×

Spoti Xtra

Waarabu wamvamia mwamuzi kisa bao la Okwi

MMOJA kati ya viongozi wa benchi la ufundi wa Js Saoura, jana Jumamosi alimvamia mwamuzi Joshua Bondo wakilalamikia bao lililofungwa...

READ MORE

Julio: Simba Msiwafananishe Waarabu na Ndanda

KOCHA wa Dodoma FC na mchezaji wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefunguka kuwa wachezaji wa Simba wanatakiwa kuwa...

READ MORE

Tiboroha: Namrejesha Manji Yanga

MGOMBEA wa nafasi ya Uenyekiti wa Yanga, Jonas Tiboroha amesema akipewa kura Jumapili atamrejesha kundini aliyekuwa Mwenyekiti na mfadhili wao,...

READ MORE

Zahera Awachimba Mkwara Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ametamba kwamba kwa sasa hana wasiwasi na mechi yao dhidi ya Simba kutokana na...

READ MORE

Zahera Kiboko Akutana na Yondani, Atoa Mpya

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amefungukia kisa kilichomfanya atengue unahodha wa Kelvin Yondani na kusisitiza hatamrudisha kwenye nafasi hiyo...

READ MORE

Makambo Aweka Rekodi ya Kibabe

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Heritier Makambo amekuwa mchezaji wa kwanza msimu huu kuweka rekodi ya aina yake baada ya kutwaa tuzo...

READ MORE

Zahera Aendeleza Ubabe Yanga

KOCHA wa Yanga, Mkongo, Mwinyi Zahera ameendelea kuweka rekodi ndani ya kikosi hicho baada ya kumzidi aliyekuwa kocha wa timu...

READ MORE

Makambo Atawafunga Sana

  KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema straika wake mwenye mabao 11, Heritier Makambo atatupia sana mzunguko wa pili kama...

READ MORE

WAKO MGUU NJE, NDANI DIRISHA DOGO LA USAJILI

HUKU dirisha dogo la usajili likiwa limefun guliwa, Januari hii, tayari kumeanza kusambaa taarifa za mastaa mbalimbali wa soka kutaka...

READ MORE

Makambo Mtu Mbayaaaa! Yanga Yafikisha Pointi 50

HAKUNA namna yoyote ambayo timu yoyote ya Tanzania inaweza kuiondosha Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara mwaka huu...

READ MORE

Stars Ikifuzu Kuibukia Kwa Misri

KUNA kila dalili kwamba Taifa Stars ikimfunga Uganda Machi 3 mwakani, itafuzu kwa fainali za Afcon ambazo zina nafasi kubwa...

READ MORE

Mashujaa: Tupeni Yanga FA Tuwanyooshe

BAADA ya kuwaondoa Simba katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa kwa ushindi wa mabao 3-2, Mashujaa wanatamani kucheza na Yanga....

READ MORE

SPOTI XTRA WAGAWA TIKETI KWA MASHABIKI WA SIMBA LEO

Leo timu ya Spoti Xtra ilitua katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo kulikuwa na mchezo wa marudiano...

READ MORE

ZAHERA HARUDI YANGA, CHANZO CHATAJWA

  KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera aliondoka Dar es Salaam wiki hii na unavyosoma hapa mida hii yupo zake Ufaransa....

READ MORE

Baba Mkwe Amchomoa Tshishimbi Yanga, Amrudisha CONGO

  AKIWA kwenye msafara wa timu uliokwenda Arusha, kiungo mkabaji wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi ameondolewa dakika za mwisho baada...

READ MORE

Makambo Amtaja Ajibu Mabao Yake Yanga

MSHAMBULIAJI tegemeo wa Yanga Mkongomani, Heritier Makambo ameshindwa kujizuia na kumwagia sifa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Ibrahim Ajibu ambaye...

READ MORE

BOBAN HADI RAHA YANGA

DIRISHA dogo la usajili limefungwa usiku wa kuamkia leo na Haruna Moshi ‘Boban’ ni mchezaji wa Yanga. Masikio inasikika kama...

READ MORE

Kocha Yanga: Kakolanya Akirudi Yanga, Naondoka

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera ameweka wazi kuwa ikiwa kipa aliyegomea kazi, Beno Kakolanya (pichani) atabaki kikosini humo basi yeye...

READ MORE

Wanachama Yanga Wagomea Uchaguzi

MATAWI ya Yanga, Kanda ya Kinondoni wameafikiana kwa pamoja kutoshiriki uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo mwezi ujao, Mwenyekiti wao, Shabani...

READ MORE

Simba Yamshusha Kiboko Ya Mkude

MBABANE Swallows wamethibi­tisha nia ya Simba kumsainisha kiungo wao tegemeo, Njabulo Ndlo­vu kabla ya dirisha dogo kufungwa Jumamosi.   Simba...

