×

Music Videos

Jux Ataja Mrembo Ambaye ni Fimbo Yake Maishani Kwake

Kuwa wa kwanza kuangalia video wa wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Juma Jux unaoitwa Fimbo ingia Global App na...

READ MORE

Kidoti Baby Ft Amber Lulu – Sina Uoga (Official Music Video)

Kuwa wa kwanza kuangalia video wa wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Kidoti Baby unaoitwa Sina Uoga ingia Global App...

READ MORE

Dogo Janja – Wayu Wayu (Official Video)

MSANII wa Bongo Fleva, kutoka lebo ya  Tip Top Connection, Dogo Janja ameachia video mpya ya ngoma yake iitwayo Wayu Wayu.  Video...

READ MORE

Pam D Ft Msaga Sumu – UMEPENYA (Official Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ ameamua kugeukia muziki wa singeli ameachia wimbo wake wa singeli ambao amemshirikisha...

READ MORE

Ngoma Mpya ya Madam Flora – Wanitosha (Official Video)

MWANAMUZIKI Florance Henry maarufu kama Madam Flora ameachia video ya ngoma yake mpya ya Wanitosha. Global Publishers App imekurahisishia sana jinsi ya...

READ MORE

Video Mpya: Dayna Nyange – Sale Sale (Official Video)

MWANADADA mkali wa Bongo Fleva, Dayna Nyange ameachia video ya wimbo wake mpya uitwayo ‘Sale Sale’, ambapo audio ya ngoma...

READ MORE

Mchumba wa Wolper Aachia Wimbo Mpya – R. I. P Akwilina

MCHUMBA wa Staa Jacquiline Wolper, ambaye ni msanii wa Bongo Flava – Engine kwa masikitiko makubwa anaungana na Watanzania wote...

READ MORE

Mkubwa na Wanawe… Kisamaki -Nanenepa (Oficcial Video)

MKUBWA NA WANAWE amemtambulisha msanii wake aitwaye KISAMAKI, ambaye ameachia video ya ngoma yake mpyaiitwayo NANENEPA. Global Publishers App imekurahisishia sana jinsi...

READ MORE

Ngoma Mpya ya Papii Kocha – Waambie (Official Video)

MWANAMUZIKI Johnson Nguza maarufu kama Papii Kocha ameachia video ya ngoma yake mpya na ya kwanza tangu atoke gerezani kwa...

READ MORE

Video Mpya: Nikki Mbishi – Nimekumiss

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo kutoka Kundi la WEUSI, Nikki Mbishi ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Nimekumiss’,...

READ MORE

Wimbo Mpya wa Papii Kocha – Waambie (Official Video)

MWANAMUZIKI Johnson Nguza maarufu kama Papii Kocha ameachia video ya ngoma yake mpya na ya kwanza tangu atoke gerezani kwa...

READ MORE

Kidoti Baby – Pipi Ya Kijiti (Official Video)

Kuwa wa kwanza kuangalia video wa wimbo wa msanii mpya wa Bongo Fleva, Kidoti Baby unaoitwa Pipi Ya Kijiti ingia...

READ MORE

HII NDIYO VIDEO KALI YA HIP HOP ILIYOWEKA REKODI YA AINA YAKE BONGO

VIDEO hii ya hip-hop imeweka rekodi ya aina yake Bongo,  ndiyo video kali  iliyopata views zaidi ya milioni moja kwa...

READ MORE

Lulu Diva – AMEZOEA (Official Video)

 MUUZA nyago kwenye video za Bongo ambaye pia ni mwanamuziki, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ameachia ngoma mpya ya Amezoea.

READ MORE

Itazame Hapa Video Mpya Ya Gigy Money – Mimina

MUUZA nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ baada ya kuachia ngoma ambayo ilivuma sana...

READ MORE

New Music Video: Mbosso – Watakubali

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia amesainiwa na Lebo ya WCB, Mbosso baada ya kundi lake la awali la yamoto...

READ MORE

New Audio: Diva Thee Bawse – Waambie Ft. Mr. Paul & Mwana FA

 Tazama exclusive interviews za mtangazaji wa #alazaroho @divatheebawse kupitia #GlobalPublishersApp. Ndani ya #GlobalPublishersApp ngoma mpya ya Diva #WAAMBIE IMO...

READ MORE

Nandy X Aslay – Subalkheri Mpenzi (Official Video)

BINTI anayefanya vizuri kwenye Bongo-fleva, Nandy ameachia Video ya wimbo wake mpya wa Subalkheri Mpenzi kashirikiana na msanii wa Bongo,...

READ MORE

Heri Muziki ft. Mwana FA & Mr. Paul – Waambie (Official Audio)

 Msanii wa muziki wa Bongo FLeva, Heri Muziki ameachia audio ya ngoma yake mpya ya ‘Waambie’ ambao amewashirikisha wakongwe...

READ MORE

Nimekusogezea Video Mpya ya Ben Pol – Bado Kidogo

  #InstallGlobalPublishersApp sasa Android kupitia Google Play ==>https://t.co/4I9Eh8ZI7n iOS kupitia AppStore ==>https://t.co/Rx7urk7Wsh

READ MORE

Video Mpya ya Mpenzi wa Wolper, Engine -Ulingo (Official Video)

MPENZI mpya  wa staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper, Sadiki Athanas Sanga ‘Engine’, ameachia video yake ya wimbo wa...

READ MORE

Barnaba Ft Aslay – NGOMA (Official Video)

 Barnaba ameachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha msanii  Aslay ambaye amekuwa tishio kwa wanamuziki kwa kutoa nyimbo nyingi, kali na...

READ MORE

Isha Mashauzi – Mwanamke Mpango Mzima (Official video)

 Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’ hivi karibuni ametoa video ya wimbo wake ya Mwanamke Mpango Mzima. Katika Video hiyo ameonyesha...

READ MORE

Nandy – Kivuruge (Official Video) Yatinga Namba 1 ‘Trending on Youtube’

KWENYE sayari ya Bongo Fleva kwa sasa unapozungumzia wasanii wanaofanya poa huwezi kuacha kumtaja mwanadada Faustina Charles ‘Nady’  hivi karibuni...

READ MORE

Tekno – Only One (Official Video)

 HADITHI: SIKU ZA MWISHO ZA UHAI WANGU – SEHEMU YA 1 (Audio) Nakuletea dakika 15 za kwanza za simulizi...

READ MORE

Pretty Kind Ft Gigy Money – Viduduwasha (Official Video)

 Msanii wa filamu za Kibongo ambaye pia anakuja kwa kasi kwenye anga za muziki, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ jana...

READ MORE

Ferooz Aachia Ngoma Mpya – Najaribu…. Itazame Hapa

LEGENDARI wa muziki wa Bongo Fleva, Ferooz ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Najaribu’. Mkongwe huyo aliyewahi kufanya vizuri...

READ MORE

Mwana FA Aachia Dude Jipya na Maua Sama – Hata Sielewi

IKIWA ni wiki chache baada ya kufanya vizuri na ngoma mpya ya Upo Hapo ambayo amegonga na ma-rapaz wenzake ambao...

READ MORE

Christian Bella – Shuga Shuga (Official Music Video)

 MKALI wa masauti, Mwanamuziki Christian Bella ameachia video ya nyimbo yake ya  Shuga Shuga hivi karibuni kupitia akaunti yake...

READ MORE

Saida Karoli – Omulilo (Official Music Video )

 MSANII mkongwe wa muziki wa asili, Saida Karoli ambaye hivi karibuni amekuwa akitamba na wimbo wake wa Orugambo baada...

READ MORE