×

Siasa

Silinde Ashindwa Kura za Maoni Tunduma

Aliyekuwa mbunge wa Momba kupitia Chadema, David Silinde ameshindwa kura za maoni Jimbo la Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia Chama...

READ MORE

Prof. Maghembe Ashindwa Kura za Maoni Mwanga

Waziri wa zamani wa maliasili na utalii ambaye ni mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro, Profesa...

READ MORE

Kafulila ‘Apigwa’ Kura za Maoni Kigoma Kusini

HASNA MWILIMA amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Kusini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata...

READ MORE

Steve Nyerere Ashindwa Kura za Maoni Iringa Mjini

  ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Map[induzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu, ameshinda kura za maoni za CCM...

READ MORE

Gambo Kidedea Kura za CCM Arusha Mjini

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,  ameibuka mshindi wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo...

READ MORE

Nassari Abwagwa na Dk. Pallagyo Arumeru Mashariki

ALIYEKUWA mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari,  ameangukia pua katika kura za maoni...

READ MORE

Dk. Mollel Aongoza Siha, Amfunika Mwanry

NAIBU Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel,  ameongoza kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Siha,...

READ MORE

Abood Aibuka Kidedea CCM Morogoro Mjini

ABDULAZIZ ABOOD ameshinda kura ya maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Morogoro Mjini baada ya kupata kura...

READ MORE

Zungu Ashinda Kura za Maoni CCM Ilala

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu, ameongoza kura za maoni kupitia Chama...

READ MORE

Profesa Mkumbo Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Ubungo

Zoezi la kuhesabu kura za maoni katika Jimbo la Ubungo limekamilika, ambapo aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila...

READ MORE

Ndugulile Amshinda Makonda Kura za Maondi Kigamboni

ALIYEKUWA Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Kigamboni ambaye anawaia kutetea kiti chake, Dkt. Faustine Ndugulile...

READ MORE

Lukuvi Aibuka Kidedea Kura za Maoni Isimani

Zoezi la kuhesabu kura katika Jimbo la Isimani mkoani Iringa limekamilika na Waziri wa Aridhi William Lukuvi ameibuka mshindi kwa...

READ MORE

Jafo Aibuka Mshindi Kura za Maoni Kisarawe

Zoezi la kuhesabu kura za maoni, Jimbo la Kisarawe limekamilika na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ameibuka mshindi. Selemani Jafo-588...

READ MORE

Mbowe, Msigwa Wajitoa Urais CHADEMA

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia  na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe  na makada wengine watatu wamejiengua katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa...

READ MORE

Membe Arejesha Fomu ya Kugombea Urais

  ALIYEKUWA kuwa waziri wa mambo ya nje, Bernard Membe, leo Julai 19, 2020, amerejesha fomu za kuomba kuteuliwa kugombea...

READ MORE

Polepole: Viongozi Wasioridhika na Wenye Tamaa Hawatufai!

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa chama tawala cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole , amesema viongozi wa umma wasioridhika na...

READ MORE

Aboubakar Juma Ajitosa Urais Kupitia NCCR-Mageuzi

ABOUBAKAR JUMA ABOUBAKAR leo Julai 18, 2020, ametia nia kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha...

READ MORE

Wabunge, Madiwani Wahamiaji; Wana Kazi Kubwa Kupenya!

WABUNGE na madiwani wa vyama vya upinzani waliohamia CCM na wale waliohamia vyama vingine, wana mtihani mkubwa wakati huu tunapoelekea...

READ MORE

CCM Itaweza Kuruka Moto wa Vihunzi Hivi Kusini?

WAKATI moshi wa Uchaguzi Mkuu mwaka huu, ukizidi kufuka, yamkini mikoa ya Lindi na Mtwara sasa itakoleza moto wa uchaguzi...

READ MORE

Watia Nia 55 CCM Chato Kumvaa Kalemani

KATIKA hali iliyowashangaza wengi, watia nia wapatao 55 wamejitokeza kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili wapitishwe kugombea ubunge...

