×

Spoti Xtra

Kindoki Fundi wa Penalti, Aipeleka Yanga nusu Fainali

KLAUS Kindoki jana alivua jezi yake huku akipiga kifua chake mara kadhaa akiwaambia mashabiki wa Simba; “Leteni fyokofyoko tena” Kipa...

READ MORE

Jeshi la kumuua Mazembe laanza kazi

KIKOSI cha Simba kinaanza mazoezi kesho Jumatatu kujiwinda dhidi ya Mbao FC baada ya kupewa mapumziko mafupi na uongozi wa...

READ MORE

Chama ashusha mashine Simba

CLAYTOUS Chama amewaambia viongozi wa Simba kwamba kuna mtu mmoja yuko pale Zesco akitua Msimbazi hali ya hewa itachafuka. Jamaa...

READ MORE

Njia zote Dar leo zielekee Uwanja wa Taifa

TANZANIA leo Jumapili jioni itashuka Uwanjani Jijini Dar es Salaam kuandika historia ambayo vijana wengi wa kizazi kipya hawakuwahi kuiona....

READ MORE

Zahera Ataja Mwisho wa Nyodo za Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kama Simba akishinda viporo vyake vyote saba ndio anaweza kukata tamaa ya ubingwa...

READ MORE

Erasto Nyoni, Kichuya wana vituko Stars

MASTAA wa Taifa Stars, Shiza Kichuya na Erasto Nyoni wana vituko mazoezini ambavyo vinachangia kuongeza morali kwa wenzao. Katika mazoezi...

READ MORE

HAMIENI FASTA, HUKU LIGI YA SERENGETI LITE KUMENOGA KINOMA

LIGI Kuu ya Wanawake maarufu kama Serengeti Lite Premier imeenda mapumziko kupisha ratiba za kimataifa lakini kumenoga kwelikweli. Imefikia mzunguko...

READ MORE

Duh! Yanga Kweli Wako Unga Dhidi ya DR Congo

TIMU ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ imetajwa huku Yanga ikiwa na mchezaji mmoja tu kwenye kikosi hicho kinachoingia kambini...

READ MORE

Mauricio Pochettino: Barcelona inabeba Uefa

  MAURICIO Pochettino anaamini Barcelona wapo kwenye levo tofauti kabisa na amebeti kuwa vinara hao wa La Liga wana nafasi...

READ MORE

Mourinho: Mbappe Ni zaidi ya Messi, Ronaldo

KOCHA mkongwe Jose Mourinho anaamini umri wa Kylian Mbappe ukilinganisha na uwezo alionao, unamfanya awe na thamani zaidi ya masupastaa,...

READ MORE

Barca yaandaa silaha tatu kunyanyasa UEFA

BARCELONA inajidai na silaha tatu ambazo inaamini zitakazowasaidia kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2018/19.  ...

READ MORE

CHECHE AMPOTEZA MAZIMA PLUIJM AZAM

BAADA ya kikosi cha Azam FC kuwa chini ya kocha Idd Cheche wengi wanapenda kumuita Ole Gunnar amevunja rekodi ya...

READ MORE

SIMBA WAIMALIZA YANGA IRINGA

YANGA jana iliumbuka mjini hapa baada ya kuambulia kipigo cha bao 1-0 lakini wote waliohusika na kipigo hicho waliwahi kung’ara...

READ MORE

VIDEO: Kocha Vita Aipa Siri Yanga

KOCHA mkuu wa klabu As Vita Club ya DR Congo, Florent Ibenge anaamini Yanga itatwaa ubingwa msimu huu katika Ligi...

READ MORE

Mbelgiji Simba Awaota Wakongo wa Zahera

KOCHA mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa hawazi kupata ushindi katika mechi yake na JS Saoura bali anaumiza...

READ MORE

Kabwili: Nitaipa Ubingwa Yanga

LICHA ya baadhi ya mashabiki wa Yanga kutokuwa na imani na kipa wao Ramadhani Kabwili, mlinda mlango huyo amesisitiza kwamba...

READ MORE

Yondani: Nyie Chongeni Mtajua Bingwa ni Nani

BEKI mkongwe wa Yanga, Kelvin Yondani amewaambia Simba waendelea kuchonga, lakini wataonana mwishoni mwa msimu wa Ligi Kuu Bara nani...

READ MORE

Ozil Atupiwa Virago Arsenal

MEZUT Ozil amegoma kuondoka Arsenal licha ya kuelezwa hatakiwi na kocha wake, Unai Emery. Emery amekuwa hafurahishwi na kiwango cha...

READ MORE

Yondani, Ajibu Wakinukisha Yanga SC

BEKI Kelvin Yondani jana kwenye mechi yao na Simba alikataaa unahodha baada ya nahodha mkuu, Ibrahim Ajibu kutolewa. Sekeseke la...

READ MORE

Wanachama Yanga Waanza Fitna Nje ya Uwanja

BAADHI ya wanachama kutoka matawi ya Yanga Temeke, yamepanga kukutana haraka, kupanga mbinu za nje ya Uwanja zitazoisaidia timu yao...

