×

Spoti Xtra

Katumbi acharuka kupanga matokeo Afcon

  RAIS wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameruka tuhuma za gazeti moja la Madagascar kwamba alimhonga kipa wa Zimbabwe kwenye...

READ MORE

Mazito yafichuka usajili wa Ajib Simba

MENEJA wa Ibrahimu Ajib ambaye ni ndugu yake wa damu, Athuman Ajib amesema kuwa ilikuwa ngumu kumshauri Ajib kujiunga na...

READ MORE

Ajibu Akataa Jezi Simba

AJIBU ameliamsha Msimbazi baada ya kugomea kukabidhiwa jezi namba 23. Namba hiyo 23 ilikuwa inavaliwa na kiungo huyo mtaalam wa...

READ MORE

Zana Coulibaly Bado Yupoyupo

KAMA utani vile beki wa kupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba Zana Coulibaly amerejea Bongo ambapo kwa sasa...

READ MORE

YANGA YAONYESHA JEURI YA FEDHA, USAJILI WAKE KUFURU

YANGA wametumia zaidi ya Sh900mil mpaka lengo likiwa ni moja tu kusuka kikosi chenye muonekano mpya na hadhi ya klabu...

READ MORE

WALIPOJIFICHA WAPINZANI WA TAIFA STARS

FAINALI za Afcon msimu huu zinaanza Juni 21, mwaka huu, kuanzia sasa kwenye miji mbalimbali ya Misri ikiwemo hapa Cairo...

READ MORE

Yanga Yafumua kikosi CAF

YANGA wamemwambia Mwinyi Zahera kwamba timu yake imepata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa kuanzia mwezi Agosti akapagawa kwa furaha...

READ MORE

Namungo Yampigia Hesabu Salamba

IMEBAINIKA kuwa nyota wa Simba, Adam Salamba amekuwa akiwindwa na klabu ya Namungo FC ambayo imepanda daraja pamoja na timu...

READ MORE

MRUNDI ASIMAMISHA USAJILI AZAM FC

AZAM FC wenyewe wala hawatishwi na mbwembwe za usajili zinazofanywa na wapinzani wao Yanga kwani wametulia wakisubiri kwanza wamalizane na...

READ MORE

Yanga SC Yampa Mkataba Kiungo Fundi

YANGA imeanza mazungumzo ya kumnunua kiungo mshambuliaji fundi mwenye mkataba na Mtibwa, Salum Kihimbwa. Kihimbwa ni kati ya viungo waliowahi...

READ MORE

Simba Yajibu Mapigo Usajili wa Yanga

KOCHA wa Simba,Patrick Aussems amesisitiza kwamba usajili utakaofanyika wa wachezaji wa kigeni utakuwa na kishindo cha aina yake na hakuna...

READ MORE

Kocha Matola kutua KMC

KMC ambayo imepata nafasi ya dezo ya kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao iko kwenye mazungumzo na Kocha wa Lipuli,...

READ MORE

CHIRWA ABAKI AZAM YA KIMATAIFA

MAMBO yamemnyokea mshambuliaji wa Azam FC Obrey Chirwa baada ya kuelewana na kukubaliana kusaini mkataba wake mpya na klabu hiyo...

READ MORE

Mbappe Aomba Kuhama PSG

MBAPPESTRAIKA wa Paris St. Germain, Kylian Mbappe inasemekana anataka kuihama timu hiyo. Mbappe mwenye umri wa miaka 20 inaaminika amewasilisha...

READ MORE

Simba Wachemka kwa Gadiel Michael

MABOSI wapya wa Yanga wamefanikisha mipango ya kumuongezea mkataba wa miaka mitatu beki wake, Gadiel Michael ambaye ilikuwa kiduchu tu...

READ MORE

Baada ya Kuirejesha Azam Kimataifa, Chirwa ajisogeza Yanga

STRAIKA anayepambana kwa udi na uvumba arudishwe Yanga, Obrey Chirwa juzi Jumamosi aliipa Azam tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho...

READ MORE

Siri Yafichuka Bale Kuigomea Real

SIRI imefichuka ya kisa cha fowadi wa Real Madrid, Gareth Bale kugoma kuondoka klabu hiyo licha ya kutotakiwa na kocha...

READ MORE

Tambwe Afunguka Kulogwa na Ngoma

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ndiye mchezaji anayetajwa kuwa bingwa wa kufunga mabao ya vichwa katika Ligi Kuu Bara....

READ MORE

Mtibwa kuibeba Yanga mechi za Simba SC

KAMA Mtibwa walichopania kuifanyia Simba wakikifanikisha kwenye mechi zao mbili, wataibeba Yanga kwenye mbio za ubingwa bila kujijua.   Akizungumza...

READ MORE

Meddie Kagere aendelea kutikisa CAF

STRAIKA wa Simba, Mnyar-wanda, Meddie Kagere bado anaendelea kushirikilia rekodi ya kuwa mchezaji mwenye mabao mengi zaidi kutoka ukanda wa...

