×

Spoti Xtra

Yanga Yachorewa Ramani Ya Ushindi Rwanda Ligi ya Mabingwa Afrika

KIUNGO wa kimataifa wa Rwanda ambaye amewahi kukipiga ndani ya timu za Simba na Yanga, Haruna Niyonzima, amesema mbali na...

READ MORE

Kocha Yanga Apewa Maagizo Mazito dhidi ya Al Merrikh ya Sudan

UONGOZI wa Yanga ni kama umempa maagizo mazito kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamond baada ya kusema kwa kuwa...

READ MORE

Kocha wa Yanga Awapiga Stop Maxi Nzengeli, Aziz KI, Jonas Mkude

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema wachezaji wake wote ikiwa ni pamoja na Maxi Nzengeli, Aziz KI, Jonas Mkude,...

READ MORE

Simba Watamba Kuifunga Al Ahly, Kocha Awawekea Mtego Uwanja wa Mkapa

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema hana hofu ya kukutana na Al Ahly ya Misri, kwani anazijua...

READ MORE

Mayele: Maxi Nzengeli Ataibeba Yanga Kubeba Ubingwa Msimu Huu

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele, amesema kwa namna anavyomfahamu Maxi Nzengeli, anaamini nyota huyo ataisaidia sana timu hiyo...

READ MORE

Injinia Hersi Apiga Hesabu Kali Yanga Ligi ya Mabingwa Afrika, Ligi Kuu

RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, ameweka wazi kuwa, kukosa taji la Ngao ya Jamii sio mwisho wa mapambano, hivyo...

READ MORE

Fainali Ndondo Cup kinawaka leo Kinesi Madenge dhidi ya Kibangu Rangers

LEO Jumapili, fainali ya michuano ya Ndondo Cup 2023, inatarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Kinesi uliopo Shekilango, Ubungo, Dar, kati...

READ MORE

Kiungo Simba: Yanga Hii Inatisha Chini ya Kocha Mkuu Wao Miguel Gamondi

KIUNGO wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Simba SC, Amri Kiemba, amesifu aina ya soka...

READ MORE

Kocha Mkuu Simba Atumia Siku 16 Kufumua Kikosi Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefichua kwamba, amepanga kuzitumia siku 16 za mapumziko ya Ligi Kuu Bara kukijenga...

READ MORE

Bingwa Wa Ligi kuu ya Uingereza Msimu wa 2023-24 Yupo Hapa

WATAALAM wa uchambuzi wa data katika soka wamekusanya data na kufanya hesabu kuona ni timu gani msimu wa 2023-24 ina...

READ MORE

Skudu Atoa Tamko Zito Akitokea Kwao Afrika Kusini

BAADA ya kutua nchini usiku wa kuamkia jana Jumamosi akitokea kwao Afrika Kusini alipokuwa akijiuguza majeraha, staa wa kimataifa wa...

READ MORE

Robertinho: Tulieni, Onana Atafunga Sana, Achimba Mkwara Mzito

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameweka wazi kuwa, anajivunia viwango bora ambavyo vinaendelea kuoneshwa na mastaa wapya...

READ MORE

Robertinho Aanza Nyodo Simba Atoa Kauli ya Kibabe Ligi Kuu

NI kama ameanza tambo Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, baada ya kusema kwa sasa anataka kuona wachezaji...

READ MORE

Kocha wa Yanga Muargentina Alirejesha Kundini Jembe La Nabi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, amesema anafurahia aina ya uchezaji wa beki wa kati wa timu hiyo, Dickson...

READ MORE

Mchongo Wa Yanga CAF Huu Hapa Yaweka Wazi Mipango yao Mikubwa

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kuwa, mipango yao mikubwa msimu huu katika michuano ya kimatafa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka...

READ MORE

Hafiz Konkoni Amnogea Gamondi, Amuingiza Kikosi cha kwanza

KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, anafikiria kumuanzisha mshambuliaji wake, Mghana, Hafiz Konkoni katika kikosi cha kwanza. Uamuzi huo...

READ MORE

Kivumbi leo Mkwakwani Fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba

KUELEKEA mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba unaotarajiwa kuchezwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Yanga Yaichimba Biti Simba Yatamba Kufanya Makubwa Ligi ya Mabingwa

ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga, ameweka wazi kuwa, kwa msimu mpya wa 2023/24, malengo yao ni kuendelea pale walipoishia...

READ MORE

Fabrice Ngoma Aipa Jeuri Simba, Ahmed Ally Atamba ni wa Kipekee

WAKATI Simba wakiwa nchini Uturuki kwenye maandalizi ya msimu ujao wa 2023/24, taarifa njema ni kuhusiana na kiungo wao mpya,...

READ MORE

Miguel Gamondi Afanya Mapinduzi Yanga, Fiston Mayele Atajwa

KOCHA mpya wa Yanga, Miguel Angel Gamondi, kwa sasa yupo AVIC Town, Kigamboni, Dar, akikisuka kikosi cha timu hiyo, huku...

READ MORE

Luis Miquissone Atengenezewa Ufalme Mpya Simba

UONGOZI Simba, umeweka wazi kuwa, wale watu wanaobeza wao kumrejesha Luis Miquissone, watulie kwani watamshangilia huko mbeleni baada ya kushangazwa...

