MAMA mmoja aliyefahamika kwa jina la Asha Mohammed mkazi wa Boko Chama jijini Dar amejikuta katika mateso mazito kufuatia kupooza...
READ MOREDAR ES SALAAM: SIKU za mwisho watatokea manabii wengi wa uongo! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na maandiko yaliyopo kwenye Biblia...
READ MOREDAR ES SALAAM: MAMBO mengine yanatafakarisha! Hivi inawezekanaje umkataze mtu atukane halafu ageuke mbogo na baadaye kukushushia kipigo hadi ujauzito...
READ MOREKAMA kuna habari iliyojaa mafunzo kwa wanaume ni hii ya Jackline Mwende ambaye alikatwa mikono yake na mumewe na habari...
READ MORENI simanzi nzito! Wachimbaji wawili wa dhahabu katika Kijiji cha Izumbi, Sangamba Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamefariki dunia baada...
READ MOREMOROGORO: Mrembo mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amenaswa katika tukio la utapeli wa fedha za mtandao. ...
READ MOREMOROGORO: Inasikitisha! Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Setembo, Rajabu Athumani (60), anadaiwa kujiua kwa kujinyonga, kisa kikidaiwa ni mauaji...
READ MOREKIMEWAKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kucharuka na kumtaka daktari wa Kihindi, Annapurna Dama kufika mahakamani...
READ MOREMOROGORO: Gari linalodaiwa kusafirisha pesa kutoka Hazina na kuzisambaza kwenye mabenki mjini Morogoro mwanzoni mwa wiki hii likiwa katika mwendo...
READ MOREMOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Tukio la kushangaza lililotikisa mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki iliyopita ni la paka...
READ MOREDAR ES SALAAM: Hii inauma sana! Ndani ya wiki mbili zilizopita yametokea matukio mawili ya kusikitisha ya wasichana waliokuwa kwenye...
READ MOREMSIBA wa bibi harusi, Diana Jackson aliyefariki dunia kwa ajali wakati akienda kwenye ‘Send Off’ yake Dar es Salaam, umemvuruga...
READ MOREUKIONA mtu mzima analia, basi ujue kuna jambo! Haya ni maneno yanayopatikana kwenye wimbo wa Kilio cha Mtu mzima ulioimbwa...
READ MOREVITENDO vya utekaji na mauaji ya watoto vinavyoendelea katika Manispaa ya Lindi, vinazidi kuwapa wakati mgumu wananchi wa mkoa huo...
READ MOREKIFO cha mwanafunzi wa Kampala International University (KIU), Anifa Mgaya aliyeuawa kwa kuchomwa kisu Jumapili iliyopita kimeibua utata kufuatia muuaji...
READ MOREPANGA maisha uwezavyo, lakini mpangaji mkuu atabaki kuwa Mungu aliyeshika uhai wako kama ambavyo msichana mmoja jijini Dar es Salaam...
READ MOREAma kweli wahuni si watu wazuri! hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la kijana Said Nassoro, mkazi wa Tandika jijini...
READ MOREINASIKITISHA sana! Mrembo mmoja ‘mtoto wa mjini’ aliyejulikana kwa jina la Rehema Kidae almaarufu Rose, mkazi wa Mwananyamala – Kwa...
READ MOREMARIAMU Staford ni mwanamke mwenye ualibino aliyefanyiwa unyama wa kutisha wa kukatwa mikono yake yote mwaka 2008 akiwa nyumbani kwao...
READ MORENDANI ya siku chache, Jeshi la Polisi Tanzania limekumbwa na kashfa mbili ambazo ni pamoja na askari wake kudaiwa kushambulia...
READ MOREACHANA na habari za propaganda za popobawa kuwaingilia watu usiku na kuwanyanyasa kingono zilizokuwa zikivuma miaka ya nyuma, sasa kuna...
READ MOREMOROGORO: Tukio la Michael John Mwandu, mkazi wa Dumila, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro la kumuua mkewe, jirani na mkwewe...
READ MOREDAR ES SALAAM: Ukisikia neno mchungaji amezua tafrani na kufunga mtaa mchana kweupe lazima utabaki na maswali mengi, imekuwaje kwani...
READ MOREDAR ES SALAAM: Watu wawili waliotajwa kuwa ni wachumba waliofahamika kwa majina ya James na Happy wakazi wa Kivule jijini...
READ MOREASKARI wa Maliasili eneo la Kola, Kisarawe Mkoani Pwani, wameangushiwa madai mazito ya kumuua raia mmoja aliyefahamika kwa jina la...
READ MOREKUFA kufaana! Ndivyo ilivyokuwa baada ya zoezi la bomoabomoa kufanyika juzi katika Kituo cha Daladala cha Mwenge jijini Dar ambapo...
READ MOREMAAJABU ambayo sayansi yake haijulikani ni ya karne gani yametokea jijini hapa kwa watu watano kwa nyakati tofauti kukumbwa na...
READ MOREMOROGORO: NI patashika nguo kuchanika! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kijana mmoja wa Kimasai kuibua kimbembe cha aina yake baada...
READ MOREMOROGORO: Wakati waislam wakiwa ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, binti mmoja aliyefahamika kwa jina la Sharifa mkazi wa Mji...
READ MOREINAUMA sana! Mtoto Moshi Khamisi (4), mkazi wa Tabora yuko katika mateso na maumivu makali baada ya tumbo lake kuvimba...
READ MOREDAR ES SALAAM: Skendo mbichi ya unga inamhusu mjasiriamali maarufu jijini Dar es Salaam, Shamim Mwasa na mumewe Abdul Nsembo...
READ MOREMBEYA: Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Tukio la baba aliyefahamika kwa jina la Tatizo Yahya Japhet Nguku (37), mkazi...
READ MOREMWANAUME mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Saliini Athuman, mkazi wa Mbagala jijini Dar, amepata kilema cha mkono baada ya kung’atwa...
READ MOREMWALIMU wa Shule ya Msingi Liwiti jijini Dar, aliyetambulika kwa jina la Selani Hamisi ameuawa kwa kuchomwa kisu na mwanaume...
READ MOREPWANI: Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Liswan, mkazi wa Kibaha kwa Mathias mkoani Pwani, anadaiwa kuishi na maiti ya...
READ MOREDAR ES SALAAM: SHABAHA ya jambazi kumvizia mlinzi na kumjeruhi au kumuua ni ili aweze kupora mali; inapotokea akafanya hivyo...
READ MORE40 YAKE IMETIMIA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza kumnasa kijana aliyefahamika kwa jina la...
READ MORENYUMA ya matukio ya wanandoa kunaswa kwa tuhuma za biashara ya madawa ya kulevya, kuna mambo mapya yameanikwa, Uwazi limedokezwa. ...
READ MOREDAR ES SALAAM: Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Moza Hussein Lukanga, mkazi wa Mianzini Mbagala jijini Dar hivi karibuni...
READ MOREMREMBO aliyefahamika kwa jina moja la Khadija anadaiwa kujirusha kutoka ghorofani na kufariki dunia ambapo mpenzi wake aliyetajwa kwa jina...
READ MORE