×

Michezo

Caf Wampa Kiburi Robertinho Simba Kumsajili Mchezaji yeyote Atakayemtaka

UONGOZI wa Simba, umemuhakikishia kocha mkuu wa timu hiyo, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wataweza kumsajili mchezaji yeyote atakayemtaka kuelekea katika...

READ MORE

Mashtaka Sita Yanayomkabili Staa wa Yanga Feisal Haya hapa

BARUA ambayo imevuja iliyoelekezwa kwa Feisal Salum Abdalla, Mei 16, 2023 alipokea barua ya malalamiko kutoka kwa uongozi wa klabu...

READ MORE

Simba Yamtangaza Mkuu wa Kitengo cha Kusaka Vipaji (Skauti)

Klabu ya Simba imemtangaza Mels Daalder kuwa Mkuu wa kitengo cha kusaka vipaji (Skauti) wa klabu hiyo kuelekea dirisha la...

READ MORE

Straika Aaga Kwao DR Congo, Rasmi Kutua Simba

RASMI mshambuliaji wa AS Vita ya DR Congo, Eric Kabwe ameaga ndani ya timu hiyo huku akiweka wazi hatakuwepo kwani...

READ MORE

Yanga Wazua Hofu Kambi ya USM Alger Kuelekea Mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho

HOFU ndani ya kambi ya wapinzani wa Yanga, USM Alger, imetanda kuelekea mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika,...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Simba Atembea Na Faili La Usajili Msimu Ujao

UONGOZI wa Simba, umeibuka na kutamba kuwa, tayari Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ tayari ana majina...

READ MORE

Rais Samia Atamani Tanzania Kuwa Mwenyeji Wa Afcon 2027 – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid...

READ MORE

Valencia Yapigwa Faini na Kufungwa kwa sehemu ya Uwanja kwa Mechi zao tano

Valencia imefungwa kwa sehemu ya uwanja katika mechi tano kufuatia zijazo kufuatia dhuluma ya kibaguzi aliyofanyiwa mshambuliaji wa Real Madrid...

READ MORE

Nyakua TV Mpyaa Ukicheza Kasino Mwezi huu

Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuletea promosheni baab kubwa! Ukicheza sloti ya 3 dancing Monkey unaweza kujishindia zawadi ya TV mpyaa...

READ MORE

Fiston Mayele Hauzwi… Yanga Waweka Masharti Magumu Kukaa Mezani Kuongea

UONGOZI wa Yanga umetamka kuwa mshambuliaji wao Mkongomani Fiston Mayele hayupo sokoni lakini wapo tayari kukaa meza moja kwa klabu...

READ MORE

Ubingwa Wampa Kigugumizi Haaland… Afunga Mabao 50 Man City

STAA wa Manchester City, Erling Haaland ameshindwa kuzungumza kutokana na furaha ya kutwaa ubingwa wa Premier League ukiwa msimu wa...

READ MORE

Yanga: Hatuna Hofu Na Waarabu Mei 28 Uwanja wa Mkapa

UONGOZI wa Yanga umewekwa wazi kuwa hauna hofu na wapinzani wao USM Alger Waarabu wa Algeria. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa...

READ MORE

Majembe Saba Yaipa Kicheko Simba Katika Orodha ya Kuwania Tuzo

MAJEMBE saba yanayovuja jasho la haki ndani ya kikosi cha Simba yamewapa kicheko Simba wakiamini kuwa hawajabahatisha kupenya kwenye orodha...

READ MORE

Aviator Bonanza Yaja na Mvua ya Ushindi Kutoka Kasino ya Mtandaoni Meridianbet

Aviatar Bonanza promosheni mpya kutoka kasino ya mtandaoni Meridianbet, lengo la promosheni hii ni kuwapa nafasi wachezaji wa Aviator kuongeza...

READ MORE

Uzinduzi Wa Ligi Ya Upendo Super Cup Si Mchezo, Maendeleo Bank Wanogesha Mambo

Dar es Salaam 21 Mei 2023: Uzinduzi wa Kombe la Upendo Super Cup linaloshirikisha sharika mbalimbali za Kanisa ya Kanisa...

READ MORE

Singida Big Stars, Yanga Kinawaka Leo Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup

BENCHI la Ufundi la Singida Big Stars, limeweka wazi kuwa lipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa nusu...

READ MORE

Singida BS Jiandaeni… Nabi Ashusha Full Kikosi Cha Caf

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewaambia wapinzani wake Singida Big Stars kuwa wanalitaka Kombe la FA, hivyo hawatawadharau huku...

READ MORE

Baada Ya Kurudi Kambini… Mbrazil Simba Atangaza Balaa Zito

BAADA ya kumaliza mapumziko ya siku nne na kikosi chake kurejea rasmi kambini, Kocha mkuu wa Simba, Mbrazil Roberto Oliviera...

READ MORE

Chama, Aziz KI Kivumbi Kwenye Msako wa Kiungo Bora Ligi Kuu Bara

STEPHANE Aziz Ki, kiungo wa Yanga na Clatous Chama wa Simba, ni miongoni mwa viungo watakaotimua kivumbi kwenye msako wa...