READ MORE

Membe Akoleza Mjadala Urais 2020

HATIMAYE aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe jana amepokelewa rasmi ndani ya Chama cha ACT Wazalendo na...

READ MORE

Membe Achukua Fomu Kuwania Urais

WAZIRI mstaafu wa Mambo ya Nje, Bernard Membe,  leo mchana  Ijumaa, Julai 17, 2020, amechukua fomu ya kugombea urais kupitia...

READ MORE

Hussein Mwinyi; Historia Inajirudia Zanzibar

UNAWEZA kusema historia inajirudia Zanzibar baada ya Dk. Hussein Mwinyi kuibuka mshindi baada ya kupata asilimia 78 ya kura za...

READ MORE

Wagombea Ubunge… Rekodi Tupu!

WAKATI kitendawili cha majina ya wagombea urais kupitia vyama mbalimbali vya siasa nchini kikiendelea kuteguliwa, kivumbi kimehamia kwenye nafasi ya...

READ MORE

Membe Apokelewa Rasmi ACT-Wazalendo, Afunguka!

ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini na Mbunge wa Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe, amejiunga...

READ MORE

Mashinji Achukua Fomu Kuchuana na Gwajima

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kabla ya kuhamia kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt....

READ MORE

Hashim Rungwe Asisitiza Ahadi Yake ya Ubwabwa

MGOMBEA wa urais kutoka Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashimu Rungwe, ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho amesema...

READ MORE

Membe Kutambulishwa Rasmi ACT- Wazalendo Kesho

KIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameweka wazi kuwa kesho Julai 16, 2020, watamtambulisha rasmi aliyekuwa waziri wa...

READ MORE

Majaliwa Achukua Fomu Kutetea Jimbo Lake

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatana na mkewe, Mary Majaliwa, amechukua fomu za kuwania tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa,...

READ MORE

Walioshinda Kura za Maoni za Ubunge Chadema

  WASHINDI  wa uchaguzi kwenye kura za maoni za ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) waliopita kwenye...

READ MORE

Mpambano Mkali CCM, Wagombea 19 Kilosa, 20 Mikumi

Jumla ya wanachama 19 wa Chama Cha Mapinduzi katika jimbo la Kilosa wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea Ubunge katika jimbo...

READ MORE

Watiania wa Ubunge CCM Waliochukua Fomu Leo – Pichaz

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa...

READ MORE

Panga Kali Kuwafyeka Wanaojipitisha Majimboni!

DAR: Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitarajia kufungua pazia kwa makada wake kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa nafasi za ubunge...

READ MORE

Kinana Atua CCM Dodoma, Ampigia Debe JPM – Video

KATIBU Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amefika na kuhudhuria  Mkutano Mkuu wa chama hicho unaofanyika kwenye...

READ MORE

Kilichotokea Dodoma Leo Mwinyi Akipitishwa Kuwania Urais – Video

MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wamempitisha Dkt. Hussein Ali Mwinyi Kuwa Mgombea wa urais...

READ MORE

Majina 3 Wagombea Urais Zanzibar Kujadiliwa Leo

KAMATI  Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana ilikutana jijini Dodoma na kufanyia kazi taarifa ya Kamati...

READ MORE

Hatutaruhusu Rais Aongeze Muda – Bashiru

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amesema chama hicho hakitakubali Rais John Magufuli kuongeza muda wa...

READ MORE

Dkt Bashiru: Maalim Seif Hatutishi ni Mzoefu wa Kushindwa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally, amesema chama chake hakitishwi na kitendo cha mwanasiasa Maalim Seif Hamad...

READ MORE

Ifahamu Safari ya Lissu Kurejea Tanzania

LICHA ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kutangaza tarehe ya kurudi Bongo, baadhi ya wachambuzi wa mambo ya kisiasa...

READ MORE