×


Spoti Xtra


Heh! Manji Anamjua Kocha Mpya Simba

USIDHANI kwamba Bilionea, Yusuf Manji hajui kinachoendelea Simba. Anamjua mpaka Mbelgiji, Patrick Aussems aliyeko Dar es Salaam kwa mazungumzo na muwekezaji Mohammed Dewji ‘MO’.  …

SOMA ZAIDI

Dilunga Achekelea Ofa ya Yanga

KIUNGO aliyewahi kupigwa chini na Yanga kwa madai kwamba amechuja, akatua Mtibwa Sugar na kung’ara, Hassan Dilunga yuko tayari kurudi Jangwani. Mchezaji huyo bora wa…

SOMA ZAIDI

Wawa: Subirini Muone Moto Wangu

BEKI mpya wa Simba, Pascal Wawa ameweka wazi licha ya kudaiwa ni mhenga kwake haiwezi kumsumbua kwani amejipanga kutumia uzoefu wake wote kwa kuhakikisha timu…

SOMA ZAIDIUlimwengu Amtolea Nje MO Simba

BAADA ya mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ kudai alipanga kumsajili straika, Thomas Ulimwengu mwenyewe ameibuka na kusema hakuwa na mpango wa kujiunga na timu…

SOMA ZAIDI

Ndemla: Nasaini Yanga Mazembe

KIUNGO fundi anayesugua benchi Simba, Said Hamisi Ndemla juzi usiku alikutana na Yanga jijini Dar es Salaam na kuwahakikishia kwamba siyo anabipu ni kweli yuko…

SOMA ZAIDI

MANJI AWASHUSHA PRESHA YANGA

LICHA ya kwamba amekuwa mkimya sana lakini viongozi wa Yanga waliompelekea Yusuf Manji, kilio cha wanachama amewpa jibu la kutia moyo.   Manji alijiuzulu Uenyekiti…

SOMA ZAIDI

Tshishimbi: Simba Njooni Mezani

KIUNGO kipenzi cha mashabiki wa Yanga, Pappy Tshishimbi jana asubuhi alirejea kwao DR Congo kwa mapumziko ya wiki mbili lakini akasema kwamba kama Simba wakija…

SOMA ZAIDICHIRWA KUWEKA REKODI SIMBA

USAJILI mpya wa Ligi Kuu Bara haujafunguliwa rasmi lakini Simba tayari imeshaweka rekodi. Simba chini ya udhamini wa bilionea Mohammed Dewji ‘MO’ tayari imesajili mastraika…

SOMA ZAIDI


Straika Yanga Ataja Mashine Mpya Nne

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mohamed Hussein “Mmachinga’ amefunguka kuwa Yanga inahitaji kufanya marekebisho katika nafasi nne muhimu. Nafasi hizo ni pamoja na namba tano,…

SOMA ZAIDI


WIKI TATU TU YANGA MATAJIRI

MICHUANO ya Kombe la Kagame iliyopangwa kupigwa mwezi ujao Jijini Dar es Salaam huenda ikawa zali kwa Yanga ambayo kama ikicheza karata zake vizuri inaweza…

SOMA ZAIDI
spotiXtra


Global TV Online