×

Siasa

Chadema: Nyalandu Achukua Fomu Kuwania Urais – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu, amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais...

READ MORE

Nyalandu Amkumbuka Mbowe Walipokuwa Israel – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu, ameeleza ni kwa namna gani anamfahamu mwenyekiti...

READ MORE

BREAKING: Joshua Nassari Ahamia CCM Arusha – (Pichaz +Video)

ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amejiunga na Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Chalamila Atengua Uamuzi Asema ‘Sigombei Tena’

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema kuwa hawezi kukiuka maagizo ya Rais . John Magufuli uliowataka wateule wake...

READ MORE

Dkt Majinge Achukua Fomu Chadema Kuwania Urais

LEO Julai 7, 2020, mwanachama wa CHADEMA Dkt Mayrose Majinge, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya...

READ MORE

CHADEMA Yakaribisha Kugombea Ambao Hawakutia Nia

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, ametoa rai kwa wanachama wote wa chama hicho, hata...

READ MORE

Maalim Seif Achukua Fomu Tena Kugombea Urais

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalengo, Maalim Seif Sharif Hamad jana Jumapili, Julai 5, 2020, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya...

READ MORE

Hatimaye Membe Asalim Amri CCM

ALIYEKUWA kuwa waziri wa mambo ya nje ya nchi wa Tanzania,na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Benard Membe,amerejesha kadi...

READ MORE

Corona Yaleta Baraka Kwenye Sekta Ya Afya – Ummy Mwalimu

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto amesema ugonjwa wa Corona umeleta fursa ya kuboresha huduma za...

READ MORE

Vuai Nahodha Achukua Fomu Urais Zanzibar

WAZIRI Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Misingi No Itaamua Nani Agombee Siyo Lazima Mbowe – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema ndani ya chama hichio, hakuna kanuni inayomzuia mwanachama kutangaza nia ya kugombea nafasi...

READ MORE

Chadema 11 Wajitosa Urais 2020

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo Juni 17, 2020, kimetangaza majina ya Wanachama wake 11 walioomba kuteuliwa na Chama...

READ MORE

Breaking: Magufuli Achukua Fomu Kuwania Urais 2020 – Video

RAIS  John Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) asubuhi leo Jumatano ya Juni, 17, 2020, amechukua fomu...

READ MORE

Mitego ya Waimba Mapambio, Ishindwe Dhidi ya Rais Wetu

“Kila nilipokuwa nikitaka kung’atuka walikuwa wakiniambia; ‘Mwalimu endelea tu, hii ni nchi changa na umeitoa mbali. Nchi hii haitaendelea bila...

READ MORE

Uchaguzi 2020: Majina 5 CCM Yanayopewa Nafasi Urais Zanzibar

KAZI ya kutabiri kuhusu nani atabeba kijiti cha kuipeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar katika ngazi ya urais...

READ MORE

Ratiba ya Mchakato wa Kupata Wagombea CCM 2020

3.0.     MAMBO YA KUZINGATIWA NA KILA MGOMBEA (i)         Kila mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni lazima...

READ MORE

CCM Yatangaza Kuanza Rasmi Mchatako wa Uchaguzi – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuanza rasmi kwa mchakato wa kutafuta wagombea katika kiti cha Urais, Wabunge, madiwani, wawakilishi na...

READ MORE

David Silinde Atangaza Kujiunga CCM – Video

Mbunge wa Jimbo la Momba, Mkoani Songwe David Ernest Silinde ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM). Mbunge huyo pamoja...

READ MORE

Mtihani Mzito Wagombea 2020

DAR: Ni mtihani mzito! Ndivyo unavyoweza kutafsiri vihunzi watakavyokumbana navyo wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na urais kuelekea uchaguzi...

READ MORE

Lwakatare: Chadema Si Salama kwa Wapenda Maendeleo

MBUNGE wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare,  amewataka wasomi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufanya tathmini ili kujua wanaongozwa...