READ MORE

Kwa Rekodi hizi Yanga wanazoa Pointi Tatu

MASHABIKI wa Simba wana uhakika mkubwa kwamba baada ya kuwakosa Yanga kwenye mechi ya kwanza waliyokutana basi safari hii Februari...

READ MORE

CAF Yawazuia Simba Kuwachezesha Saa 8 Mchana

SIMBA walitamani mechi yao dhidi ya Al Ahly ichezwe saa nane mchana kwenye jua kali lakini Caf imewapiga ‘stop’.  ...

READ MORE

Yondani, Ajibu Waweka Rekodi Yanga

  BEKI na nahodha wa zamani wa Yanga, Kelvin Yondani ameweka rekodi ya kufanyiwa mabadiliko kwa mara ya kwanza msimu...

READ MORE

Kakolanya ampeleka straika Simba

UNAMKUMBUKA yule straika aliyewapiga chenga mabeki wote wa Yanga pamoja na kipa wao matata, Beno Kakolanya kabla hajafunga? Kama umemsahau...

READ MORE

Viporo vyampasua kichwa Mbelgiji

KOCHA mkuu wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji ameweka wazi kitu kinachomchanganya kwa sasa ni ugumu wa ratiba ya...

READ MORE

Yanga Yampa Beno Masharti Mazito

YANGA imemtaka Beno Kakolanya kuwathibitishia kwa maandishi kwamba hatakuwa na madai yoyote endapo wakiridhia kutengua mkataba wake. Lakini mwanasheria wa...

READ MORE

Fatuma: Nina Maboifrendi Kibao

SERENGETI Lite wameinoge­sha Ligi Kuu ya Wanawake ambayo msimu huu im­ekuwa na mengi ya kuvutia. JKT Queens ndiye bingwa mtetezi...

READ MORE

Kocha Awachenjia Wachezaji Simba

KIPIGO cha mabao 2-1 walichokipata kutoka kwa Bandari juzi kiliwatokea puani baada ya jana Kocha Patrick Aussems kuwaanika juani kwa...

READ MORE

KOULIBALY JEMBE LENYE SIFA ZA KUIBEBA MAN UNITED

MSIMU uliopita kabla ya Liverpool kumsajili beki wa kati, Virgil van Dijk, Liver­pool ilikuwa inatisha kwa kuwa na safu kali...

READ MORE

SERENGETI LITE WAMEIBUA MENGI SOKA LA WANAWAKE

KINACHOONEKANA kwenye Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu maarufu kama ‘Serengeti Lite Womens Premier League’ kinafurahisha. Kuna mam­bo mengi ambayo...

READ MORE

Mtihani wa Congo na Misri utaivusha Simba

WAWAKILISHI pekee wa Ukanda wa Cecafa kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ni Simba ya Tanzania. Hakuna...

READ MORE

Wachezaji wa Simba walivyokutana na bil 11.5

VITA Club ambayo inacheza na Simba Jumamosi usiku jijini Kinshasa, imetenga bajeti ya Sh11.5 bilioni kwa msimu mzima wa 2018/19....

READ MORE

Simba walivyowavamia Wakongo kishujaa

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kikosi chake kipo imara kuwavaa AS Vita na wanatua kishujaa jijini Kinshasa...

READ MORE

Kazi kwa Ozil Kusuka au Kunyoa

MEZUT Ozil amekuwa na wakati mgumu kutokana na kusugua benchi kwa muda mrefu na sasa kumeibuka taarifa kuwa hatakiwi na...

READ MORE

Samatta ni EPL tu wengine wasahau

BABA mzazi wa mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta atasimamia mwanaye atue ndani ya Ligi ya England...

READ MORE

SAMATTA ALIVYOWATEKA WAZUNGU

MBWANA Samatta amezidi kung’ara kwenye vyombo mbalimbali vya habari barani Ulaya kutokana na uwezo wake ndani ya uwanja. Samatta ambaye...

READ MORE

HAZARD, JAMES RODRIQUEZ WAWEKWA SOKONI

MASTAA Eden Hazard wa Chelsea na kiungo wa Real Madrid, James Rodriguez inasemekana wapo sokoni kuuzwa na klabu zao kipindi...

READ MORE

BEKI MATATA ANUKIA MAN U

MANCHESTER United imeamua kuwaweka mastaa wake wawili sokoni ili kufungua njia ya kumsajili beki wa Napoli, Kalidou Koulibaly. Kwa muda...

READ MORE

MWANAHAMISI: YANGA NIMEWAFUNGA KWA MAKOSA YAO

MSHAMBULIAJI wa Simba Queens, Mwanahamisi Omary ‘Gaucho’ ameweka rekodi mpya katika medani ya soka la wanawake kufuatia kuwa mchezaji wa...

READ MORE

Zahera Aanza na Gia Mpya Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amepanga kuingiza gia mpya kwenye mechi za mikoani kuanzia wiki ijayo kwani baada ya...

READ MORE