×


Spoti Xtra

Simba SC Watenga Mechi Tano

KWA mujibu wa benchi la ufundi la Simba, wametenga mechi 5 ambazo zimebeba pointi zitakazowapa ubingwa. Simba ya Mfaransa Pierre Lechantre kwa sasa ndiyo inaongoza…

SOMA ZAIDI


Real, Atletico Kutifuana April 8

KIPUTE cha wapinzani wa jadi wa jiji la Madrid kinachozikutanisha Real na Atletico kitapigwa Aprili 8, mwaka huu kama ilivyopangwa awali.   Kulikuwa na wasiwasi…

SOMA ZAIDI

Mwalimu Kashasha Awabonyeza Simba

MCHAMBUZI mahiri nchini, Alex Kashasha ‘Mwalimu Kashasha’ ameweka wazi kuwa Simba ina uwezekano wa mkubwa wa kuchukua ubingwa wa msimu huu kwa asilimia sitini iwapo…

SOMA ZAIDI


Tambwe: Sikujua Tatizo Langu ni Zito

BAADA ya kufanyiwa upasuaji mdogo wiki iliyopita na kulazimika kupumzika, Amissi Tambwe anasubiri kuondolewa nyuzi tu kwenye goti. Tambwe alifanyiwa upasuaji huo baada ya kuwa…

SOMA ZAIDI

Niyonzima Ataiwahi Yanga Kabisa

DAKTARI wa Simba, Yassin Gembe amewaambia mashabiki wa timu hiyo kwamba wasiwe na wasiwasi, Haruna Niyonzima atarejea uwanjani baada ya mechi ya Al Masry.  …

SOMA ZAIDI
Tambwe Afanyiwa Upasuaji Dar

MSHAMBULIAJI wa Yanga Amissi Tambwe raia wa Burundi atalazimika kukaa nje wiki mbili kutokana na upasuaji mdogo aliofanyiwa mwanzoni mwa wiki hii kutokana na majeraha…

SOMA ZAIDI


Mfaransa Kuwashtukiza Mbao Taifa

KOCHA wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre amesisitiza kwamba wataishukia Mbao FC kesho Jumatatu kwenye Uwanja wa Taifa kwa staili ya tofauti kabisa. Simba yenye pointi…

SOMA ZAIDI

Kamusoko Ndiyo Kwanza Kaanza Upya

KIUNGO wa Kimataifa wa Yanga, Thaban Kamusoko raia wa Zimbabwe ameonekana bado kutokuwa fiti kutokana na kuongezewa muda zaidi wa kuendelea na matibabu.   Kamusoko…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online