READ MORE

Mil 400 Zamshusha Mrithi Wa Mayele Yanga Akitokea Klabu ya Yaoundé

IMEELEZWA kuwa, Klabu ya Yaoundé kutoka nchini Cameroon, imeweka ofa ya dola 165,000 (Sawa na Sh 402,375,600 za Kitanzania) ili...

READ MORE

Fiston Mayele Atimka Rasmi Yanga Aelekea nchini Misri

MCHEZAJI Bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Fiston Mayele, ameondoka rasmi kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kukamilisha taratibu...

READ MORE

Vyuma Vitatu Vimebaki Simba Kufunga Usajili Msimu wa 2023/24

UONGOZI wa Simba, umeibuka na kutamka kuwa, umebakisha wachezaji watatu pekee kwa ajili ya kufunga usajili wao wa msimu wa...

READ MORE

Fei Toto Aahidi Makubwa Azam Azungumza na Wachezaji Wenzake

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema amezungumza na wachezaji wenzake kikosini hapo na kukubaliana kufikia malengo yao...

READ MORE

Kocha Mpya Yanga Atoa Kauli Nzito Kwa Mashabiki, Timu Alizofundisha Zipo Hapa

YANGA SC, imematangaza Miguel Ángel Gamondi, kuwa kocha mpya wa timu hiyo akichukua mikoba ya Mtunisia, Nasreddine Nabi ambaye waliachana...

READ MORE

Baada Ya Kuachwa… Mkude Atoa Tamko Zito Simba, Amtaja MO Dewji

MARA baada ya kutangazwa rasmi kutokuwa sehemu ya Simba kwa msimu ujao, aliyekuwa kiungo wa timu hiyo, Jonas Mkude amefunguka...

READ MORE

Kiungo Fundi Kupewa Jezi Ya Fei Toto Yanga

MASHABIKI wa Yanga walishamsahau kiungo wao Feisal Salum ‘Fei Toto’ na sasa wajiandae kumuona mbadala wake mpya katika timu hiyo,...

READ MORE

Mayele Aibuka, Atoa Kauli Kwa Wanayanga Awashukuru Viongozi, Wachezaji

AKIREJEA nchini akitokea kwao DR Congo, mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani Fiston Mayele ameibuka na kutamka kuwa tuzo tano alizozishinda msimu...

READ MORE

Kifaa Cha Kwanza Rasmi Yanga Utambulisho Wake Waandaliwa Maalum

IMEBAINIKA kuwa, kuna chuma kipya Yanga kipo mjini tayari na huenda kikatambulishwa kupitia mkutano mkuu wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika...

READ MORE

Umafia Wafanyika Dar… Adebayor Asaini Miaka Miwili Simba

HUU ndiyo umafia hii ni baada ya mabosi wa Simba wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu hiyo,...

READ MORE

Imevuja… Anayemuondoa Lomalisa Yanga Atajwa, Ali Kamwe Afunguka

ZIMEVUJA! Ndiyo utakavyoweza kusema ni baada ya sababu kujulikana za beki wa kushoto wa Yanga, Mkongomani Joyce Lomalisa Mutambala kuomba...

READ MORE

Simba Yamficha Mshambuliaji wa Rayon Sports Essomba Willy Onana, Dar

IMEELEZWA kuwa, kiungo mshambuliaji wa Rayon Sports, Leandre Essomba Willy Onana ambaye raia wa Cameroon, amekuja ar es Salaam kwa...

READ MORE

Kishindo Kinakuja Simba Yashuhudia Yanga Wakisepa na Taji la Ligi Kuu

  UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, kishindo kinakuja ndani ya Bongo kutokana na mipango inayoandaliwa kwenye usajili wa timu...

READ MORE

Simba Yaanika Mipango ya Michuano ya CAF Super League

  UONGOZI wa Simba SC, umesema kwa sasa akili zao wanazielekeza kwenye michuano ya CAF Super League na tayari wameshaanza...

READ MORE

Chivaviro Akataa Sh 300Mil Za Waarab, Atue Yanga

INASEMEKAMANA kuwa, mshambuliaji wa Marumo Gallants ya Afrika Kusini, Ranga Chivaviro, amekataa dau la randi milioni 3 ambazo ni sawa...

READ MORE

Chama Ataja Kilichowaponza Msimu Huu na Kuwafanya Wakose Kila Kitu

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Clatous Chota Chama, amefungukia sababu kubwa ambayo imefanya wapotee msimu huu na kuwafanya wakose kila kitu....

READ MORE

Yanga: Tuna Dakika 180 Za Kazi Kimataifa Kutwaa Ubingwa CAF

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa, una dakika 180 za kazi kimataifa na watapambana kupata matokeo mazuri kufikia malengo ya kutwaa...

READ MORE

Chama Atoa Kauli Ya Kutisha Simba Baada ya Kukosa Mataji Msimu Huu

KIUNGO mshambuliaji wa Simba Mzambia, Clatous Chama amewaomba msamaha mashabiki wa timu hiyo, baada ya kukosa mataji katika msimu huu...

READ MORE

Straika Msauzi Ranga Chivaviro Aziingiza Vitani Yanga, Simba

KLABU za Simba na Yanga, zimeingia katika vita nzito ya kusaka saini ya straika wa Marumo Gallants ya Afrika Kusini,...

READ MORE