READ MORE

Mayele Aitikisa Afrika Ofa nne Zatua Mezani mwa Yanga

JUMLA ya ofa nne zipo mezani mwa Yanga, kutoka klabu tatu kubwa Afrika zikimuhitaji mshambuliaji wa timu hiyo, Mkongomani Fiston...

READ MORE

Kocha wa Simba Azitolea Macho Dk 120 Kusaka Nafasi ya pili Ligi Kuu

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefichua kuwa ameamua kuwarejesha mazoezi haraka wachezaji wake kutokana kukabiliwa na dakika 120...

READ MORE

Yanga: Nini Mwarabu? Tunalitaka Kombe la Shirikisho Afrika

MARA baada ya kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kufahamu kuwa watavaana na timu ya USM Alger ya...

READ MORE

Bashiri Mechi Hizi Zina Odds Kubwa Kwenye Jamvi lako la Meridianbet

Odds kubwa wikiendi hii wakati ambao unajiandaa kwenda kutengeneza jamvi lako hakikisha unapata taarifa za muhimu kuhusu mechi gani za...

READ MORE

Kazi Imeanza… Milioni 350 Zashusha Kiungo Simba

SIMBA SC inatakiwa kutumia dola 150,000 (sawa na Sh 352,185,000) kumshusha kiungo mkabaji wa St George, Yiech Gatoch Panom raia...

READ MORE

As Vita Waichorea Yanga Ramani Ya Ubingwa CAF

KOCHA Msaidizi wa AS Vita ya DR Congo, Raoul Shungu amewapongeza Yanga baada ya kufanikiwa kutinga fainali ya Kombe la...

READ MORE

Mteja wa Meridianbet Kutoka Temeke Ashinda Milioni 20 na Kasino ya Mtandaoni

Michezo ya kasino ya mtandaoni ipo mingi sana ambayo inatolewa na Meridianbet na moja ya mchezo ambayo wanayo ni Piggy...

READ MORE

Simba Yagomea Ofa Ya Onyango.. Adaiwa Kuandika Barua ya Kuomba Kuondoka

UONGOZI wa Simba, umegomea ofa kutoka Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya ambayo imeonesha nia ya kumuhitaji beki wa...

READ MORE

Inter Yaweka Rekodi UEFA Yatinga Fainali kwa mara ya Kwanza

INTER Milan imeweka rekodi ya kutinga Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka...

READ MORE

Yanga Yatinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Kibabe -Video

HISTORIA Imeandikwa baada ya klabu ya Yanga kuingia fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza ikiwa ugenini...

READ MORE

Aucho: Tulieni, Makombe Mengine Yanakuja Yanga

KIUNGO mkongwe mkabaji raia wa Uganda, Khalid Aucho amesema kuwa bado wana deni kubwa kwa mashabiki wa timu hiyo, la...

READ MORE

Straika Mzambia Apewa Kazi Maalum Yanga Dhidi ya Marumo Gallants

KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amesema kuwa hana hofu ya kupoteza mchezo wa marudiano dhidi ya Marumo Gallants...

READ MORE

Kiungo Mshambuliaji Aigomea Simba, Atua Jeshini

IMETHIBITISHWA kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Hassani Dilunga amekataa ofa ndogo ya kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kukipiga hapo huku...

READ MORE

Nusu Fainali UCL & Europa 2023 Patachimbika

Mbio sakafuni huishia ukingoni, hatimaye safari ndefu ya kumtafuta bingwa mpya wa Ligi ya Mabingwa na Uropa Ligi inaelekea ukingoni....

READ MORE

Bosi Simba: Baleke Haendi Popote Baada ya Kutakiwa na Timu za Ulaya

KUFUATIA kuzagaa kwa tetesi kuwa kuna timu kutoka barani Ulaya zimeonyesha nia ya kumsajili straika wa Simba, Jean Baleke, uongozi...

READ MORE

Chama Atoa Kauli Ya Kutisha Simba Baada ya Kukosa Mataji Msimu Huu

KIUNGO mshambuliaji wa Simba Mzambia, Clatous Chama amewaomba msamaha mashabiki wa timu hiyo, baada ya kukosa mataji katika msimu huu...

READ MORE

Hizi Hapa Mashine 5 Za Kuwaua Marumo Mchezo wa Marudiano Afrika Kusini

KUELEKEA mchezo wao wa nusu fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika itakayopigwa kesho Jumatano dhidi ya Marumo Gallants...

READ MORE

Rais Ruto Apokea ombi la Pamoja la Kenya, Uganda na Tanzania Kuandaa Afcon 2027

Rais William Ruto wa Kenya Jumatatu alipokea ombi la pamoja la Kenya kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Yanga Aanika Usajili Mpya Kuelekea Msimu Ujao

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameanika mipango yake ya usajili kuelekea msimu ujao kwa kusema amepanga kuongeza wachezaji wachache...

READ MORE

Mabosi Simba Wampeleka Aishi Manula India Kupatiwa Matibabu

IMEFAHAMIKA kuwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula muda wowote mabosi wa timu hiyo watamsafirisha kwenda nchini India kwa...

READ MORE

Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said Achimba Mkwara Mzito Bongo

BAADA ya juzi Jumamosi kutangazwa rasmi kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23, Rais wa Yanga, Injinia Hersi...

READ MORE