×

Michezo

Hatimaye Lionel Messi Abeba Kombe la Dunia na Tuzo ya Mchezaji Bora Doha, Qatar

  Timu ya Argentina imefanikiwa kutwaa taji la dunia baada ya kuishinda Ufaransa kwa penati 4-2 katika uwanja wa Lusille...

READ MORE

Mgunda: Tunaanza Upya leo Dhidi ya Geita Gold CCM Kirumba jijini Mwanza

KUELEKEA mchezo wao wa kwanza wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kupigwa leo...

READ MORE

Yanga Yampa Mkataba wa Kufuru Luis Miquissone Baada ya Kuvamia Dili la Simba

WAKATI Klabu ya Simba ikiendelea kupewa asilimia nyingi za kumrejesha winga wao wa zamani raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, uongozi...

READ MORE

Croatia Yaishinda Morocco na Kumaliza katika Nafasi ya Tatu Katika Kombe la Dunia

Doha, Qatar — Bao la dakika za mwisho la kipindi cha kwanza la Mislav Orsic lilitosha kumaliza pambano hilo. Mabao ya...

READ MORE

Bosi Simba: Manzoki Ndiyo, Bobosi Hapana Baada ya Usajili Kufunguliwa

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefichua ni kweli kuna mipango inafanyika kumhusu Cesar Lobi Manzoki raia...

READ MORE

Nabi: Mashabiki Tulieni, Hao Waarabu Nawajua Nje Ndani Kombe la Shirikisho

KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kupangwa na US Monastir FC ya nchini...

READ MORE

Mukoko Tonombe Auhofia Mziki wa Yanga Kombe la Shirikisho Afrika

KIUNGO wa TP Mazembe, Mukoko Tonombe amesema kuwa ubora wa Yanga waliouonyesha katika michuano ya kimataifa kwa msimu huu inaonyesha...

READ MORE

Dirisha Dogo la Usajili kwa Ligi Kuu, Daraja la Kwanza, Daraja la Pili Lafunguliwa

Dirisha dogo la usajili kwa Ligi Kuu, Daraja la Kwanza, Daraja la Pili na Ligi ya Wanawake limefunguliwa Desemba 15,...

READ MORE

Mlinzi Kutoka Kenya Afariki Qatar Baada ya Ushindi wa Argentina Robo Fainali dhidi ya Uholanzi

MLINZI amefariki dunia katika Uwanja wa Lusail baada ya kuanguka kutoka uwanja wa Kombe la Dunia nchini Qatar baada ya...

READ MORE

Moses Phiri: Simba Tunaenda Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

MARA baada ya  Simba kupangwa katika kundi D la Ligi ya Mabingwa Afrika na timu za Raja Casablanca, Horoya FC...

READ MORE

Jishindie Mkwanja wa 800,000/= TZS Kutoka Expanse Na Meridianbet

Promosheni ya Expanse Kasino Kama kawaida wakali wa kasino BOMBA za mtandaoni kampuni ya Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse studio...

READ MORE

Cheza Bila Uwoga Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet! Tengeneza Mkwanja

Kama ilivyoada kwa Meridianbet kukuletea michezo yenye bonasi kubwa, Odds kubwa na Promosheni za kumwaga. Wiki hii kwenye kasino ya...

READ MORE

Argentina Yatinga Fainali ya Kombe la Dunia na Kurudia Historia ya Mwaka ’90

Doha, Qatar — Washabiki wa Argentina walikuwa wakiimba jina la Messi katika eneo la Souq Wakif baada ya mchezaji huyo maarufu...

READ MORE

Mshambuliaji Cesar Manzoki Kutua Simba na Mambo Matatu Dirisha Dogo

WAKATI Klabu ya Simba ikielekea kwenye uchaguzi mkuu Januari 29, 2023, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah...

READ MORE

Simba Watamba Kutoboa Makundi CAF, Yanga Yampa Rungu Kocha Nabi

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), jana lilichezesha droo ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

Michuano ya Kombe la Dunia Yafikia Patamu, Kamata ODDS Bomba za Meridianbet

Michuano ya kombe la dunia imefikia patamu sana, hatua ya Nusu Fainali timu zilikuwa 32 na hatimaye sasa zimesalia timu...

READ MORE

Kocha Mgunda Akabidhi Majembe Mapya Simba, Cesar Manzoki Ajadiliwa

KUELEKEA usajili wa dirisha dogo, uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Juma Mgunda, tayari amekutana...

READ MORE

Waarabu Wafunga Safari Kumfuata Feisal Salum ‘Fei Toto’, Azam FC Kuweka Ofa

MABOSI wa Berkane FC ya nchini Morocco wamefunga safari kumfuata kiungo mchezeshaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa ajili ya kuinasa...

READ MORE

GSM Yamalizana na Kiungo Kiungo wa Uganda, Bobosi Byaruhanga, Mkataba Watajwa

TAARIFA zinaeleza kuwa, Klabu ya Yanga chini ya wadhamini wao Kampuni ya GSM, rasmi imemalizana na kiungo wa Uganda, Bobosi...

READ MORE

Yanga Inautaka Tena Ubingwa wa Kombe la Shirikisho Kucheza Dhidi ya Kurugenzi Uwanja wa Mkapa

WAKATI leo Jumapili Yanga SC itacheza mechi ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Kurugenzi, uongozi wa mabingwa...

READ MORE

Mambo Mawili Mazito Yamuondoa CEO Barbara Gonzales Simba

OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzales, jana Jumamosi alifikia uamuzi wa kujiuzulu nafasi yake hiyo, huku akitoa sababu kuu...