READ MORE

FUNGA KAZI YANGA, BOSI WA USAJILI ATAJA LISTI

LICHA ya kwamba Simba wanawake­jeli kuwa wanasajili kwa mali kauli, lakini Mwenyekiti wa usajili wa Yanga, amesisitiza kuwa funga kazi...

READ MORE

Banda Ang’oka Baroka Aenda Kaizer

  KWA mujibu wa Magazeti ya Afrika Kusini, beki Mtanzania,anayeichezea Baroka FC Abdi Banda ataondoka kwenye klabu hiyo muda wowote...

READ MORE

SIMBA SC ITAUZA WENGI SANA ULAYA

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kama wachezaji wake wataendelea kucheza kwa kiwango cha juu katika michuano ya kimataifa...

READ MORE

SIMBA KUCHEZA MECHI YAO SAA 9 ZAMBIA

MECHI ya Nkana na Simba kwenye hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa itachezwa saa 9 alasiri mjini Kitwe, Zambia...

READ MORE

SPOTI XTRA LAMTEMBELEA MWENYEKITI WA TAWI LA YANGA

Maofisa mauzo wa Kampuni ya Global Group Bilaly Songoro kushoto pamoja na Charles Mpanzi kulia wakiwa na Mwenyekiti wa tawi...

READ MORE

Ishu ya Wambura na TFF Yawatetemesha Wakubwa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeingiwa na mchecheto na kushindwa kufafanua ishu ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa shirikisho hilo...

READ MORE

TAMBWE ATAJA SIRI YA MABAO YAKE YANGA

AMISSI Tambwe amesema aliifunga Prisons kwa hasira sababu ya Simba. Mrundi huyo, alifikisha mabao manne aliyoyafunga tangu kuanza kwa msimu...

READ MORE

Kocha: Huyu Chama Balaa!

STAA wa zamani wa Simba, Talib Hilal ameikubali kombinesheni ya mastraika watatu wa timu hiyo kuwa inatisha na kueleza ina...

READ MORE

Mtibwa Yapewa Timu Ngumu Uganda

KCCA ambayo haijapoteza mchezo kwenye Ligi Kuu ya Uganda msimu huu itacheza na Mtibwa Desemba 15 katika mechi ya raundi...

READ MORE

GUU LA MAKAMBO LAMPOTEZA OKWI

  MASTAA watano wanakimbizana na kuchuana vikali kwenye ishu ya ufungaji katika ligi ya msimu huu. Hao ni Eliud Ambokile...

READ MORE

Yanga kama Man City vile

YANGA imeweka rekodi yake katika Ligi kuu Bara kama ilivyo kwa Manchester City ambayo inacheza Ligi Kuu ya England kwa...

READ MORE

Yanga Yamsindikiza Wambura kuanza kazi TFF

BAADA ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam kumrejesha rasmi aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF),...

READ MORE

Stand United Yafyeka Saba

KATIKA kuhakikisha inakuwa imara Stand United imeachana na wachezaji wake saba na kumsajili kiungo mmoja kutoka Mbeya City, Majaliwa Mbaga....

READ MORE

Chirwa, Azam Waanza Kujibizana

KUTOKANA na mshambuliaji wa Azam FC ambaye amesajiliwa akitokea timu ya Nogoom FC ya Misri, Obrey Chirwa kusema kama hatalipwa...

READ MORE

Yondani Arejea Yanga, Akanusha Kugoma

BEKI mkongwe na nahodha wa Yanga, Kelvin Yondani jana aliripoti kwenye mazoezi ya timu hiyo na kukanusha taarifa zilizozagaa kuwa...

READ MORE

MBELGIJI AMCHUKUA STRAIKA MRUNDI

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesitisha mipango yake ya usajili wa kiungo mkabaji na badala yake ameomba asajiliwe...

READ MORE

SPOTI XTRA LAZIDI KUTIKISA MTAANI

TIMU  ya masoko na usambazaji ya Global Publishers Ltd, leo Jumapili imetinga tena mitaa ya Banana, Kitunda, hadi Kivule kwa...

READ MORE

Kagera Mpo Siriazi au Mnazuga?

LICHA ya dirisha dogo kufunguliwa lakini kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema hana mpango wa kusajili mchezaji yoyote katika...

READ MORE

Masharti ya mastaa wapya yamshtua Zahera

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema anaogopa kufanya mazungumzo rasmi na mastaa wapya watatu anaowataka kwa vile anaogopa masharti yao...

READ MORE

Pluijm awachenjia Niyonzima na Tshishimbi

KOCHA Mkuu wa Azam FC , Hans Pluijm hana mpango wa kuwasajili viungo, Haruna Niyonzima wa Simba na Papy Kabamba...

READ MORE