READ MORE

Igangula Ajitoa kugombea nafasi Mwenyekiti Yanga

ALIYEKUWA mgombea wa nafasi ya unyekiti katika klabu ya Yanga Mbaraka Igangula amejitoa kugombea nafasi hiyo kwenye uchaguzi wa leo...

READ MORE

Dakika 810 Kagere kushangaza

  Simba imebakiwa na mechi tisa za Ligi Kuu Bara mshambuliaji wa , Meddie Kagere, ana dakika 810 pekee za...

READ MORE

WARENO KUINUFAISHA SIMBA SC

KAMA zali vile! Simba i tanufaika na maufundi ya Wareno ambapo anatokea staa mkubwa wa soka duniani, Cristiano Ronaldo anayekipiga...

READ MORE

SIMBA WAANZA MIKAKATI YA KUIMALIZA SEVILLA

SIMBA watatumia fursa waliyopata kucheza na timu maarufu ya La Liga, Sevilla kuwapa uzoefu wa kimataifa wachezaji wake. Simba itacheza...

READ MORE

AZAM WALA HAWAMUELEWI CHIRWA

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado haujaelewa mshambuliaji wao Obrey Chirwa nini anakitaka kwa sasa kutokana na kutowapa jibu...

READ MORE

NGASA AOMBA NAMBA STARS

WINGA wa Yanga, Mrisho Ngasa amesema kuwa anahitaji kurudi kwenye timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuendeleza rekodi yake...

READ MORE

JKT QUEENS: HATUPOTEZI HATA MECHI MOJA

UONGOZI wa JKT Queens, umesema kuwa hawatapoteza hata mechi moja mpaka mwisho wa msimu kwenye Ligi ya Wanawake Tanzania inayodhaminiwa...

READ MORE

ZAHERA ATAJA KINACHOMFELISHA YANGA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa moja ya vitu ambavyo vinamfelisha kwenye  baadhi ya mechi na kushindwa kupata...

READ MORE

YANGA KUKIPIGA NA TANZANIA PRISONS BILA GADIEL LEO

YANGA leo Alhamisi wanapambana na Tanzania Prisons ambapo beki wa kushoto wa Yanga, Gadiel Michael anaweza asiwepo kwenye mechi hiyo...

READ MORE

Taifa Stars iandaliwe kucheza usiku Misri

PRESHA ya Wachezaji wa Tanzania ni kucheza usiku. Wengi hawajazoea kucheza mida hiyo kutokana na ukweli kwamba tangu wanapokuwa wadogo...

READ MORE

Serengeti Boys yawachefua Watanzania

TUKILIA haisaidii. Wala tukicheka haisaidii. Ni janga na fedheha ya kitaifa. Hakuna namna, lazima tuinamishe vichwa chini tutoke kimyakimya. Maneno...

READ MORE

Kazi Imeanza …Yondani, Bocco Wawekewa Bilioni Mezani

TAIFA Stars yenye mastaa kama Kelvin Yondani, Erasto Nyoni, Fei Toto na John Bocco ina uhakika wa Sh. Bilioni 1.4...

READ MORE

JKT Queens: Tumebakiza mechi 3 tupewe kombe

KOCHA Mkuu wa JKT Queens, Ally Ally amesema kuwa amebakiza mechi tatu kushinda ili atangazwe kuwa bingwa wa ligi ya...

READ MORE

Makambo Noma, Aweka Rekodi Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga Heritier Makambo raia wa DR Congo ameweka rekodi msimu huu kwa kuweza kufikisha mabao 15 katika Ligi...

READ MORE

Simba SC Shusheni Presha Kidogo

MCHEZAJI wa zamani wa Simba, Seleman Matola ambaye kwa sasa ni kocha wa Lipuli amesema kuwa Simba wakitulia wataishangaza dunia...

READ MORE

Kocha Zahera Amtaja Litombo Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema usajili wa beki kisiki wa AS Vita ya DR Congo, Yannick Bangala Litombo...

READ MORE

Mazembe wataka mashabiki wao wawaige Simba

KITENDO cha kishujaa kilichofanywa na shabiki wa Simba kutoka Mbeya mpaka Dar es Salaam kuja kutazama mechi dhidi ya TP...

READ MORE

Zana, Okwi kuwapa Sapraizi Simba

ZANA Coulibaly na Emmanuel Okwi watafanya kazi kubwa kulazimisha sare yoyote ya mabao na kuwaondoa TP Mazembe kwenye mechi ya...

READ MORE

SUAREZ AWAUMBUA, MAN UTD 0-1 BARCELONA, OLD TRAFFORD

NAJUA ulisinzia au pengine hukuangalia kabisa au uliona matokeo tu kwenye livescore. Au kwenye Whatsap kwenye lile kundi la Friends...

READ MORE

Ajibu ataja siku ya kutua Simba

ISHU ya Ibrahim Ajibu inahitaji kujiongeza sana ili uelewe. Straika huyo mwenye asisti 15 ametamka kwamba kila kitu kuhusiana na...

READ MORE