL: Man U Watoa Sare ya 1-1 na Liverpool, Old Trafford

Paul Pogba akiomba msamaha baada ya kuunawa mpira ndani ya 18 na kusababisha penati iliyochezwa na James Milner aliyeifungia Liverpool...

READ MORE

Video: Simba Walivyotua Dar Baada ya Kichapo cha Azam FC na Kuzomewa

DAR ES SALAA: TIMU ya Simba SC yenye makao yake makuu Mtaa wa Msimbazi, imerejea leo jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Huyu Ndiye Mshindi wa Betting Mechi ya Azam na Simba

TOVUTI ya Global Publishers ambayo ni namba moja hapa nchini kwa habari za burudani, michezo, kitaifa, kimataifa, siasa, breaking news...

READ MORE

Baada ya Simba Kupewa Kichapo na Azam Hizi Ndizo Kejeli za Watani Wao wa Jadi Mitandaoni

  JANA usiku Januari 14, 2017 kulikuwa na mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi uliopigwa kwenye uwanja wa amaan,...

READ MORE

Azam FC Yashinda Fainali Kombe la Mapinduzi, Yaichapa Simba SC Bao 1-0

Azam FC wameifunga Simba  SC kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar, na kufanikiwa kutwaa Kombe la Mapinduzi...

READ MORE

Rekodi za Mechi ya Simba na Azam Hizi Hapa

WAKATI mamilioni ya wapenzi wa soka nchini wakisubiri kwa hamu mpambano wa kukata na shoka kati ya Simba SC na...

READ MORE

Betting…Betting….Betting…..

Simba (Fc) na Azam (Fc) wanatarajia kukupiga leo katika Uwanja wa Amaan huko visiwani Zanzibar. Wewe kama shabiki unaweza kushiriki...

READ MORE

Morgan Schneiderlin Atua Everton Kutoka Manchester United

Kiungo mpya wa Everton, Morgan Schneiderlin akisaini mkataba wa miaka minne. Akiwa na kocha kocha wake wa zamani Ronald Koeman....

READ MORE

Begi la Chirwa lapotea kimiujiza bandarini

Ibrahim Mussa Dar es Salaam KATIKA hali ya kushangaza, juzi Jumatano kiungo mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa alijikuta katika wakati...

READ MORE

Bofya Hapa Ujishindie Vocha ya Bure!

 Tovuti ya Global Publishers inaendelea kutoa vocha kwa wasomaji wake mwezi huu Januari, zawadi ya vocha kila siku kwa ajili...

READ MORE

Tovuti ya Man Utd Yaongoza Kutembelewa Duniani

Tovuti ya  Klabu ya Manchester United imeongoza kwa kutembelewa na watembeleaji wengi kwa mwezi  kwa mujibu wa ripoti ya UEFA....

READ MORE

Hivi ndivyo Yanga walivyowasili kutoka Zanzibar baada ya kipigo cha Simba

KIKOSI cha klabu ya Yanga, jana mchana kiliwasali katika Bandari ya Dar es Salaam kikitokea Visiwani Zanzibar katika michuano ya...

READ MORE

Watabiri 650 ‘Wamebugi’ Matokeo Mechi ya Simba na Yanga

KATIKA mchezo wa kubashiri matokeo ya mchezo wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi Zanzibar kati ya watani wa jadi, Simba...

READ MORE

Lwandamina Ataka Yondani Awe Mshambuliaji

Beki wa Yanga kisiki, Kelvin Yondani. Omary Mdose na Said Ally KOCHA Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, amezidi kuwashangaza...

READ MORE

Simba SC Yaifunga Yanga SC na Kutinga Fainali

ZANZIBAR: Klabu ya Simba imefanikiwa kuifunga Klabu ya Yanga kwa mikwaju ya penati 4-2 wakati wa mchezo wa Nusu Fainali...

READ MORE

Live Updates: Simba Vs Yanga, Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi Zanzibar

Kikosi cha Yanga SC. Kikosi cha Simba Sc. Simba wanashinda kwa penati 4-2. Simba anacheza ni Bukungu….. gooooooal. Yanga anacheza...

READ MORE

Azam Fc Wametinga Fainali ya Michuano ya Mapinduzi Kwa Kuichapa Taifa Jang’ombe bao 1-0

Azam Fc wametinga fainali ya michuano ya Kombe la  Mapinduzi kwa kuichapa Taifa Jang’ombe bao 1-0. Mfungaji wa bao hilo...

READ MORE

Simba Vs Yanga Kumekucha

Mechi ya watani Simba Vs Yanga inapigwa leo na hilo ndiyo gumzo la kila sehemu hasa unapozungumzia mchezo wa soka....

READ MORE

Betting…Betting….Betting…..

Watani wa Jadi, Simba na Yanga wanatarajia kukupiga katika Uwanja wa Amaan huko visiwani Zanzibar. Wewe kama shabiki unaweza kushiriki...

READ MORE

Kuelekea Mchezo wa Simba SC vs Yanga SC, Haya ni Maneno ya Haji Manara

Salaam wadau, Kesho Jumanne usiku pale Amaan Stadium patachezwa mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi baina ya klabu...

READ MORE

Pichaz: Ndege Mpya ya Arsenal Usipime, Jionee Mwenyewe!

LONDON, Englang UKISIKIA kufuru ndiyo hizi. Arsenal imetambulisha ndege mpya ambayo itakuwa inaitumia kusafiria kwenda kwenye mechi zake za ugenini...

READ MORE

Simba Uso Kwa Uso na Yanga Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi, Yaizamisha Jang’ombe Boys bao 2-0

Kikosi cha Jang’ombe Boys kilichoanza leo dhidi ya Simba katika Uwanja wa Amaan. Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Jang’ombe...

READ MORE

Yanga Wapigwa 4G na Azam Kombe la Mapinduzi

Kikosi cha Yanga kilichoanza jana dhidi ya Azam FC kwenye Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar ambapo kilifungwa bao...

READ MORE

Man United Uhakika Inarudi Top Four

    Wachezaji wa timu ya Manchester United wakishangilia kwa pamoja. Na Saleh Ally, Championi Ijumaa, Tarehe 06.01.2017, Toleo namba 1956...

READ MORE

Riyad Mahrez Anyakuwa Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika 2016

Mchezaji Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani ni Denis Onyango kutoka Uganda na klabu ya Mamelodi Sundowns. Shirikisho la Soka Afrika...

READ MORE

Msuva Amzima Kichuya, Yanga Yafunga Mabao 35

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam, Championi Jumatano Toleo la Januari 4, 2017 YANGA juzi...

READ MORE

Omog: Tutachukua Makombe Matatu Msimu Huu

Simba wakiendelea kufanya mazoezi na Kocha wao Joseph Omog. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam Championi Jumatano Toleo na 1955 KOCHA...

READ MORE