READ MORE

Ufaransa Yakata Tiketi ya Kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia

Doha, Qatar — Iliwachukua Ufaransa dakika 17 tu kupata bao lao la kwanza kupitia kwa mshambuliaji Aurelien Tchouameni Na Uingereza waliendelea...

READ MORE

Kombe La Dunia 2022: Morocco Yaichapa Ureno Na Kuweka Rekodi Ya Timu Ya Kwanza Kutoka Afrika Kufika Nusu Fainali

Bao la ushindi lilifungwa dakika za mwisho za kipindi cha kwanza wakati Youssef En-Nesyri alipoteleza na kushinda kwa kichwa krosi...

READ MORE

Mshindi Wa Promosheni Ya Beti Na Kitochi Meridianbet Inaendelea Kutimiza Ndoto ya Kila Mtu

Kila mmoja ana ndoto kubwa ya kumiliki vitu vizuri, lakini vikwazo vya Maisha na bajeti kubana hukwamisha ndoto ya wengi...

READ MORE

Ozil Amwagia Sifa Ronaldo, Atoa Neno kwa Wachezaji wa Kizazi cha Sasa

NYOTA wa zamani wa klabu ya Real Madrid, Arsenal pamoja na Timu ya Taifa ya Ujerumani Mesut Ozil ameibuka na...

READ MORE

Yanga Yawatimua Kazi Makocha wa Timu ya Yanga Princess

KLABU ya Yanga imetangaza kuachana na makocha wawili wa timu ya wanawake ya klabu hiyo ya Yanga Princess, makocha hao...

READ MORE

Ni zipi ODDS kubwa za Meridianbet Mechi za Robo Fainali WC 2022?

Ile Barabara ya kwenda fainali ya Kombe la Dunia sasa imekamilika mkandarasi aliyehusika kuijenga barabara hiyoni FIFA akishirikiana na wahandisi...

READ MORE

Fiston Mayele Achaguliwa Kuwa Mchezaji Bora Novemba, Mgunda Kocha Bora

Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Fiston Mayele amechaguliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) kuwa mchezaji bora wa mwezi...

READ MORE

George Mpole Apewa Mkono wa Kwaheri Geita Gold Mkataba wake Wamalizika

Uongozi wa klabu ya Geita Gold umethibitisha kuwa mkataba wake na kinara wa magoli Ligi kuu ya NBC msimu wa...

READ MORE

Yanga: Kivyovyote Namungo Watatoa Pointi Tatu Kwenye Uwanja wa Majaliwa

YANGA jioni ya leo watashuka kwenye Uwanja wa Majaliwa uliopo Ruangwa, Lindi kuwavaa Namungo FC na mpango wa benchi la...

READ MORE

Rusha Kete Na Ujipatie Mshiko Wa Kutosha Kutoka Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet.

Sloti Ya Titan Dice Anza siku yako ukicheza mchezo wa Titan Dice kwa kujikusanyia mkwanja wa kutosha na kasino ya...

READ MORE

Kombe la Dunia 2022: Samuel Eto’o Amshambulia Mtu Qatar Baada ya Mechi

Tukio hilo lilitokea nje ya Uwanja wa 974 huko Doha baada ya mechi ya Jumatatu ya hatua ya 16 bora...

READ MORE

Yanga Yaifungia Namungo Full Mziki Kesho Kwenye Uwanja wa Ruangwa Lindi

MSAFARA wa wachezaji 21 wa Yanga umesafiri kuelekea mkoani Lindi, kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

READ MORE

Wakala wa Gvardiol Akanusha Kuwepo kwa Makubaliano ya Awali na Klabu Yoyote

WAKALA wa Beki wa kati wa Timu ya Taifa ya Croatia pamoja na klabu ya RB Leipzig Josko Gvardiol anayeitwa...

READ MORE

Brazil Yatinga Robo Fainali Kombe la Dunia, Yashinda 4-1 Katika Uwanja wa 974 Doha

Timu ya Brazil imeingia kwa kishindo katika robo fainali ya kombe la dunia baada ya kuifunga Korea Kusini mabao 4-1...

READ MORE

Mambo ni Moto Kombe la Dunia Brazil vs Korea Kusini, Morocco vs Hispania Pata ODDS kubwa za Meridianbet

Wiki hii ule ukurasa raundi ya mtoano wa 16 bora utafungwa rasmi kwa michezo minne iliyosalia, ni Japan vs Croatia,...

READ MORE

Mayele Aiweka Yanga Pabaya leo Jumapili dhidi ya Tanzania Prisons kwa Mkapa

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze, ameweka wazi kuwa, kuna hatihati ya kuwakosa wachezaji wake muhimu katika mchezo wa leo...

READ MORE

Argentina Yaingia Robo Fainali ya Kombe la Dunia Qatar

Argentina imekata tiketi ya kuingiabrobo fainali ya michuano ya kombe la dunia baada ya kuifunga Australia bao 2-1 katika uwanja...

READ MORE

Rasmi: Gabriel Jesus na Alex Telles Nje Fainali za Kombe la Dunia Nchini Qatar

NYOTA wa Klabu ya Arsenal na Timu ya Taifa ya Brazil Gabriel Jesus atakosekana katika mashindano ya fainali za kombe...

READ MORE

PSG, Real Madrid na Chelsea Zapigana Vikumbo kwa Beki wa RB Leipzig

KLABU za Paris Saint Germain, Real Madrid na Chelsea zinatunishiana misuli ya fedha kwa kumuwania mlinzi wa kati wa klabu...

READ MORE