READ MORE

Chadema: Wenye Ushahidi Ufujaji Fedha Wauweke Hadharani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka Wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha kuuweka hadharani....

READ MORE

Ndugai Alivyowafanya Wabunge Hawa Kuwa Gumzo!

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameeleza kutotambua barua ya Chadema kuhusu ukomo wa ubunge wa aliyekuwa Mbunge wa Ndanda,...

READ MORE

Ndugai: Nimfukuze Mwambe? Aniandikie Barua

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wale wote wanaotaka amfukuze Bungeni, Cecil Mwambe basi wamshauri (Mwambe) amwandikie Spika barua ya...

READ MORE

Ndugai: Hakuna Mwenye Mamlaka ya Kumfukuza Mbunge – Video

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amesema hakuna mwenye mamlaka ya kumfukuza mbunge yeyote isipokuwa...

READ MORE

Ni sahihi wabunge Chadema kujiweka karantini?

GUMZO sasa ndani na nje ya nchi ni Corona ambapo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,...

READ MORE

Ndugai Aigomea Barua ya CHADEMA Kutomtambua Mwambe

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai,  jana alisoma barua ya Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John...

READ MORE

NCCR Inatumia Mbinu za CCM Kurejesha Waliokatwa Mikia

“SISI wachunga ng’ombe, nafahamu hata mzee wetu Kikwete (Jakaya), kwa sababu ana ng’ombe. Ng’ombe akikatika mkia, humzuii kuingia zizini, japo...

READ MORE

Corona: Wagonjwa Waongezeke? Mna Kikao na Mungu? – Mwigulu

MBUNGE wa Iramba (CCM), Dkt. Mwigulu Nchemba ameishauri serikali kuacha kutangaza visa vipya vya wagonjwa wanaogundulika kuwa #CoronaVirus, badala yake...

READ MORE

Lwakatare Aaga Rasmi Bungeni: “Sigombei Tena” – Video

MBUNGE wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare (Chadema) ameaga rasmi bungeni kuwa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu 20202...

READ MORE

Kumekucha! Zitto, Mdee, Mnyika, Kubenea Upinzani Mkali 2020

JOTO la uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeanza kupanda baada ya wagombea zaidi ya 72 kujitokeza...

READ MORE

Makonda Amweleza Kigwangalla “Achana na Mitandao”

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemshauri Waziri wa Maliasili na Utali, Dk. Hamis Kigwangalla kuchapa kazi...

READ MORE

Kwa Nini Waliokatwa Mikia Waitese CCM?

WAKATI joto la uchaguzi mkuu likiendelea kupanda, baadhi ya mambo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yameanza kuibuka na kutengeneza...

READ MORE

Mmoja wa Waasisi wa ACT Wazalendo Atimkia NCCR Mageuzi – Video

NDUGU wana habari, kwa majina naitwa Wiston Mogha niliyekuwa mwanachama wa ACT- Wazalendo. Mnamo Machi 18, 2020 nilijivua uanachama wa...

READ MORE

Maalim Seif: Tusiingize Siasa Kwenye Corona

MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Shariff Hamad amewataka viongozi wa kisiasa nchini, kuweka mambo ya kisiasa kando...

READ MORE

Prof Lipumba: Mashinji Amewaokoa Chadema Kufungwa – Video

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba,  amesema kitendo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vincent...

READ MORE

Siasa za Siasa: Mambo Yanayoivunja Nguvu Chadema Yatajwa

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uhai wake umeonekana kuyumba kutokana na wabunge na madiwani wa chama hicho kujiunga na...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM: Tutatumia Dola Kubaki Madarakani

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali, amekiri chama chake kuitumia dola kuhakikisha kinabaki madarakani.   Amesema...

READ MORE

Dkt. Bashiru: Membe Akitubu Tunampokea

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt Bashiru Ally, amemuomba aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe,...

READ MORE

Madiwani Watano wa Zitto Watimkia CCM – Video

Madiwani watano wa Chama cha ACT Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe, wamejiuzulu nyadhifa zao zote katika chama hicho na kuomba...

READ MORE